Тёмный

MTANZANIA AANZISHA KIWANDA CHA KUTENGENEZA NYUMBA ZAKUHAMISHA ARUSHA AFUNGUKA ILIVYO. 

GADI TV
Подписаться 66 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 110   
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 42 минуты назад
hongera sana dada kwa kumshauri baba hii inatufundisha ukipata wazo jipya lifanyie kazi haijalishi anaye kwambia ni nani hata nchi za marekani na ulaya wanatengeneza nyumba za mbao
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Час назад
Kwa kweli Mfanyabiashara wewe kiboko wazo la mwanao ni kiboko Mungu awabariki sana mnetoa wazo zuri sanaaaa nyumba za kuhamishika nzuri sanaaaa
@calvin6445
@calvin6445 Час назад
Napenda mnooo nyumba za mbao ❤❤❤much love ubunifu mzuri mnoo
@edwardsademaki8431
@edwardsademaki8431 2 часа назад
Ni nzuri hongera Kwa ubunifu
@abedysteven4930
@abedysteven4930 3 часа назад
Dah hyo nyumba saw n nzur lakn n gharama sana!! Ila hongera sana kwa wazo zur!!
@fatumajumanne198
@fatumajumanne198 Час назад
Naona comment nyng wanasema n gharama,JE gharama yake n nn?
@JackobKyaro-zi7uj
@JackobKyaro-zi7uj Час назад
Kazi nzur sema huku kwetu vichuguu vingi sijui tutajilindaje na mchwa
@AnjelaMeela-ql8on
@AnjelaMeela-ql8on 4 часа назад
Hongera sana Peter Chao
@juliethkatabwa5306
@juliethkatabwa5306 28 минут назад
Ongera sana
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 4 часа назад
Nyumba ya mbao ni gharama sanaa
@Clex-f5s
@Clex-f5s 2 часа назад
Mtafute designer mzuri na mje na prototype nzuri hyo bado si nzuri kwa mwonekano pia fanya case study utapata kitu kizuri
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Час назад
Binti yako mzuri sana aliyetoa wazo hilo binti una maono mazuri sanaaaa
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 4 часа назад
Kabla ya yote,hongera kwa kumzaa huyo binti.Imelipa,imekomboa familia hadi Taifa.Mtoto unamlundikia degrees,mwisho anakuwa mzigo kwa familia na Taifa.
@JemaMhagama-oz6me
@JemaMhagama-oz6me 4 часа назад
Na wewe mwenzangu umeliona Hilo sio mtoto anafika HADI chuo kikuu hajitambui elimu inakuwa haija mkomboa mizigo tu. Huyo mtoto atafika mbali sana
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 Час назад
Nyumba za holiday za kizungu bana , zimejaa ulaya na marekani kibao . Labda huyo mtoto aliziona kwenye mitandao. Mimi mwenyewe Niko na yangu hapa ya uani ya kuwekea matakataka yangu .
@verasikawa6382
@verasikawa6382 3 часа назад
Hongera sana Mzawa na binti yetu, we are proud of you! Keep up the good job
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 3 часа назад
Mambo ya kizungu ❤❤❤❤❤
@zakazitanzania1565
@zakazitanzania1565 Час назад
Safi sanaaa hata Mimi nimefurahi sanaaaa! Ubunifu ni silaha ya vita....ntakuja kukuwaona nimechkua namba
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 часа назад
Hongera ssna
@stellanyamuhogota1832
@stellanyamuhogota1832 5 часов назад
Ndio nyumba za ulaya ziko hivo halafu wanakuja kutudharau sis tunajenga na tofari imaraaa
@STEVENKAJUMBA
@STEVENKAJUMBA 4 часа назад
ivi magorofa ulaya niyambao .
@kwisa4899
@kwisa4899 Час назад
​@@STEVENKAJUMBAchuna
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Час назад
Hata mm nimekapenda kanyumba.ila hzo mbao hazipekechwi?
@marklekasango9300
@marklekasango9300 6 часов назад
Safi sana lau
@McT-m1m
@McT-m1m 5 часов назад
Hongereni
@fatumajumanne198
@fatumajumanne198 58 минут назад
Shda cyo nyumba je umeinunua unaiweka wap na kiwanja huna?😂😂 mawazo ya kimaskini!!
@namsamson3443
@namsamson3443 6 часов назад
Nyumba nzuri sana
@LoyceKizuri
@LoyceKizuri 6 часов назад
Hongera sana
@AfricaQueen
@AfricaQueen 5 часов назад
😳🤔🤔🤔Mchwaaa je ? Nyoka , panya chini ya nyumba , je nyumba ikiibiwa usiku tukiwa tumelala??? Tutajilindaje Na majiko ya mkaa ??? Hii nyumba yahitaji somo sana kabla hujachukua nyumba.
@NuratyHussen
@NuratyHussen 5 часов назад
😂😂😂
@Zuu673
@Zuu673 5 часов назад
😂😂😂sio kwa bongo
@AfricaQueen
@AfricaQueen 5 часов назад
@@Zuu673 🤝🤝🤝
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 4 часа назад
Yani wa TZ tuna mawazo ya hovyo hovyo tu lakini sasa kweli kwa hapo kwenye kuweka matairi nyumba 😅😅😅😅 imagine unaamka asubuhi unakuta umehamishiwa mtoni 😅😅😅😅
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 3 часа назад
hahaa hapo kwa nyumba kuibiwa nimecheka hizi zipo urope tunaishi huku na ninzur
@Kifyasi
@Kifyasi 5 часов назад
Nyumba za hivyo ni nzuri sana ila lisiwe kubwa sana
@abedysteven4930
@abedysteven4930 3 часа назад
Je 2kilala af 2amke nyuumba kumbe iliseleleka usiku mpaka gongo la mboto mana mnasema mnaweka mataili!!
@AmaniOmari-ev2gu
@AmaniOmari-ev2gu 3 часа назад
Haaaaahaaaa
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 5 часов назад
Nauliza Utafunga tair kwenye nyumba ukitaka kuhamisha huo mnyumba kuitoa sehem moja kwenda sehem nyinhine Itakua unaipisha wp angani au Nahitaji Elim kwenye hilo 😮😮
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 4 часа назад
Unaisukuma tu huko hata saa ukijiskia kulala nje unasukuma nyumba unalala nje 😅😅😅 umeelewa sasa ?
@LillianSawe
@LillianSawe 4 часа назад
😅😅😅😅😅​@@karibunyumbani3824
@jennynaima4916
@jennynaima4916 2 часа назад
Inatembea barabarani ila inakuwa size ya container za magari. Google hapo tiny house in Sweden, Mexico n.k utaziona
@AthanaseKiyoja
@AthanaseKiyoja 4 часа назад
Makonda mshike mkono huyo binti,siyo uanahangaika na wavuta bangi wako(wadudu) mara Land Rovers
@calvinfrost74
@calvinfrost74 3 часа назад
😅😅😅
@RashidPanya
@RashidPanya 7 часов назад
Tengeneza nyumba za makontena ili kutunza mazingila
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 6 часов назад
Wazo zuri, akichanganya container na mbao tutatunza mazingira yetu
@MrA24G
@MrA24G 6 часов назад
Mbao ina consume miti.Bora afanye za steel fabric.
@MrA24G
@MrA24G 6 часов назад
Mbao kwa moto si mchezo
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 5 часов назад
@@MrA24G kweli hatuna miti ya kutosha ya kuvuna mbao, container zinazagaa bure, wenzetu ulaya mpaka wanajenga gorofa kwa container
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 5 часов назад
​@@MrA24G Si moto tu akizishika mchwa hizo mwezi tu hakuna nyumba kwetu kaingia mchwa milango yote kaiyangusha kwa ndugu yangu kaingia juu ya dali anakata mbao
@IddyAlly-v1o
@IddyAlly-v1o 2 часа назад
🎉
@neemaminja286
@neemaminja286 4 часа назад
Inapendeza Sana lkn nyumba NI msingi imara,vipi kwa habari ya msingi,yakija mafutiko he?vipi kimbunga na upepo
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Час назад
Kimbunga kipi 😂😂😂vinaishiaga baharini
@sameerchudasama42
@sameerchudasama42 2 часа назад
Idea nzuri ila nawaza ikiwaka moto
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 3 часа назад
❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 3 часа назад
Mashallah
@SebastianNgowi
@SebastianNgowi 2 часа назад
😂😂😂😂😂😂hii nyumba ni unyama sana unajenga afu unapangishia wapangaji baada ya hapo wakienda kazini unaenda chap kuhamisha vitu unapata faida ya nyumba yako, kodi zao na mali zao😂😂😂
@AfricaQueen
@AfricaQueen 2 часа назад
@@SebastianNgowi 🤣😂🤣😂wahamia mikoani itabidi ukajifiche kwa wasiojulikana🤣😂🤣unaiba nyumba ikiburutwa Na mkokoteni🤣😂🤣
@jennynaima4916
@jennynaima4916 2 часа назад
😅😅😅😅😅
@SebastianNgowi
@SebastianNgowi 2 часа назад
@@AfricaQueen 🤣🤣🤣🤣
@SebastianNgowi
@SebastianNgowi 2 часа назад
@@jennynaima4916 😅😅😅
@MathayoMagavilo
@MathayoMagavilo 10 минут назад
No ya bint tafadhal
@mwanaimahassan5166
@mwanaimahassan5166 2 часа назад
😂😂😂
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 3 часа назад
Kuungua moto ayo mambao
@neemaminja286
@neemaminja286 4 часа назад
Mchwa,panya,dhoruba Kali na upepo vitaiezua, pia NI hatari kwa ajali ya Moto?NYUMBA NI MSINGI,NYUMBA ISIYO NA MSINGI HATUTAHIMILI MISUKOSUKO.Lkn kwa temporary habitat sio mbaya
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 5 часов назад
Bifsi kwenye kuhamisha nyumba siamini nasioni kua nijambo serious Kwasababu utaipitisha wp wakati unaihamisha
@LillianSawe
@LillianSawe 4 часа назад
Inaekwa matairi kwahyo utaiendesha barabarani
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 Час назад
Huku ulaya zinahamishika , zinabebwa na yale magari yanayobeba container . Hizo nyumba ni Kwa ajili ya holiday hapa Europe . Kwa america utazikuta nyingi Kwa makazi kwasababu ya hali ya hewa zao za vimbunga Kila wakati kwahiyo zinakuwa sio makazi ya kudumu.
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu 4 часа назад
Inadumu kwa miaka mingapi? Nileteeni mim lkn maji vipi hayawez ingia ndani mvua ikipiga kubwa
@Amina-o8p4f
@Amina-o8p4f 4 часа назад
Me naitaj hiyo nyumba naipataje
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 2 часа назад
Ubaya ubwela
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 3 часа назад
Kasingle self kananitosha
@HussainMaula-f9b
@HussainMaula-f9b 5 часов назад
Mchwa wakiipata itabakia vumbi 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@ziggertv3185
@ziggertv3185 5 часов назад
Hakuna izo nyumba rombo zipo zakutoshaa
@cleophaceruta4961
@cleophaceruta4961 5 часов назад
Mbao zinapakwa dawa za mchwa kabla ya kujengwa 6:00
@AfricaQueen
@AfricaQueen Час назад
@@cleophaceruta4961 Banya buku je anatiwa dawa gani???
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 часов назад
Wazo ulipata kwenye mitandao .
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 6 часов назад
Wee pia nenda kwenye mtandao umwambie baba yako nini cha kufanya😂😂😂😂😂😂
@fredrickcharles-m6g
@fredrickcharles-m6g 6 часов назад
​@@edwinalexander1170Mwambie Nayeye akampe wazo baba yake😂😂😂😂
@LinahKimario-mn2gx
@LinahKimario-mn2gx 3 часа назад
Tafuta na wewe kwenye mtandao umpelekee babaako.
@TatuHamismtumbukaMtumbuka
@TatuHamismtumbukaMtumbuka 4 часа назад
Nyumba za ulaya hizo
@HawaOmary-mn7gb
@HawaOmary-mn7gb 4 часа назад
Wanafanya delivery
Далее
Paint Projects
00:17
Просмотров 1,3 млн
We Bought An Abandoned Farm in France - One Year Progress
1:14:51