Тёмный

MSIGWA AMJIBU STEVE NYERERE "Siwezi kucheza kwenye KUKU mimi ni TAI!" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 136 тыс.
50% 1

MSIGWA AMJIBU STEVE NYERERE "Siwezi kucheza kwenye KUKU mimi ni TAI!"
Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini amepata wasaa wa kuzungumza na Global TV akielezea mambo mbalimbali likiwemo suala lililompelekea kuhitilafiana na Msanii wa Maigizo nchini maarufa kwa jina Steve Nyerere. Ili Upate kujua mengi zaidi Tazama Interview hii
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY: bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 354   
@smarty1064
@smarty1064 4 года назад
Msigwa meseji yako ilikuw sahihi sana na nilikuelewa ila uwasilishaji wako ulikuwa wa kimihemko, wazo lako ni ukweli kbs kbs ila ulitumia dharau sana katika uwasilishaji wako! nakubaliana na 100% na hicho kitu
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 4 года назад
Hakuna hicho kitu ni mpuuzi tu na hata wewe uliyeandika hapa pinned. Wasanii wana influence kubwa kuliko yeye mpumbavu msigwa. Watalii wenyewe most of them ni wasanii na wananichezo. Diamond kuwa Balozi wa utalii ni bora kuliko yeye kuiwaza Marekani. Mshenzi tu wewe msigwa
@shayopaterini8678
@shayopaterini8678 4 года назад
Bongo kuna wasanii gan huo uchafu unauita usaniii waharibufu wa jamiii
@amanhassan7460
@amanhassan7460 4 года назад
nikwel kabisa hakupaswa kutaja jina la mtu ila mesg aliyotoa ni sawa kabisa
@billymwilima9076
@billymwilima9076 4 года назад
uwasilishaji wa msg zako uwe wa kirafiki zaidi unaweza kueleweka vizuri.Mimi namshauri waziri na kumuomba TANAPA waidhamini ligi kuu yetu ya soka hii itaongeza watalii kwakuwa inaonyeshwa na Azam Dunia nzima, hivyo wanamichezo wengi pamoja na jamaa zao itakuwa rahisi kuitambua nchi pamoja na vivutio vyake wakati wakiangalia mechi zetu.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 4 года назад
@@mwikamwika4851 mh tafakari akili yako kama inafanya kazi sawa sawa
@mwampulogabriel4981
@mwampulogabriel4981 4 года назад
MCH msigwa endelea na kazi ya Mungu katika tathnia ya siasa hicho ni kipawa maalum.Usiogope be courageous
@ottompepo8990
@ottompepo8990 4 года назад
Nakuelewa sana Msigwa , sidhani kama una sababu ya kumjibu huyo jamaa, naona mifano yako iko sahihi sana piga kazi
@iddijumangakonda8044
@iddijumangakonda8044 4 года назад
Huyu Steve Nyerere anawadharirisha tu wasanii,Ukweli wenye kuumiza ndio wenye faida iwapo tu utafanyiwa kazi.AHSANTE MSIGWA.C kwa mapenzi ya Chama ila ni kwa kupima nguvu ya hoja."ONE LOVE MAN"
@nabotinyalusi7079
@nabotinyalusi7079 4 года назад
Steve nyerere hajielewi yeye kama kuku msigwa tai
@ustazimaalim1377
@ustazimaalim1377 4 года назад
Nimekuelewa msigwa
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 4 года назад
Hapo mchungaji Msigwa nakuunga mkono mbinu zako za kukosoa uko vizuri sana nimecheka sana.
@yassinpaulo3457
@yassinpaulo3457 4 года назад
Yes mch msigwa. Swala la binafsi lisiusishwe na wasanii wote. Big up mchungaji.
@georgerobert4612
@georgerobert4612 4 года назад
Nimekuelewa Sana Mch msigwa
@cantonamngoni9407
@cantonamngoni9407 4 года назад
Safi sana msigwa ukweli mtupu stive nyerere chizi tu
@breezymd7112
@breezymd7112 4 года назад
He’s smart,that’s all
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 4 года назад
May be stupid smart
@mrdaniel5223
@mrdaniel5223 4 года назад
Leo ndo nimekuelewa sasa Msigwaa yan very true..🔥
@johnbow3716
@johnbow3716 4 года назад
Steve kuku tu tena kifaranga
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 года назад
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 года назад
Safi sana, Mbunge wa Upinzani ni kujenga fikra za watu sio vitu. Kimsingi Mbunge wa upinzani hana kitu anachotakiwa kufanya kwa sababu Ilani ya Chama chake haipo kazini, hata angefanya chochote (kitu) itayopata sifa ni Ilani ya CCM. Mimi ni CCM hapa na kwa hili yupo sahihi.
@stevensteve7519
@stevensteve7519 4 года назад
True wewe unaelewa siasa na utendaji. Sikiliza wengine wanadhani wapinzani wanaweza kuleta maendeleo! Hawajui kuwa kuna ilani inayotekelezwa ni ile ya chama tawala na siyo ya wapinzani au sijui wanategemea mpinzani atoe fedha mfukoni mwake ajenge shule, zahanati au bara bara? Hawa kazi yao ni kutukosoa na kutupa mawazo mbadala. Si vinginevyo!
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 4 года назад
*_Msigwa mbona anafanana na Pastor Myamba kwa sauti na sura!!?_*
@winfridaakyoo2196
@winfridaakyoo2196 4 года назад
Maeneo ya wanyama Pori, hata rough broad ni sehemu ya utalii. Wanataka ziwekwe Lami? Au mvua zinaweza zuilika? Tumshukuru Mungu Kwa juhudi kubwa za maendeleo zilizofanyika Tanzania. Mungu Ibariki Afrika. Mungu Ibariki Tanzania. Mungu Mbariki Rais wetu. 2020✔️
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 4 года назад
Mtumishi wa Mungu msigwa kazi yako ni njema sana usipambane mtu mkemee adui, Steve ni mropokaji na mpiga dili huyo. na Hana levo ya kupambana nawe hafanani na ww kbs mpuuze
@tanishmalick2234
@tanishmalick2234 4 года назад
Mchungaji nakuelewa sana...Wewe ni Tai
@askariwabwana
@askariwabwana 4 года назад
Nimemuelewa Msigwa ni kweli kutumia watu tofauti kuna weza leta matokeo ya tofaut zaid kiutalii
@stanleyjohn6566
@stanleyjohn6566 4 года назад
Leta hapa ,John cena muone jinsi sekta ya utalii itakavyokua kiuchumi japo ni gharama big up msigwa
@ramsodavidson6011
@ramsodavidson6011 4 года назад
Steve ajielewi anapenda kujipendekeza tu Pumbaaaaaaaavuuuuu rudi shule kasome
@edrickmbilig1021
@edrickmbilig1021 4 года назад
🤣🤣🤣🤣
@innocentrichard9240
@innocentrichard9240 4 года назад
Hacha Dharau, Unazan elimu ndo kujua kila kitu...rudi ww kwanza huwez hata kutofautisha kitu
@alikhalfan9551
@alikhalfan9551 4 года назад
Msigwa wewe ni noma mie nakukubali Sana na umeonesha uzalendo na ni mpinzani wa kweli hununuliki ndo maana ccm wameshindwa kukununua ungekua mwepesi na wewe ungekua Kama wale na Leo tungekwisha kukusahau
@henrymwaitulo5740
@henrymwaitulo5740 4 года назад
Big up msigwa
@mikombeomary5476
@mikombeomary5476 4 года назад
Steven nyerere ni mjinga tu anatuchosha na misifa yake
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 года назад
Umeona eeee
@abdallakassim5692
@abdallakassim5692 4 года назад
nakupenda mtangazaji
@tangaoldtv1067
@tangaoldtv1067 4 года назад
Wajua msigwa muungwa akivuliwa nguo huwa huchutama ukimkimbiza ww ndio kichaa sasa hicho kijitu kifupi huwa kinatafuta kiki mahali kwingi sana sanaaa imemshinda basi aende mombasa huko kazi zipo kwa wale watu wavivu
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 года назад
Good....nimeelewa mantiki yako boss...😁😁🤝🏽🤝🏽🤝🏽
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 4 года назад
Global mmezingua interview kama hii kuiita exclusive
@hellenjohn4472
@hellenjohn4472 4 года назад
Steve nyerere naomba ukome kuja kugombea mkoa wa iringa umeiba pesa za misiba za wasanii ujatosheka unataka kuja kuiba za wakulima kwanza hatuwez kuongozwa na kijitu kifupi kias hicho mbuzi ww
@bonifacekalemera1653
@bonifacekalemera1653 4 года назад
Matangazaji Mara kadhaa umekuwa una maswali ambayo yanaonyesha hayana tafiti hata zile muhimu za kumjua unayemuhoji? Mfano umeshindwa kujua kwanini Msigwa anapaswa kuwa hasimu mkubwa wa waziri wa utalii
@selemanikapara1972
@selemanikapara1972 4 года назад
u talk true broo
@omarymsola6672
@omarymsola6672 4 года назад
Mtangazi mzuri aise kwakweli
@binurusm8886
@binurusm8886 4 года назад
UmeComment kweli, Mh. Msigwa yupo level ya juu, Lakini kumnyooshea moja kwa moja Steve, ilikua sio sahihi, binafsi naona angetafuta namna nyingine ya kumuelimisha Mh. Waziri wa Maliasili na Utalii, Kwa hilo ulichemka Mh.
@georgekiruwa
@georgekiruwa 4 года назад
Inaonyesha Tayari Stive amekua akinyatia ‘Jimbo’ kwa hivyo ilikua lazima ‘amshushe’
@josephngonyani4406
@josephngonyani4406 4 года назад
Kichaa sana msigwa ni mbaya
@ericjosephat1329
@ericjosephat1329 4 года назад
Steven ni kifaranga msigwa tai asante msigwa maanayako imeeleweka wakat ww unawaza makubwa stve anawaza mademu anawaza utalii wa mademu dar
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 года назад
😆😆😆😆😆😆
@deogratiusndunguru7636
@deogratiusndunguru7636 4 года назад
Fact
@silasnnko4384
@silasnnko4384 4 года назад
Msigwa baba lao Sana unawapa Elimu lkn hawaelimiki
@mahrooqsuleiman7216
@mahrooqsuleiman7216 4 года назад
Yes
@ameirameir4930
@ameirameir4930 4 года назад
pumba sana wananch wako wanahitaji physical development sio kuwafanya wajielewe wajitambue hakuna wtz mbumbumbu maisha hya kumbe hujengi miundombinu shule hospital nk kwa kutegemea kuwaempower tu mnapiga maneno sana lkn hakuna vitendo siasa hzo zimepitwa na mda kitambo watu wanataka kuona maendeleo ya wazi mchungaji
@sangaraphael9786
@sangaraphael9786 4 года назад
*Sisi tunamkubali mbunge wetu na tangu awe yeye IRINGA mjini maendeleo tunayaona* Miundombinu kapigania barabara kilalona lami. Sikuizi maji hayasumbui 2takenn tena
@engzuberir.akilenza1764
@engzuberir.akilenza1764 4 года назад
Kwani mbunge huwa anajenga miundombinu au anawasilisha matakwa ya wananchi kwenye serikali.
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 4 года назад
Hata abood ana mabasi lakini hajengi barabara acha.. same as yule mbunge wa Gairo.... kajenga barabara lini??
@issamunga9039
@issamunga9039 4 года назад
Kumbe kuna watu wasiojielewa, toka lini mbunge ajenge barabara hela uipe serkali maendeleo umdai mwingine (mbunge).
@lukamwambalaswa4463
@lukamwambalaswa4463 4 года назад
Maendeleo yoyote yale yanaanza na kujitambua, watu wasipojitambua hata Kama utawajengea kila kitu bado haitasaidia
@adamemmy7341
@adamemmy7341 4 года назад
Kamera Man hizo movement dah zifuate utaratibu unanichosha
@hamisihassan2620
@hamisihassan2620 4 года назад
Mtangazaji mm nakupenda na hicho kifua chako
@masungaezekieli3490
@masungaezekieli3490 4 года назад
Upo vizur
@swaibamnzanva6537
@swaibamnzanva6537 4 года назад
Msigwa ww nikiongozi ninaye wish kua kama ww cz unajua kujenga hoja,unajua kuchallenge so ww nomaaaaa
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 4 года назад
Msigwa tunamuhitaj anamadin muhim kweny kichwa chake...Steve nyerere ni mtu mdogo san san ..usijibu kitu msigwa kwa hilo....
@thomkimaro5801
@thomkimaro5801 4 года назад
mchungaji umeangalia umuimu wa utalii na faida yake. utalii wa ndani faida yake ni ndogo sana ata kwa wale wafanyakazi. wanao endesha tour industry ukiwauliza kiukweli utalii wa ndani unawaumiza sana. tip ya mbongo ni 2000 akijitaidi kaki utafananishavipi na dollar10? buku 5000 kumzungusha mtu 8hrs ? mimi c mwanasiasa ila utalii wa ndani unaumuimu kwa wazawa kuzijua raslimali zao na sio economic issue. u say mbona waliwai kuja kina luis Figo na wengine? iko poa najua ata waziri atalifanyia kazi maswala ya wasanii yaache uelewa umepishana tatizo walijua unawaambia wao but hulikua unaongea na economic sector kwafaida ya nchi nzima. mimi c mwanasiasa na rais wng namwelewa pia waziri nimwelewa so kaelewa yamuimu yatafanyiwa kazi. Mungu wa mbinguni ibariki tanzania ibariki sector ya utalii. amen.
@ernestmillinga7116
@ernestmillinga7116 4 года назад
anakula minyooooo....
@waheedahmad7985
@waheedahmad7985 3 года назад
@@ernestmillinga7116 repairsto
@waheedahmad7985
@waheedahmad7985 3 года назад
poems for
@kassimmugheiry1188
@kassimmugheiry1188 4 года назад
Huyo Steve Nyerere anajulikana na nani bwana omba omba
@josephlymo7177
@josephlymo7177 4 года назад
Safi
@kessynurutajiri3075
@kessynurutajiri3075 4 года назад
Kizee Steve Nyerere hana lo lote huyo ni. Mla Michango kwenye Misiba tu, hana jipya atoke. Amwache Msigwa afanye Siasa, Steve hajielewi.
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 года назад
😆😆😆😆😆😆😆
@ramadhanmanko4614
@ramadhanmanko4614 4 года назад
Good msigwa
@gemkachar
@gemkachar 4 года назад
Mhe Msigwa, Nikufahamishe hata minyoo ni nyama. 😂😂😂😂
@raphaelshan4905
@raphaelshan4905 4 года назад
Kwa mujibu wako
@AhmedAhmed-ph3wq
@AhmedAhmed-ph3wq 4 года назад
Naomba number Yako Dada mtangazaji Nakuomba Sana ten Sana ten Sana Nakuomba Sana Dada Usidharau Pleassss!!!!!
@kherilibaba5207
@kherilibaba5207 4 года назад
Mheshimiwa msigwa lazima tukubali ulitenda makosa katika uwasilishaji wako ulimu attack mtu , wewe ni political figure ilitakiwa utumie busara zaidi bila kukwaza upande wowote. Ukiiangalia vizuri unaweza ona hakuna utalii wa nje bila utalii wa ndani . Mfano hao wasanii wanaonekana nchi nyingi kupitia sanaa zao na pia tunashuhudia wasanii wetu wakitoka nje ya nchi sasa basi wananafasi kubwa ya kutangaza utalii uko nje, kwa hiyo wana jukumu la la kujua vizuri utalii wa ndani ili waweze kuutangaza vizuri. Kwa nafasi yao walitakiwa kupongezwa pia na kutiwa moyo. Ni sawa unaweza kutumia wasanii wa nje kutangaza utalii wetu kwa gharama kubwa tukaacha opportunity iliyopo pia kupitia wasanii wetu wa ndani
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 4 года назад
Bila makava hawa mawaziri wa kibogo wanabaki kusifia tu msigwa yko sahihi
@MrKhatibu
@MrKhatibu 4 года назад
Kwenye kuku me i do no go air
@derickmac6400
@derickmac6400 4 года назад
Msigwa akili kubwa sana huwezi linganisha na takataka km Steve,Steve anataka sifa na promo tu kupitia Msigwa
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 года назад
Aisee! Nimepitia comment za wengi humu nikagundua ni yaleyale niliyokuwa nimeyaeleza kuhusu Stive nyerere, yaani aslimia 99.9 ya wachangia kweli wanamfahamu Stive nyerere kama ni MTU mwenye matatizo ya kiufahamu/kiuelewa na kweli kabisa anashida ila basi Jehovah amsaidie ili aondokane na shida aliyo nayo.
@athumanisaid4291
@athumanisaid4291 4 года назад
Misiba hamna sasa hv steve atakura nn ndo mana anatafuta kiki kwa mchungaji
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 года назад
Hahahaha
@siwemamitingimahenge5270
@siwemamitingimahenge5270 4 года назад
Anachangisha michango ya misiba ya wenzake sasa wamegoma kufa, anakula minyoo eti😂😂😂
@omarchuo2178
@omarchuo2178 4 года назад
Nakuelewa
@shayopaterini8678
@shayopaterini8678 4 года назад
Unajiona mjanja kusema mnagombania mwanamke Sinza hivi anajiona ana akili kugombania mwanamke na kujinada mbele za watu kweli huyo ni mpumbavu kwan hivi hna mke huyo anaejiita nyerere
@michaeltuingilegewaubaridi8570
@michaeltuingilegewaubaridi8570 4 года назад
Msigwa awezi akafananushwa na uyo jamaaa tuache utaniiii...msigwa we jembeeeeee LA nyanda za juuu u achana .....
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 4 года назад
Uyu presenter ana mahaba
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 4 года назад
Halafu kuna siku utaona Steve nyerere kiongozi........kweli mchungaji usicheze na kuku......wasanii wetu tunawapenda ila pia uwezo wao tunautambua upo chini sana wao kila mahali ni mapenzi tuu
@wlisonjoston7088
@wlisonjoston7088 4 года назад
Nyerere we, ni mdogo mno kwanza shukuru misiba, maana ndiyo imekupa umaarufu. Msigwa yuko level ya juu wewe hata huku mwanza hatukujui mpaka utokee msiba ndio tukuone..
@bernadinangasi7664
@bernadinangasi7664 4 года назад
Steven Nyerere ni nani kwanza Nyerere hana Mtoto asiejielewa huu ubini umetokea wapi na kwanini aitwe hivyo kwani hana baba yake
@abeidmasaka6918
@abeidmasaka6918 4 года назад
Bernadi Nangasi kweliiiii kabisaaaa
@jemamhagama7598
@jemamhagama7598 4 года назад
Kakusanye michango ya wasanii ya ya misiba.
@aryannahsilayo2518
@aryannahsilayo2518 4 года назад
Kwakweli
@joshuakibale8013
@joshuakibale8013 4 года назад
Mweshimiwa msigwa umeeleka kabisa,
@stephanomarwa3063
@stephanomarwa3063 4 года назад
Akili kubwa mheshimiwa msigwa pongezi kwako
@dnaofgodtv4873
@dnaofgodtv4873 4 года назад
Msanii agombane na mbunge, ili iweje?
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 4 года назад
Global nanyi ni wapuuzi sana mnashindwa kumuuliza waziri mwenyewe nyie mnamuuliza kivuli
@hajjshabani9683
@hajjshabani9683 4 года назад
ruipa ruipa bro au ndo usemi siongei na mbwa naongea na mfuga mbwa je hi itakaa saw a ukisikia hivyo.mie naona hapo global walifanya sawa na siasa inataka hivyo ndo maana wapo pamoja kwenye hiyo wizara bro.
@mwambietv7614
@mwambietv7614 4 года назад
Ww ni kichwa Mbungee makini Msigwaa hakika wabunge makini mpo Chademaa
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 4 года назад
Makini katika ujinga
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 4 года назад
Msigwa hoyee3eeee
@irakizanelson3350
@irakizanelson3350 4 года назад
Jiandae kuachia jimbo hii 2020 mbona kwandege mlisema rwanda inatuzidi leo ndege zimenunuliwa mmeanza kubeza na kuzipinga . sema msigwa unagombana na steve kwasababu ya dem
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 4 года назад
Steve nyerere kasome umeyaskia majibu ya kisomi ?
@loner_wolf
@loner_wolf 4 года назад
Cathy unatuangusha Sana huyo camera man wako anaukiki au Nini kinamfanya atetemeke kiasi hiki hadi picha hazitulii......
@juliussonga5353
@juliussonga5353 4 года назад
Mimi ni mshabiki wa CCM lakini nakukubali sanaaaaaa mwamba msigwa.
@stevensimon7420
@stevensimon7420 4 года назад
kwenye kuku I don't go any where
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 4 года назад
Amesema I don't go there !!
@mavelimathayo6426
@mavelimathayo6426 4 года назад
Movie inaenderea
@shemkaihamza6534
@shemkaihamza6534 4 года назад
Maveli Mathayo unatisha
@madosasanga9424
@madosasanga9424 4 года назад
Msigwa tumekuelwa piga kazi tupo pamoja
@milhajiabdallah1681
@milhajiabdallah1681 4 года назад
Msigwa huyoooo
@mwajejasson6995
@mwajejasson6995 4 года назад
Mchungaji unajielewa mno Steven Nyerere unachokitaka sasa umekipata
@jumakatema6348
@jumakatema6348 4 года назад
Kuku wanakula minyoo ww tai unakula nyama ya kuku wanaokula minyoo. 😂😂😂😂 haya kazi kwenu ww Steven nyerere
@raphaelsamwel2640
@raphaelsamwel2640 4 года назад
Watanzania sijui vip hivi ukitaka kuongeza watalii wa nje unatangaza kupitia stv nyerere?? Ndo hoja ya msigwa!! Huu ujinga ujinga mwingine huu!! Stv tunakujuwa wewe ni ccm usitumikee
@emmanuelkurwa3096
@emmanuelkurwa3096 4 года назад
RAPHAEL SAMWEL Stivin Nyerere ni nan hapa tz mbona mm simjui
@mwakaloboambele5161
@mwakaloboambele5161 4 года назад
Huyu jamaa napenda sana saut anakili sana
@frankmkama5169
@frankmkama5169 4 года назад
Unategemea huyu steve anishawishi kufanya utalii wale wale utopolo. Msigwa upo sahihi kaka.
@gavanashy3197
@gavanashy3197 4 года назад
Huyu mh.mbunge namuelewa sana ..mungu akupe kibali uchukue ubunge Wa Wa hawamu ya tatu
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 4 года назад
Alaf kweli suala la utalii linahuzunisha yaan tunazidiwa akili adi mpaka na Rwanda...Wasanii wa ndani watasaidia nin kutangaza utalii Kama syo kuuza sura tu
@deobenedictakyoo3140
@deobenedictakyoo3140 4 года назад
Mch. Uko pw
@Mary-fc8rn
@Mary-fc8rn 4 года назад
Baba mchungaji 👏👏
@raymondhaule6947
@raymondhaule6947 4 года назад
Kama umemsikia msigwa kwenye jibu la..msingi amewafanyia nini watu wa. Iringa kwa miaka.10.ndo utajuwa nani ni tai na nani. Ni. Kuku mla.minyoo.1 yeye yuko juu hawezi kuzungumzia.maswala ya kuku swali hao kuku hawezi kuwazungumzia ni akina nani je. Ni wasanii wote au stivu maana amesema hana ugomvi na wasanii mwisho akasema hao si. Level yao hao ni kuku na yeye ni tai wasanii mupooooo
@kiuwamhina2802
@kiuwamhina2802 4 года назад
katika hali ya utalii Tanzania, kwa kweli watalii wa nje ndo wanaoleta pesa huo ndo ukweli, sasa tunafanyaje kuwaleta kwa wingi ni watu maarufu zaidi kutoka nje kwenye mataifa yenye uchumi mkubwa ambao akisema Niko Tanzania katika Facebook yake itawavutia mamilioni ya mashabiki wake waje Tanzania, inabidi tuitangaze nchi yetu zaidi watalii wa nje waje? Tofauti ya mtalii wa ndani na nje in kwamba wa ndani anahitajika kuhamasishwa Ila wa nje ni kumfahamisha ajue na kumhamasisha aje, kwaiyo kazi ipo zaidi kwa watalii wa nje
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 4 года назад
Yan mzee mm nimefany kaz na Nomad ya South Africa utalii wa ndani hamna kitu yani basi tu tunatakiwa kupenda vya kwetu ila kwa swala la mapato hamna kitu.
@mwambietv7614
@mwambietv7614 4 года назад
Msigwaa haaaahaaaa 😂 ww ni Tai huyo kuku mula minyooo pimbi steve akafie mbele huko
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 4 года назад
Umenichekesha sana😆😆😆😆😆😆😆😉😉😉
@mwambietv7614
@mwambietv7614 4 года назад
Janeth Pallangyo huyo steve bwege tu anasaka kiki
@britonngale6644
@britonngale6644 4 года назад
Huyu mtangazaji Nampendagay sana Kama yupo single Nifanyieni Namna ya kumpata
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 года назад
hilo ni goma la doctor shika mzee wa mabilioni ya urusi
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Non sense!!!!
@franshyera8970
@franshyera8970 4 года назад
Yupo single uyo
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 4 года назад
Sidhani km yupo single nahisi ana album
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 4 года назад
😁😁😁😁Amen amen pastor ww ni wajuu
@godfreymagoso5334
@godfreymagoso5334 4 года назад
Tatizo mtangazaji hujaweka namba yako mwsho wa mahojiano
@luindamchwakanigee4811
@luindamchwakanigee4811 4 года назад
Subili wajewakunyoshe
@lusumwasomola4228
@lusumwasomola4228 4 года назад
stive takataka huna sanaa yoyote unabwela njaa tu.
@hassanibarongo3254
@hassanibarongo3254 4 года назад
Mb msigwa ebu tuambie fedha zetu za operesheni tokomeza Tanzania, ukiwa na waziri nyarandu na Lember fedha zetu zilienda wapi wakati uliwatangazia waTanzania kuwa fedha zipo ukiwa chombo cha habari ITV tangazia wananchi fedha zipo wapi? Ww ni mwizi na kundi lako nitaliamsha mtazitapika
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 4 года назад
Huwezi mtolea mfano mtu kwa namna ile wakati zipo namna nyingi za kufikisha ujumbe Mimi Kiukweli sikukuelewa acha wakuelewe Haohao wachache Maana Steve ulimtaja mara nyingi na kama walikuwepo wengi mbona umtaje sana yeye na hapa ushindwe kumtaja
@zikomuchidyaki7514
@zikomuchidyaki7514 4 года назад
Kajamaa kanapenda sifa sn kanatamaa ya madaraka kanataka jamaa akaone kapate udc.
@bulugubujashi6378
@bulugubujashi6378 4 года назад
Ila nikweli kabisa unachosema mh.wanairinga tunamuitaji msigwa bungeni
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 4 года назад
K.Inafungua Mambo Mi Yangu Macho Mungu Wangu Ivi Amli Ya Kuacha Kuzini Aiko Kweli Jamani Kwenye Amli Zako Mana K.Ilio Inje Ya Amli Kumi Inareta Utata Uku Na Zarau Injeinje Kwa Kigezo Cha Furusa Mwandishi Kawa Supka Eti Meseji Senti Wakati Watanzania Wamezoea Kuangalia Wanyama Kupitia TV Na Sim Ndo Mana Wasanii Wetu Wanaonekana Kama Awana Mana Uku Kukiwa Na Kauli Za Kizarau Sana Apo Ndiko Nakosema Hata Mkisemaje Mjue Tu K.Inawavuruga Mambo Apo Kila Nchi Ipende Wasanii Wake Jamani Tangu Afe Kanumba Flamu Mapichapicha Tu Nanyi Watu Wa Mziki Muombeeni Daimond Kila Mkiwa Ibadani Azidi Kua Na Uzima Mana Yeye Ndo Mzizi Wa Kwenye Mziki Na Watu Wa Mpira Pia Samata Msimuache Na Kumpuuza Mana Kutusua Ulaya Sio Kitu Kidogo Icho Mtu Akiwa Juu Inje Uko Hata Wasanii Wadogo Mtapata Wazamini Kwakua Watu Wataitazama Tanzania Kwa Wingi Daimond Acha Umalaya Ujenge Afya Jina Liwe Na Mwili Viendane Sio Kitambi Mana Ulipopga Video Ya Mama Dangote Mh Ulikonda Sana Nilipenda Auna Madenguzi Nilikupa Hay Ulijibu Mana Usingejibu Ningejuta Kutoa Hay Mbere Za Jamaa Zangu Tuliosimama Kama Ukuze Ekima Wewe Ndo Mzizi Wa Kati Kwenye Mziki Awa Akina Msigwa Na Stivu Awa Umli Tu Unaonesha Wamevunja Amli Kumi Za Mungu Amli Ya Zina Zinaa Wanawake Awachoki Kutuangamiza Jamani Walianza Kwa Adamu Hata Shetani Anawajua Sana Wanawake Ishini Na Wanawake Kwa Umakini Nyerere Alisema Sio Mtu Anapewa Maneno Na Mkewe Asubui Mambo Juu Juu Wanawake Nyinyi Punguzeni Kuvuruga Akili Za Watu Wenu
@ramadhanimahongole8764
@ramadhanimahongole8764 4 года назад
stevu nyerere ni pimbi tu hana lolote asitake kutafuta kiki kwa mh. msigwa
@hadijalukasmdeg9987
@hadijalukasmdeg9987 4 года назад
good 👍👍👍
@shenuromussa4813
@shenuromussa4813 4 года назад
6666 @. Nnññhhhhh.n
@kelvinmzopola5186
@kelvinmzopola5186 4 года назад
We dada mtangazaji Dr shika yuko wp😂😂😂😂
@relaxationalmoments7029
@relaxationalmoments7029 4 года назад
Steve Nyerere, umemsikia huyu mwenzio? Eti amekujibu. Rudi tena kwenye press conference.
Далее
Mkasi | S10E13 With Paul Makonda - Extended Version
1:04:40
How to win a argument
9:28
Просмотров 539 тыс.