Тёмный

MTANZANIA ALIYETUPWA BAHARINI SIKU TATU BILA MSAADA NA WAGIRIKI/WALIANZA KUNIPENDA/WALIKUFA WOTE 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 913 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 827   
@favorite9134
@favorite9134 3 года назад
Nomaa sana hii emb tulioipenda hii story tujuane apa kwa like 👍
@lazamwa1
@lazamwa1 3 года назад
mshamba tu huyu, hata kiingereza cha kuunga unga, habadiriki na kujiongeza. sasa anataka sisi tufanyeje kama alitoswa??
@johnmwakibete4925
@johnmwakibete4925 3 года назад
We
@angeljimmy7581
@angeljimmy7581 3 года назад
Duh
@salmakambi5338
@salmakambi5338 3 года назад
Balaa kubwa
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 года назад
@@lazamwa1 😃😂unavituko
@oigogilberts2306
@oigogilberts2306 2 года назад
This story have seriously moved me, I have shed tears and also prayers for Victor and his family. The lovely two daughters. I have also prayers for the captain of the sheep that saved him, may God remember the good they did to save such a life. God may remember their families and cause good things to come their way, if any is in danger may they be freed from the same because their ancestors saved life that is touching a lot of lives today. There’s a lot to learn from this story. Thank Mchaga OG God bless you and the rest of wasafi media
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@ramlaleila374
@ramlaleila374 6 месяцев назад
Subhana Allah kweli kl mtu hufa na siku zake Allah akuzidishie umri na maisha marefu
@ameniameni617
@ameniameni617 3 года назад
Pole Kaka usimwache Mungu anakupenda Sana binadamu tunapitia mengi
@Dr.zaidi4
@Dr.zaidi4 3 года назад
The interviewer did not interrupt,he simply let the story flow
@msellah1717
@msellah1717 3 года назад
Hes good
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 3 года назад
Umepona kwa kumuamini Mungu
@christianmwasakogo5579
@christianmwasakogo5579 3 года назад
Itabidi ukaokoke sasa na uwe mcha Mungu kwani Mungu anakupenda alikuokoa usiwe mjeuri Mungu alikutendea mema kukuokoa baharini
@shekinahmurhububa7980
@shekinahmurhububa7980 2 года назад
Amen ila ame chaguwa kuwa hip pop
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Kwni Mungu tayali alikwisha kumuokoa sasa aokoke vipi tena na wakati bado anaishi na yupo ndani ya mazingira ya kila aina ya dhambi
@kisurangusa554
@kisurangusa554 3 года назад
Siku tatu baharini, sifa zote zirudi kwa Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu?
@emilywanjala9161
@emilywanjala9161 3 года назад
Amen
@mohamedkitalima7546
@mohamedkitalima7546 3 года назад
Na ndio maana yeye akutamka mungu mwana wala mungu mama yeye kataja Mungu tu angetegemea hao mungu watu akuna dua ingekubaliwa
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 3 года назад
Ameen
@t.v.a.i.s.s6842
@t.v.a.i.s.s6842 3 года назад
Pole saaana kaka , maisha ni vita .
@maumaulid1452
@maumaulid1452 3 года назад
Hawa ndiyo wanajeshi bila ya kozi
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 3 года назад
Duh anaongea haraka ucpokuwa makin unaachwa njian unabaki kushangaa tyu
@mokhimji
@mokhimji 3 года назад
🤣🤣🤣 sio njiani... porini 😜
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 года назад
😆😆😆😆
@suzanfelix8065
@suzanfelix8065 3 года назад
Bado anawenge la Meri🤣🤣
@aishahasan7722
@aishahasan7722 3 года назад
🤣🤣🤣🤣
@kelvinmasika6482
@kelvinmasika6482 3 года назад
Discovery wamtafute huyu jamaa kapitia mengi sana. Kwanza kwa aliyopitia yamekuwa positive in terms na muonekano wake, anaonekana bado kijana sana angali ni dhahiri ni mtu mzima, hii ni dalili ya afya njema, pili anatukumbusha vijana wa sasa kuwa maisha sio rahisi, ukisikia mtu yuko nje na nini sio rahisi, tupambane tujenge nchi yetu, tatu kanifundisha sana ustahimilivu, kwa aliyopitia ingekuwa ni mimi sidhani kama ningekuwa hapa, the fact ya kuweka wazo kuwa kuna watu wanasurvive na boti za mbao bagamoyo na yeye akafanya hivyo pacific ambapo kuna baridi kali bila shati, hakika angekuwa mzungua au mtu mwenye exposure story yake ingekuwa dunia nzima. Nne pia kanifundisha katika wabaya pia kuna wazuri hilo tusiwe tunalisahau na kuona eti kila mzungu au mtu wa aina flani ni mbaya kwasababu, kwanza alitoswa na wagiriki ambao ni wazungu lakini waitaliano ambao pia niwazungu wakamuokoa na wakatoa taarifa wagiriki wale wakamatwe, ili haki ipatikane... Mwisho kabisa munisamehe, ametukumbusha kuwa sisi wenyewe hatupendani bali tunapenda maslahi yetu tokea enzi hizo, hivi inakuwaje afisa usalama unaletewa ndugu yako ambaye ni kama amefufuka kwa hali aliyopitia ila wewe badala ya kumkaribisha nyumbani unatengeneza mazingira ya kupata hela na kuwapa hali ngumu waliomuokoa. I WONDER BAADA YA HAPA KAMA WALIMUOKOA MTU MWINGINE. Maana ukiangalia ile meli ilitengenezwa 1992 so wakati jamaa anaokolewa ilikuwa in mwaka mmoja so inawezekana ndo ilikuwa mara yao ya kwanza kuokoa, je swali ni kwamba kama figisu walizokutana nazo baada ya kuokoa vile je waliokoa watu wengine tena wakikutana nao au waliwachukulia ni mzigo???? All in all nimeguswa sana na hili and I hope WASAFI mtaanzisha hizi series na kama ikiweziekana kuwe na window ya kuwasaidia wababa zetu hawa waliyoyapitia haya katika kutupambania. Asante, Kelvin
@kelvinmasika6482
@kelvinmasika6482 3 года назад
Nilimaanisha afisa uhamihaji kama alivyosema na sio usalama... CORECTION
@POPkateshian
@POPkateshian 3 года назад
Naunga mkono hojazako
@hazaaahmadhazaa2770
@hazaaahmadhazaa2770 3 года назад
bahari waliyotoswa itakuwa atlantic sio pacific!
@lizp6826
@lizp6826 3 года назад
Ujumbe mzuri sana @kelvin masika umeandika kwa hisia..safi sana inasikitisha afisa uhamiaji alichofanya baada ya jamaa kupitia ktk balaa kubwa sana kwa mwanadamu yeyote yule
@sululuzungu9587
@sululuzungu9587 2 года назад
True story kabisa tunachukulia poa xn vijana wa kisasaiv hatupo Sirias ila ukichek km hawa mabro kk wametesek xn alf ss asaiv tunatak mtelemko ndomana tunaingia kweny stareh za kishoga mm asaiv nipo south frica mwak wa sita nnamatambala yngu ila nikiadisia wa2 nilowakuta au nikichek km iv uyo bro mm najiona mchumba kwake mana kanizid aya mambo aloyapitia yy lkn tisa kumi tuwe na subr na tumuombe mungu kwa kila jmbo nasio2 utake vitu kwa pupa mwishowe uwe shoga 🙏🙏
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 3 года назад
Pole Sana ndugu.utafanikiwa ktk maisha
@beatricemgina1850
@beatricemgina1850 6 месяцев назад
Hiki kisa kinanikumbusha kitabu kimoja kinaitwa SAFARI YA CHINGA
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 3 года назад
Sasa huyu ndie baharia hawo wengine niwa uwongo 🤣🤣🤣🤣🤣
@fathmaibrahim1843
@fathmaibrahim1843 2 года назад
😀😀😀😀😀
@balqisabdullah6200
@balqisabdullah6200 2 года назад
Ilikua meli ilikutosa usimpe jina mtoto wako
@rosemary3816
@rosemary3816 3 года назад
Asante mungu nimejifunza kitu
@rahmaawadh1695
@rahmaawadh1695 2 года назад
Namkumbuka Shomari kwa mara ya kwanza ilirushwa habari yake ITV ...Nakumbuka baada ya kupata huu mtihani alirudi na kusaidiwa na Marehemu mzee Mengi alikuaga biashara yake posta mpya,Sikumbuki alikua akiuza nn lkn tupo wanafunzi tukipita tunaenda kumsalimia ni mcheshi sana alikuaga🤣🤣🤣
@melkiorymariki5644
@melkiorymariki5644 3 года назад
Manunguniko sio mazuri hongera sana. Kwa kushuka, na ukajuwa jaribu, lako ukamtanguliza MUNGU. Hongera MUNGU akusaidie kwa kila jambo
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@RamlahNassoro
@RamlahNassoro 5 месяцев назад
Allaah akupe umri mrefu wenye kheri ndani yake
@Chemba67
@Chemba67 2 года назад
Wasafi Tv .....kuna mshkaji kama mtapata muda mtafuteni ana simulizi nyingi mno za kibaharia ...........waweza nicheki
@joshuatz4616
@joshuatz4616 2 года назад
Wagiriki Wana roho mbaya sana hao wapuuzi
@juniorborbo
@juniorborbo 2 года назад
WooooW What a story very interested and informative .
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@sportsbiotz
@sportsbiotz 2 года назад
Angalia baharia wazawa wakiokoa watu baada ya meli ya kigeni kuzama Gusa link hii apa chini kuangalia. 👇🏾. 👇🏾. 👇🏾. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-m8X5qFrmA9g.html
@Mtangawaziriwatakoya
@Mtangawaziriwatakoya 6 месяцев назад
R I p kwa mabaharia wote waliotoswa na meli adi kufariki dunia
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 2 года назад
Hv nyie wagiriki mm nimezamia mbona hamnitupi baharini nipige mbizi
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 3 года назад
MWANANGU ULIKUWA NA IMANI SANA NA MUNGU NA MUNGU NDIYO ANATAKA HIVYO , UTAMKE KWA IMANI MBELE ZAKE
@brilluckychannel831
@brilluckychannel831 3 года назад
wahuni huwa wanaimani ya kweli mambo yakiwaendea tofauti😅😅😅
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 3 года назад
Tulio kuja hapa baada ya kutoka Instagram tujuane🤗
@teulechristopher3934
@teulechristopher3934 3 года назад
Mi nimo bhana
@mimachanzenze614
@mimachanzenze614 3 года назад
Mie nimo
@hanashhanash535
@hanashhanash535 Год назад
Wajiita nani huko IG
@richthedon3792
@richthedon3792 3 года назад
We ulipona coz ulikuwa unjituma kazi mungu aliona hiyo
@anyandwile82
@anyandwile82 3 года назад
Nakumbuka huyo bwana na hiyo Story yake ni ya kweli. Alisimulia ktk ITV mwaka 1997 nilikuwa darasa Saba hiyo clip alikuwa akiongea kimombo cha sol tape alikise.... They put me to the water me and two dead down. Sina mahana mbaya kusema hivyo Bali huyo ni jasiri sana Mungu kamponya. Amekuwa elimu tosha kwangu, kwani nilikuwa na ndoto za kwenda Ng'ambo nikachukia safari bila kujipanga. Ujembe kwa vijana: Maisha mazuri sio kwenda Ulaya, kule Maisha ni magumu sana, tukaze hapa Bongo Mambo yatakuwa poa, I was in Europe, Sweden for 2years and then German, kawaida tu hapa Bongo ndipo nilipofanikiwa zaidi kimaisha.
@manyuhandumbaro9618
@manyuhandumbaro9618 3 года назад
Sikupng kaka
@benomdaile7271
@benomdaile7271 3 года назад
Kweli daah huyu Jamaa bado yupo kumbe story yakitambo sanaaaaa
@mossesngalomba9961
@mossesngalomba9961 3 года назад
🔥🔥
@brandycrescent1208
@brandycrescent1208 3 года назад
Kweli kbsa
@anyandwile82
@anyandwile82 3 года назад
@@benomdaile7271 Mungu Mkubwa Beno duu Bado yupo nasi
@nginirasaire5876
@nginirasaire5876 3 года назад
Umemuonea mwanao kumpa jina la meli katili iliyokutosa 😂😂
@newahomwashiuya8858
@newahomwashiuya8858 2 года назад
Anaongea haraka anaudhi
@melangongo2829
@melangongo2829 3 года назад
Mungu wangu kweli Mungu amekupenda usimusaau miracle wow.Amen
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@shamsamohammed2261
@shamsamohammed2261 3 года назад
Daah ! Huyo mwenzenu wa Tanga anaitwa nani ninamjomba wang niliskia pia alitoswa lakini hatuna uhakika huu na yakaribia miaka kumi nakitu hatuna hata salamu zake
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 3 года назад
Mwaka 1997 nikiwa form 1 Makongo Secondary Mwandishi wa ITV alitoa Machozi akimsikiliza niliumia Sana Machozi yalinitoka naomba ITV waludie kipindi
@zainabyassini
@zainabyassini 6 месяцев назад
Upate kulia tena😂😂
@ibrahimabdul6586
@ibrahimabdul6586 Год назад
Mrongo huyu. Hi kisa ilitokea Kwa mkenya mwaka wa 1985 na huyo mkenya alikatwa guu moja na papa
@salim02tv24
@salim02tv24 3 года назад
Nimejifunza wakutegemewa ni mung .... Popote pale ulipo
@sydnaomary2328
@sydnaomary2328 2 года назад
Ndio tufahamu na kujua kua huyo angekua mtu mweupe basi Kila haki aliyostahili angelipwa lkn kwasababu ni mtu mweusi hanathamani ya utu ktk watu, Hilo linatakiwa tuliweke ktk akili na fikra zetu.
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 3 года назад
Chaly Hawa wa bongo wanabonga speedy sana next time raiya Kama usiwape naFasi ya kwenda speedy kihivyo
@daslamonline4665
@daslamonline4665 3 года назад
Tunampata sana pole ndugu Akiongea pole pole atamaliza mb’huyu
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 года назад
Jifunze kiswahili huweze kusikiliza vizur
@Swahili14
@Swahili14 3 года назад
TANZANIANS speak faster you can't grasp damn word KENYAN 🤣
@suzanfelix8065
@suzanfelix8065 3 года назад
@@daslamonline4665 🤣🤣🤣🤣
@expert5898
@expert5898 3 года назад
Mimi ningemuuliza swali moja... Wale jamaa wawili walioachilia pipa wakafa maji mule baharini alijaribu kutafuta kwao akawape taarifa??? Maana anasema walipokutana mule chemba kila mmoja alijitambulisha anatoka wapi.
@hussnabakary3507
@hussnabakary3507 3 года назад
We hujui utambulish wa wanaume ee wamekutana utambulisho ni kama ivi mwana unakaa wapi nina geto kagera mm ni geto buguruni mm nakaa mbez imeisha ivo sas apo mcba utaoeleka wap
@expert5898
@expert5898 3 года назад
@@hussnabakary3507 hahaha!! Kama n hivyo inakuwa ngumu
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 3 года назад
Hii story nakumbuka miaka ile ya 1997 au 98 ITV inaonyeshwa live pale mnazi mmoja linafungwa likitambaa yaani zile TV za sinema ndipo nilipoiyona hii story ya huyu jamaa nilikuwa mdogo kama miaka 7 hivi
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Tazama hii kali Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 Год назад
Huyu jamaa km atapata wanasheria wazuri Issue inaweza kwenda kiuchunquz na kujulikana meli ilomtosa na akapata hali yake inayostahili. Case hii ni jinai kubwa zid ya haki ya kibinadam Na jinai hua haifi
@LatfaRamadhan
@LatfaRamadhan 8 месяцев назад
Kweli mungu mwaminifu
@scottuk4683
@scottuk4683 3 года назад
Kwa hakika ametakasika Allah m'bora wa mipango yote.
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Tazama Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@pastorlazarosamwelkilala5795
@pastorlazarosamwelkilala5795 9 дней назад
Move ili sababisha rafiki yangu Hamisi adandiye ndege kwenda Marekani
@user-oi5tw8zi2f
@user-oi5tw8zi2f 5 месяцев назад
Ninakuomba umuimbie Mungu maana alikuokoa Ili ufanye kazi yake nimejikuta nikilia
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 5 месяцев назад
Mungu ni mwema 😢😢😢
@nii8855
@nii8855 3 года назад
So touching
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@dannyblossproduction52
@dannyblossproduction52 3 года назад
Damn,,uyu jamaa Mungu ndo kamuokowa
@hamadhamad3502
@hamadhamad3502 4 месяца назад
Kaka sisi kama waislam tunakwambia, Allah (muumbaji wa mbingu na ardhi) amekuokoa kutoka baharini ili usilimu ukamuabudu yeye tu. Uwe muislamu. Tafuta dini sahihi haraka.
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 6 месяцев назад
Sijapenda kumuita mtoto wako Jana la Meli iliyokutosa ---ni Akili gani hiyo
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 3 года назад
"Porini! " si nilidhani mko Baharini... Dah, nyi wa bongo wacheshi Sana..
@simonrimui
@simonrimui 3 года назад
Alilinganisha
@mpendakiswahili3053
@mpendakiswahili3053 3 года назад
Ndio, lakini vile uyo reporter anavyo muuliza ndio ya chekesha...
@simonrimui
@simonrimui 3 года назад
@@mpendakiswahili3053 hakuwa ameelewa labda
@neema_mollel
@neema_mollel 3 года назад
Hii ndo maana halisi ya maisha ni kujitoa muhanga Big up man you inspired me 🤝
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 3 года назад
Mimi niko marekani kwa Meli nduguzagu .wa Tanzania life good 👍
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@zanlec7357
@zanlec7357 8 месяцев назад
Allahu akbaru. Huyu jmaaa ni fundi san katik kucmulia kwanz ana speed nlkin n fasaha mno. Kisa ch kuelezwa miez mi 3 mfululizi yy amkielez n kwadakik kadhaaa Masha Allah. N pole san brother. Muabudu Allah popote ulipo
@BonitatemBonitate
@BonitatemBonitate 6 месяцев назад
Yaan hapo kwenye kuadisia ametisha sana yupo spidi na akosei,hachoshi kumsikiliza
@saudambinga3832
@saudambinga3832 3 года назад
Stori ya kitambo Sana, namsifu kwa kumtanguliza mungu ktk kila jambo
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@kephatz2814
@kephatz2814 2 года назад
Wanawake mnatafutaga tofauti ya mwanaume na mwanamke ndo hii Sasa
@LucyMagoma-g3b
@LucyMagoma-g3b 20 дней назад
IMANI
@suleimansadalla5606
@suleimansadalla5606 3 года назад
Wataliano ni watu wenye imani sanaa juu ya ukrito wao nawasifu sana viva italia
@mgishananai5097
@mgishananai5097 2 года назад
Pole sana broo
@maureenmgeni
@maureenmgeni 6 месяцев назад
Usiache kumtumikia Mungu kwa maisha yako yaliyobakia
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 3 года назад
Big up boss pole na misukosuko
@allan2431
@allan2431 2 месяца назад
4:06 alivyosema no retreat no surrender baaassssiii mimi nikaona nitoe 😂😂😂😂 4:06
@geofreysenka7091
@geofreysenka7091 3 года назад
Wagiriki ni mbwa sana
@anuaryhussenihussen8074
@anuaryhussenihussen8074 6 месяцев назад
We acha uongo kaka😂😂😂 mfilipino mmoja alafu mgiriki afu aksishika mlango
@majidikaleghela7528
@majidikaleghela7528 3 года назад
tatizo anaongea haraka haraka sana stori haina utamu
@MohammedMohammed-jo4uj
@MohammedMohammed-jo4uj 3 года назад
Huyu Muongo sheria ya kitosana hamna kwa sasa .pili anasema meli ilikuwa inaenda Burundi .Burundi Hakuna bahari. Wacha kichaa
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 года назад
Hujamuelewa huyu alidandia meli ambayo ilileta mdizo wa burundi
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 2 года назад
Zaman sana hili tukio nkiwa mdogo ilirushwa ITV kipind cha kulikoni na joicy mhavile
@husnamahadhi7437
@husnamahadhi7437 2 года назад
Yan zaman sana
@vero57
@vero57 3 года назад
Nimesikiliza kheee kweli umepitia mengi, wewe unaweza kuandika kitabu
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@Project1986p
@Project1986p 3 года назад
Ila mwana ana ongea faster sana.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 года назад
ndio poa akizumza taratibu story haiwezi kuisha mapema
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 3 года назад
Wagiriki wanaroho mbaya sana
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 2 года назад
Dah
@gamerstech5689
@gamerstech5689 3 года назад
Pole sana brother
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 3 года назад
Anaongea vizuri na haraka safi sana
@PETERNDWANGA
@PETERNDWANGA 2 месяца назад
Mungu mwema kilaa wakati rast duuuu nyingi kaka mkubwa pole kwa mkasa uliokupata
@sadasalum8778
@sadasalum8778 3 года назад
Dduh mshkr mungu sana maana mm nayaogopa sana maji yani apo mm ningeshafariki kabla ata ya kutupwa kwny hayo maji
@yusufulyimoarushatanzania6797
@yusufulyimoarushatanzania6797 3 года назад
Pooole na hongeraa kwa kumtanguliza MUNGU mbele
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 2 года назад
Mtangazaji bana mchaga OG ndo jina lako
@nyamjamabele3160
@nyamjamabele3160 2 года назад
Pole sana ndo utafutaji,lkn waliokutosa wanastahili adhabu.
@BrianMutinda-i2r
@BrianMutinda-i2r 6 месяцев назад
sasa wew unalezea story ama n wimbo unaiba coz unaongea arakaraka
@gomesamakota3294
@gomesamakota3294 3 года назад
Yaah uyu jamaa namfahamu vizuri tuu!! Abaitwa SHOMARI ALMALUFU SHOMARI PIMBI
@erickalex6413
@erickalex6413 2 года назад
Huyu wanamwita baharia namfaham vyema
@shimuldar1355
@shimuldar1355 3 года назад
Mungu mkubwa mwamba yupo hai
@asiamussa3780
@asiamussa3780 3 года назад
Amezi ata mate!!
@carlixtz4594
@carlixtz4594 3 года назад
😅😅
@abusaif6856
@abusaif6856 3 года назад
Enyewe, hahaaa
@ashooeamohammedkhamis7742
@ashooeamohammedkhamis7742 Год назад
Story nzuri ila anaongea haraka haraka sana
@loxlox7707
@loxlox7707 3 года назад
Mwili umenisisimka saana kwenye amuka uokolewe amuka uokolewe umetia mengi saaana kaka pole saana
@LadislausyStanislausy
@LadislausyStanislausy 7 месяцев назад
Hasante kwa kuwafunza vijana wanaopenda kuzamia
@mrclinker293
@mrclinker293 3 года назад
Kali sana hamna nyingine kama hii
@kelvinmasika6482
@kelvinmasika6482 3 года назад
Nimempenda sana huyu jamaa, safi sana, nimezitafuta meli zote ni kweli kabisa kama anavyosema, hii sio story ya uongo
@nooor1120
@nooor1120 3 года назад
Sijafaham kaka umesema ni kweli hlf umesema story ya uongo kivipi?
@benjaminmollel3005
@benjaminmollel3005 3 года назад
@@nooor1120 amesema hii sio story ya uongo.
@bigdreams819
@bigdreams819 2 года назад
Tazama Filmu ya stora away hii hapa tazama ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-iNKzRH7iM9M.html
@petermalley6078
@petermalley6078 2 месяца назад
Mwamba yupo Masaki na Yuko fresh anaendeleza harakati
@smartson2484
@smartson2484 2 года назад
Pole xana
@soundmale
@soundmale Год назад
Daa inaskitisha jamani Bora nibaki bongo.
@ibrahimhemedi9079
@ibrahimhemedi9079 3 года назад
Tukutuku mazee redio ya mbao Mbili sabasaba big up one love BC 90s TZ panga panga vichaa Atari lakini salama about life.
@hermesmoha2970
@hermesmoha2970 3 года назад
Nikaona hii video Nikaamuona mchaga og.. Nikaafinya daah Nikaanza kuangalia Nikacomment Nikaa Nikaaa Nikagundua mchizi ana pumzi kuliko busta😁
@DavidNafey
@DavidNafey 5 месяцев назад
Kama ni kweli bro Bora be saved Lord God please😢
@miriammsuya4454
@miriammsuya4454 3 года назад
dah Mungu alikutaka uendelee kuishi
@chegechegeh4545
@chegechegeh4545 2 года назад
God's love.
@husseinture2102
@husseinture2102 5 месяцев назад
Hawana huruma Hawa watu wenye walimtosa baharini😢
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 3 года назад
Mungu ni mwema kaulinda uhai wako ili wasiojua kama Mungu yupo wajue ila wanaume kutoboa maisha mwapamban kwakuuza roho ila mkifanikiwa mwasahauu jinsi mulivyopatatab
@kivumbigutta7780
@kivumbigutta7780 2 года назад
Ilaa na uongo umo 🤣🤣
@cantonaiddy6042
@cantonaiddy6042 6 месяцев назад
Stori nzuri ila ana tatarika sana kwenye kuongea 😂
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 Год назад
Shida zote hizo ni kutafuta riski tu
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 4 месяца назад
Story nzuri ila inaumiza kweli mungu yupo
@prettyh7509
@prettyh7509 3 года назад
Jamani inasikitisha na hyo mijitu ikija huku twainyenyekea
@AthumaniSeleman-od4hu
@AthumaniSeleman-od4hu 5 месяцев назад
Jamaa tunae apa moroco huyo ni boda boda kwa sasa
Далее
МАЛОЙ ГАИШНИК
00:35
Просмотров 383 тыс.
The Story Book: Vita ya Congo | Mauaji ya kutisha
22:43
Bloomberg Surveillance 10/01/2024
2:27:38
Просмотров 17 тыс.
The Story Book : Ukweli Uliojificha Kuhusu BANGI
41:40
Is Reform UK Preparing for Government?
8:49
Просмотров 97 тыс.