Maashaa Allaah, Elimu ikiwepo mahala hua haifichiki. Maongezi haya sio maongezi ya mtu mjinga asiejua kitu, bali ni maongezi ya mtu ambae anaonesha yuko vizuri sana ktk maarifa. Allaah amrahamu Shekh Abuu Mu'aawiyah, na awatie huruma ndugu zetu walio mkata mtu ambae laiti watu wangejitambua basi wange faidika mambo mengi sana, kiasi ambacho mambo hayo nisehemu chache ambazo unaweza kuyapata