Тёмный

Msikilize Juma Sharobaro UTACHEKA Sana 

THE MINUTES TOURS
Подписаться 186 тыс.
Просмотров 84 тыс.
50% 1

#Exclusive #jumashalobalo #theminutestv

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@rutakihama7599
@rutakihama7599 5 лет назад
Sharobarooo
@marysimoni3462
@marysimoni3462 5 лет назад
huyu juma anaonekana mjanja alafu anaonekana ana akili nyingi sana
@tatuhaji6575
@tatuhaji6575 5 лет назад
Jaman huyu mchina anaongea vizur na mchesh kwel
@kiumikompulumila9183
@kiumikompulumila9183 5 лет назад
Duuh! Hatari sana hii yaani mchina anajua kiswahili kuliko hata mtanzania. Shida kweli kweli. Mchina anaita wimbo mtanzania anaita nyimbo akimaanisha wimbo. Tujifunze kiswahili vizuri watanzania.
@sikudhanimohammad4760
@sikudhanimohammad4760 5 лет назад
Kiumiko Mpulumila hata mie nashangaa utakuta hata msanii mkubwa anasema nyimbo wakat ni mmoja
@mariammsafiri9527
@mariammsafiri9527 5 лет назад
Juma big up tafuta utpata wa kuoa
@momenabanyadi3199
@momenabanyadi3199 5 лет назад
Yap
@mariamjumah3667
@mariamjumah3667 5 лет назад
Kwa hlo Sio kweli unajua ss wa Tanzania hatuendelei Kwa sababu tuna roho za Kwa nn na wivu Pia ukisma mchna mzungu mhnd ana roho mbaya Mbna hata wa tz wapo weng wenye roho mbaya Sana Mbna waschana kbao wako China wanadanga na kurud na magar na maisha mazur Mbona ni nch tunategemea kufata biashara Sio kweli kabsa
@husna3366
@husna3366 Год назад
Juma sharobaro uko vizuri sana jamani
@sharifamfaume4083
@sharifamfaume4083 6 лет назад
Mnaomuhoji juma muwenabaransi ya maneno juweni rugha amejifunza msiongee kama Cheleani mnamchanganya.
@godfreymofire6902
@godfreymofire6902 5 лет назад
Ametumwa kujakufanya nn kwamfano labda huyu atakuwa jasusi wa mtu mmoja sio kwa tz yote kwanza anakipi zaidi cha mpaka muanze kumuhisi ni mpelelezi? Mm nimefanya nao kazi yakujenga ikulu zanzbar asilimia mia wachina wanapenda kujfunza kitu wasichokijua ila kuusu kuowa tz ninever atawatia mimba tu mademu akisha anaenda kuowa kwao nahataonekana tena tz
@jozeytv8357
@jozeytv8357 5 лет назад
Uyu ni staff wa star time
@hamiarmohd2960
@hamiarmohd2960 5 лет назад
Huyu @juma sharobaro me mwenyew naamin katumwa mana ivy anavyongea unaweza ukamsoma nin anamaanisha ety anasura ya kitoto like it kma una surpot hili.....
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂 Juma Sharobaro hili jina la ki China pia au .
@theminutestv
@theminutestv 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂 wabongo wamepachika🤗🤗
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 лет назад
@@theminutestv 😂😂😂😂😂😂 halloooòo.
@annamnani3462
@annamnani3462 5 лет назад
Good
@saluathkdouty7800
@saluathkdouty7800 5 лет назад
🤣🤣🤣urembo wa bongo starseach hajawai kuusikia😂😂😂
@hassanmakacha3942
@hassanmakacha3942 6 лет назад
Hawaoi hovyo hovyo ataendakuoa kwao China bongo atasugua rungu tu
@rumaantvonline6486
@rumaantvonline6486 5 лет назад
Nufail Hassan Hhhhhhhhhh
@princessfairy4146
@princessfairy4146 5 лет назад
Hahqhhqhqhuhuhuhujuhuujjjijhhhhhgggg cheko Langu mine😂😂😂😂😅
@azizaabdi1265
@azizaabdi1265 5 лет назад
Hahahahahaaaa
@5starsmoviecenter714
@5starsmoviecenter714 5 лет назад
Anakumbali 254
@catherinejohn2067
@catherinejohn2067 5 лет назад
Sio kororoooo Hahahahh
@magrethmanintveld2486
@magrethmanintveld2486 5 лет назад
Yaani miaka 4 anaongea kiswahili vizuri mmmmh Mimi Niko Holland zaidi ya miaka 8 kidach kinanisumbua jamani
@theminutestv
@theminutestv 5 лет назад
Hahaaaaa magreth naomba Anza kujifunza😂😂😂😂😂
@magrethmanintveld2486
@magrethmanintveld2486 5 лет назад
@@theminutestv Asante yaani nitajifunza kwa bidii
@hamisihassan9018
@hamisihassan9018 5 лет назад
Njoo nikufundishe mbona kiko rahisi
@magrethmanintveld2486
@magrethmanintveld2486 5 лет назад
@@hamisihassan9018 haya Kaka Hamisi nitakutafuta unifundishe
@missmoresa8854
@missmoresa8854 5 лет назад
utajua tu jifunze
@bintymwaliwanga565
@bintymwaliwanga565 5 лет назад
Huyu juma sharobaro ajui kuogea anaogea km anasoma kitabu.
@munirakhamis9326
@munirakhamis9326 5 лет назад
binty mwaliwanga umenichekesh
@bintymwaliwanga565
@bintymwaliwanga565 5 лет назад
@@munirakhamis9326 kweli
@dorahcalist3407
@dorahcalist3407 5 лет назад
Kuwoa mtu ambee ctaifa lake ni mgunu
@mirajifikirini6305
@mirajifikirini6305 6 лет назад
Poa
Далее
Jumasharobaro anaweza kuimba kweli?
3:26
Просмотров 220 тыс.
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 387 тыс.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59