Тёмный

Msimamo wa Alikiba Bifu la Lunya na Young Killer | Kumbe King Anamkubali.... 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 96 тыс.
50% 1

XXL Kutoka nyumbani kwa Marioo, Bad Nation #cloudsdigitalupdates

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 91   
@juniorkyando3546
@juniorkyando3546 Год назад
Young killer is the best namkubali kichizi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@asajilemwaitenga4935
@asajilemwaitenga4935 Год назад
Killer mnyama sana sema alishaacha kuwa lamba miguu Cloud Media maana mnapenda sana kumpoteza msoki
@user-jy3mi7sw5e
@user-jy3mi7sw5e Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-O0IALZfelFc.html
@albertkatuga2434
@albertkatuga2434 Год назад
Aikiba kweli wewe mwanmziki unjua how to explain and interpret 😄😁😁😁 wasitupiane mikono tu
@Ronny-ok3qd
@Ronny-ok3qd Год назад
Team young killer gonga like 🚒
@BarakaKanyamibwa-lo4gc
@BarakaKanyamibwa-lo4gc Год назад
Yani alikiba tuke achana na music pia busara unayo big up umeongea bro
@juniourku
@juniourku Год назад
Msodok myama🔥🔥🔥 ww uyo sijui young kunya bit zinazopigw kweny ngoma zak ndo kali ila ukimsikiliz Amna kit anaimba😂😂😂
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
Anapiga kelele km jenereta 🤣🤣🤣🤣
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
Msodoki mnyamwez sana
@user-jy3mi7sw5e
@user-jy3mi7sw5e Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-O0IALZfelFc.html
@gikundimitu7821
@gikundimitu7821 Год назад
Killer🔥🔥
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
Msodoki mtu mbaya kmmk kwaanaejua mziki hawez kumpinga ndomaana hata marioo kaanza kusema yy mbuzi mshkaji wake ndomaana ampingi
@omyjy4819
@omyjy4819 Год назад
Lunya 👑👑👑
@officialndaluj4868
@officialndaluj4868 Год назад
youny killer ni rapa bora tunafaamu hilo lakini media kubwa za bongo ni zinamkazia wao wamebase sana upande wa lunya na inakuwa haiko sana
@MohamedYusufu
@MohamedYusufu Год назад
Xhda killer now Hana soko
@MtuSafi
@MtuSafi Год назад
​@@MohamedYusufusoko kaliua nani?
@MtuSafi
@MtuSafi Год назад
hata lunya watamtupa sio muda wee subiri
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 Год назад
Enheeeeeee mambo kama hzi sasa mnakuwa kma mnatupa mb nyie 😂😂😂 safi sana
@bornkilla6173
@bornkilla6173 Год назад
Young killer 💥
@lemmyajabu8171
@lemmyajabu8171 Год назад
Lunya moto sanaa🔥🔥🔥 unyama mwingiiii sana
@rosemoshi7673
@rosemoshi7673 Год назад
Ali kaongea jaman thus why I love him so so much tusichochee vita waache watupe vitu
@b9media144
@b9media144 Год назад
@Medias. Kwanini Lunya mnamuita sana kufanyanae Intavyu lakini Killer hapewi? Japo mnampa sana Lunya, lkn haumfanyii Killer awe chini na hii n kwasababu Killer anakubalika sana na Jamii kuliko Lunya Endeleeni kumnyima Killer, ila mitaani tunajua kuwa Killer n mkali zaidi 🔥🔥🔥
@chidybwax8080
@chidybwax8080 Год назад
Bongen ila young kila ni moto
@limymasele21
@limymasele21 Год назад
Mbuzi anachinjwa na kuchunwa ngozi anachemshwa Kisha analiwa
@mathanikibuti6676
@mathanikibuti6676 Год назад
SOUND CHECK MICROPHONE ONE TUUU,,,,😬😬😬😬 HATUSIKIIIIII
@user-fl4lr2lq3s
@user-fl4lr2lq3s Год назад
Alikiba na marioo wote washamba hawajui mzuki
@Maduga_comedian
@Maduga_comedian Год назад
Kama unamkubali @youngkiller gonga like
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Год назад
Kiba kashinda tu kusema Lunya kwa Sasa anafanya vizuri kazunguka mbaka kwa Mtu wa UK anamsikiliza Lunya 😂😂
@ZeraGeofrey
@ZeraGeofrey Год назад
Hapo kunaprogram ya kumshusha killer kumpandsha lunya kama walivyofanya kumshusha Godzilla ilikumpandisha Billnass
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Год назад
@@ZeraGeofrey Killer alishashuka mda Sana Wala hakuna mtu atapoteza muda kuanza kumfikiria killer Saivi kwa kipi sasa, ngoma anazotoa haziendi mjini tulishamsahau, amshukuru Lunya maana Bila kum diss Lunya tusingemkumbuka kabisa. Staili anayoitumia imeshapitwa na wakati watu hawataki kusikia mtu anaongea kwenye wimbo wanataka mistari inaendana na flows kali. Msodoki alikuja akahit wakati wake upishapita mda Sana Lunya amekiteka soko toka 2019 mbaka Leo na wakina Conboi vile vile, mfano killer kwa Sasa huwezi mfananosha hata na Conboi, Conboi anatoa ngoma mbaka Fat Joe kutoka marekani kaikubali kwasababu anarap kwa staili inayovutia mtu hata kama haelewi lugha anajua kabisa huyu jamaa ni mkali, msodoki yeye anaongea tu kwenye biti yani wanaomwelewa ni watu wa mikoani ndani ndani huko
@willyntacobakinvuna5885
@willyntacobakinvuna5885 Год назад
Hii Haina upinzan killer tz hakuna wakumtoa kimichano
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Год назад
#san Yan Hana mpinzani
@burtonmwanjela
@burtonmwanjela Год назад
Msodoki de' son 🔥
@user-jy3mi7sw5e
@user-jy3mi7sw5e Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-O0IALZfelFc.html
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Год назад
KingKiba elewa Killer n mwambaaaa aseeeeh
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 Год назад
Sauti zinapishana na picha wakulungwa 😢😢
@user-jy3mi7sw5e
@user-jy3mi7sw5e Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-O0IALZfelFc.html
@Remmy1149
@Remmy1149 Год назад
Killer mwamba huyo lunya kwao ana baa kwa nyuma
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 Год назад
Kumbe unaijua hyo sema msodoki anajua mziki itafute ngoma moja inaitwa the waiting is over 2 ninoma hyo
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Год назад
KIBA ANAWAKA
@edwinamos9734
@edwinamos9734 Год назад
Mariooo fara wewe qm unamjua killer au ushamba wa kuchelewa game
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Год назад
😂😂😂msodoki atabaki kuwa bora anaambo mengi
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Год назад
Sasa msanii huna mambo mengi unakuwa Bora Sasa😃😂😂 Lunya mbaka watu wa UK wanasikilizwa si umemsikia Kina hapo😃
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Год назад
@@Oldskulgemini9991 🤣🤣🤣🤣sasa mtanzania mmoja anamsikiliza uko UK ambae alikuwa anaishi Tanzania nisawa mm nibebe simu yangu nanyimbo zangu
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Год назад
@@sharifabahar9905 bro killer anakonection na marapa karibia wote wakubwa Africa wote anakutana nao Kila siku wengine ameshapiga nao ngoma tayari, vitu vingine inabidi ukubali tu msodoki tulishamsahau huku mjini labda huko mikoani ndani ndani ila soko la mjini alishapotea mda Sana tangu 2018 huko Sasa Hivi ashukuru Lunya amempa kiki Subiri kiki iishe hiyo anapotea Tena😆 staili anayoitumia imeshapitwa na wakati watu mjini siku hizi hawasikilizi hizo mambo
@user-uk9gs3qh2k
@user-uk9gs3qh2k Год назад
Yani uwe unataka au hutaki young killer anajua Sana Sana zaid ya huyo mbuz
@NathanaeliMerck
@NathanaeliMerck Год назад
Namkubar mbuz
@ahmedseif5612
@ahmedseif5612 Год назад
SIO KILA YOUNG NI KILLER!!!!
@Greatnessfxx
@Greatnessfxx Год назад
Team Young lunya gonga like apaaa❤❤❤❤
@Sonbeats255
@Sonbeats255 2 месяца назад
Nimechelewa sana kusikiza hii kitu, kama umemsikiza #Alikiba vizuri utaelewa kwamba alimskia Young Lunya alipokua Marekani tena kwa kuambiwa na mtu mwingine imagine unatoka Tz unakwenda kumjua au kumskiza Young Lunya Mtanzania mwenzio nchi nyingine tena mbali sana ina maanisha nini? Ila YoungKiller huwa anamsikiliza😂 shout it to my bro #YoungKillerMsodoki
@Smochaaa
@Smochaaa Год назад
Killer ni mbayaa ...kuzoza kuzoa
@shaurisafari
@shaurisafari Год назад
Msodokiii
@mmchopper3399
@mmchopper3399 Год назад
Killer ni mnyama sio poa
@metuselamazubesi-yw5dh
@metuselamazubesi-yw5dh Год назад
Sina swaga kabic
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 Год назад
Mbuzi ni wakuchinjwa kuchunwa kupikwa na kupakuliwa
@RealDuran
@RealDuran Год назад
Young killer mnoma bna
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Год назад
#msadoki Hana mpinzani uwo ndio ukweri ni wamoto
@brunomelody1174
@brunomelody1174 Год назад
Season au session
@mahubirins3921
@mahubirins3921 Год назад
Mbuzi ni mbuzi tu😂😂
@ramadhanmngeza1065
@ramadhanmngeza1065 Год назад
killer jeshi
@victormbugobola802
@victormbugobola802 Год назад
Killer on 🔥🔥🔥🔥 sana
@benjaminmushi7538
@benjaminmushi7538 Год назад
Mwaza mwaza kaka anajuwa
@KingloveNyakamwe-sm5dr
@KingloveNyakamwe-sm5dr Год назад
lunya mwamba kamsaiidia young killer kukaa kwenye trend haya nyimbo yake ya sitaki kuwa singo ipo namb ngap on treanding
@rymax7790
@rymax7790 Год назад
🔥🔥🔥
@sappyjr4543
@sappyjr4543 Год назад
Meena ally kama hayupo vile😂😂😂
@rostardlonis3257
@rostardlonis3257 Год назад
Wanafki hao
@sadruhsnow5637
@sadruhsnow5637 Год назад
Killer
@YoungblackMwanaCongo-tp6td
@YoungblackMwanaCongo-tp6td 7 месяцев назад
Young killer ndo mkali nite young black mwana Congo
@nathaliapeter9085
@nathaliapeter9085 Год назад
Lunya mkalii
@charlesmadata3410
@charlesmadata3410 Год назад
umeogea poit xana kaka
@creinojohnson847
@creinojohnson847 Год назад
uyo mdada hapo pembeni ya babuu wa kitaa a.k.a Johnii amekaa kama doli la Ellion Musk😂😂 au babuu kalinunua
@antonymodestus2872
@antonymodestus2872 Год назад
Lunya mavi 2 hata ww marioo akuna unacho jua wanakupaisha paisha kama mkali utakuja ujue tu kama au jui na mzik wenu wakubebabana makuz
@mohdloushmoney9994
@mohdloushmoney9994 Год назад
Ww marioo katoka mbalii ww
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Год назад
#yani Hawa sio wasanii ni mimavi ya chooni maan msadoki sijaona wakumfikia
@DezlyRitto
@DezlyRitto Год назад
Msodoki
@user-fl4lr2lq3s
@user-fl4lr2lq3s Год назад
Lunya anarap nini
@kapeamohamed2750
@kapeamohamed2750 Год назад
Mfalme wetu
@user-xv8xz7tb7j
@user-xv8xz7tb7j Год назад
Mi mwenyewe ni tram killer
@yusuphismail64
@yusuphismail64 Год назад
Sio season na ww ni session
@AdijaAmiri-mr6gs
@AdijaAmiri-mr6gs Год назад
Kiwalani bombom stand up..... mbuzi hatar
@masongatz
@masongatz Год назад
Unasemaje kuhusu ubunifu katika track ya #Mizimu hautajuta ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-1Qr4-oxvImY.html
@kisabihamadi7555
@kisabihamadi7555 Год назад
Lunya the best rapper
@HamisiMwajenzi
@HamisiMwajenzi Год назад
Lunya moto xana
@oketchmusic4838
@oketchmusic4838 Год назад
😂😂😂😂😂
@japhsam_simulator
@japhsam_simulator Год назад
Acheni kumlinganisha killer na vitu vya kijinga
@Ronny-ok3qd
@Ronny-ok3qd Год назад
Kabsa
@ChellyDeBoe-vi1nw
@ChellyDeBoe-vi1nw Год назад
Killer mOt0r..
Далее
Ranjith in Nere Chowe | Old episode | Manorama News
23:56