Wallah ukiipenda haqi ukaachana na taasubi ,utafaulu nainasihi nafsi angu pamoja na zenu ktk hili jambo ..ukitizama wengi tumeanguka ktk suala la taasub (bias in English) km itakuwa sijakosea lugha ...mwenye kutambua zaidi msamiati unaofaa kutumika hapo anaweza kunikosoa na akawaelewesha wasioelewa hiyo vocabulary. Wallahu a'alam