Тёмный
No video :(

Mtazamo wa Katibu wa Shirikisho la Ngumi:Kwanini Mwakinyo amekataa Kupigana na Kiduku!!!! 

Choice Tv
Подписаться 1,9 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@iddijumangakonda8044
@iddijumangakonda8044 3 года назад
Akili za Mwakinyo kwenye ngumi ni Kama "Mond" kwenye Muziki NGUMI NI ajira lazima uangalie maslahi kiuchumi Kwanza.
@sudidoto9759
@sudidoto9759 3 года назад
Mwambie kiduku aludie gem na iddy pialazy hahahahaha levo za mwakinyo za kimataifa
@axhimtukula9776
@axhimtukula9776 Год назад
Jamani mwakinyo anajua uyo k,akanya
@raphaeldavid356
@raphaeldavid356 3 года назад
Mdogo wetu HASSAN anatafuta pesa na si umaarufu wenu kujifanya kila kitu mwajuwa mpaka mnalipuka na petroli kwenye ma tank...
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 года назад
Kbs
@kassimomar5709
@kassimomar5709 3 года назад
Kiduku ni namba one Tanzania
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 года назад
Lbd morogoro
@mohamedchenge9440
@mohamedchenge9440 Год назад
Mhhh ifike hatua Tutumie Akili, kiduku km anataka heshima Ataipata tena kubwa zaidi endapo Kienda kupigana nje , atapata lakini yye nafocus Tz , hapa hkuna mafanikio hao waliopita leo wana nini Boxing nimaisha nasio fanny ndiomaaana wenzetu wanafocus mbele , tujaribu kupunguza uzamani tunatakiwa tufike mbele
@hassanaly4336
@hassanaly4336 4 года назад
Hassan kupigana na kiduku ni kujishusha samani
@marcellysumaye2859
@marcellysumaye2859 3 года назад
Hana thamani yoyote kwani wote wana nyota mbili
@salumdaima1672
@salumdaima1672 3 года назад
Anaogopa kifo mwakinyo
@chingychingy2066
@chingychingy2066 3 года назад
kushuka thamani vp wakati wanatapa pesa iyo ni biashara na ngumi sio vita....kiufupi ni Kwamba mwakinyo anaogopa kupigana na kiduku ndo mama sababu nyingi
@eddy4998
@eddy4998 4 года назад
Mwakinyo muoga ninahakika na hilo na anaweza kukaa kwa huyo mtoto
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 года назад
Hivo yanga akacheze na timu ya daraja la tatu? Kweli inaingia akilini si watapeleka Yanga D
@adambakule7066
@adambakule7066 4 года назад
Sijawahi kusikia duniani bondia hataki mapambano ya ndani anataka ya nje tu, huo ni uwoga dhahiri.
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
𝑲𝒘𝒆𝒍𝒚
@salumdaima1672
@salumdaima1672 3 года назад
Mwakinyo ana akili mwacheni anaogopa kufa twaha anpiga ngumi mzito na zinauma kweli
@chingychingy2066
@chingychingy2066 3 года назад
@@salumdaima1672 dulla alichezea kipigo asubui yake akavimba sura yote😂😂
@chingychingy2066
@chingychingy2066 3 года назад
Apo sasa mana kama ni ivo bas ata tyson asingekua anapigana na wamarekani wenzie
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 года назад
Hayo mawazo yako finyu
@adilhabibu7958
@adilhabibu7958 4 года назад
Tupen ladha hiooo mwakinyo na kiduku asikimbiee hasan
@jafarmlawa9627
@jafarmlawa9627 4 месяца назад
Acheni ushambaa nyiee mbna mnafananisha matako na mtu
@romatv8026
@romatv8026 4 года назад
Tatzo la mabondia wabongo wanataka kuwa Kama mwakinyo ila awataki kuyazidi aliyoyafanya mwakinyo mwenzenu anajielewa ndo maana kakataa
@issazuber6823
@issazuber6823 3 года назад
siyo kapenda anaogopa
@salumdaima1672
@salumdaima1672 3 года назад
Mwakinyo anaogopa ngumi ngumu za kiduku ogopa sana mtu ane omba mpigane
@chingychingy2066
@chingychingy2066 3 года назад
Mwakinyo hawezi kugusa mziki wa twaha kiduku na dulla mbabe anajua shuhuri za hao wanaume...yy kama kweli Tanzania 1 amwage wino na kiduku
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 2 года назад
Mwakinyo anajitambuwa ngumi ndo ajira yake. Hapigani kujifurahisha tu km hao walala hoi kina kiduku
@mohammadbamvua2394
@mohammadbamvua2394 3 года назад
Kasema yupo mwakinyo na kiduku nae anachipukia maana yake nikwamba bado hajafika aliko mwakinyo
@abushakir4452
@abushakir4452 3 года назад
Sahihi nendeni nje mkatafute pesa
@omaryally5555
@omaryally5555 3 года назад
Pesa iko wapi ya pambano la mwakinyo na kiduku halafu huyu dula mbabe aliwahi kua muongeaji mara kwa mara kwa kiduku siku pambano lilipofikia mbabe alipigwa na ngebe ikaishia hapo sasa hata kiduku inabidi aheshimu ngumi asijione yuko fiti kuliko mwengine atakuja kuumbuliwa mbele za mashabiki afuate taratibu kwanza apatikane mdhamini wa kutoa pesa ambazo mwakinyo atashawishika nazo
@zananabalozi670
@zananabalozi670 4 года назад
Hawa wakina kiduku ni wachawi wenyewe hawa wenye hasad hapa bongo mana washaona kijana yupo vizur kimataifa na nina hakika twaha anakaa lakini haina haja hassan kuingia mzigon
@issazuber6823
@issazuber6823 3 года назад
gacha ushamba wewe kwani mwakiyho siyo mchawi ire kofiya ya urisi
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 года назад
𝑲𝒘𝒆𝒍𝒚 𝒘𝒆𝒘 𝒌𝒖𝒎𝒂𝒂𝒂𝒂
@kuntukuntu3424
@kuntukuntu3424 3 года назад
Kiduku atafute mapambano ya nje, akiweza kushinda atapata pesa na mikanda hilo ndo la msingi, ngumi za ndani hapa hazitamsaidia sana ngumi ni biashara. Kupigana na Mwakinyo hakutamsaidia chochote. Namshauri ajifue zaidi kwenye kukwepa na guard, punch anayo nzuri sana, ajitahidi kwenye pumzi pia. Mwakinyo ana skills sana nani Professional Boxer. Kina Cheka wamepigana mapambano mengi ya nje, Kaseba pia, Matumla etc.
@iddydaruwesh8650
@iddydaruwesh8650 3 года назад
Ni kweli kabisa umenena. Tatizo ni wivu na chuki
@betymotega6899
@betymotega6899 3 года назад
twaa kiduku kwa nn asitafute mabondia wa nje ana lolote mkolofi tu mwakinyo hamuwez
@captendunga1392
@captendunga1392 4 года назад
Hasani muoga... kwani wataoigana bure? amalizane na wa ndani ndo ahamie njee asiangalie bondia anatoka mkoa gani maneni hayo ndo yalomponza dula..
@captendunga1392
@captendunga1392 4 года назад
@Beka Ngwear sasa yee di bondia kwanini aogope.
@neemampula876
@neemampula876 3 года назад
Mbona kapigana na mabondia wa bongo sasa kwann akatae kupigana na kiduku, makodinda makostamina show show bendera chuma mlingoti chuma
@captendunga1392
@captendunga1392 3 года назад
@@neemampula876 KABISA
@neemampula876
@neemampula876 3 года назад
Alikuwa na nyota 4 huyo mwakinyo lkn kaporomoka hadi mbili na nusu tena kumbuka alishnda kwa kubebwa na yule mfilipino
@hassanaly4336
@hassanaly4336 4 года назад
Kwaushauri wangu hassan angaliya mbele zaidi achana na hawa watoto wanatafuta jina wewe ni bondiya mkubwa sasa ukweli ukijaribu kupigana nae utashuka samani
@edwardmuya5717
@edwardmuya5717 3 года назад
Hao aliopigana nao ulaya wangekataa angefika hapo alipo?
@neemampula876
@neemampula876 3 года назад
Mbona mabondia wengine wa bongo kapigana nao, Hassan anaogopa kipondo
@issazuber6823
@issazuber6823 3 года назад
uoo ni uogaa
@bonifacerobarth-onlinetv9493
@bonifacerobarth-onlinetv9493 3 года назад
Mwakinyo usithubutu utapigwa saanaaa na KIDUKU
@habibambwego6398
@habibambwego6398 3 года назад
Haogopwi mtu hajisikii tu na pia kwn lazima uwo kiduku atakalichwa na wengine Tena watoto Kama yy
@nelsonlikomangano1998
@nelsonlikomangano1998 3 года назад
Twaha kiduku kiboko cha mabondia wote wa tz
@raphaeldavid356
@raphaeldavid356 3 года назад
Haya nendeni mkavizie ma tenk ya mafuta muibe nyie ndo washindi hata kwa wizi hakuna tz nzima kama moro
@adilhabibu7958
@adilhabibu7958 4 года назад
Hassn ingia kwenye mzigo jamaa akuchakaze
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 3 года назад
Mwakinyo hataki kupigania kwa ajiri ya kuonekana kwa mashori mwakinyo anatafuta pesa
@lutfiamour8084
@lutfiamour8084 3 года назад
Mwakinyo cio mjinga kiasi hicho mpaka kufikia hiyo levels kapambana cna sasa nyingi washsbiki mahandazi ambao hajuwi ngumu mnaongea tu kiduku hanatakiwa hapambane hatoke inje ya inch halafu pia hashinde ndio amtafute mwakinyo
Далее
Bondia Rashid Matumla katika NYUNDO YA BARUAN MUHUZA
53:59
The Fan’s Fang Skin🔥 | Brawl Stars Sneak Peek
00:16
🎙ПОЮ ВЖИВУЮ!
3:17:56
Просмотров 1,5 млн
Can You Bend This Bar?
01:00
Просмотров 4,7 млн
EXCLUSIVE: Dulla Mbabe Amtaka Mwakinyo bila Malipo
12:27
HARMORAPA AIONGELEA NDOA YAKE NA KHADIJA ZIOTA
27:14
Просмотров 315 тыс.
The Fan’s Fang Skin🔥 | Brawl Stars Sneak Peek
00:16