Тёмный

Mt. Kizito Makuburi - Ngoja Nicheze (Live Performance) 

KMK MAKUBURI
Подписаться 164 тыс.
Просмотров 301 тыс.
50% 1

Huu ni wimbo uliotungwa na Mwl Bernard Mukasa na kurekodiwa na kwaya ya Mt Kizito Makuburi mwaka 2005 katika album maalumu ya kusanyiko la nyimbo za Bernard Mukasa iitwayo Ngoja nicheze.
Wimbo huu unaelezea shukrani, furaha na neema tunazojaaliwa katika maisha yetu.
Karibu uungane nasi kumshukuru Mungu kwa kuimba na kucheza kwa shukrani. Hapa ukiimbwa live na KMK kwenye Tamasha la KMK GALA 2021.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 146   
@zakwetuupdate3387
@zakwetuupdate3387 3 года назад
Wakwanza kabisa kuitazama like zenu
@martinakatch398
@martinakatch398 3 года назад
This is undeniably the most successful Catholic choir in the whole world.big up brothers n sisters,am truly influenced.keep it up.
@wambohnganga6513
@wambohnganga6513 3 года назад
Like Za kwa master zikam he always do a good job.
@frednasamaka2099
@frednasamaka2099 3 года назад
Conductor has really impressed me. The parents of that gentleman if they are watching they should be very grateful. And if he is married the wife should be envious coz so many are watching
@zachariagerald
@zachariagerald 2 года назад
🙏🏼🙏🏼
@LupicnusMichael
@LupicnusMichael 2 месяца назад
From nairbi. Tazama mim nilivyo na nguvu
@sergioharawa865
@sergioharawa865 3 года назад
Nice one.Malawi loves it very much.One catholic family ,i can sing this in chichewa version lol
@munuve100
@munuve100 Год назад
Am sure this choir will be among those entertaining in heaven siku hizo
@mommytakes
@mommytakes 2 года назад
This choir is a masterclass, energy and passion iko over the bar, wanakubaliana na mimi bonyeza like
@janemwangi6065
@janemwangi6065 3 года назад
Waaaooooo hongereni Wana kawaya nawapenda sana. God bless you allways. From Qatar but Kenya
@stellacyril3795
@stellacyril3795 3 года назад
Wow mwaaaaa
@JeanDamour-gc9wx
@JeanDamour-gc9wx 2 месяца назад
❤❤❤❤Ndi hapa Rwanda
@jamesgichuhi8070
@jamesgichuhi8070 3 года назад
More love from Kenya....all time favourite choir
@Njeripaulyne
@Njeripaulyne 3 года назад
the choir master is such a hypeman.much love from kenya
@lucynyaguthii7956
@lucynyaguthii7956 2 года назад
Acha ni cheze nanyi💃💃💃
@richardkingi660
@richardkingi660 3 года назад
Yanikumbusha yule mzee akicheza shambani kwa migomba
@wilsonalphan5612
@wilsonalphan5612 3 года назад
Hahaaa!!
@zachariagerald
@zachariagerald 2 года назад
😂😂😂😂
@jovinusjulius9840
@jovinusjulius9840 3 года назад
Ukiachana na Album ya Mimina... Album zote za nyuma ni kali sanaaaaaaaaa...zirudiwe zirudiweeeeeeeeww
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 года назад
Inabidi tufanye juhudu tumchogee kiongozi wa kwaya kimeza cha kusimamia Mungu awabariki sana kwa kurudia huu wimbo. ❤❤❤❤
@beatrisikimario8233
@beatrisikimario8233 3 года назад
Mbarikiwe sana hakika mna kipaji na mnakitumia vyema, conductor nmempenda bure yuko vizuri😘😘😘
@nkrumahkatagira8921
@nkrumahkatagira8921 3 года назад
Huu wimbo umenikumbusha kwaya ya Mt. Martin de paris parokia ya mwananyamala waliimba hii nyimbo enzi hizo ilikuwa hit sana kwenye top ten za radio tumaini.
@zachariagerald
@zachariagerald 2 года назад
Hakika
@zachariagerald
@zachariagerald 2 года назад
Walifanya vizuri sana wakati ule
@saimalyedaniel5852
@saimalyedaniel5852 3 года назад
Weeh one day tuu si mkaribie hii nairobi weeh 🙏🙏
@samindegwah84
@samindegwah84 3 года назад
Awesome choir...THE PIANIST THANKS FOR REPRESENTING TZ & KENYA
@samindegwah84
@samindegwah84 3 года назад
ONE A CATHOLIC ALWAYS A CATHOLIC .
@adrienndimurukundo5560
@adrienndimurukundo5560 Год назад
Nice song ,nice dance and Angelic voices. Tanzanian Catholic choir respect to all of you. Good pianist. May God bless you more.
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 Год назад
Mkude! Mkude! Mkude! Nakuita mara tatu.
@benedictmukasa9322
@benedictmukasa9322 2 месяца назад
hongereni makuburi hongera bernard mukasa
@avelinawella3472
@avelinawella3472 3 года назад
Daaaaaah!!! Nawapenda mnoo...napenda sana namna mnaimba jmn!! Be blessed
@georgeziboni
@georgeziboni 3 года назад
Wimbo mzuri ,naomba mshoot tena video, na pia "nmeonja upendo lako"
@florencem.5620
@florencem.5620 3 года назад
Honestly, this choir is a blessing, l love you KMK members, keep the fire burning in praising and glorying the name of the most high, our Saviour Lord Jesus Christ.
@rmherbs9075
@rmherbs9075 3 года назад
Nimefurahi kumuona mkude na mshobozi pamoja
@wanyonyirobert2735
@wanyonyirobert2735 3 года назад
You are the real people of God. Pls make the long one like one hour.
@josephmassawe161
@josephmassawe161 2 года назад
Naona fundi katulia pembeni anamcheki fundi wa long sembuli anavyotiririka mhuu hatari hakika mbarikiwe sana
@josephkamau4272
@josephkamau4272 3 года назад
Great spirit blessing songs mwaja kenya lini...
@ernestmadzivanyika8704
@ernestmadzivanyika8704 3 года назад
This choir lifts me high in my prayer life all their songs make pray keep it with your noble mission of touching souls. KMK you are great. From Zimbabwe
@wyckliffenyangaresithebest
@wyckliffenyangaresithebest 3 года назад
Asante wimbo mzuri Sana 💥 barikiwa
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 3 года назад
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️Ni Mibaraka tuuuuuuuuuuuuuu
@calvinsilayo2052
@calvinsilayo2052 2 года назад
Wimbo %100 Kinand%100 Waimbaji%100 Hongeren sana
@fredmhiche3614
@fredmhiche3614 3 года назад
Naona kamanda Mkude kaibukia kipande hio!
@StereoSingasinga
@StereoSingasinga 3 года назад
Huu wimbo ulikuwa kwenye albamu ipi? Naomba kukumbushwa
@gasparpaul2594
@gasparpaul2594 3 года назад
Albam ya nane
@mpajimalya8643
@mpajimalya8643 Месяц назад
Mkude wa kmc arusha
@vincentnyaenya8433
@vincentnyaenya8433 3 года назад
Kinanda chazungumza😋😋👏👏
@euniceakinyi3188
@euniceakinyi3188 10 месяцев назад
🎉mziki mtakatifu
@LardKE
@LardKE 3 года назад
Napenda hii sana ❤️. Kwanza hiyo choirmaster...and the pianist. 🙊🙊 They actually know their job 😘
@zachariagerald
@zachariagerald 2 года назад
😂😂
@catholicvibemusic3151
@catholicvibemusic3151 3 года назад
Haki Ngoja nimalizie bando Langu hapa🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@stevelastborn4670
@stevelastborn4670 3 года назад
Mbarikiwe aki, every time i listen to ur songs i feel blessed
@ruthwanyonyi352
@ruthwanyonyi352 2 года назад
Nice song, be blessed much Love 😘😘😘 from Kenya...
@waromokello
@waromokello Месяц назад
Very very beautiful
@emmanueltemba3533
@emmanueltemba3533 Год назад
Mkude hicho kinanda umekitendea haki mkuu kama ulivyo piga mwanzo
@rosechristopher9231
@rosechristopher9231 3 года назад
Tazam ninavyo pumuaa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️ your the best choir always 🙏🙏
@suziemgata8925
@suziemgata8925 3 года назад
Huyu Kaka nampendaga mimi yaaani anamvhezeaga mingunkutoka moyoni❤️❤️❤️huyo wa mbele naimisi makuburi na kabisa langu🥰🥰🥰😍
@suziemgata8925
@suziemgata8925 3 года назад
Yaani nawapenda sna na nalimisi kanisa langu makuburi,,hakika nyinyi hamna mpizani 🥰🥰🥰❤️
@janekariuki2373
@janekariuki2373 3 года назад
Waooh what a song...feeling blessed.
@wemazai8358
@wemazai8358 10 месяцев назад
Hatari Sana.
@Vivianmoraa-z9z
@Vivianmoraa-z9z 9 месяцев назад
very amazing choir😊
@frednasamaka2099
@frednasamaka2099 3 года назад
My goodness I feel in I am in heaven listening to the Angels singing. God bless you
@zachariahchacha9474
@zachariahchacha9474 3 года назад
I love this song. Na the kwaya pia💥💥💥kazi nzuri
@immanueltimothy1873
@immanueltimothy1873 2 года назад
Nimejikuta Tu nairudia rudia hii video
@joelmwangangi9489
@joelmwangangi9489 9 месяцев назад
Great works
@paulmukhwana5181
@paulmukhwana5181 3 года назад
Kazi nzuri. Huyu no Mkude kwenye mtambo
@poncegk5263
@poncegk5263 3 года назад
Hongereni sana, Naomba mshoot tena video ya huu wimbo
@joachimlevi7202
@joachimlevi7202 2 года назад
Dah hii imenibariki kwa kweli Mungu aendelee kuwainua
@salomemlingano6604
@salomemlingano6604 Год назад
Laha Sana
@veronikamwampashe7739
@veronikamwampashe7739 2 года назад
Huu wimbo ni mzuri bara umeutendea nimeuona nimekumbuka parokia yetu ya vyawa duuuuh ilikuwa ni noma ulikuwaga unatuamusha parokia nzima
@marioandrefocas3580
@marioandrefocas3580 8 месяцев назад
Magnífico Exaltação ao pai celestial com ritmo,dança africana nossa tradição.
@FilbertsJoabMr
@FilbertsJoabMr 2 года назад
Nice to see Mkude Carlos..my long time inspiration in Catholic Music !
@marselinamalemba3436
@marselinamalemba3436 3 года назад
Love this choir god bless you good work nabarikiwa sana from kenya
@rosegachengo3216
@rosegachengo3216 2 года назад
That song is very nice. Bravooo.
@Tuikong
@Tuikong 2 года назад
What a performance! Mkude Sekulu on the deck. Good stuff KMKM!
@asbetawambuche7411
@asbetawambuche7411 4 месяца назад
Coming bcz of tiktok
@calvinadolph-ky5ft
@calvinadolph-ky5ft 10 месяцев назад
Mtunzi-Mukasa.. organist-mkude... Kwaya- Makuburi combination safi
@wilbertdilunga1657
@wilbertdilunga1657 2 года назад
Hadi raha
@alexaliphonce4517
@alexaliphonce4517 3 года назад
Hongereni sana jamani mnanifurahisha sana. Pongezi kwako kwaya master upo vizuri.
@elyhillary2000
@elyhillary2000 Год назад
Aminaiii
@michaelkithembe
@michaelkithembe 3 года назад
One of my favorites...be blessed ❤️🔥
@melaniachambala3499
@melaniachambala3499 3 года назад
Nawapenda Sana wapendwa,Mungu awape kibali zaidi Cha kuendelea kumwimbia Mungu wetu aliye mkuu kuliko vyote mbinguni na duniani
@Arati3
@Arati3 5 месяцев назад
tamu sana
@Ngugi201
@Ngugi201 Год назад
mkunde sekulu moto wa kuotea mbali
@kargiyoarizona3030
@kargiyoarizona3030 2 года назад
Nawapenda Sana! Mungu awainue milele. ❤️🙏
@rufashunja8541
@rufashunja8541 Год назад
Woooow so marvelous,,,,keep the fire burning everytime,,,nimependezwa na choir conductor joh♥️♥️
@christianpesambili9709
@christianpesambili9709 3 года назад
Big up sanaaaa kmkmakuburi Hakika mnastahili pongezi Mungu awabariki
@musicheals1545
@musicheals1545 3 года назад
Mkude kama Mkude..! bravooo
@clousgabriely6376
@clousgabriely6376 3 года назад
Huu wimbo unanipa nguvu kubwa mno kiroho mbarikiwe nyote waimbaji na waandaaji
@emmanuelmunishi557
@emmanuelmunishi557 3 года назад
Waaoh it's so good and nice one love U more
@philyaphilipo291
@philyaphilipo291 2 года назад
Wow!!!!!!!!
@selektahiannoh
@selektahiannoh 3 года назад
Nice one 🔥I like it
@justproductions
@justproductions 2 года назад
I love this choir💯
@annngina1652
@annngina1652 2 года назад
Wow...nyc one
@paulinelokuruka7598
@paulinelokuruka7598 Год назад
One feels very delighted to listen to st. Kizito choir keeps praising the Lord always
@michaelmutiso6272
@michaelmutiso6272 3 года назад
Waaau Napeda sana nyimbo zenu asanteni
@francymbinya3834
@francymbinya3834 3 года назад
Wow hongereni sna kwa kazi nzuri
@terrymuchiku7865
@terrymuchiku7865 2 года назад
Waaao !!! Bravo Bravo Bravo 💞💞💞💞💞
@philipinaurio9383
@philipinaurio9383 3 года назад
Mbarikiwe🙏🏻🙏🏻
@veronicamugo3487
@veronicamugo3487 2 года назад
This is choir for me i say 😘😘😘😘😘
@izidorijohn234
@izidorijohn234 3 года назад
nyimbo zenu zinanibariki
@ruchusprospa7796
@ruchusprospa7796 Год назад
hongora san sekulu
@charlesmaluni5854
@charlesmaluni5854 3 года назад
Tamu Sana
@adrian_hamadii
@adrian_hamadii 3 года назад
Nice one ...thanks to kmk makuburi....always enjoying your songs😘🤗
@charlesokwako5935
@charlesokwako5935 3 года назад
Kali sana,mungu awajalie nguvv
@mercymburu8227
@mercymburu8227 3 года назад
Ni neema Mungu
@petermboro8973
@petermboro8973 3 года назад
Mmetisha aloo kitambooo
@belindananjala8844
@belindananjala8844 2 года назад
Wooow, I tell u the sweetness of the song runs through my veins,I really love u♥️😘🥰especially the passion of the choir master
@estherkirigo8427
@estherkirigo8427 2 года назад
Ooooh my God!!! Real talent here. Great.
@jaredtheorganist937
@jaredtheorganist937 9 месяцев назад
❤❤❤❤
@laurentlugema593
@laurentlugema593 2 года назад
Nice
@sebastianmutuvimuendo5215
@sebastianmutuvimuendo5215 3 года назад
Old is good
@samindegwah84
@samindegwah84 3 года назад
Great choir.watching from Kenya
@avelinanicholaus5611
@avelinanicholaus5611 2 года назад
♥️♥️💪
Далее
Mt. Kizito Makuburi - Hamkujua (Live Performance)
6:28
Kwaya ya Mt.Kizito MAKUBURI  - (Live Performance)
18:27