Тёмный

MTANZANIA AANZISHA MTANDAO WAKE WA KIJAMII "KAMA FACEBOOK, GOOGLE NAWAUZIA, HAWAJAJIBU" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Ni ukuaji wa sekta ya Teknolojia nchini Tanzania ambapo Ayo Tv na Millardayo.com inakukutanisha na kijana Michael Kebuh ambaye ametengeza mtandao wa kijamii kama njia ya mawasiliano akiupa jina la Twirro.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 261   
@shantalismailhassan9878
@shantalismailhassan9878 3 года назад
MashaAllah kijana wetu. Mungu atupe wengi kama hawa nchi iende mbele.
@Teksani
@Teksani 3 года назад
Mtangazaji yupo vizuri. Ameuliza maswali ya muhimu sana.
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 года назад
Sana ayse
@yatatusimu2498
@yatatusimu2498 3 года назад
Yupo vizuri na Ayo yupo vizuri pia. Ila kuna modality ya kuuliza maswali ya awali msipo kuwa hewani na hivyo kutokana na hilo ukajua namna ya kuhoji ya baadae live, pasipo kuunda tandabui la mashaka kwa msikilizaji juu ya huyo anayehojiwa na bado maswali magumu na ya maana yakaulizwa. "Hard Talk" ni kipindi kilicho mahiri sana kwa sanaa hiyo. (Gavin Asler na Jeremy Paxman).
@marconzilankoma7581
@marconzilankoma7581 3 года назад
Hongera sana kaka fanya uongee na serikali ikiwexekana tutumie sisi wenyewe ili iwe rahisi kutunza siri zetu Mungu ibaraki Tanzania na watu wake 🇹🇿
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Mmedanganywa nyie hakuna cha kubuni wala milioni 7 kadanganya watu @ayotv huyo jamaa kawadanganya watanzania eti amebuni yeye ndo mwanzilishi Sio huyo tu kuna mwingine anamiliki mtanzania mtandao wake unaitwa www.jamiihuru.com tangu 2013 upo hewani yeye amengundua mwaka 2020 everything is the same. Nani aliyeanza sasa. Tuseme ukweli kanunua vipuli toka nje Kaunda pikipiki kwani tudanganye watu kutafuta kiki, ukitaka social media kama hiyo nitafute nitakuundia kwa laki 7 tu hakuna cha milioni 7 wala mbili tuwe wakweli tz tusitafute kiki kwa njia za kuongopa
@sannycpaul9423
@sannycpaul9423 3 года назад
Acha hudsa mtu hujui chochote sasa hiyo si website ng'ombe wewe 🦉🦉🦉🦉
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
@@sannycpaul9423 unasemaaaa?? Ongeza sauti
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 3 года назад
Jamani watanzania wenzangu tukaushambulie huu mtandao kwa wingi ili uwe mtandao mkubwa afrika mashariki au dunia nzima kwa ujumla
@jrlamar8925
@jrlamar8925 3 года назад
Shida ya hii mitandao ni privacy. Ikitokea kabanwa na serikali kwa wanaoikosoa serikali anatoa taarifa zote za users.
@pumbumzigo2261
@pumbumzigo2261 3 года назад
@@jrlamar8925 ndugu hakunaga usalama katika ilo hata fb,google wote serikali ya nchi yao ikihitaji data wanazichukua.
@allybaruti9295
@allybaruti9295 3 года назад
@@pumbumzigo2261 ni kweli kabiisa mzee
@lilatito2816
@lilatito2816 3 года назад
Mimi mtu wa kwanza kutumia hongera sana kijana
@saidmakumlo8930
@saidmakumlo8930 3 года назад
Mtangazaji anauliza Technical Questions safi sana
@kondetv8257
@kondetv8257 3 года назад
Lakini katudanganya yeye sio aliyebuni huo mtandao yeye ameunga unga tu mbona www.jamiihuru.com Mimi nilianza kuitumia 2013 na IPO kama hiyo anayotudanganya hapa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 3 года назад
Africa stand up, Tanzania stand up, it's high time for Tanzanians especially the artists to support this dude and all over the east African community.
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Wabongo acheni kudanganywa kirahisi hivyo tazama hii www.jamiihuru.com tangu 2013 ipo hewani, kawadanganya asilimia 100. Yoyote anayetaka social network kama hiyo Mimi namtengenezea kwa sh laki 7 tu sio milioni saba wala sijui from scratch wabongo tuache uongo bwana.
@SafeHaven_TV
@SafeHaven_TV 3 года назад
Excellent innovation brother,hongera sana ni jambo jema ,ila ungetumia jina la asili la kitanzania ili kuuza utanzania.Unaonaje majina kama Kiliface,Kilisafari,Serengeti... n.k,ni wazo tu bro,lakini hongera sana👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@abbaimran4122
@abbaimran4122 3 года назад
Congratulations Ndugu,I will support you
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Wabongo acheni kudanganywa kirahisi hivyo tazama hii www.jamiihuru.com tangu 2013 ipo hewani, kawadanganya asilimia 100. Yoyote anayetaka social network kama hiyo Mimi namtengenezea kwa sh laki 7 tu sio milioni saba wala sijui from scratch wabongo tuache uongo bwana.
@ahmadally2437
@ahmadally2437 3 года назад
Hongera sana braza,,, Keep it up .!
@Gwidohitila22
@Gwidohitila22 3 года назад
Hongera sana Bro, hayo ndo mambo tunataka Tanzania, lkn napendekeza ubadilishe jina
@happyjohn5882
@happyjohn5882 3 года назад
Daah jina laitwa Twirro mh ni kama linaingiliana na Twitter nadh ushindan utkuwa mdgo sana,pilii aaah kama angkuwa na uwez basi afungue kampuni ya mawasiliano ambyo ya mfumo wa kuuza bando tuu,
@samtelah7578
@samtelah7578 3 года назад
@@happyjohn5882 APPLE - OPPO SAMSUNG - SINGSUNG FACETIME - FACEBOOK
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 3 года назад
@@samtelah7578 yeah nimekupata jina linasaidia Sana maana mtu akiandika Twitter automatic na twillo inajisogeza kalibu hivyo inaweza ikasaidia kusambaa kwa haraka
@Gwidohitila22
@Gwidohitila22 3 года назад
@@eaglecrown1101 kumbe ndo target yake!!!!
@nicholauslema2707
@nicholauslema2707 3 года назад
Hongera Sana Sana kwa Mtanzania Kama wewe kwa KuCreate our own Version of Social network integrating AUDIO & VIDEO Calls especially in an OPEN SOURCE Environment which is Fundamentally Built in With Privacy and Security👏👏👏.....
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Wabongo acheni kudanganywa kirahisi hivyo tazama hii www.jamiihuru.com tangu 2013 ipo hewani, kawadanganya asilimia 100. Yoyote anayetaka social network kama hiyo Mimi namtengenezea kwa sh laki 7 tu sio milioni saba wala sijui from scratch wabongo tuache uongo bwana.
@aaronjustin7235
@aaronjustin7235 3 года назад
Safi sanaaaaaaa upara
@ManAfterMyOwnHeartt
@ManAfterMyOwnHeartt 3 года назад
Hongera sana kaka, vunja mipaka kaka. Unajua kinachosikitisha na kuniuma sana ni kwamba, tumepokea mindao yote kama Facebook, Instagram, WhatsApp na Twitter (bila kuuliza maswali yeyote). Leo hii Mtanzania kafanya kitu ambacho hamna mtanzania kafanya, baada ya kumfurahia. Mnamuhoji kama hajui anachofanya. Very disrespectful aise, Hii ilikuwa nafasi na kumfurahia na kumsaidia kumarket. Mimi ni developer kama Huyu mweshimiwa. Alichofanya na kuwaelezea ni advance sana (hamuwezi ata elewa). Usiwasikilize watanzania wanaopenda kusema kwamba wewe huwezi au hautaweza. Hawa watu wote hawajawahi jaribu kitu maishani. Big up sana kaka, nimetumia mtandao wako. Mtandao wako ni mzuri sana. Mueke Mungu mbele utafanikiwa kaka. Ukipata nafasi ya kusoma hii message, naomba tu collaborated pamoja Tufanye kazi 😄🙏🏿
@yatatusimu2498
@yatatusimu2498 3 года назад
Kweli Kabisa bro. Nilihisi the interview tuliyoiona hapa ilitakiwa amemuuliza maswali hayo awali na kupata majibu yake kama mwandishi wa habari ... kisha katika kumhoji live ... iwe bado interview iliyo genuine, lakini aweze kukuuzia uzuri wa kilicho buniwa na kijana Mtanzania na kunhighlight na kumpa fursa yabkuji marker ili tujue manufaa tarajiwa ya App, utofauti wake na namna ya kuhakikisha wengine wanafuata nyayo zake. Instead he looked like he did not believe that a Tanzanian was able to do such a thing. Kiukweli tupo qualified Tanzanian IT Security analysts na qualified individuals kwenye Web app na Android, iOS, development, lakini tumeishia kuajiriwa na mashirika yanayotengeneA Mamilioni. Huyu ameamua kujiongeza. Tumpongeze na kumshauri pamoja na kumuomba ushauri au hata ushirikiano. Hata kama tunaajiriwa, tufanye na kubuni vya kwetu. Watu wengi duniani wanatumia code kutoka kwenye code repos, ama frameworks za React, Angular ama Vue na Laradel na code libraries kibao Na ni hekima kutumia Cloud services kama Cloud Flare. Yote ni, ili kuepuka kurudia rudia KAZI ambazo zimesha buniwa na kuthibitika aokoni ... Hata muunda ndege hatengenezi nyaya za umeme anaagiza waya Japan, Matairi ya ndege Canada na hata engine za Rolls Royce kutoka Uingereza, Ila ndege inaitwa Boeing - ya Marekani. Kwa tafsiri ya mtaani "wanaungaunga" mpaka ndege inasimama. Ila unapoitamka Kwa Mtanzania kijana unawaaminisha wasikilizaji kuwa kijana amepelea kiuwezo. Point yako hapo kama mtangazaji Inakuwa si sahihi. Huenda hata sinkwa nia mbaya. Ila ni instinct tulio nayo. Ndiyo Maana hata Jamiii Forum aliichukua Muda mrefu kufanikiwa. Ila tusonge. Kizazi kipya hakichoki. Ngoja niweke hii comment on the main page pia. Bless.
@ManAfterMyOwnHeartt
@ManAfterMyOwnHeartt 3 года назад
@@yatatusimu2498 mkubwa Naomba nianze hivi, kuna msemo unasema “UNAWEZA KUMTOA MTU UTUMWANI, ILA HUWEZI KUTOA UTUMWA NDANI YA MTU. Nielezee waafrica wengi akilizao zimekuwa damage sana na colonialism/slavery to the point kwamba wanawapenda sana wazungu na kuchukia au kukandamiza ya kwao. Nakubaliana na wewe kabisa,umepatia sana kaka, Mimi najua waafrica wengi sana wanafanya IT njee na kuthaminiwa sana. Maswali yalioulizwa yalikuwa yakaribisha doubt utadhani mtu hawezi. Kama unavyosema kaka, kila kitu kina ecosystem. Hamna kampuni yeyote inayoproduce kila product Yao inhouse, outsourcing its so common. Watu pia haelewi kwamba opensource ndio imepelekea madeveloper wengi kujifunza na kuboresha development. In any development language, either Java, JS au Swift etc. Tupendane jamani kama watanzania na waafrica na tubalishe mawazo kama haya. Muafrica/Mtanzania ndio ataisaidia Africa, mzungu ataiba tu. Support vya kwetu. Peace na amani kaka. Kama uko IT tuongee kaka na kubadilisha mawazo. GitHub yangu: bruno9898
@MIKASAMANAGER
@MIKASAMANAGER 3 года назад
tuwasiliane Mike
@MIKASAMANAGER
@MIKASAMANAGER 3 года назад
nicheki Mikasamanager2021atgmaildotcom
@ManAfterMyOwnHeartt
@ManAfterMyOwnHeartt 3 года назад
@@MIKASAMANAGER Asante kwa email. Utapokea email yangu soon
@brayanphilipo1851
@brayanphilipo1851 3 года назад
Good Mzee
@djparasite2556
@djparasite2556 3 года назад
Big up bro..keep it up.pia mtangazaji kauliza maswali muhim sana..hongera pia unajua unachokifanya
@Gasabo82
@Gasabo82 3 года назад
Big job bro, Love from Rwanda.
@lucasmwinuka3838
@lucasmwinuka3838 3 года назад
Kuna nchi zingine Wana mitandao yao ndani ya nchi yao. Kwanini na sisis tusiwe na Cha KWETU. Kazi nzuri sana
@peterchibukumakomeo3031
@peterchibukumakomeo3031 3 года назад
Mtandao unaomilikiwa na nchi yako wewe utakuongezea kitu gani zaidi, kwanza wawapatie maji safi ya kunywa watu.
@arrickofficial
@arrickofficial 3 года назад
Ma IT masters acheni like zenu hapa
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Wabongo acheni kudanganywa kirahisi hivyo tazama hii www.jamiihuru.com tangu 2013 ipo hewani, kawadanganya asilimia 100. Yoyote anayetaka social network kama hiyo Mimi namtengenezea kwa sh laki 7 tu sio milioni saba wala sijui from scratch wabongo tuache uongo bwana.
@Mentorship_clips
@Mentorship_clips 3 года назад
@@MilioneaTv lkn jamii huru android app yake wame release 2021 March au unasema tangu 2013 kwenye website yake
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
@@Mentorship_clips upande wa website
@Mentorship_clips
@Mentorship_clips 3 года назад
@@MilioneaTv samahan bro ww una share au ni mmoja wa wamiliki wa huo mtandao?
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
@@Mentorship_clips Mimi Fundi lakini sio fundi mwongo kama huyo jamaa, unahitaji utengenezewe au?
@megaries
@megaries 3 года назад
Congrats 👏🇹🇿
@maulidnjokamtaly5184
@maulidnjokamtaly5184 3 года назад
Mungu haibariki kazi ya mikono yako
@milkamusa5837
@milkamusa5837 3 года назад
Brand kwa kitu cha Tanzania. Twigachat, Talkkilimanjaro, Longa, etc.. Ni maoni tu.
@mwitakebuh6510
@mwitakebuh6510 3 года назад
sawa mkuu maoni yamepita
@lifestyle1843
@lifestyle1843 3 года назад
@milka Musa nipe majina mengine ya brand
@MAKAME5
@MAKAME5 3 года назад
Hongera broo naomba jina ubadilishe
@christianbaba9971
@christianbaba9971 3 года назад
Hongera,usikate tamaaa... Pamoja sana.
@ramadhanyusuph7633
@ramadhanyusuph7633 3 года назад
🤣😂 HUO NDO UTAJILI TUNAKO ELEKEA HATUTOENDA CHINA TENA KWENDA KUPATA WATAALAMU SASA WANAONGEZEKA TZ🇹🇿 Raha sana
@Aysha-ms3ln
@Aysha-ms3ln 3 года назад
Ujinga ni kua hawapewi kipaumbele sana sana akionekana anaenda mbali watamfungia labda kwa utawala wa samia ambao hata uonezi
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Wabongo acheni kudanganywa kirahisi hivyo tazama hii www.jamiihuru.com tangu 2013 ipo hewani, kawadanganya asilimia 100. Yoyote anayetaka social network kama hiyo Mimi namtengenezea kwa sh laki 7 tu sio milioni saba wala sijui from scratch wabongo tuache uongo bwana.
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 3 года назад
@@MilioneaTv hatuwezi jua umeandika codes gani huko ndani , lakini hata ya kwako itangaze...kwenye platform mbalimbali...ndio ushindani...kama kazi nzuri itaonekana tu.
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
@@citylinkproject9901 swala ni kwamba asidanganye watanzania wanyonge kuwa yeye ndo aliyebuni huo mtandao yeye ni mmiliki tu ni sawa na MTU anayeunda mabasi ya Youtong Kenya lakini vifaa vyote kuanzia tairi hadi usukani anatoa china. IPO ivyo ukitaka nikueleweshe zaidi trick aliyetumia Huyo jamaa nitafute nikupe social network kama hiyo hata kwa laki 5 tu
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
@@citylinkproject9901 Mimi najua hajaandika code hizo amezichukua sehemu na napajua wewe ndo hujui ameandika codes gani. Sina ubaya na kutangaza au yeye kumiliki huo mtandao but atangaze kwa kuongea ukweli kwenye media, mtangazaji amehoji maswali ya msingi sana wewe ndo uliyebuni watanzania wangependa kujua sasa jamaa bila kuona aibu au kufanya search akajua yeye ndo anamiliki hiyo wa kwanza Tz pia alijua watanzania ni laggards hawajui chochote kumbe hadi alipotoa codes na system nzima inavyofanya kazi tunajua. Nimewatengenezea wengi tu social media kama yake tena kabla yeye hajaiunda hiyo yake
@godfreymnanka9063
@godfreymnanka9063 3 года назад
Vizuri Sana sana
@peterpaschaljuma2382
@peterpaschaljuma2382 3 года назад
Kazi nzuri kaka, lkn badirisha jina hillo la twillo, weka jina jingine
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Wabongo acheni kudanganywa kirahisi hivyo tazama hii www.jamiihuru.com tangu 2013 ipo hewani, kawadanganya asilimia 100. Yoyote anayetaka social network kama hiyo Mimi namtengenezea kwa sh laki 7 tu sio milioni saba wala sijui from scratch wabongo tuache uongo bwana.
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 3 года назад
The moment Tanzanians officially will be on this app everything will be on track
@yatatusimu2498
@yatatusimu2498 3 года назад
Nasema Kwa Nia njema hili. Nilihisi the interview tuliyoiona hapa ilitakiwa mhojaji amemuuliza mbunifu huyu maswali hayo awali na kupata majibu yake kama mwandishi wa habari ... kisha katika kumhoji live ... iwe bado interview iliyo genuine, lakini aweze kukuuzia uzuri wa kilicho buniwa na kijana Mtanzania na ku-highlight pengine utofauti wa features za application yake na kumpa fursa ya kuji nadi ili tujue manufaa tarajiwa ya App, utofauti wake na namna ya kuhakikisha wengine wanafuata nyayo zake. Instead he looked like he did not believe that a Tanzanian was able to do such a thing. Kiukweli tupo qualified Tanzanian IT Security analysts na qualified individuals kwenye Web app na Android, iOS, development, lakini tumeishia kuajiriwa na mashirika yanayotengeneA Mamilioni. Huyu ameamua kujiongeza. Tumpongeze na kumshauri pamoja na kumuomba ushauri au hata ushirikiano. Hata kama tunaajiriwa, tufanye na kubuni vya kwetu. Watu wengi duniani wanatumia code kutoka kwenye code repos, ama frameworks za React, Angular ama Vue na Laradel na code libraries kibao Na ni hekima kutumia Cloud services kama Cloud Flare. Yote ni, ili kuepuka kurudia rudia KAZI ambazo zimesha buniwa na kuthibitika aokoni ... Hata muunda ndege hatengenezi nyaya za umeme anaagiza waya Japan, Matairi ya ndege Canada na hata engine za Rolls Royce kutoka Uingereza, Ila ndege inaitwa Boeing - ya Marekani. Kwa tafsiri ya mtaani "wanaungaunga" mpaka ndege inasimama. Ila unapoitamka Kwa Mtanzania kijana unawaaminisha wasikilizaji kuwa kijana amepelea kiuwezo. Point yako hapo kama mtangazaji Inakuwa si sahihi. Huenda hata sinkwa nia mbaya. Ila ni instinct tulio nayo. Ndiyo Maana hata Jamiii Forum aliichukua Muda mrefu kufanikiwa. Ila tusonge. Kizazi kipya hakichoki.
@bhm1solutions53
@bhm1solutions53 3 года назад
Hongera sanakaka sasa hapo ungeweka background ya mlima kilimanjaro
@sarahjohn2004
@sarahjohn2004 3 года назад
Hongera sana keep it up
@tonyrichard8525
@tonyrichard8525 3 года назад
Nakupongeza sana
@peterchibukumakomeo3031
@peterchibukumakomeo3031 3 года назад
Kama mtanzania ana uwoga wa kutoa maoni yake huko kwenye media za wazungu kwenye karne hii 2021, basi ningekushauri jina liwe ni "CCM OYEE" tu mpaka hapo chama chengine kitakapo ongoza nchi.
@nikorasnyenge5940
@nikorasnyenge5940 3 года назад
Good Sana mkuuu
@shazyahya4121
@shazyahya4121 3 года назад
Safi sana kijana sasa hii ndio faida ya Elimu lazima vijana tuwe wabunifu kumiliki vya kwetu tuondokane na ukoloni Mambo Leo 🤝🏾
@neeykabby4571
@neeykabby4571 3 года назад
Mitandao be unaitwaje
@bestgames6229
@bestgames6229 3 года назад
@@neeykabby4571 twirro
@amanijolam4140
@amanijolam4140 3 года назад
kazi nzuri sana tatizo jina tu tafuta unique name hilo twirro=twitter
@ManAfterMyOwnHeartt
@ManAfterMyOwnHeartt 3 года назад
Jina kitu rahisi sana kubadilisha. Kikuwa ni amekamilisha kazi
@festokomba4694
@festokomba4694 3 года назад
Angeweka hata twiga au Kilimanjaro hafu anaweka picha ya hiyo kitu
@ManAfterMyOwnHeartt
@ManAfterMyOwnHeartt 3 года назад
@@festokomba4694 tengeneza yako uweke Twiga. Kwanini watu kilasiku mnakosoa na nyie hamjawahi kutengeneza social media ya kwako. Msupport tu mtu na mpe heshima yetu, Na kama tunamawazo tutengeneze vya kwetu wenyewe. Hii sio tabia inayoleta maendeleo
@eddydauson7525
@eddydauson7525 3 года назад
@@ManAfterMyOwnHeartt Bro mtandao tumeupokea vzr sn, kushauri sio ttzo acha mwenyewe apokee akipenda atayafanyia kazi. Majibu yako mabov hayajengi. Siku zote pokea ushauri ukiona haufai achana.
@ManAfterMyOwnHeartt
@ManAfterMyOwnHeartt 3 года назад
@@eddydauson7525 mtu yeyote aliyahi jenga biashara anaelewa growth stage. Kila kitu kinamda wake, na mambo hubadilika jinsi biashara inavyokuwa. Ninachosema ni mfurahieni kwamba ni mtu wa kwanza kuvunja mipaka. Yeye bado inabidi asort mambo mengi ya biashara. Na ushauri unafaa kama mtu kakuomba ushauri. Sio kutoa tu bila mipaka. Heshima kitu cha bure tu
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 3 года назад
kiukweli umepiga hatua...ila toa kitu tofauti kidogo na facebook...mwanzo mzuri
@dinoartstore3756
@dinoartstore3756 3 года назад
Congratulations
@mussakasimu2811
@mussakasimu2811 3 года назад
safi sana but jina bro weka jina zuri la kipekee
@PatientBass2012
@PatientBass2012 3 года назад
Courage mon frère
@FRVNKFL3X
@FRVNKFL3X 3 года назад
Big up sanaaa
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 3 года назад
Am downloading this app asap
@hallin9561
@hallin9561 3 года назад
Support ndio changamoto, nisingependa uyu jamaa aishie njiani
@philiponyamase2743
@philiponyamase2743 3 года назад
Well done brother... nimependa security mechanism implemented..
@brianbenard2816
@brianbenard2816 3 года назад
Mimi nakuunga mkono hii tuanze kutumia vya kwetu sasa.
@hadijashabani890
@hadijashabani890 3 года назад
Tumsapot mtanzania mwenzetu jamani
@peterjoseph5290
@peterjoseph5290 3 года назад
Ndugu yangu Michael kebu school mate hongera saana umeanza kitambo saana tangu sekondari naomba namba yako coz tumesoma wote mwera vision sekondari tarime
@mwitakebuh6510
@mwitakebuh6510 3 года назад
0769214927
@mymbaralitv2968
@mymbaralitv2968 3 года назад
Humu twirro nipo kitambo sana sema sikujua kama ni wa m bongo #big up saaaana
@mgweno330
@mgweno330 3 года назад
That's Good
@OmarAli-zp6yu
@OmarAli-zp6yu 3 года назад
Watanzania tumuungeni mkono mwenzetu tuache uchoy tusiendeleze watu wa nnjee tu
@Farliee_Tattoos
@Farliee_Tattoos 3 года назад
Hongera sana Kebuh 👊🏾👊🏾👊🏾👊🏾
@BMGOnlineTV
@BMGOnlineTV 3 года назад
Uko hadi huku? Safi
@thestar_tz
@thestar_tz 3 года назад
Nzuri Sana ila jina bado Ni changamoto, Pia app inahitaji mb nyingi kuipakua
@afmabeat9567
@afmabeat9567 3 года назад
Hongera.
@mussasulman2696
@mussasulman2696 3 года назад
WATANZANIA TUMEPIGA HATUA HONGERA SANA KAKA INABIDI UFUNGUE KAPUNI KUKUZA KIPAJI CHA WENGINE ILI TUZIDI KUSONGA MBELE.
@Mentorship_clips
@Mentorship_clips 3 года назад
hongera mtanzania mwenzangu japo app ako haina ushindani wa kimataifa
@jc-book
@jc-book 3 года назад
Kwa nn nyie watu wamedia mka msponsor huyu jamaa akue. Itakua fahali kwa inchi yetu
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 года назад
Nimeona hivo hata Mimi hii ni jambo kubwa sana hata wizara husika inahitajika kwa hili ili huu mtandao ujulikane dunia nzima
@erictv4040
@erictv4040 3 года назад
Ayo tv kuna na wengine hapa mbezi wana jupiter software na app kama date power,nifichesms,
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Hahaha watz wameganywa na huyu kijana eti from scratch wakati www.jamiihuru.com IPO kitambo na everything is the same
@miye2215
@miye2215 3 года назад
Hili bonge moja la idea aisee
@kmotivation1130
@kmotivation1130 3 года назад
mtandao mzuri aseh
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 3 года назад
Wabongo vitu kma hv hawasapoti kabisa ila ckia kjala amekunya hadharani 😂😂😂😂 viewers 1m pers day
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 3 года назад
🤣🤣🤣
@kweka14l35
@kweka14l35 3 года назад
Bora uite Tanzeb kuliko hio Twirro
@DonSompo
@DonSompo 3 года назад
The future billionaire... iIa amebugi kwenye jina, "Twirro"... Linafanana sana na Twitter. Ni vyema angetajia jina unique ili auze kimataifa.
@marysdiosa8764
@marysdiosa8764 3 года назад
wenzio wana target kitu ambacho kitajitangaza chenyewe , yaani ukitaka kusach Twitter basi na Twirro inajitokeza so ni rahisi watu kujua ,ndio maana kuna SAMSUNG na SINGSUNG FACETIME na FACEBOOK APPLE na OPPO GUCCI na GUIC
@Lya1ne
@Lya1ne 3 года назад
Badiri jina
@bashirusaid5977
@bashirusaid5977 3 года назад
Twirro Made in Tanzania.Hongera kaka.Hongera Hayati Rais Magufuli
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Wabongo acheni kudanganywa kirahisi hivyo tazama hii www.jamiihuru.com tangu 2013 ipo hewani, kawadanganya asilimia 100. Yoyote anayetaka social network kama hiyo Mimi namtengenezea kwa sh laki 7 tu sio milioni saba wala sijui from scratch wabongo tuache uongo bwana.
@sundayjohn1285
@sundayjohn1285 3 года назад
@@MilioneaTv sasa si utengeneze yako tuone sio unabwabwaja meno tu hapo
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
@@sundayjohn1285 hata wewe ukitaka kama hiyo nakutengenezea hata laki tu itakuwa kama www.jamiihuru.com
@hudsson75
@hudsson75 3 года назад
Hongera sana ila jina naona kama sio poa
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Tumia hii www.jamiihuru.com asiwadanganye huyo hizi kitu zipo kitambo hakuna alichobuni hapo, sipendagi uongo kwenye IT Mimi like kama umenielewa
@hilalalismaili2933
@hilalalismaili2933 3 года назад
Tanzania ni nchi ya vipaji Aina nyingi ukilinganisha na nchi zengne za Africa mashabiki Tanzania inashika namba moja lazima tujipongeze na kwa sisi tuliombali na Tanzania acha tupige promo juu ya hili tujitangaze wenyewe watanzania
@isaacopolot2027
@isaacopolot2027 3 года назад
Hongera, nitakuwa mteja wako wakwanza hapa Uganda 🇺🇬 kupakuwa app yako.
@ziondivinegospel4618
@ziondivinegospel4618 3 года назад
kaka hongera,utafika mbali, ila jina fikiria tena
@kibuzosengamshairi4214
@kibuzosengamshairi4214 3 года назад
Umesoma kwa faida
@hassanhamudy6639
@hassanhamudy6639 3 года назад
Makini kabixa.....
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 года назад
Nakushauri rudi tcra wanakusubiria uwe mtandano mkubwa waanze kukusumbua. Jina la mtandao why umetumia hilo like tweeter?
@doricemichelle3614
@doricemichelle3614 3 года назад
Safi🇹🇿👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 3 года назад
Watampinga sasa hivi hii ndio nchi inayoongoza kwa kuua vipaji
@mebosanga3322
@mebosanga3322 3 года назад
Broooo Nna swali iv ukitaka kisoma IT lazma uxome masomo ya sayans au masomo yoyote yale
@Radiowishtz
@Radiowishtz 3 года назад
Sehem ya kile Kinachoitajika Tz ila Interview iwe very Serious ama mwenyewe Mtandao Atengeneze Video Promo Kali ili
@mo4uonlinetv75
@mo4uonlinetv75 3 года назад
Mpe salamu zangu na hogera zake
@mwanahawangao1590
@mwanahawangao1590 3 года назад
Pongezi. Nadhan angeuita KEBUH ingekaa powa zaid na kama tatizo ni kiingereza tafuta hata jina zuri la kiingereza. Ukislei twitter utanominet twirro kwaio hapo km mtanzania haitakaa sawa sn ila hongera sn
@davidngomeni2608
@davidngomeni2608 3 года назад
Costech sijui hawamuoni huyu jamaa, wizara na watu mengine wamfadhili huyu jamaa
@emanueladamayubu9940
@emanueladamayubu9940 3 года назад
Mbn Haina sauti, kulikoni millard
@ajheemclassicaltv7608
@ajheemclassicaltv7608 3 года назад
Nadhan watanzania twende tu download Kisha tujivunie na vyetu
@beneginoboniface
@beneginoboniface 3 года назад
Jamanie instal kwa wingiiiiii
@DanielRingoRaum
@DanielRingoRaum 3 года назад
The Upcoming Tanzanian USD Billionaire
@BongoPlatformTv
@BongoPlatformTv 3 года назад
NA IMANI NA WW UTAKUA NA APP NYINGI TU KAMA IKITOA MAFANIKIO .WHASAP FACEBOOK NA INSTA.GOOD NTA JOIN KWENYE HIYO APP.
@kuntakintekoko5320
@kuntakintekoko5320 3 года назад
Naungana na Peter hapo chini, Mtandao ungeitwa CCM mpaka hapo mwananchi atakapokuwa huru kutowa mawazo yake mtandaoni bila kuhofia kirungu.
@sunyareh
@sunyareh 3 года назад
Mbona sipati Google nime search twero ama nime kosea kuandika
@marysdiosa8764
@marysdiosa8764 3 года назад
sasa we hiyo twero umeisikia wapi mbona yeye kasema Twirro ?
@audaceleroi1370
@audaceleroi1370 3 года назад
Kutoka 🇨🇦, hongera sana kwa ubunifu ila kikubwa ubadili jina liwa la kibongo kama serengetitalk
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Hahaha watz wamedanganywa na huyu kijana eti from scratch wakati www.jamiihuru.com IPO kitambo na everything is the same
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 3 года назад
@@MilioneaTv hata facebook ipo siku nyingi mkuu...kwa hiyo tusiangalie kazi yake kwa vile uhuru ipo..?...au maana yako ni nini hasa ?
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
@@citylinkproject9901 shida ni kusema yeye ndo mwanzilishi from scratch wakati mwanzilishi na mmiliki wa codes hizo yupo tena sio mtanzania huoni ni uongo mchana kweupe. Pia kadanganya kuwa ameandika codes hizo na kidogo amechukua open source codes ni uongo 100% amezichukua codes hajaedit hata kitu mbaya mbaya zaidi hadi jina alitaka lifanane na popular twitter tunaita impersonalization, akaenda mbali zaidi ametumia milioni 7 daaa hata milioni haijafika hosting yenyewe mwaka mmoja toka aanzishe, Kuhusu Facebook IPO hiyo sio ishu hata kabla ya Facebook zilkuwepo community website Facebook alichofanya ni kudevelop codes zake tofauti na zilizokuwepo enzi hizo. Mfano tukizungumzia jamii Forums hatuwezi kusema macsense merro ndo mgunduzi wa ule mtandao akapewa hati miliki ya ugunduzi no, yeye ni mmiliki waliogundua ni ngozi nyeupe why? Kwasababu nikitaka forum kama Jamii forums muda huu naipata vile vile kama ilivyo Jamii forums nitabadili tu jina na kupata hati yangu ya umiliki lakini sio i made from scratch mbwbwe nyingi za uongo, ajifunze tu kuongea ukweli kwenye teknology tukileta uongo uongo kwenye teknolojia tutaharibu fani, nadhani umenielewa
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 3 года назад
@@MilioneaTv Mkuu nimekuelewa, sana ninachotaka kushare na wewe , unafikiri mchina kwa mfano sasa hivi ana mitandao yake ya kijamii , anajali kwamba nani aliandika code za mwanzo ? , Sisi hatujafikia level ya kuwa fore front kwenye technology , lakini pia , isituzuie kutumia technolojia zilizopo kwenda mbele...Angalia sasa hivi Elon musk anachofanya kwenye magari ya umeme ya Tesla , anatumia electric motors kwenye magari ya umeme , electric motor imekuwepo miaka mingi iliyopita , lakini kuifanya itumike kwenye Gari ilikuwa bado mpaka yeye alivyokuja kuonyesha HOW , Kwa hiyo mie nataka ni wa support nyie mnaoitafuta technology, kutoangalia kama ni ya nani mradi, inaweza kutumika kwenye, kitu kipya unachotaka kufanya BIG UP SANA
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 3 года назад
naomba email yako hapa haggai32@yahoo.com , may be kuna project naweza kukuhitaji
@nsiaelieza9568
@nsiaelieza9568 3 года назад
Fanya promo ya kutosha utashinda usiogope
@saidiabjati6390
@saidiabjati6390 3 года назад
Kwa nini usiitwe kwa jina lako? Badala ya hilo twirro, ambalo kimsingi ni Twitter,
@ManAfterMyOwnHeartt
@ManAfterMyOwnHeartt 3 года назад
Jina kitu rahisi sana kubadilisha kikuwa ni amekamilisha kazi
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 3 года назад
Wewe MIKANDABA mbona hujajitambilisha jina lako 😳
@rosengowo8666
@rosengowo8666 3 года назад
Safi, bado kuna kuna shida kwenye kulogin na password ukiweka huwezi kuona kama upo correct au la, hakuna optin ya ku-hide and unhide password pia haina option ya phone number inataka kuweka google account please check
@sunyareh
@sunyareh 3 года назад
Ungeacha link iwe rahisi kwa watu kufuata
@mo4uonlinetv75
@mo4uonlinetv75 3 года назад
Na aweke kol ya watu sita Kwa pamoja
@jumahdenis
@jumahdenis 3 года назад
kongole bro
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 3 года назад
Social media siyo wa Vijana tu si Kweli labda Tanzania
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 3 года назад
Wabadili jina
@wisperfect5320
@wisperfect5320 3 года назад
Hongera ila badir ilo jina tu kama itakupendeza maan wadada wabana pua huwa hata twiter wanataja ivoivo twiro😂
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Wabongo acheni kudanganywa kirahisi hivyo tazama hii www.jamiihuru.com tangu 2013 ipo hewani, kawadanganya asilimia 100. Yoyote anayetaka social network kama hiyo Mimi namtengenezea kwa sh laki 7 tu sio milioni saba wala sijui from scratch wabongo tuache uongo bwana.
@abushaddad989
@abushaddad989 3 года назад
Umefanya ubunifu ndio lakini umeshindwaje kubuni jina la Kitanzania au Kiafrica?
@MilioneaTv
@MilioneaTv 3 года назад
Hahaha watz wamedanganywa na huyu kijana eti from scratch wakati www.jamiihuru.com IPO kitambo na everything is the same
@Mentorship_clips
@Mentorship_clips 3 года назад
Hlo jna ametageti soko kwenye Ku search playstore
@lisaishangomaa1740
@lisaishangomaa1740 3 года назад
Unaitwaje
@broza_Tv353
@broza_Tv353 3 года назад
🇹🇿 Twirro washa taaaaaaa😂😂😂😂🇹🇿👊🏿
@majeje655
@majeje655 3 года назад
Mbona hamna sauti
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 3 года назад
So sad Facebook was already made its over labda angetengeneza ktu kingne
@citylinkproject9901
@citylinkproject9901 3 года назад
abadili muonekano , kiasi ...maana sasa hivi ni kama facebook...'innovate'
Далее
Israeli Army Special Forces
1:00:36
Просмотров 450 тыс.
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Просмотров 1,9 млн
MTANZANIA ABUNI KIFAA CHA KUZUIA WIZI WA BODABODA
4:43
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24