Тёмный
No video :(

MSEMAJI WA COSTAL UNION "ASIBITISHA LAMECK LAWI KUONEKANA MAZOEZINI TANGA HII LEO| NI MALI YETU... 

bongotzfm
Подписаться 26 тыс.
Просмотров 1,9 тыс.
50% 1

MSEMAJI WA COSTAL UNION "ASIBITISHA LAMECK LAWI KUONEKANA MAZOEZINI TANGA HII LEO| NI MALI YETU...
#simbafans #nbcsports #timuyawananchi
#timuyawananchi #tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii #simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #simbasc

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@user-wk6ob9sc3t
@user-wk6ob9sc3t Месяц назад
lameck lawi atacheza simba
@RashidiSaidi-p5t
@RashidiSaidi-p5t Месяц назад
Hawa simba Hawako makini bado tu wanamaneno ya kunga unga wanasimba wanatakiwa wakumbuke kaulk ya Haji manara
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
Simba kazajiri MA mvp toka klabu kubwa nyinyi waswahili wa pwani mtaishia hivyo hivyo na uswahili wenu... We move on... 🚮🚮
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
Acha ubwege wee!! Duh, ubaguzi hadi kwenye mipira?! waswahili wa pwani wanahusika vipi hapo?! Wewe mlalia ngozi ya ng'ombe tena unadozi na wanyama ndani mikojo yao ndiyo marashi yako na ndiyo maji ya kuoshea vyombo na vibuyu vyako vya maziwa, nyumba umekandika mavi ya ng'ombe viroboto, kunguni, usubi. kupe, mbung'o wote walala nao humo humo, unakunywa midamu ya wanyama kama shetani eti wadai kisusio, hivi mporipori mchunga ng'ombe wewe toka machweo ya jua huko ushenzini mwisho wa upepo, wewe leo ndiyo mstaarabu kuliko mtu wa pwani au vipi?! Acheni bange zenu... mlitukana zamani kwa sababu hakuna aliyekuwa anakuja kwenu zaidi ya nyinyi kuja pwani kutafuta fursa za riziki mkakaribishwa kiungwana bila ya kubugudhiwa, mkaona mtumie upenyo huo kuficha asili zenu na kujitia ustaarabu msiokuwa nao huku mkiwatusi na kuwanyanyapaa wenyeji wenu. Dunia sasa ni kijiji kila kichaka watu wanaingia, kwa taarifa yako binafsi hakuna sehemu ambayo sijakanyaga kote huko nimepita nawajua ndani nje, kwa hicho kipisi chako cha moshi wa kaskazi.. haraka kakizimie huko huko chooni unapokivutia, huku barazani kitakubangua fuvu, limbukeni bwege wee!!
@RashidiSaidi-p5t
@RashidiSaidi-p5t Месяц назад
Hivi Hawa simba kwanini wanapenda kukurupuka yani Hili ni jinamizi Hawa viongozi Hawako kimpira Huwezi kumyambulisha mchezaji bila usajili et ndo tunasema simba ni kibwa
@davidjohn540
@davidjohn540 Месяц назад
Kwahiyo Cost hawakuzingua?
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Месяц назад
@@davidjohn540 wanaleta uswahili kwenye football
Далее
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 2,4 млн
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 18 млн
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 2,4 млн