Тёмный

MTOTO ALIYEPOTEA MLIMANI BABATI ASEMA ALIKUWA AKILA MAJANI NA KUNYWA MAJI KWA SIKU 26. 

GADI TV
Подписаться 65 тыс.
Просмотров 79 тыс.
50% 1

Mwanafunzi wa shule Sekondary Bagara wilayani Babati anayefahamika kwa jina la Joel Johanes (14), ambaye ilidaiwa amepotea kwenye mlima wa Kwaraa, amepatikana akiwa hai na amesema baada kupotelea katika mlima huo kwa muda wote wa siku 26 alikuwa akila majani yenye ladha ya chumvi na sukari pamoja na kunywa maji.
Mama mzazi wa Joel akizungumza na GADI TV wilayani Babati, amesema mwanae amepatika akiwa na majeraha mikononi na miguu huku mwili wake ukiwa umedhoofika zaidi kutokana kukosa lishe bora kwa siku zote 26. #trendingshorts #trendingshorts #livestream #live #trending #lifestyle #breakingnews #trendingvideo #arushatanzania
GADI TV ndiyo
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com
Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 946   
Далее
Jua Kali Leo Ijumaa Usiku 11-10-2024
28:31
Просмотров 40 тыс.
TUNDU LISSU AFUNGUKA MAZITO AKIFANYA MAHOJIANO NA DW
9:09