Тёмный

Mtoto aliyewashangaza Maaskofu kwa sauti nzuri, akiimba wimbo wa Katikati | Kongamano la Ekaristi. 

Jugo Media
Подписаться 173 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@hucky-lh5mr
@hucky-lh5mr 7 часов назад
Mungu aendele kukutunza mtoto wa Mungu
@DionizMtekanga
@DionizMtekanga 7 дней назад
Kipaji kitunzwe narudia kipaji kitunzwe❤❤❤ Jugo media Safi sana kazi nzuri tuko pamoja.
@ErickHerry-vy9cf
@ErickHerry-vy9cf 2 дня назад
Ooh woow😊 what a touching voice🎉🎉
@judithalfonce7696
@judithalfonce7696 2 дня назад
So wonderful. God bless you little Angel
@sellinazakalia7712
@sellinazakalia7712 7 дней назад
Ongera mtoto mzuri magreth♥️
@norbertjosephat7831
@norbertjosephat7831 4 дня назад
Thats good 👏👏👏
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 3 дня назад
Waoooo wajina hongeraaaaaa❤❤❤❤
@jonathanmpangala7057
@jonathanmpangala7057 День назад
Amen
@mariaikombe7839
@mariaikombe7839 День назад
Haleluya ❤❤❤❤
@romanambelle6356
@romanambelle6356 2 дня назад
Hongera sana❤🎉
@IsakaNicholaus
@IsakaNicholaus 6 дней назад
I'm proud to be a Catholic ❤
@lucyprochesy
@lucyprochesy День назад
Hongera mwenzangu
@lucyprochesy
@lucyprochesy День назад
Nakupenda
@WilliamNestory-r4x
@WilliamNestory-r4x 7 дней назад
Wao umetisha Sana mdogo wangu hongera Sana
@deusdeditsimba4452
@deusdeditsimba4452 7 дней назад
Iwish Angekuwa Mtoto wangu,Heri Tumbo lilokubeba 👏👏👏👏👏
@NaomiMcharo
@NaomiMcharo 9 часов назад
Hata wako anaweza kuwa hivyo,ulisema heri tumbo lililo mbeba nikumaanisha tunalaani watoto wako.Just pray to God Mungu awape watoto wako nyota safi
@StanslausLubigili
@StanslausLubigili 4 дня назад
🎉🎉🎉
@sativaamandus9281
@sativaamandus9281 6 дней назад
Mungu akutunze sana mtoto Mzuri
@HappyPallangyo-vt7xx
@HappyPallangyo-vt7xx 6 дней назад
Mungu azindi kumbariki
@NoreenMdoe
@NoreenMdoe 7 дней назад
Mungu akubariki sana Mdogo angu
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 4 дня назад
Amina
@SarafinaMichael-i3f
@SarafinaMichael-i3f 6 дней назад
Mungu akutunze ❤
@sue846
@sue846 6 дней назад
Hawa watu wa choir, hufanya kelele sababu ya shangwe zao. Wakati somo lasomwa. Wanakera.
@ibel4lf
@ibel4lf 6 дней назад
Kwaya ili kuwa ya watoto hivyo si vigelegele vya kwaya
@niyongabojonas4760
@niyongabojonas4760 7 дней назад
Wow❤
@sandrajohn7649
@sandrajohn7649 5 дней назад
❤❤❤❤
@triphoniakondrad9056
@triphoniakondrad9056 4 дня назад
Hakika tunakuombea kipaji hiki ukue nacho
@paulinaluvubu979
@paulinaluvubu979 5 дней назад
Heri tumbo lililo kubeba
@braggadachu1723
@braggadachu1723 День назад
Siku akionja vitu atasahau kanisa
@هايلينل
@هايلينل День назад
Kwani ww unamuombea mbaya, badala ummfurahie mtoto wa mwezio
@هايلينل
@هايلينل День назад
Kwani ww unamuombea mbaya, badala ummfurahie mtoto wa mwezio
@braggadachu1723
@braggadachu1723 День назад
@@هايلينل samahani kwa hilo Nina mawazo Ila simuombei
@joycebupule3641
@joycebupule3641 6 дней назад
❤❤❤
@AntonyBruno-om8mr
@AntonyBruno-om8mr 6 дней назад
❤❤❤❤
Далее
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Просмотров 46 млн
MAGONJWA YA KUTENGENEZA part 1 - Bishop Gwajima
21:04
Просмотров 186 тыс.