Тёмный
No video :(

MUANDAMANAJI ALIVYOBEBWA NA POLISI AKIWA NDANI YA GARI LAKE, WATU WATAWANYWA NA VIFARU, UGANDA. 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

6 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 20   
@user-id6xo9td6k
@user-id6xo9td6k Месяц назад
Japo maandamano ni haki,lakini nch zetu hasa za jumuia ya Afrika mashariki kuna mdudu mbaya anajiingiza kwa nguvu, tuagalie kwa makini tutasikia leo Kenya,Uganda, Burundi, Rwanda, Tanzania Sudan yatatokea.kuna mataifa na watu wakubwa kabisa wapo nyuma ya hiyo kitu.
@eusebiaurassa3417
@eusebiaurassa3417 Месяц назад
Sasa hapo kabebwa wap jmn daah😂😂😂😂
@AsminKhaoya
@AsminKhaoya Месяц назад
Neno lamungu linanena hulimwengu muzima muweteyari kwatabia husiyo tabia kwa neno la.mungu kwa maitaji yake hatutimishi kwa
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 Месяц назад
Millard Tumbafu, sas hapo kabebwa wapi?
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 Месяц назад
Kumbe maandamano ni East Africa wote
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana Месяц назад
Duuuu africa is not easy
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana Месяц назад
Video ya mwaka hiyooo
@user-pn7xm6wd8v
@user-pn7xm6wd8v Месяц назад
Sio mwaka Jana hiyo ni Jana na hiyo ni mbunge huku Kampala alikamatwa jana
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Месяц назад
Na kwanini viongozi wa ovyoo alafu wana nganga nia madalaka tatizo nn viongozi sio wazalendo iyo alii ita tokea African mzima kwa sasa babu watu wana ona na wana sikia
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 Месяц назад
Afrika walishakosa vita wanatest mabomu kwa raia wakw
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Месяц назад
Hii k2 inatafuna inchi za Africa ! Maandamano
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Месяц назад
Mzungu katulia tu mmwagane damu auze silaha... mammaee
@maikolema6140
@maikolema6140 Месяц назад
Hawa vijana wamekosa adabu awajui mahali nchi zimetokea wakiaribu amani tuliyo nayo kwa miaka atutaipata Tena tunasitahili kuikemea hii tabia Hawa vijana hawana Cha kupoteza lakin cc tuna wake na watoto tutawapotea tunaumia sana kwa hizi Tania za gnz
@ngotosilasi2099
@ngotosilasi2099 Месяц назад
Nanikakudanganya ww
@barakastephano8889
@barakastephano8889 Месяц назад
Ndo uwaambie serikali wawatazame vijana..
@barakastephano8889
@barakastephano8889 Месяц назад
Ndo uwaambie serikali wawatazame vijana..
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Месяц назад
KWETU WALITAKA KUPITIA KAKOO LAKINI KWA BUSARA YA WAZEE WA UKONGA BANANA... , hahahahahah,
@user-mn3yd7jg3q
@user-mn3yd7jg3q Месяц назад
Ukipiga porojo unakula chuma maandamano ni Yale ya Kenya tu nchi ztu ukiongea kuhusu serikal unapotea ghafla .utaskia tu haonekan au katekwa na wasiojulkana 😂
@barakarobert1029
@barakarobert1029 Месяц назад
Chuma imehamia uganda duuh aisee viongoz wa bongo tz tieni maji maana wananchi cyo wajinga now
Далее
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 15 млн