Тёмный

Mt. Kizito Makuburi - 150(Official Music Video) 

KMK MAKUBURI
Подписаться 162 тыс.
Просмотров 5 млн
50% 1

Видеоклипы

Опубликовано:

 

19 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 813   
@lameckmeshak1394
@lameckmeshak1394 3 года назад
jamani mimi ni msabato huu wimbo siwezi kulala bila kusikiliza hizi saut nzuri za Roman Cotholic mbarikiwe sana
@jamesgeu5314
@jamesgeu5314 3 года назад
Mimi Ni mkatoliki kabisa hii nyimbo inanikumbusha mbali Sana kipindi hicho Niko tabora nilikua mwenyekiti mkuu wa kwaya ya vijana parokia ya kashishi ahsanteni Sana Wana kwaya wenzag
@jovinarybwoma7307
@jovinarybwoma7307 6 лет назад
Yaani huyu Mwl kila kazi yake huwa ni Kali sana. Hongera sana baba Bernard Mukasa kwa kazi yako nzuri. Furaha ya injili ni kushirikishana amina
@dioclesbuberwa8172
@dioclesbuberwa8172 6 лет назад
Mt kizito haijawai kuniangusha mungu azidi kuwapa nguvu na imani tele
@kamauwangugi1328
@kamauwangugi1328 2 года назад
Heko Watanzania Wakatoliki! Tumsifu Yesu Kristu!
@marthamollelloth7673
@marthamollelloth7673 3 года назад
Bernard Mukasa umeshushwa kutoka mbinguni kuja kumsihi Mungu duniani..!
@josephemanuelngugagu2090
@josephemanuelngugagu2090 4 года назад
Mungu atujalie aman kwaresima hii
@ponsianonyangachi6805
@ponsianonyangachi6805 5 лет назад
Duh km namuona Mr.B.mukasa duuuuh ww kwel kipajiiii baba
@worksheet238
@worksheet238 5 лет назад
Nishangweee.......Nishangweee....Nishangweee...nifuraha...Nishangweee kubwa....wimbo huu unanituliza moyo...heko kwenu na kwa mwalimu mkuu B Mukasa...najivunia kuwa mkatoliki
@catherineburure7642
@catherineburure7642 6 месяцев назад
It’s back on!! Haleluya
@traudkamugisha1288
@traudkamugisha1288 6 лет назад
Dah!!!! Mkasa ni shida kwakweli Mungu akubariki sana na kwaya
@patrickmukambilwa584
@patrickmukambilwa584 5 лет назад
Miaka150yakuhusu jibilie yetu wachristu waromani katoliki tumshukurumungu kwaji bilei iyi nishangwe kubwa ongereni kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
@davidnchoji
@davidnchoji 4 года назад
Hii ndo top three yangu katika uimbaji...👇 1 Mt. Kizito Makuburi, 2 Mt.Kizito Makuburi and 3 Mt Kizito Makuburi. You guys are so talented and awesome... Mnanibariki sana, niko na ndoto ya kuimba kwaya hii...Mungu nipe uhai na afya Amina🙏
@mtaitakenya3767
@mtaitakenya3767 4 года назад
Tumsifu. Yesu christu .tujichunge na corona wa Kenya
@entrepreneurdennisagui4902
@entrepreneurdennisagui4902 5 лет назад
Mungu hawabariki kwaya hii kwa zawadi ya kipaji cha kipekee cha uimbaji inatupa moyo walimu wadogo kama sisi.
@kwayabikiramariamamawashau2448
@kwayabikiramariamamawashau2448 4 года назад
huu wimbo jamani ni mpya kila iitwapo leo................................
@rawlingskonchellah2829
@rawlingskonchellah2829 Год назад
It’s the tribute to the prelates for me. The 2 Cardinals and the high ranking Tanzanian officials at Vatican.
@noellahandrew9479
@noellahandrew9479 2 года назад
Mnafariji mioyo ya watu iliyopondeka. Full shangwe huku kwetu ni furaha mnoooo nyimbo ni nzur Mungu ampe miaka Mingi mtunzi wa nyimbo. RC HATUKO NYUMA JAMAN. DAIMA MBELE
@jamesgachau2566
@jamesgachau2566 8 месяцев назад
Wimbaji mzuri,, keep it is up Ndugu wenzetu.
@juliusmushobozi2564
@juliusmushobozi2564 6 лет назад
Wimbo mzuri sana. Viva mtunzi comrade Benard Mukasa na waimbaji. Kweli mmeutendea haki huo wimbo.
@rexartashasta2713
@rexartashasta2713 4 года назад
Hongereni sana soon najiunga nanyi
@josephinjohn6655
@josephinjohn6655 Год назад
So amazing, thank God for being a catholic
@esterpius328
@esterpius328 3 года назад
Kiukwl nabarikiwa sana hiz nyimbo
@ronaldmboya227
@ronaldmboya227 3 года назад
ukiacha kuimba pia wanajua kupangilia mavazi.....hawa na mererani are my best quoirs ever
@Ace_Kariuki.
@Ace_Kariuki. 2 года назад
Asanteni kwa kututemebelea parokia ya Mulumba Mungu azidi kuwabariki kwa ujilishaji wenu sauti zenu nyororo kweli
@alphoncebucheye6424
@alphoncebucheye6424 6 лет назад
Amina, Hakika Bwana atawabariki sana, ni shangwe kwelikweli
@josephmuriithi6067
@josephmuriithi6067 3 года назад
Bila shaka ni SHANGWE!!!!! HONGERA! TENA NA TENA! .MAULANA AZIDI KUWA BARIKI NYOTE KWA KAZI NZURI. HONGERENI SANA TENA NA TENA. miye Joe Muriithi
@phalesmaduhu4777
@phalesmaduhu4777 4 года назад
Bernald mkasa hujawai kosea hata cku moja m/mungu akupe maisha marefu uzidi kutuinjilisha kupitia Nazi zako hizi na hic mungu hakukuleta duniani bila kusudio lake nskupenda Sana
@user-sz7dg9mh3p
@user-sz7dg9mh3p 7 месяцев назад
Mungu nimwema kila wakati nakila wakati. Mungu nimwema sn 🌼🌷🌹🌹🌿🌱🍀🌳🌾💮🌸🍁💐🏵️🌻☘️🌀🇹🇿by CHIEF DODO
@charlierdanielrazoherison7454
@charlierdanielrazoherison7454 5 лет назад
Tiako be ilay hira (Madagascar) I like this song. Gloire à Notre Dieu Eternel
@johnpapaking1497
@johnpapaking1497 4 года назад
Najivunia kuwa mkatoliki Naipenda sana kwaya Hongera mwalimu B.Mukasa
@eliyamalele.masindi4910
@eliyamalele.masindi4910 4 года назад
bernad mukasa unakarama ya utunzi wa nyimbo Mwenyezi Mungu akutumie uwe mbaraka kwa wanadamu. Bwana awabariki
@salvatorymogesi8781
@salvatorymogesi8781 6 лет назад
Mungu wetu aendelee kuwabariki wana wa Mungu ili muendelee kuifanya kazi yake ya kuinjilisha kupitia Uimbaji. Mimi ni mmoja wa wafuasi wenu.
@masaikisawani8534
@masaikisawani8534 5 лет назад
Sichoki kuiangalia nyimbo. Mungu awabariki sana waimbaji wote. R I P kadrinali RUGAMBWA MUNGU AKUPE PUMZIKO LA MILELE AMEN
@mkewangu6740
@mkewangu6740 6 лет назад
Kwaya ya mtakatifu kizito hongereni sana na Mungu awape pumzi mzidi kumtumikia sikuzote maana kuimba ni sihemu mojawapo ya sala Mungu awabariki.
@fredmess5002
@fredmess5002 3 года назад
Très émotionnel encore Bravo. Je ne comprends pas le swali , mais Très impressionné. Encore merci. Je suis du Togo résident en Allemagne.
@MichaelJames-qe5nz
@MichaelJames-qe5nz Год назад
Mungu awajalie katika utume wenu❤
@renati.mkauki4271
@renati.mkauki4271 5 лет назад
Wimbo huu unanibariki sanaaaa...Mungu awabariki Kwaya na Kizito na Wasikilizaji wote watakao usikiliza wimbo huu. Amini kwenu
@frankluyago5989
@frankluyago5989 6 лет назад
Mungu awabariki xana wana kizito nawapenda mpaka basi
@marianagregory6640
@marianagregory6640 Год назад
Najivunia historia ya nchi yangu Tanzania.Mungu ibariki Tanzania.
@revocatuskatto7293
@revocatuskatto7293 6 лет назад
Dah!!!!!! tuliusubir kwa ham kubwa huu wimbo hongereni sana na mbarikiwe sana wimbo mzuri mno
@nelsonnchimbi5869
@nelsonnchimbi5869 5 лет назад
mnaimba sana nikisikili nyimbo zennu nabarikiwa sana mungu awatie nguvu msonge mbele zaid amina nchimbi
@patrickmarco8462
@patrickmarco8462 4 года назад
Mungu azid kuwabarik kwa kaz nzur
@tysonkikoti7681
@tysonkikoti7681 5 лет назад
Jaman nmebarikiwa ajabu na uimbaji huu,Mungu awabariki sana watu mnaotumia vizuri taranta alizowajalia
@mtafulwaemmanuel3933
@mtafulwaemmanuel3933 5 лет назад
kweli wimbo nzuri mubarikiwe mungu awape nguvu
@abelpilato8851
@abelpilato8851 3 года назад
Mkasa hujawahi kosea hongera sana endelea kufanya kile mungu amekutunuku tuko pamoja
@thomasnjau9324
@thomasnjau9324 6 лет назад
hamjawahi kuniangusha Mungu awabariki sana kwa Talanta yenu
@carinaluce8783
@carinaluce8783 5 лет назад
C'est fou que je regarde sans cesse cette chanson. Tellement envie de comprendre le sms véhiculé!!!!!!
@aichaabdul5844
@aichaabdul5844 4 года назад
Haaaaa!!!! Tu comprends quelque chose quand même! C'est notre église catholique de la Tanzanie.
@janemoraamoraa1916
@janemoraamoraa1916 4 года назад
Wow hizi nyimbo za tia nguvu moyoni mwangu ilike it
@theresiatamba5074
@theresiatamba5074 4 года назад
Kiukweli siach kuchoka kuangalia hii Cd mbarikiwe sana Mungu awalindeee sanaaa naipend sana jamn
@paulinaluambano9150
@paulinaluambano9150 5 лет назад
Bernard Mukasa hakika we we ni tunda LA roho Mtakatifu nyimbo hazipoi Mungu azidi kukubariki ktk utume huu wa uimbaji
@octavinaalphonce6898
@octavinaalphonce6898 Год назад
Sana yaani
@tasharosre6026
@tasharosre6026 4 года назад
Ni shida huyo Mwalimu Bernard Mukasa Mungu azidi kumuinua
@Kingdon8765
@Kingdon8765 2 года назад
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu
@michaeledwin1005
@michaeledwin1005 4 года назад
naupenda sana huu wimbo!!!! hii kwaya pia sijawahi zichoka kazi zake
@geofreypaul3191
@geofreypaul3191 6 лет назад
Kazi nzurii sitachoka kuaiangali hii kazi ya miaka 150 ya uinjilishaji
@saramassoy1593
@saramassoy1593 5 лет назад
Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu sana, miaka 150 ya uinjilishaji sifa na utukufu ni kwake yeye, hongereni saaana wanakwaya ya Mt. Kizito barikiwa mno.
@marwawambura3695
@marwawambura3695 6 лет назад
Najivunia kuwa mkatoliki....Asanteni sana Kwaya ya Mt.kizito kwa kazi nzuri
@jameskipanya3649
@jameskipanya3649 4 года назад
Hongereni 150 sio mchezo, natumaini mmeimarika kiimani, Mungu awabariki.
@stephineobongo2452
@stephineobongo2452 4 года назад
wooow...wimbo mzuri sana..nawapenda sana wanakwaya wa makuburi...naskia nyimbo zenu kila wakati lakini sitosheki...
@vedastinasottery2161
@vedastinasottery2161 Год назад
Nimewapenda sana Mkasa na wenzako wanakwaya makini Asante kwa kuinjilisha
@getrudejohn678
@getrudejohn678 3 года назад
Aisee nafurahia na ninajivunia ukristo wangu! Hongereni sana
@francismwendwa4430
@francismwendwa4430 2 года назад
Furaha ya uinjilishaji ....barikiweni sana ...I like the song ...tuwatuzeni mapadre
@aimeelacongolaise5881
@aimeelacongolaise5881 3 года назад
Asante Mungu kwa vipaji, smiles inapendeza sana
@jiranigran6012
@jiranigran6012 3 года назад
Tulizoea sanaaaa uku Kenya st Cecilia arusha ajabu sasa hi choir ni moto kando ya mioto keep it up guys
@suzansembule8980
@suzansembule8980 5 лет назад
Nisipousikiliza huu wimbo huw naumwa kabisaaa mbarikiwe san Makuburi kwaya
@emmanuelernest1982
@emmanuelernest1982 4 года назад
Jamani hawa watu wabarikiwe tu maana dah,sina cha kusema kweli
@mumbua004
@mumbua004 3 года назад
My mom loves this choir so so much I want to kumpeleka tz next year kuwaona tu na aimbe na nyinyi najua atafurahia Sana.. Congratulations makuburi
@Kingdon8765
@Kingdon8765 2 года назад
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri yenye mafunzo mazuri katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwalinda siku zote za maisha yenu na kuwajalia nguvu za Roho mtakakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu amina
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 5 лет назад
Sijui nisemeje kuhusu huu wimbo,Mungu awabariki sana umenibariki kwakweli hamjawahi kutuangusha
@chenierfrancois1681
@chenierfrancois1681 4 года назад
Je rends grâce à notre Dieu créateur!
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 2 года назад
Hongerni Sana kwaya mnapiga nyimbo za miondoko ya kisiasa kabisa,Mna Mwalimu aliyebobea kwenye muziki hivyo mna haki ya kufunika!
@justinemaingu1460
@justinemaingu1460 4 месяца назад
2024 miaka 150 bado inainjirisha vyema kabisa hakika mt. Kizito mmebarikiwa natokea parokia ya Bunju BMMK jimbo kuu la dsm
@marthalohay-pf7xz
@marthalohay-pf7xz 9 месяцев назад
Mungu azidi kuwapa nguvu ya roho mtakatifu mzidi kumtumikia kwa njia ya nyimbo
@gracebuhatwa6359
@gracebuhatwa6359 Месяц назад
Yaani natamani kurudi kuimba kwaya tena
@agnessjosephath4330
@agnessjosephath4330 6 лет назад
Hongera sana nawapenda sana natamani kufika dar nijumuike siku moja kwenye ibada
@margrethmichael2452
@margrethmichael2452 6 лет назад
Furaha ya uinjilishaji jubiilei furahaaaa.Asanteni sanaa Mungu azidi kuwabariki.
@angelvictory6169
@angelvictory6169 10 месяцев назад
Ngoma jaman zinavosikika❤❤🎉🎉😊😊😊😊❤❤❤❤
@denismahay9119
@denismahay9119 4 месяца назад
mmetisha sana ndugu zangu ninyi ni zaidi ya wanakwaya hamjawahi kutoa boko
@jastinnyatano4049
@jastinnyatano4049 5 лет назад
Yaan huu wimbo imescan historia ya uinjilishaji na uongozo mzima wa kanisa katoriki Tanzania, Kazi nzur hongereni sana
@eliyamalele.masindi4910
@eliyamalele.masindi4910 4 года назад
SIJUI SANA ILA HII ITAKUWA NI KWAYA BEST RC TANZANIA NZIMA.
@abrahamwafula8787
@abrahamwafula8787 3 года назад
Mukasa this is superb and wonderfully done may you all be blessed , from Bungoma Kenya
@madamesampa4231
@madamesampa4231 5 лет назад
Miaka 150 ya uinjilishaji asante Yesu:je?nimemjua kristo kwa kiwango gani kazi zake nimezifanya ipasavyo?kuanzia ngazi ya familia jumuia na kanisa nauishi vipi ukristo wangu Eee Yesu nisaidie niihubiri neno lako kwa mataifa Emeeeni Barikiwa sana my.kizito
@christiesworld90
@christiesworld90 3 года назад
Huu wimbo wanijaza furaha kweli....Mungu aendelee kulilinda Kanisa lake duniani. Greetings from Kenya!
@johnsadiki9668
@johnsadiki9668 5 лет назад
nimeupenda sana wimbo huu uliotungwa kwa ustadi kabisa sauti nzuri wanakwaya wenye kujitolea mhanga. Hongera sana KMK MAKUBURI mnang'aa hata kuliko kwenye toleo la mimina neema 👍👍👍👍👍👍👍👍
@maximilianjoseph7896
@maximilianjoseph7896 6 лет назад
Asanteni sana kwaya ya mt. Kizito Mungu awabariki na kuwazidishia
@paschalaxwesso6844
@paschalaxwesso6844 5 лет назад
Amani ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi.
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 5 лет назад
Najivunia kua mkristo natembea kifua mbele kua mkatoliki,,,,
@dismasbosire8768
@dismasbosire8768 5 лет назад
Waauuuu nice song am blessed with the song ,Barikiwa pia Kwaaya mzima nq Ngigu Mukasa pia from Nyeri Kenya
@rathiafunga6242
@rathiafunga6242 4 года назад
Hakika tuendelee kuwaombea na kuwatunza mapadri wetu
@benjaminmeso5014
@benjaminmeso5014 3 года назад
...WATCHING THIS AGAIN. NI SHANGWE NI SHANGWE
@veronicawilliams8636
@veronicawilliams8636 2 года назад
I am proud to be a catholic. even though am from Nigeria but is really an angelic voices may God bless all the choristers
@josephambrose2215
@josephambrose2215 Год назад
You are welcome in Tanzania brother🇹🇿🙏🙏😀
@georgeyoram8638
@georgeyoram8638 Год назад
🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@lelo3106
@lelo3106 Год назад
I love the song mbarikiwe sanaa choir
@veromugo1977
@veromugo1977 5 лет назад
Hii Choir Kizito Makuburi ikiongozwa na Bernard Mukasa ni 🔥🔥🔥🔥wa kuota Mbali from Kenya but currently Niko Qatar
@mumbua004
@mumbua004 3 года назад
My mom loves this choir too much and am planning to suprise her by kumleta huku ata Sunday moja aimbe na nyinyi... We are kenyans and yes we are coming probably December... Awaone and aimbe na nyinyi afurahie... May God bless you and keep my mom too... Tu nawapenda sana
@michaelkaranja203
@michaelkaranja203 3 года назад
Went there and celebrated mass for the choir.It was Great.
@sayunimollel3781
@sayunimollel3781 3 года назад
Kwaya yenu ni nzuri sana Nipo Dongobesh
@stevkituku6971
@stevkituku6971 2 года назад
My mum loves it too. Will have to take her to Makuburi someday to join this choir for a church service
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 18 дней назад
​@@michaelkaranja203Wakenya mnapenda Sana utalii na kujifunza,I respect you for that,God bless you!
@maryreginasechali5625
@maryreginasechali5625 6 лет назад
We Mukasa wee you're killing me. Makuburi nyie ni bora kila siku katika moyo wangu. Kaka Mushoboz nakuona katika ubora wako. Mungu awabariki sana sana.
@oliverwabwire2836
@oliverwabwire2836 Год назад
Waonje faraja ya kanisa, tuko nao pamoja siku zote.......Furaha ya uinjilashaji jubilei👏👏👏👏
@wilhelmntenya7618
@wilhelmntenya7618 2 года назад
Watu wa mungu mbarikiwe kwa kuniinjilisha kwa sauti zilizotulia.
@johnsadiki9668
@johnsadiki9668 4 года назад
When it comes to Catholic singing, KMK Makuburi leads, others follow. A trillion likes for this one by Mukasa. An angelic choir ❤💪👌👍
@onesmuskiio1544
@onesmuskiio1544 4 года назад
It is not a competition but evangelization
@winniehall5569
@winniehall5569 4 года назад
Kwa kuimba ni kweli hizi sauti ni nyororo. Roho Zao Mungu anazijua. Real Evangelism ni Mungu anipeana- Anglia hili unielewe zaidi. THE PROTESTANT REFORMATION by Denton Bible Media.
@ambuyaambuya6907
@ambuyaambuya6907 2 года назад
You hit the point John Sadiki Ave Maria for accepting God's will to have Jesus for the world and we sing his praise for ever 🙏 🙏 🙏..........
@tumpendidi5037
@tumpendidi5037 2 года назад
nice voicesnice song
@davidherman817
@davidherman817 2 года назад
Good song
@neepesamuellenkidi5170
@neepesamuellenkidi5170 3 года назад
Bernard Mukasa, you are a great man in the history of Catholic faith...in Love with every single song sung by your choir(s)...This song 150 is in my blood, listening to it day and night....God bless you, God bless St. Kizito, God bless Tanzania.
@merimeelunda4158
@merimeelunda4158 3 года назад
Is very good
@glorypaul2712
@glorypaul2712 Год назад
Nimepata historia nzuri Sana.Wimbo mgumu lkn wanakwaya wameutendea haki.hongereni sana
@mbituhery8484
@mbituhery8484 5 лет назад
Nakubari sana kwaya mt kizito nyimbo zake zinanikosha nafsi ya moyo.
@gustavemwana1959
@gustavemwana1959 4 года назад
Je ne cesse jamais de vous ecouter a partir de la republique democratique du congo fiere d'etre catholique courage pour ce beau apostolat
Далее
Я стала богата за ночь
12:04
Просмотров 259 тыс.
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
CATHOLIC MUSIC MIX
3:28:08
Просмотров 3,6 млн
Aysun İsmayılova - Sevgi (Yeni Klip) 2024
3:25
Просмотров 861 тыс.
Yosamin Davlatova - June Jonum (Cover Leila Forouhar)
3:00
Джаная (KalashnikoFF Remix)
4:46
Просмотров 325 тыс.
Stray Kids "JJAM" M/V
3:20
Просмотров 8 млн
Xcho - 6.3 (Official Audio)
2:10
Просмотров 241 тыс.
Doston Ergashev - Dilim (Official Music Video)
4:45