Тёмный

MTOTO WA SHEIKHE (Ep 1) 

Comedy Plus
Подписаться 150 тыс.
Просмотров 108 тыс.
50% 1

#Bhailam#Naomy#comedyplus#2024#
⭐⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
Subscribe hapa : www.youtube.co...
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 211   
@ComedyPlustz
@ComedyPlustz 2 месяца назад
HABARI ZENU MASHABIKI ZETU , KWANZA TUNAWAOMBA RADHI KWA KUIFUTA TAMTHILIA YA MY FAMILY KWA SABABU ZILIZO CHINI YA UWEZO WETU ILITUPASA TUFANYE HIVYO PILI SHETANI SEASON YA KWANZA IMEISHA TUSUBIRI SEASON TWO , LAKINI KWA SASA TUMEWALETEA HII TAMTHILIA MPYA YA MTOTO WA SHEIKHE ,,TUNAWAOMBA SANA MUENDELEE KUIFUATILIA NA KUTUSAPOTI KWA KUENDELEA KUITAZAMA PASIPO NA NYINYI SISI HAKUNA KITU .
@yunuschum3754
@yunuschum3754 2 месяца назад
Tupo pamoja ❤
@falmaliciousfoods4638
@falmaliciousfoods4638 2 месяца назад
Tuko pamoja❤
@Sweatramlaty
@Sweatramlaty 2 месяца назад
Lakini mmetuongesh utam mkatuach njia pand😢😢
@rukiahassan7001
@rukiahassan7001 2 месяца назад
Tulitaka kujua yule baba mbakaji hatima itakuaje.ila km haipo Tena haina shida
@BonifasiAmosi
@BonifasiAmosi 2 месяца назад
Kwahiyo shetani sezoni 21 sijaiwona
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 2 месяца назад
Pia hino ni nzuri mashallah...mjomba ndiouzuli kapendeza...yni nyote mliovaa kanzu mmependeza masheikh wangu ❤😂❤😂
@ZuwenaIssa-di5yy
@ZuwenaIssa-di5yy 2 месяца назад
❤❤❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Месяц назад
❤❤❤
@judithpendo9985
@judithpendo9985 2 месяца назад
Genz 👊 another one nawapenda saaana nikiwa 🇰🇪🇸🇦 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NeemaKombe
@NeemaKombe 2 месяца назад
Ndio uzuri Tuwachane❤❤❤
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 месяца назад
Kazi nzuri....ingefaa Naomi atumie jina la kiislam.... Pendine angeitwa Ummy.
@mathnaasaa2166
@mathnaasaa2166 2 месяца назад
Hawa hua hawabadilishi majina
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 месяца назад
@@mathnaasaa2166 aaah nlikuwa sijui Hilo.. Ila naona kwenye movie nyingine wanabadilisha majina kutokana na huusika mtu anaocheza
@thumananah
@thumananah 2 месяца назад
Naomi pia n jina la kiislamu
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 месяца назад
@@thumananah thanx kwa kunijulisha nilikuwa sifahamu hilo
@hassankalu540
@hassankalu540 2 месяца назад
Msijifanye hamkuona kwa mariamu nyie watu kumbe shape ilijificha kwnye dera 😅😅😅 am watching this from mombasa kenya we gen z anguka nayo
@IDDNZARO22-eu5xx
@IDDNZARO22-eu5xx 2 месяца назад
😂
@RonaldRasmo-u7p
@RonaldRasmo-u7p 2 месяца назад
Wa kwanza kenya wapi like zangu basi🎉
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 месяца назад
🎉🎉
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 месяца назад
KHAIRATI WEE NOMAA, LAKINI SASA UMEVAA VIZURI MASHALLAH. HAPO UNATUVUTA TUJE JUMLA JUMLA. MASHALLAH
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Месяц назад
Mmependeza sana mlivovaa kiislam mashallah na ina mafunzo sana❤❤❤
@FaithAdrian-sc1ny
@FaithAdrian-sc1ny Месяц назад
Ok tunawapenda sana ❤❤ Mungu awabariki sanaa
@FahadAli-ni5eu
@FahadAli-ni5eu 2 месяца назад
Bhailam una u..genius flani kwenye Kazi yko🎉🎉🎉
@teddysananga
@teddysananga 2 месяца назад
Et ndio uzuri, ni kikwagula😂😂😂 hajui
@AzizaJuma-o2k
@AzizaJuma-o2k 2 месяца назад
Watazamaji wa hii movie weka like Kwa bailam
@Aisha-o4v
@Aisha-o4v 2 месяца назад
@@AzizaJuma-o2k ,,🎉🎉🥳🥳🥳🥳🇴🇲
@ButoyiThierry-j8e
@ButoyiThierry-j8e 2 месяца назад
@@AzizaJuma-o2k toka
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 2 месяца назад
Sasa hii ipo vizuri mlifanya vizuri kuifuta Ile my family
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 месяца назад
😮😮
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 2 месяца назад
@@SalamaTaura nini tena yawaaa
@jaitheloveBFM
@jaitheloveBFM 2 месяца назад
❤❤❤❤❤ nawapenda Niko 🇲🇿🇲🇿✔️✅
@Damacline4004
@Damacline4004 2 месяца назад
Nampenda naomi jamani uyu mdada mzuri mashallaaa ❤❤❤❤❤much love from kenya
@AbediAdam
@AbediAdam 2 месяца назад
Hakika najifunza kitu kweny move hii ila namkubali sana naomi
@UmiMazari
@UmiMazari 2 месяца назад
Hongereni sana mungu àwzidishie kipaji
@HellenMahumi
@HellenMahumi 2 месяца назад
Bailam tumalizie story ya Shetani basi
@adolphinayalala4092
@adolphinayalala4092 2 месяца назад
Wewe kuanzia uzaliwe ndo umesema neno la lahana🎉🎉🎉. Bahilam leta shetani basi
@migoshimself3204
@migoshimself3204 2 месяца назад
From 🇧🇮....... Nikiwa 🇯🇲 kazinzuri Sana
@OmanOman-y7z
@OmanOman-y7z 2 месяца назад
Safi Sana kwa kazi nzur sanaa hongereni Sana 🎉❤😂😂😂
@SalmahAbdallah13
@SalmahAbdallah13 2 месяца назад
Sijui kwann mke akiwa mwema mume anakuwa tofauti vivo hivo kwa mume akiwa mwema mke anakuwa mcharuko,ni wachache sana wanaoendana kitabia na kiimani
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Месяц назад
Ni kweli kabisa
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 месяца назад
Hiriziii sio mariam jaman wanamsingizia ummy jaman 😢😢😢😢😢ndoa imeingia mdudu.uxurii.mzeee simba kayasikia mwanae hana kosa kabisaaaa
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 2 месяца назад
Kazi nzuri sana hongereni jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MwanakombomohammedKimbonja
@MwanakombomohammedKimbonja 2 месяца назад
Nampenda mzee simba akicheza hii part ❤❤
@nasraemmanuel
@nasraemmanuel 2 месяца назад
Sana Yuko vzr anajua mno❤❤❤❤❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Месяц назад
Kabisa yn❤🎉
@abuuqamar58
@abuuqamar58 2 месяца назад
Masha Allah tamthilia nzuri sana.
@MwatumuOlunga-mh7hb
@MwatumuOlunga-mh7hb 2 месяца назад
Smart ❤sana na shetani iliisha ama vipi❤❤🎉🎉
@MashaMbwana
@MashaMbwana 2 месяца назад
Hivi ulisoma uo ujumbe waliouandika apo juu😮
@fatuma6011
@fatuma6011 2 месяца назад
Kaz nzur sana ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 месяца назад
Mwamanyivandu😂😂😂 🙌 ❤❤❤
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 2 месяца назад
Ndouzuli nkuchane 😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Месяц назад
😂😂😂
@elsasaidesaideassane
@elsasaidesaideassane 2 месяца назад
Eu amo vossos videos! E gostaria de saber O que aconteceu com my family? Já não aprece no vosso canal?
@lindauma982
@lindauma982 2 месяца назад
Wapili leo jmn daah happy sunday my ppl❤
@MwanakomboAmini
@MwanakomboAmini 2 месяца назад
Kazi nzuri Sana hongeren❤❤❤
@AliMunga-c8n
@AliMunga-c8n 2 месяца назад
Kazi nzuri bro bhailam Naomi 😂
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 месяца назад
Mimi huwapenda sana n mnajuwa kuigiza kwakweli ❤
@HalimaAli-e4w
@HalimaAli-e4w 2 месяца назад
Hongerenii snaa🎉🎉🎉
@MariamRwandobi
@MariamRwandobi 2 месяца назад
InshaAllah
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 месяца назад
Hayaaa mwali wangu Ummy kapindaa lkn mumenayee kamregesha kwao itakuajee
@saidigongolo4532
@saidigongolo4532 2 месяца назад
Kazi nzuri sana Ila muda mdogo sana
@MaryamMaryam-vl8lm
@MaryamMaryam-vl8lm Месяц назад
Mzee Simba n baba mwnye busara sna
@frankphiri111
@frankphiri111 2 месяца назад
Mariam gained weight and she is beautiful
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 2 месяца назад
Next 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 2 месяца назад
This is love from Mozambique 🇲🇿❤
@DulaLuiz
@DulaLuiz 25 дней назад
Hatari Sana hii muv
@FatmaAlly-d5v
@FatmaAlly-d5v 2 месяца назад
Much love❤❤❤
@JeanLunda-nv5fd
@JeanLunda-nv5fd 2 месяца назад
Nawakubali Sana kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥
@InkindiAfisa
@InkindiAfisa 2 месяца назад
Ndoo uzuri nikucane 😂
@Tatu-b9p
@Tatu-b9p 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂 ata kicheko n commentjmn 😂😂😂
@STANLEYKINYILI
@STANLEYKINYILI 2 месяца назад
Kenya Watching
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 2 месяца назад
Kazi iko vizurii
@WekesaSylvia
@WekesaSylvia 2 месяца назад
Nice job nawapenda sana
@WastaraShabani
@WastaraShabani 2 месяца назад
Kazi mpya hiyooo
@TantineZuzu
@TantineZuzu 2 месяца назад
Bahraim kashasema baba ametowa mahari 😢😂😂❤🇧🇮
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 2 месяца назад
Kazi nzuri ❤❤🎉🎉
@AminaRashid-c6n
@AminaRashid-c6n 2 месяца назад
Mashallah
@paulinekombe3753
@paulinekombe3753 2 месяца назад
Hongeren sana nyote tuko pamoja 🎉🎉🎉
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 2 месяца назад
Wow 😂😂😂hailat❤🇹🇿
@rosemarenga832
@rosemarenga832 2 месяца назад
Ongeren sana Kwa Kaz nzur🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@aganzeroger
@aganzeroger 2 месяца назад
Nawona tume iyanza nyingine🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 2 месяца назад
Kazinzuri sana kabisa
@alfredtebeka2497
@alfredtebeka2497 2 месяца назад
Hamnaga kazi mbovu team yangu❤
@DorcasKadama
@DorcasKadama 2 месяца назад
Sasa Bailam shetani ndio n basi jmni❤
@HalimaOmary-e5f
@HalimaOmary-e5f 2 месяца назад
Wa kwanza leo😂🎉
@SamuelKwizera-tl4ko
@SamuelKwizera-tl4ko 2 месяца назад
Jambo bhailam ni Samuel kwizera napenda sana
@munamamaj9622
@munamamaj9622 2 месяца назад
Ni nzuri sana
@subbyraibrahimu250
@subbyraibrahimu250 2 месяца назад
😅😅😅 ndo uzur ela ishapigiwa maesabu
@crossmuthui8143
@crossmuthui8143 2 месяца назад
Na my family mmeachana nayo ama vip
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 месяца назад
Mzee hamza ushapigwa ww na hairat 😂😂😂
@helinasubila987
@helinasubila987 2 месяца назад
Genx hapa ❤ wakenya
@Leyla-n6x
@Leyla-n6x 2 месяца назад
Unaweza Kaka 🎉🎉🎉🎉
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 2 месяца назад
Nzuri sama 🎉🎉🎉
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 2 месяца назад
Tushalijua tayar tatizo ni ww bailam 😂😂
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 месяца назад
Wallah kweli huo uibajii looo yani ni wa science kweli manA sijaona😂😂😂
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 месяца назад
😅😅😅😅😅
@rosemarenga832
@rosemarenga832 2 месяца назад
Mm ad nimetudisha nyum nion lakn sijaambuliy kitu😅
@JibranMursali
@JibranMursali 2 месяца назад
Mzee simba tuko pamoja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@caroleangambe1239
@caroleangambe1239 2 месяца назад
Next episode plz ❤❤❤❤❤
@nurafedrick378
@nurafedrick378 2 месяца назад
😂😂😂😂😂mm nasubiri nione amechomoa VIP hiyo pesaa lkn sijaona😅😅
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 месяца назад
😅😅😅😅😅😅
@rosemarenga832
@rosemarenga832 2 месяца назад
😅😅😅😅kumb tuko weng nikajuw ni mm mwenyew
@AminaAli-w3s
@AminaAli-w3s 2 месяца назад
Good job wa ta3
@KagegaAbdlah
@KagegaAbdlah 2 месяца назад
Jamna my family iendelee tu mbona ipo vizul
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 2 месяца назад
Next 🔥
@حليمهالبلوشي-ز5ث
@حليمهالبلوشي-ز5ث 2 месяца назад
❤❤❤❤
@khadijamoss293
@khadijamoss293 2 месяца назад
Bila samahani tunawapendasana❤
@LYDIAEDWARD-n7c
@LYDIAEDWARD-n7c 2 месяца назад
Kaz nzur
@marynyota6146
@marynyota6146 2 месяца назад
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@alisaid5745
@alisaid5745 2 месяца назад
Hiviinavo ends itakuwamzur kama wakewenza
@AmisseBuraimoCanamo
@AmisseBuraimoCanamo 2 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉bai from mozambiq 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 2 месяца назад
❤❤❤❤nice
@a.p.monlinetv3561
@a.p.monlinetv3561 2 месяца назад
💪💥💥💥
@philohmutua2968
@philohmutua2968 2 месяца назад
Makubwa❤❤❤
@everlinekenga437
@everlinekenga437 2 месяца назад
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@sofiaabdallah8741
@sofiaabdallah8741 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
@FatmaAde-n5b
@FatmaAde-n5b 2 месяца назад
kaZ Zur sn ila tuna hitaji mutumaliziye muvi y shetan
@romkasmabdall351
@romkasmabdall351 2 месяца назад
Hizi ndio move sasa
@dullaxaka6138
@dullaxaka6138 2 месяца назад
Ndio uzuri 😂😂😂
@AminaKhalfani-ib7sh
@AminaKhalfani-ib7sh 2 месяца назад
Waoo
@Jamila96_juma
@Jamila96_juma 2 месяца назад
Mbona my family siioni?
@fabeifabei865
@fabeifabei865 2 месяца назад
ya shetani twaigoja plz
@ShakilaAyoub
@ShakilaAyoub 2 месяца назад
Mchane kbx ndouzuri😂😂
@Trizah-jb2on
@Trizah-jb2on 2 месяца назад
Kwani shetani iliishaa.
@DelvinChepkorir-t1d
@DelvinChepkorir-t1d 2 месяца назад
Season two,,, inakuja
@Brownlovietz
@Brownlovietz 2 месяца назад
MSICHELEWE KUTOA MIENDLEZO BANAA🙏🙏
@yunuschum3754
@yunuschum3754 2 месяца назад
Wa 17 🎉
@AndrewFord-m9j
@AndrewFord-m9j Месяц назад
Laney Hills
@BeckMag
@BeckMag Месяц назад
782 Senger Drive
Далее
MTOTO WA SHEIKHE (Ep 2)
22:12
Просмотров 100 тыс.
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
Просмотров 679 тыс.
FORTUNE | Ep 01| Full Episode
17:29
Просмотров 166 тыс.
PENZI LA BABA EPSODE 1 FULL EPSODE
16:23
Просмотров 900
SHETANI |Ep 2| SEASON TWO
12:19
Просмотров 26 тыс.
MTEGONI [FULL MOVIE]
2:22:22
Просмотров 242 тыс.
JOKA LA KIJIJI FILAMU YA KUSISIMUA
50:25
Просмотров 6 млн