Тёмный

MSIMAMO MKALI WA JUMA HAJI DUNI KWA SERIKALI YA CCM 

MwanaHALISI TV
Подписаться 315 тыс.
Просмотров 122 тыс.
50% 1

#ACT-Wazalendo #JumaHajiDuni #ZittoKabwe

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 190   
@severinemabirika2249
@severinemabirika2249 5 лет назад
Nakuheshimu saaaaana Mzee Juma Duni kwa busara zako na nafurahishwa sana na kiswahili chako
@rashidkombo9941
@rashidkombo9941 3 года назад
Kwa kweli huyu mzee ni hazina kama utasikiliza Theory zake basi hutopotea
@rashidkaoneka7513
@rashidkaoneka7513 3 года назад
Kwakweli mzee juma mungu akupe maisha malefu uzidi kutupa elimu kinacho niuma wazanzibar wanaonewa nanchi yao mfano mashekh walioletwa Tanganyika. Kwani wao so wanamahakama zao wanashikiliwa huku kalipi,,
@khamishassan4834
@khamishassan4834 5 лет назад
Mzee JUMA wewe ni miongoni mwa binadami nnaowaheshimu sana hapa DUNIANI, ukiachia MITUME na MASAHABA, ALLAH akulipe kila jema. you are very straight mzee JUMA.
@mosesmhami8376
@mosesmhami8376 5 лет назад
Wazee kama hawa ni hazina kubwa ya nchi yoyote inayopenda amani na maendeleo... HONGERA SANA MZEE...
@mohdabdi4157
@mohdabdi4157 5 лет назад
babu juma unakubalika sana 💯 💯 Allah akulinde na mahasidi na akupe umri urefu wenye kheir na wewe radhiya Allah anhuu
@kovoibov6773
@kovoibov6773 5 лет назад
nikwel
@salehali2380
@salehali2380 5 лет назад
Huyu ni mwalimu wangu ni mtu safi sana. Kuna mambo mengi sana amenifunza na mpaka sasa ninayatumia katika maisha yangu. Babu Duni ni mchapa kazi na loyal person.
@yousufharthy6876
@yousufharthy6876 5 лет назад
Hongera mzee Juma Haji. Maneno na taarifa uloyatoa ni muhimu watawala wajaribu kufahamu na kutekeleza au waeleze suala lako . NENDE WAPI
@mariyamzuheir6255
@mariyamzuheir6255 5 лет назад
Yousuf Harthy DUNI PAKWENDA ANAKUJUWA KULE KULE KWA ANYAUKU NDIYE WANAEMSUBIRI AWAPE SERIKALI AU WAMESHAMSAHAU BASI WASOLIELEWA HILO WARUDI NYUMA.
@kassidpandu9806
@kassidpandu9806 4 года назад
Hujasema, mbona maalimu alikosa na wawakilishi kawaambia wasusie si angesusa yeye tu, mzee hapa jee mbona hujapasema?
@charlesmassawe4119
@charlesmassawe4119 5 лет назад
This man is full of wisdom.
@binlahej7221
@binlahej7221 5 лет назад
Man full of division. Hakuna nchi inaitwa Tanganyika hatugawiki kamwe
@johnsonzuma4932
@johnsonzuma4932 5 лет назад
Mzee mwenye busara Mungu hakubariki daima
@joycelugano3946
@joycelugano3946 5 лет назад
Safiiiiii saana umeeleweka Babu Nasi tunamuomba Mungu Tz haki utendeke sio kuonea watu ni dhambi Mungu hapendi kabisa
@alisaid6124
@alisaid6124 5 лет назад
Allah akupe maisha marefu uzidi kuitetea haki
@charlesbilla9228
@charlesbilla9228 5 лет назад
Mzee aksante sana nimekuelewa unafaa kuwa kiongozi
@abdullahjihaad5793
@abdullahjihaad5793 5 лет назад
Allahu Akbar, mzee nimekuelewa sana Inshaa Allah mpaka kuelekea Zanzibar huru.
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
Maneno ya nini? Fanyeni hicho mtakacho muone..tamaa ya uongozi itawapoza NA UCHAGUZI HUU NI MSIMU WAKE WAMWISHO TUNAJUA MNAANZA KUTAYARISHA FUJO TUTAWZIBITI HII NI NCHI YA AMANI ...
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 5 лет назад
Waambie mzee, Allah akuweke.
@kharounngavason7930
@kharounngavason7930 5 лет назад
Allah akujalie mwisho mwema baba yang
@ngajangaja6640
@ngajangaja6640 5 лет назад
Mara nyingi maneno kama haya yanasemwa namwanaume jasiri naasiye kubari udickiteta upinzani daima mbere 2020 itafika2
@allyngoda761
@allyngoda761 5 лет назад
Mission yenu ni kupata HAKI na inshaallah HAKI tutaipata WATANZANIA na WANZAZIBARI nawakubali Sana katika EAST AFRICA hakuna kama wa Zanzibar na kweli wamewaelewa Sasa bara wameingiwa na woga, Kwa kujua mtawaamsha waliolala
@ndarogamba191
@ndarogamba191 5 лет назад
Kwa kweli tunacheleweshwa na Watanganyika,wazanzibari walishaelewa kitambo!
@allyngoda761
@allyngoda761 5 лет назад
@@ndarogamba191 kweli kabisa inabidi TUJIPANGE tusingojee kusemewa kila siku
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
Weee!! Ropoka tu ...sisi wote ni WATANZANIA acha umbumbu wako LIPI ALILOSEMA HUYU MZEE NI SAWA?
@allyngoda761
@allyngoda761 5 лет назад
@@mohamedhamsini9106 Kama hukumuelewa Mwalimu sijui utamuelewa nani, hebu msikilize kwa mara ya pili kwa Makini wacha chuki mchukie yeye penda maneno yake
@mrsramadhani2400
@mrsramadhani2400 5 лет назад
Mashallah Allah.akupe Umri.mlefu Amin
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
Kwalipi na mwaka ujao wanajistaafisha wenyewe SIASA
@makariospeter9447
@makariospeter9447 5 лет назад
mzee upo vizuri. unafaa kuwa kiongozi.
@hajijuma4160
@hajijuma4160 5 лет назад
Mzee Allah akupe mwisho mwema, nimeamini maneno yasemayo uzee dawa
@dullydully8863
@dullydully8863 5 лет назад
Babu juma safi wataelewa ww mwalimu unajua kuelimisha 100%
@actwazalendo2784
@actwazalendo2784 5 лет назад
Safi sana mzee wangu ccm itanyooka ikigoma tutawang'oa kwa nguvu wewe subil
@alfredmmbaga9336
@alfredmmbaga9336 5 лет назад
Karibuni wazee wa Amsha Amsha , Nauona umoja wa Kitaifa sasa..! Maalim seif ni Pande la Almasi walilolipaka tope kwa kitambo sana... Karibuni Bara tumalize uvumi wa kusema upinzani utaligawa taifa.
@arifsaad9224
@arifsaad9224 5 лет назад
Zaiko langalanga
@jinajuma6685
@jinajuma6685 5 лет назад
Babu unaakili na hekima maneno unayosema kweli tupu mungu akuzidishii hekima
@muhidiniali5005
@muhidiniali5005 5 лет назад
Yes yes yes juma duni na mm mwalimu pia
@ahmedkara1192
@ahmedkara1192 5 лет назад
Allah akupe umri Mzee wetu.
@yohanapetro4937
@yohanapetro4937 5 лет назад
Mtangazaji ongela sana kumtembelea uyu mzee elimu yakutosha tumepata saf
@bonabonala8253
@bonabonala8253 5 лет назад
Hata miee nakupenda juma duni haji
@binlahej7221
@binlahej7221 5 лет назад
Mpe boga
@asiakheir6406
@asiakheir6406 5 лет назад
mashaa Allah,una Akili sana
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 5 лет назад
Juma duni mashallah kwa busaraa
@mashallahasentekwaukumbush2238
ni kweli tushakufa.sanaaa sahv hatuogopi mana tushaliweka.akiki kuwa.mwesho w2 ni kufa chamsing tinatak hakii y2 maguu na wenzak
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
Chauwoga wee ...unataka nini jaribu uone
@hajimakarabai4700
@hajimakarabai4700 5 лет назад
Safi sana mjomba wangu
@masoudrashid8381
@masoudrashid8381 5 лет назад
Babu duni maneno yako ni ya ukweli mtupu na in sha Allah mungu atatusaidia in sha Allah
@AP-uk3mq
@AP-uk3mq 5 лет назад
Ameen
@akidasalim9798
@akidasalim9798 5 лет назад
Kweli kabisa mzee Duni.pole sana kw kufungwa baba
@hamedmaskari518
@hamedmaskari518 5 лет назад
Uko vizuri kiongozi
@davidlissu9099
@davidlissu9099 5 лет назад
Bigup Juma Haji
@yohanapetro4937
@yohanapetro4937 5 лет назад
Kusema ukweli zanzibar ongeleni mnatuzidi sisi watanganyika sisi uku ni waoga
@sameramwajdu9029
@sameramwajdu9029 4 года назад
Ndio mujitathmini
@bonabonala8253
@bonabonala8253 5 лет назад
Upo sawa juma ɗuni
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 5 лет назад
Baba nimekuelewa!
@divaifrank6746
@divaifrank6746 5 лет назад
Kweli kabisaa baba yangu
@dubais9018
@dubais9018 5 лет назад
Sante babu duni pandisha tanga shusha tanga safari iendeleee. Wanaumeeee.
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 5 лет назад
Dah! mzee nakuelewa sn..
@gr5syed349
@gr5syed349 5 лет назад
Nice one Juma Duni🌹🌹
@hermankaspar5623
@hermankaspar5623 5 лет назад
Safi sana babu duni
@jonesgeorge3152
@jonesgeorge3152 5 лет назад
Aisee kweli we ni mwalimu.
@bulugukisabo4023
@bulugukisabo4023 5 лет назад
Uko makini sana Dr Duni Haji
@abrahimali3628
@abrahimali3628 5 лет назад
Nakukubali sana wewe mzee
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 3 года назад
Huyu Mzee Anazidi Kuzeeka Duuh ila Kila la Kheri
@allyngoda761
@allyngoda761 5 лет назад
Nilikua sija kufuatilia, kwakweli unastahili kua mwalimu, Maneno yako ya busara na mpangilio umeeleweka na kila mtu, Tafadhali usirudi nyuma kwani wewe ni hazina kubwa kwa Wana mageuzi.
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 5 лет назад
Ally Ngoda Mimi ni chadema damu na sijawahi kuwa na shaka kwa vyuma hivyo viwili Maalim, Juma Duni.
@pundetv6144
@pundetv6144 5 лет назад
Pia me sikujuaga kama yuko makin kiasi hich
@binlahej7221
@binlahej7221 5 лет назад
@@rockcitynative9985 Mbona nmeambiwa wewe ni Chadema MAJI?
@binlahej7221
@binlahej7221 5 лет назад
@@pundetv6144 Mwambieni huyu Mpemba KUWA Magufuli hawezi kumuita Maalim Sefu waongee.
@sameramwajdu9029
@sameramwajdu9029 4 года назад
@@binlahej7221 mbona washazungumza zamani lala tu ww hilo ndio tatizo wa viongozi wa bara wajihisi kama wameumba duniya
@shembaker5405
@shembaker5405 5 лет назад
ccm wanawapa madaraka majuha ili kuyaendesha wanavyotaka. Msajili wa vyama bora akasajili watoto wake aliowatelekeza
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
Matusi hayo siasa zimekushinda
@maklinakasomo6311
@maklinakasomo6311 5 лет назад
Good
@zainasoud7164
@zainasoud7164 5 лет назад
Apo chacha baba duni kwenye kufa wazanzibar Kama kuku
@abdullhyahaya8165
@abdullhyahaya8165 5 лет назад
uko sahihi kabisa mzee
@suleimanmwalimu3018
@suleimanmwalimu3018 5 лет назад
hongera babu duni
@obeidmpombwe9951
@obeidmpombwe9951 5 лет назад
Kweli nimekukubali maneno ya Busara sanaa
@obeidmpombwe9951
@obeidmpombwe9951 5 лет назад
Maneno ya Busara Sanaa mwenye masikio na asikiye
@josephandrea8170
@josephandrea8170 5 лет назад
Kweli umenena babu duni
@ibrahimsheha215
@ibrahimsheha215 5 лет назад
Namimi nakwambiya nakuamini sana mzee duni
@saidsahd1971
@saidsahd1971 5 лет назад
Mzee anaongea maneno ya hekma sana ila watanzania hasa wazanzibar jipangeni kuikomboa nchi mukiwaachia viongozi peke Yao miaka itakatika nchi haitapatikana
@mdungially2342
@mdungially2342 3 года назад
Saiv zitatoka sababu nyingii baada ya kukubali serikali
@emmanuelmgogo8254
@emmanuelmgogo8254 5 лет назад
Baada ya uchaguz ulienda wapi mzee?, na sasa umerudi vizuri..
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 5 лет назад
Juma duni unaaminiwa na wengi kwa misimamo
@binlahej7221
@binlahej7221 5 лет назад
HUYU NA Maalim Sefu ngazi za juu za uongozi wameshafikia sasa ni maporomoko tuu
@ggmaths9636
@ggmaths9636 5 лет назад
Uzee dawaa
@princengastuka4006
@princengastuka4006 5 лет назад
yaani umeongea maneno yenye msingi sana tupo pamoja mulipo tupo
@dadially3556
@dadially3556 5 лет назад
Mzee nimekuelewa sana mimi nataka nifuwatirie busala zako ili na mm niwe mjuzi wa kutambua kama ww ni kichwa sana.
@ahmedkhamis1167
@ahmedkhamis1167 5 лет назад
Ccm watuuwe tu lakini haturudi nyuma
@ernestsinje9532
@ernestsinje9532 5 лет назад
huyu kweli mwalimu duh!
@ericktesha1668
@ericktesha1668 5 лет назад
Pure revolutionary
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Kumbe mmesoma chuo cha machogo!!!
@allyngoda761
@allyngoda761 5 лет назад
Kwenye uchaguzi pia unaambiwa haukushinda NIENDEWAPI?, SWALI LA BATU TULICHUKULIE KWA UPANA SANA SI LAKIJINGA, tutaonewa mpaka lini unyonge ni dhambi.
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
IGIENI MSITUNI MUONE ..ACHENI TAMAA NANI ALISHINDA HAKUPEWA NCHI? ...KAMA KUJITANGAZA BILATARATIBU NDIO KUSHINDA ...MBINU ZAKISHAMBAAAA TAMAAA TU INAMSUMBUA SEIFU
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 4 года назад
@@mohamedhamsini9106 Hivi ukisema mimi ndie nimeshinda uraisi ,taratibu ni kuufuta huo uchaguzi ?.acha ushambaa wewe acha ushabiki wa kijinga CCM ZANZIBAR 2015 walishindwa uchaguzi wa RAISI ,nani asiyejua ?.huyo aliye ufuta uchaguzi anajua kuwa CCM wameshindwa ndio alifanya vile .
@michaelsylvestre8475
@michaelsylvestre8475 5 лет назад
Mzee unishakupa vizuri mno !!
@sadih5333
@sadih5333 5 лет назад
Maneno hayo ya mwanamme, topo pamoja na kwa moyo mmoja.
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
Mmmnh!? MTAWEZA?
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
Mmmnh!? MTAWEZA?
@abassaid2357
@abassaid2357 5 лет назад
muongo
@mohamedsulemain9005
@mohamedsulemain9005 5 лет назад
kweli nimeamini wazanzibar wanajitambua
@piusmdoe3551
@piusmdoe3551 5 лет назад
zito kalima na kavuna
@abbotazimio3870
@abbotazimio3870 4 года назад
Wazi Mzee!
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 5 лет назад
Unajua yaan mpaka nataka kutoa machoz na huyu Duni pia hamumuelewi mimi najiuliza hiv mwenyez mungu kuna watu wengine kawaumba hapa Dunian waje wasumbue watu tu ama ngoja kesho ntulie nichambue Qur'an inasemaje kuhusu watu wanmna hii maana Juma Duni Hajj nimemuelewa vizur je na hawa wenzetu upande wa pili wamemuelewa?je kama hawajamuelewa watu hawa tuwaweke maala gan kwa iman yetu kama kuna Maalim ama yeyote mwenye mtazamo mpana anisaidie kwa hili maana mimi nimefika mwisho kimtazamo nahitaj msaada juu ya viumbe kwakeli .
@sir.josephmbeya7017
@sir.josephmbeya7017 5 лет назад
Hakika imani uzaa imani
@erodeshayo8783
@erodeshayo8783 5 лет назад
Ndio babu sema waskie tu mzee
@ramahhouzzer2342
@ramahhouzzer2342 5 лет назад
Safi sana baba
@simaihaji6724
@simaihaji6724 5 лет назад
Da mzee uko saw
@ricksonmrema1693
@ricksonmrema1693 5 лет назад
Busara hiyo mzee hupo Sawa
@kinyutatonha8831
@kinyutatonha8831 5 лет назад
hakika wewe babu unasema kweli
@nelsonsimtowe4268
@nelsonsimtowe4268 5 лет назад
Duuuh uyuuu mzee nilimchulia poa kumbe anaufahamu du
@emmanueldaud8417
@emmanueldaud8417 5 лет назад
Kwa umri wako mzee ni sahihi kusema hauogopi kufa ila usiwaunganishi wazanzibar wote kuwa hawaogopi kufa hiyo kauri ni hatari sana kwa taifa letu!!. Sisi tunataka amani maana amani ndiomsingi wa kila kitu, hizo njaa zenu wanasiasa hatuzitaki tutaleta mabadiliko kwa amani na sikwakumwaga damu.
@simaihaji6724
@simaihaji6724 5 лет назад
Haya mambo yenye faida ndoyanachukua mda mfupi kw nini tumalizie bana unaboa mwana wa habari
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 года назад
Kumbe mbwabwajaji!!
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
Mzee unavyojisemea UNAWEZA? au waropokwa tu? Unaweza kupigana na serikali? Au ndio mtaji wafuasi kisha nyie mnakimbilia ulaya? Juma na Seif MIMI TU NAWACHAPA...tena na Kabwe wenu ITAKUWA DOLA? TULIENI ACHENI CHOKOCHOKO ZA KUICHOKONOA SERIKALI MTAJUTA
@gwajimagwajima
@gwajimagwajima 5 лет назад
acha kuongea usenge ww kampige mama yko msenge smart, wazinzibar wameshaamka ww si bara wajinga wajinga
@pambasr2345
@pambasr2345 5 лет назад
Huna unachokijua kuhusu mzee duni wewe punga
@msingidamtz6680
@msingidamtz6680 5 лет назад
Tanzania shida bado ubinafsi ni mkubwa ndiyo maana mambo yamekuwa ubabe lakini rais ni msikivu lakini wapinzani wamekuwa watoa matusi sana ndiyo wakiwa wanachuki Na yeye lazima azibe masikio lakini kama ni kukaa pamoja kutatua migogoro bila siasa?? Kwani lazima uwe kiongozi ndiyo utatue matatizo??
@hashimalsaadat4905
@hashimalsaadat4905 5 лет назад
I'm Frm +968 Kiukweli hatomuelewa huyo mzee ispokua ni muelewa .
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 5 лет назад
Hahaha kumbe mmesoma dar university makubwa haya
@hhonest9553
@hhonest9553 5 лет назад
Papaya Tnzania wewe mbona una comment zakijinga?? Au ndio uvccm mlopewa bando??wanuka njaa???
@harunaibrahim7968
@harunaibrahim7968 5 лет назад
Na wa daa pia wapo zenji wanasoma
@papayatnzania1005
@papayatnzania1005 5 лет назад
@HHS tulia kuma we
@hhonest9553
@hhonest9553 5 лет назад
Papaya Tnzania huna uwezo wakunituliza papai wewe.Njoo nikutafune
@jumbebakari128
@jumbebakari128 5 лет назад
Du maneno ayo swadacta kabisa
@actwazalendo2784
@actwazalendo2784 5 лет назад
Chama cha mapinduzi ni kama wakoloni WALIO SALIA BAADA YA UHURU ccm colonialism wataondoka
@ndarogamba191
@ndarogamba191 5 лет назад
Babu Duni wewe ni sururu wala si jembe,nakukubali sana na unachosema ni kweli wazanzibari hawaogopi kufa kwani walishakufa na wanaotuchelewesha ni Watanganyika!
@kamalofanuel8120
@kamalofanuel8120 5 лет назад
Kama hamuogopi andamaneni tuone
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 5 лет назад
ZILONGWA MBALI ZITENDWA MBALI...WAONGO NYIE MLISHINDA LINI? ...HIYO MBINU YA MADEVU MBONA YAKITOTO SANA....KUSHANGILIA WAKATI HAUJAFUNGA NDIO LIWE GOLI? HA HA HAAA HAYA Ingieni barabarani muone
@utaani1
@utaani1 5 лет назад
Makufuli kapoteza pesa nyingi sana kwa kununua wabunge na madiwani badala ya kutuletea maendeleo nchini
@teddykassinde4608
@teddykassinde4608 5 лет назад
Halafu watu wanampongeza tz tunahitaji elimu kuliko kitu chochote
@umulithoumulitho2871
@umulithoumulitho2871 5 лет назад
Madaraka yanawasumbua sana.ahahahaaaaaaaa
@ChachaMesenda
@ChachaMesenda 5 лет назад
💜💜💜💜
@khamissalum165
@khamissalum165 5 лет назад
Umeongeakweli
@bakarikikwaruto6248
@bakarikikwaruto6248 5 лет назад
atakuwa amekuelewa japo ni jeuri
@lucky9285
@lucky9285 5 лет назад
Mlipo TUPOOOOOO
@sheikhyahyamsangi2191
@sheikhyahyamsangi2191 5 лет назад
Zeee la mkopo
@isaackitogo5043
@isaackitogo5043 5 лет назад
Babu Duni kweli unaongea siasa, lini Maalim alikuamini?
@edsonrobert4262
@edsonrobert4262 5 лет назад
Isaac Kitogo.
@omarysaid5407
@omarysaid5407 5 лет назад
Mzee maneno yako yakosawa
@elminakalunga4030
@elminakalunga4030 5 лет назад
EEE! ACT MBONA IMEKUWA 'ZILIPENDWA' HII!!! MAKUUUBWA HAYA JAMANI CHAAAALIIII!M MBENDEMBENDEEEE!!
@louisnyoni4139
@louisnyoni4139 5 лет назад
Watawala
@salimmadua5264
@salimmadua5264 5 лет назад
CCM wanajiona mungu watu, lakini dawa yao yaja
Далее
How to win a argument
9:28
Просмотров 526 тыс.
Usifurahi Juu Yangu
6:00
Просмотров 10 млн