Тёмный
bongotzfm
bongotzfm
bongotzfm
Подписаться
Комментарии
@neemamboya99
@neemamboya99 14 часов назад
Lile bag halikuwa na zile stickers za airport zinazobanwa kwenye bag kuonyesha details za mtu. Pia halkuwa na kitu. Ni kiki
@user-pi6lb6nx3m
@user-pi6lb6nx3m 15 часов назад
Hii ni kiki mnafiki huyu harafu bado anatamka Ruru badala ya lulu mara business fwuuuu😊
@BurterDreezy
@BurterDreezy 15 часов назад
Huyu dada muongo jaman kwa redio alisema anaikumbuka nyumba,,,,huku anasema eti kapigwa kwenye ile nyumba,,,,,,,,khaaa😂😂😂😂 shikamoo your mouth
@BurterDreezy
@BurterDreezy 15 часов назад
Huku mikocheni kwa redio magomeni,,,,,,,,😂😂😂😂nakojoa mie
@madinarobert4944
@madinarobert4944 15 часов назад
Dada hii michezo😂😂katafuta namna ya kujulikana2
@mineflower_01
@mineflower_01 16 часов назад
Huyu dada hakuwa shaghara wala nn alikuwa ana danga naile ni kiki mwehu huyu Tanzania kitu kidogo kinakuwa kikubwa
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 16 часов назад
Kiredio kakupeleka mjini dada
@mineflower_01
@mineflower_01 16 часов назад
Basi huyu Oman alikuwa ana danga hakuwa shaghara😂😂😂 muongo huyu mahali 200 Alf ulikuwa una ishi na yule masaghura
@mineflower_01
@mineflower_01 16 часов назад
Wanao hoji nao awajielewi maana unaingiza miaka 4 sasa ulikuwa Oman kama kadama miaka 2 uli hojiwa lini ukawaoman lini umefanya kazi lini linakuja jibu ulikuwa tz sema ulitafuta kiki
@user-oy2fi5qz9n
@user-oy2fi5qz9n 16 часов назад
Ukiwa muongo hakikisha uwe na kumbukumbu
@mineflower_01
@mineflower_01 16 часов назад
Uongo TU hakuna Oman wala nn Leo Oman Leo msanii Leo hivi Oman umetoka juzi Leo uneigiza na lamata maana ulikuwa tz Oman miaka miwili uliojiwa lini sasa
@user-oy2fi5qz9n
@user-oy2fi5qz9n 16 часов назад
Hivi ile begi ndo la kutoka Oman? Mara nyumba nilikuwa naifaham Mara nyumba sio ya hela niliyokuwa namtumia
@mustaphawelder7022
@mustaphawelder7022 16 часов назад
Acha ujinga mpaka umri huo bado una boy friend, nyoooko ww
@mineflower_01
@mineflower_01 16 часов назад
Kiki ty ovyoo hakuna chochote kwanza omani na kike kibegi unawajuwa ma shghara ww😂😂😂 wanavyo bebaga eti Leo muiguzaji mara mfanya biashara muongo huyo milioni kumi kwa mshahara wa kadama kwa miaka iyo ni pesa yote umetuma maana ulicho Baki nacho ni kidogo sasa na gundua ww ulitaka jina muongo ww
@mineflower_01
@mineflower_01 16 часов назад
Kwaiyo ilikuwa ni kiki au nini sasa
@user-xp8om3jc4q
@user-xp8om3jc4q 16 часов назад
dada muongo uyo jaman
@user-xp8om3jc4q
@user-xp8om3jc4q 16 часов назад
umbea mtupu
@user-xp8om3jc4q
@user-xp8om3jc4q 16 часов назад
dada muongo uyo
@user-uy4bu9bf5n
@user-uy4bu9bf5n 16 часов назад
Dada muongo Kiki tu coz
@hamedatanzani6
@hamedatanzani6 16 часов назад
Acheni kutafuta kiki na oman yetu eti nimeagiza gari kwapesa zipi sasa za miaka miwili 😂😂😂😂😂 hata nyumba hujengi achakufanganya watu
@hamedatanzani6
@hamedatanzani6 16 часов назад
Ila huyo dada nimuongo 😂😂😂
@Official83640
@Official83640 17 часов назад
Sura ya kinafiki kabisa mpuuzi huyu kajua kutuzuga haya kwa Carry mastory interview kashafanya na kwa Lamatah tayr kashafanya nae kazi ukiangalia ht wiki bado tangu atoke Oman mamae kajua kuuteka mji😂😂😂😂
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 15 часов назад
ᴺᵀᵁᴹᴵᴱ ᴸᴵᴺᴷ ᴴᴵᶻᴼ ᶻᴵᴺᴳᴵᴺᴱᴱ
@nallitykyline3795
@nallitykyline3795 17 часов назад
Utakua umenda misri sio oman amna mkataba wa mika 3😅😅😅dada muongo kma nn unadanganya media na wazawa wa oman tuna kuskiza tu na uongo wko mxuuu
@user-jl3ck5mf8p
@user-jl3ck5mf8p 17 часов назад
Muongo hyu 😂mwanzo alisema miaka 3 leo miwili mbwa kabisa
@sofiasophia9018
@sofiasophia9018 17 часов назад
Dada kasha upata umaarufu tayari naulikua unamulaumu kiredio kwanini kapost
@lindajoseph1791
@lindajoseph1791 17 часов назад
Ww unampaje mwanaume hela jaman wa Dada tunakwama wap 😢Ni ujinga Sana
@anitajacob3641
@anitajacob3641 17 часов назад
mh! kiki tu yakutaka ya kuingia mjini
@mariymukhatibu4919
@mariymukhatibu4919 17 часов назад
Muongo uyo kwa msha harangani huo waomani
@SharifAbdallah-bu9hm
@SharifAbdallah-bu9hm 17 часов назад
Kiki tu Ata passport alikua hana
@jkumar5908
@jkumar5908 17 часов назад
Uyo dada muongo bhn ajatokea omani lbd umani km asemavyo mwenye maana picha linaanza yupo Airport anashangaa juwa la bongo hivi bongo kunajuwa lakuizidi omani..... ?
@BerthaModest
@BerthaModest 16 часов назад
😂😂😂anatufanya wapumbavu
@Mzunah
@Mzunah 17 часов назад
Huu ni uongo yaaan ni zaidi ya uongo
@aishadiaby
@aishadiaby 17 часов назад
Million mmoja laki mbilii kile kiduku pale uswahilini😂😂😂😂😂
@user-qz2if6nc9j
@user-qz2if6nc9j 16 часов назад
Kwa miez 6 ni sawa
@Mzunah
@Mzunah 17 часов назад
Mara nmeishi naye , mara napafahamu, mara Kodi nayomlipia haifanani naile Kodi nayo mpa😅 we dada izi kiki zinaponzaga
@HamisiMohamed-je8fj
@HamisiMohamed-je8fj 17 часов назад
Kutaka kiki2 kufikilia aaaah
@ZalhathamohdSaid-qn4jj
@ZalhathamohdSaid-qn4jj 17 часов назад
akiulizwa swali anajivuta kujibu yaan analifikiria😂😂
@HappywWilibrodi
@HappywWilibrodi 18 часов назад
Mara mlipanga wote mara alitafta nyumba ya bei ya chini 😢sielew😅
@smartnyengo725
@smartnyengo725 17 часов назад
Hahahaha Mim mwenyewe nimeshindwa kwelewa imekuweje alikua anatuma hela nyingi sehemu cheap mana alikua anapajua ndo mana alienda direct..it's a very contradicting story
@HappywWilibrodi
@HappywWilibrodi 17 часов назад
@@smartnyengo725 uwongo mtupu 🥴
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 18 часов назад
Kwaza muongo akuna mkataba miaaka mitatu😂😂😂
@merinazyd0532
@merinazyd0532 18 часов назад
Kiki tu ovyo sana huyu dada
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 18 часов назад
Duuh😂😂😂😂😂😊
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr 18 часов назад
Huyu hakutoka omani kibegi cha kilo 3 hata mkomba hana mumama mzima loooo alitoka kwa wa masai fyuuuu
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 18 часов назад
Anajichekesha tu kimbea
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 18 часов назад
Kwamiaka miwili Duka pikipiki nyumba aawee
@aminaramdan3283
@aminaramdan3283 18 часов назад
Huyu ni Miongo Sio kwelii Hakwenda Oman wala nini.. Kama Mnakumbuka Ndio Yule Alosema Ruruuuuu Ramataa.. haya kaenda oman lini Mpk Akaa miaka 2... Walipanga hao Kwanza bag halikuwa na Stkaaa Bahna... Semaa Luluu na Sio Ruruuuu
@BerthaModest
@BerthaModest 16 часов назад
Yani😂🙌
@CAPTAIN_GALAXY13
@CAPTAIN_GALAXY13 15 часов назад
ᴺᴵᴷᵁᴹᴮᵁˢᴴᴱ ᴴᴱᴮᵁ ᴺᴵᴷᵁᴹᴮᵁᴷᴱ ᴺᴬ ᴹᴵᴹᴵ
@user-rb5hs3lq6v
@user-rb5hs3lq6v 14 часов назад
Daah Nilikuwa nasema hii sura mbona kama sio ngeni😅asante kwa kunikumbusha ndugu yangu😂😂
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 18 часов назад
Muongoo
@user-gl8ij6mn6e
@user-gl8ij6mn6e 18 часов назад
Juzi kati ipi nawe ulikuwa oman khaa😂😂😂
@ZalhathamohdSaid-qn4jj
@ZalhathamohdSaid-qn4jj 17 часов назад
😂😂😂
@nasraramadhani4515
@nasraramadhani4515 18 часов назад
Umalaya
@soniahassan6769
@soniahassan6769 18 часов назад
Kiki tu kufanya maisha aaah
@mwajabumunna6398
@mwajabumunna6398 18 часов назад
Dada zuzu huyu
@HadijaZabroni-pu1lt
@HadijaZabroni-pu1lt 18 часов назад
😂😂😂😂
@batulialmass8914
@batulialmass8914 19 часов назад
Dada ni muongo uliku unalipwa bei gani Oman eti miliion 3 kwa miezi mitatu kwenda huko
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 18 часов назад
Et jmn muongoo uyu