Тёмный

Mtangazaji Hasheem Ibwe wa Azam TV 'achukua jiko', utani watawala msikitini 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 37 тыс.
50% 1

Mtangazaji wa kipindi cha Mshikemshike Viwanjani, Hasheem Ibwe usiku wa kuamkia leo amefunga ndoa na Nasra Ally Salim katika msikiti wa Shekhat Hisa uliopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Ndoa hiyo ilifuatiwa na sherehe ya ndoa iliyofanyika usiku huo ikijumuhisha ndugu wa pande zote mbili za bwana na bi harusi na baadhi ya wafanyakazi wa Azam Media ambako anafanyia kazi bwana harusi.

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
Далее
Mkasi - SO3E09 with Hasheem Thabeet
28:06
Просмотров 136 тыс.