Тёмный
No video :(

Mtambo mwingine wa umeme namba saba waingizwa Gridi ya Taifa 

UTV Tanzania
Подписаться 74 тыс.
Просмотров 50
50% 1

Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, Dkt. Doto Biteko amesema mtambo namba saba ambao ulikuwa katika majaribio sasa umeingizwa katika Gridi ya Taifa na kufanya idadi ya mitambo inayozalisha umeme kutoka Bwawa la Julius Nyerere kufikia mitatu ambapo kila mmoja unazalisha megawati 235.
Ameyasema hayo alipotembelea mradi huo ambapo amesema mtambo namba sita nao upo katika majaribio ambapo jitihada hizo zinafanywa ili kuhakikisha nchi ina upatikanaji wa uhakika wa umeme.
✍@official_jennifersumi
#azamnewsupdates

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 4,1 млн