Тёмный

Mtoto Wa Askofu Kakobe {Ezekiel} Afunga Ndoa Leo FGBF 

Chomoza Tv
Подписаться 216 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : / gospeltvshow
Instagram : / chomozanews
RU-vid : www.youtube.com...
#ChomozaTv#GospelUpdates#2020

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@joshuantagala2872
@joshuantagala2872 3 года назад
Ndoa takatifu...Baba askofu Zakary Kakobe umekua mwanga katika kanisa la leo lililojaa udunia na kufuatisha mambo yote ya dunia lakini wewe umekataa umekua wa kwanza kujitofautisha na mataifa tunategemea na watumishi wengine walio wa KWELI wafate nyayo zako katika hili pia.
@ThobiasBeda
@ThobiasBeda 11 месяцев назад
Kwa kweli hii nzuri siku za mwisho watu kuoa na kuolewa Safi Sana by Kaka yako THOBIAS BEDA
@manassehleonard2879
@manassehleonard2879 3 года назад
Ndoa ya mfano wa kuigwa na makanisa yote. Mbarikiwe sana Mr & Mrs Ezekiel Kakobe.
@janetsemahimbo8083
@janetsemahimbo8083 3 года назад
Nimeipenda hii harusi. Ipo simple na imependeza kwa kweli.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 года назад
Hongera sana kaka yangu Kakobe kwa yote.Dada Grace.
@sweetluc2660
@sweetluc2660 3 года назад
Hongereni kwa kufunga pingu za Maisha Mungu awajaliye kila mwuombalo
@muebraniamuebrania145
@muebraniamuebrania145 3 года назад
Sifa na utukufu ni kwa Bwana Yesu. Amina
@nsiaelieza9568
@nsiaelieza9568 3 года назад
Hongereni sana.
@ynyynyyny
@ynyynyyny 2 года назад
Hongera sana,sana
@joniajohn4716
@joniajohn4716 3 года назад
Wow congratulations Eze & Grace
@eugenyurassa2183
@eugenyurassa2183 3 года назад
Hakika ni neema
@LadislausyStanislausy
@LadislausyStanislausy 8 месяцев назад
Matoto yanaropoka kwelikweli
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 3 года назад
Hahahahaaa yaani wanaowa bila mahari. Jamani Daah!
@oliviaanatory4415
@oliviaanatory4415 3 года назад
Nashangaaa
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 года назад
Ndiyo kwani wapi Maamdiko yanasema wakristo wafunge ndoa Kwa mahari?ni shetani aliyeleta Mahari ,Wazazi Wakibariki inatosha
@dadapechi
@dadapechi 3 года назад
Bila vikao
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 3 года назад
@Trophaina Yesu mwenyewe alitoa mahari ya damu yake ili kutukomboa. Yaani aligharamika kifo, akafa msalabani Yesu ili sisi tuwe wake. Na Yesu ndio mfano kwa kanisa. Yaani Yesu ni Bwana harusi na sisi tuliokoka yaani kanisa ni mabibi harusi. Sasa mimi ni nani nisitoe mahari duuuh!
@annacharles2842
@annacharles2842 3 года назад
Safi sana simple and clear
@wilsonmichael1156
@wilsonmichael1156 3 года назад
Yesu mwenyewe ni mume wa kanisa alitoa mahari ya damu yake. Mimi ni nani hata nisitoe mahari.
@mariamukija3594
@mariamukija3594 3 года назад
Nimeielewa sana kaka
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 года назад
Mmmm hapo unapotea
@maryoswad7022
@maryoswad7022 3 года назад
Mmm kiapo hicho simchezo
@samsonmahwago9439
@samsonmahwago9439 3 года назад
Mfano wa kuigwa kiroho kabisa......inabariki kweli hakuna udunia hapo FGBF CHURCH makanisa yapate fundisho hapo.....baba yangu kakobe kwake nilijifunza mengi mpaka Leo..
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 года назад
Wachungaji Wajifunze hapa ili Watoto wafunge ndoa
@LadislausyStanislausy
@LadislausyStanislausy 8 месяцев назад
Kweli mtoto wa nyoka ni nyoka,litoto linajua kuongea Hilo
@robinahumphrey9725
@robinahumphrey9725 3 года назад
Teacher,kama Teacher....
@barikikabungo859
@barikikabungo859 3 года назад
Tunawatakia Maisha mema yenye Baraka tele.
@yohanamatonyayohana1153
@yohanamatonyayohana1153 3 года назад
We chomoza tv acha kupotosha watu kwenye ndoa za fgbf hakuna pete we video cover umeweka pete maana yake nini?
@nsiaelieza9568
@nsiaelieza9568 3 года назад
Hakuna shida baba kumfungisha ndoa mwanaye. Hata ndoa za kimila zilizodumu zilifungwa na wazazi.
@elizabethpastory2024
@elizabethpastory2024 3 года назад
Congratulation ma bro Ezekiel
@ewmoshykigoma
@ewmoshykigoma 3 года назад
Usome biblia uilewe vzr..nani alikubia walikuwa hawtolewi mahari?? Yakobo alitumikia miaka mingapi kumata Leah?? Huo mfano wa kuuzwa kwa Yusufu una uhusiano gani na mahari??
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 3 года назад
@@ewmoshykigoma kwani ni lazima hata kama unauo mfano? Jamani si kila kitu ni biblia vingine ni mila na desturi
@agnesmahenge133
@agnesmahenge133 2 года назад
B
@vallerinejesse2299
@vallerinejesse2299 3 года назад
Kafungishwa ndoa na babae! 😁
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 3 года назад
Hapo anasimama Kama mtumishi wa Mungu.
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 3 года назад
Shida iko wapi??si anaruhusiwa kufungisha ndoa??
@mecktildatushabe7898
@mecktildatushabe7898 3 года назад
Hapo anaefungisha bdo sio baba Bal nimchungaji
Далее
KIBURI CHA UZIMA- Askofu Zachary Kakobe.
52:28
Просмотров 16 тыс.
"Mawazo" Sehemu Ya 70 Thoughts Dr Elie VD Waminia''
36:53
HEKIMA HALISI | Bishop Dunstan Maboya - Uvumilivu
10:18
Mtoto Wa Kwanza Wa Askofu Kakobe "SIFA" Aolewa.
9:56
Askofu Zachary __kakobe Kuelea kwa  chuma cha shoka
16:46
Askofu Dunstan Maboya - Vitu 12 vinavyoleta furaha
27:27