Тёмный

MUHADHIR MBOGO ATOA ANDIKO* MUHAMMAD NI MTUME* 

SHEIKH MWAIPOPO TV
Подписаться 45 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

#SHEIKHMWAIPOPO #MUHUBIRIMWAIPOPO #SHEIKHMWAIPOPOTV
Tafadhali Usiache KuSubscribe katika Channel hii ya RU-vid ya SHEIKH MWAIPOPO TV..Like pamoja na kusharekwa wengine hili wapatwe na Kheri kutoka kwa Sheikh wetu Mhadhiri Said Mwaipopo.MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE:+255 756 361 906..................من فضلك لا تتوقف عن الاشتراك في قناة الشيخ موايبوبو التلفزيونية على يوتيوب..مثل مع المشاركةللآخرين ليتم استدعاؤهم من قبل خيري من الشيخ المحاضر سعيد موايبوبو.

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 148   
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 2 года назад
Masha Allah
@ikrhamtv9678
@ikrhamtv9678 3 года назад
Mashalla, huyo nchungaji amwamini muhamad, na kama hana himani hiyo hinaonekana vile vile amini curan, nakama hamini curan, naomba mumoneshe hutabiri wa muahamad ndani ya bibilia kitabu anacho amini. Amin
@delefantasticali8377
@delefantasticali8377 3 года назад
Mashaaallah mngu awalipe fridaous
@mrboma4343
@mrboma4343 3 года назад
Kazi zuri sana mashallah
@rbagha5280
@rbagha5280 2 года назад
Message kutoka Canada. Wakristo na waislamu wameumbiwa na mungu huyu mmoja tu. Hakuna mungu tofauti aliye umba Mkristo na mungu mwingine aliye umba Mwislamu. Sawa? Hapa tumekubali. Je dada na ndugu zangu kwenye Ukristo--umejiuliza hayo maswali kibinafsi? Umejiuliza jina la pili au la mwisho, yaani surname, wa Gospel kutoka Matthew, au Mark, au Luke, au John? Passport yako ina jina lako ya kwanza tu? Utaweza kusafiri hivyo? Ujiulize. Fikiria sana kwa akili aliyekupa mungu. Je Yesu au mama yake Maria walisema Yesu ni mungu au mtoto wa mungu? Je wanabii kwenye Bible waliozaliwa kabla ya Yesu wataenda motoni, kwa sababu hawakujua Yesu, na wakristo wanasema “only through Jesus you will be saved?”? Hii ndiyo haki au ni dhulma? Waislamu wanapenda Yesu zaidi kwa sababu wanaume wa waislamu wanaweka ndevu na wanawake wanavaa hijab (Head Cover) kama Mother Mary. Hawali Pig/Pork kama Yesu au mama yake. Wanamwomba dua na kukwabudu mungu moja sawa sawa kama yesu na mama yake walivyo omba kwa huyu mungu moja. Sawa? Fikiria sana haya maswali. Sio Ibilisi/Shaitani/satan awapoteshe na awachukue motoni. Wakristo ni wandugu wa waislamu. Sote tuende Peponi kwa kumwabudu mungu mmoja tu. Au sio? Much respect from Ray in Canada.
@sr.helenarhobi8886
@sr.helenarhobi8886 2 года назад
Kongore sana mch. Kashsha leo Mwaipopo amekutana na mjuzi wa neno, kwani amezoea kusilimisha wainjilisti njaa.
@mrboma4343
@mrboma4343 3 года назад
Mashallah
@sadikiramadhani5631
@sadikiramadhani5631 3 года назад
Muchungaji acha ubishi yesu siyo mungu
@nzeyimanaambari9754
@nzeyimanaambari9754 2 года назад
Salaam ndugu katika dini tuongezee muda huo nimfupi sana hapa tuna ona vindi hadi saa1 ou fuatanisheni vindi tuone uhondo au furaha tuwe pamoja
@amoschacha2885
@amoschacha2885 3 года назад
Hao waliolala katika kristo wamepotea
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 года назад
Wewe uliyelala ktk MUHAMAD Ndo uliyepotea
@anwarambar6141
@anwarambar6141 2 года назад
@@mossesjovenari9457 hao walio lala katika kristo wamepotea hio ni Aya ipo katika biblia, ama hao walio lala katika Muhammad ,hamna katika biblia wala Quran tukufu, Bali ni manene yako
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 года назад
Kweli
@banzimbasike5642
@banzimbasike5642 3 года назад
Mchunguji anashindwa kujieleza
@firozhussein2666
@firozhussein2666 3 года назад
Dakika Tano ni ndogo sana kutoa madam hizi
@anwarambar6141
@anwarambar6141 2 года назад
wewe mchungaji acha ubishi, yesu sio Mungu
@fathiafathia8701
@fathiafathia8701 3 года назад
Unitoi kwa usmlm ata ufanyeje...
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 года назад
usubili huo uislam wako uje uendenao motoni
@anwarambar6141
@anwarambar6141 2 года назад
uislamu dini ya haki, tutakufa tukiwa waislamu
@medardissa6253
@medardissa6253 3 года назад
Kumjua Yesu kristo siyo Jambo dogo ndio maana watu wote duniani wameshindwa kumuelewa,ni rahisi Sana kuwalewa manabii wote lakini siyo Yesu kristo.
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 3 года назад
Jesus is a fellow muslim you are totally mis informed by colonial powers
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 года назад
Ww ndiyo humuelewi na wenzako wasiotaka kuelewa
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 3 года назад
Ww ndo huelewi soma Yohana 17-3 ndo uislamu
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 года назад
@@hamzaswaibu9470 Sijui kwa nini hawaeli!
@wardafusi6012
@wardafusi6012 2 года назад
Nikweli kwakuwa ,alitawaza , alivaa kazu, alisujudu, aliingia msikitini lakin nyinyi mnafanya tofauti ndio maana kwa wajinga Kama nyinyi amuelewi chochote
@medardissa6253
@medardissa6253 3 года назад
Yesu kristo ndiye njia kweli na uzima- YOHANA 14;6-9
@husseinkiruta1712
@husseinkiruta1712 3 года назад
Luka 20:21 .. Soma apo utajua yesu alikuwa akifundsha njia ya kweli ya Mungu Swali hiyo njia inaitwaje Sasa ?Kama Ni ukristo utoe Aya wapi andko Ukristo Ni dini ya Mungu?
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 3 года назад
Masikini wa fikra
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 3 года назад
Yesu ndio awe njia leo
@sulemanissa3199
@sulemanissa3199 3 года назад
mchungaji muhuni hiyo unashindwa kujitetea
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 года назад
Mungu hana watoto yupo na vuumbe yesu kiumbe sa wewe isipokua yukonaceo kama nanabi kilakitu nukosawa ila ni mutume kwa wanawa israel yesu hakumakizia kazi ya Mungu Mungu muhamadi S.A.W Akamalizia kama mapresident ndivyo manabi wanapishana ata yesu aliyemupisha ni yahaya yohana nyinyi vip lakini nikweli mapasta hawawezi aca prsa wanazozipata duniani yani psa na Mungu wanaona Mungu subhanalah nabi musa na nabi MUHAMMAD ndiyo majina akiza yesu skija atapanga wanawe adisi zipo
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 3 года назад
Mchungaji upande wa kuwa yesu ni mungu umepigwa Mia bila hiyo maada imelala kifo cha Mende. Hauna hoja.
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 3 года назад
Hili chungaji ni kichekesho.
@nassarrostom1919
@nassarrostom1919 3 года назад
Mbona mchungaji ajui chochote
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 года назад
Mchungaji anavyo muangalia huyo shk
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 года назад
Wacristo hawana akili wansmucukua binadam kuawa Mungu usni mwanaume meenziyo wamuita mungu vip? Makafiri bana hamuna imani ya kweli afu hana akili anasema watu wamekosa dini yani yesu njo dini ebu kapimwe akili jinalamutu litakuwajr dini weewe ulitakiwa kusema watu wako na imani wamekosea dini kwasababu dini ni uislam pekeyake iyo yenu yakumuuabudu mutu negative nambele yaMungu hutosamehewa bora ukwende disco
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 года назад
YESU ni wakwanza na wamwisho ufunuo 1:17-18 na ni ALFA NA OMEGA ufunuo 22 :12-13.habari za muhamad ni upotofu mtupu
@munimuni3365
@munimuni3365 3 года назад
Polesana namandikoyako naimaniyako
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 3 года назад
Nini maana ya kwanza na wa mwisho?
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 3 года назад
Jesus is Islamic prophet, just as prophet Muhammad you are really ignorant
@sadikiramadhani5631
@sadikiramadhani5631 3 года назад
Wewe niwamatoni
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 года назад
Ww ndiyo umepotoka sio Waislamu
@nzeyimanaambari9754
@nzeyimanaambari9754 2 года назад
Wewe unajiita mchungaji injili tuajua ni maneno ya ,yesu ,jee habari za paulo umepata ,wapi na ,paulo hawezi kujua injlli paulo siyo sahaba wa yesu ajua jee
@ahmedbakari9223
@ahmedbakari9223 2 года назад
Mbona hatoi maandio anaongea sanaaa kuliko maandiko
@yussufhussein6097
@yussufhussein6097 Год назад
Huyu yake ni hadithi tu
@lileoh3893
@lileoh3893 3 года назад
Wewe mchungaji ndio hutumii akili nikwanini kwenye kolaani manabii wote wametajwa kwenye kuruani kwani upewA nani kakupa nani utachomwa wewe
@nduwimanamoses363
@nduwimanamoses363 3 года назад
Yani waislam wamekalia ubishitu ivi kweli muhamadi anaweza kuwa mtume wa Mungu
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 3 года назад
Ni mtume wa Allah sio wa yesu.
@binahmedjuma8681
@binahmedjuma8681 3 года назад
Nabii Muhammad na Yesu (Nabii Issa) Kuna utofauti wowote kati yao?
@yussufhussein6097
@yussufhussein6097 Год назад
Ni mtume wa ALLAH
@halimahamis3742
@halimahamis3742 Год назад
Kwani ulitaka wewe ndo upewe utume
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 года назад
Acana nahawo makafiri wazingatie maneno yakweli waace kimbilia maybili ya kirom eti yesu mungu kama yesu ni Mungu kwanini haukubaki mukayolike mbona ico kitabo nicao wamecanga kweli na uongo wewe unaleta eti ni maneno ya Mungu yote katika bibiliasio ya Mungu wamemuzingishiya Allah na mitumewake navyesu kuna aya na adisi atawakana mbeleyamungu yesu nayeye atadmsubiri apelekwe peponi wewe inakuja eti yesu atasamehe izo ni stori zakirom
@lileoh3893
@lileoh3893 3 года назад
Hata yohana 16 mhamadi katabiliwa
@mossesjovenari9457
@mossesjovenari9457 3 года назад
unachukua roho mtakatifu unasema ni muhamad wacha kukufuru
@godasanga3819
@godasanga3819 3 года назад
Swali sio mtume hata shetani Ana mtume wake wapi andiko anachaguliwa hiyo ndo ngoma Mambo ya kugushi maandiko hatari
@selemanali5053
@selemanali5053 3 года назад
Mitume wote wakuja na dini huyo mchungaji yeye anamwamini nabiigani na huyo nabii kajana kitabu gani maana haeleweki
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 года назад
Hakuna andiko ndani ya Qurani muhamadi kachaguliwa
@abdelnasseraq7133
@abdelnasseraq7133 3 года назад
So who is chosen Jesus? Si what he is muslim what has got to do with you?
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 года назад
@@abdelnasseraq7133 kwa ushahidi gani
@abdulrazakhassanor498
@abdulrazakhassanor498 3 года назад
Na hakuna andiko katika biblia ambalo Jesus Christ amesema "Mimi ni mungu niabudini"
@husseinkiruta1712
@husseinkiruta1712 3 года назад
Nani anaye kidanganya 22:75 Quran Mwenyezi Mungu huteuwa manabii miongoni mwa malaika na binadamu Note :Mtume Mohammad sws Ni binadamu 2:97 Quran Sema ,Anaye mfanyia ushinde jibriel kwakuwa ndye aliye mletea utume nabii Mohammad sws asiwapelkee mayahudi Ni bure Hana kosa yeye jibriel hakika Kama letea utume nabii Mohammad kituani kwake kwa idhini ya mwenyezi Mungu Note;wew unataka Nani amletee utume wew au ?
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 года назад
@@husseinkiruta1712 andiko la Qurani 2:97 halisemi Hivyo Wewe unapotezwa kwa vingi Ndugu yangu 2:97 inasema Hivi aliyekua aduni Wa malaika Jiblili basi huyo ndiye aliyeiteremsha Qurani Umedanganywa wewe
@shafiihssan738
@shafiihssan738 3 года назад
Kufundisha imani ni kazi ngumu sana jamani....kwanin waislam hawaelewi,
@lileoh3893
@lileoh3893 3 года назад
Mungu hajazaa yeye huumba2 apendavyo
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 года назад
Waislamu hawaelewi juu ya nini?
@timrex5722
@timrex5722 3 года назад
Imani na dini ni vitu viwili tofauti dini ni akili ya MTU imani ni njia ya Mungu kwasababu haonekani kwahiyo tunahusisha imani kuliko dini maana dini inatufanya tutumie akili za kibinadam kumwelewa Mungu
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 года назад
@@timrex5722 Ww kama sio Muislamu ni sawa kwa sababu dini zenu zimekologwa na wazungu ndio maana mnachanganyikiwa na hapa nataka nikueleze ya kwamba hakuna imani bila dini sahihi kutoka kwa Mwenyezi Mungu ni sawa na kusema ww umezaliwa lakini hauna Ukoo;Mwenyezi Mungu aliweka Uislamu kuwa dini na njia ya watu wote duniani tusali kupitia Uislamu na ilikuwa ni njia ya kwenda kwake lakini Wazungu wa Ulaya wakavuruga na kuleta imani zao mbalimbali tofauti na Uislamu na nyie Wakristo munateseka na Mtume wa Mwenyezi Mungu Mohammad bure ,Mohammad hakuleta Uislamu bali Mwenyezi Mungu alimtuma ili aje kuweka msisitizo kwa watu waliokuwa wakiabudu miungu na masanamu waache hizo ibada wamuelekee Mwenyezi Mungu;Mtume Mohammad amepewa Quruani ili Ulimwengu mzima Uiamini Quruani na Uislamu na Uislamu umekuwepo na Umeshuka na Mtume Adamu sasa nyie mmejaa chuki tu hamtaki hata kutumia akili na kufikiri vizuri;Someni biblia yenu vizuri kwa utulivu na kuelewa muone inavyo jichanganya yenyewe!Alafu nyie kwa wenyewe mnapingana kuna wanaosema Yesu ni Mungu,wengine mwana wa Mungu,wengine alihuwawa musalabani,wengine hakufa.Dini ya Uislamu haitaji akili za waislamu bali imekamilika.
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 3 года назад
Mwenyezi mungu hawezi kuumba dunia na vilivyomo bila kujua mwisho wake alfu heti amusibiri Yesu azaliwe karne ya 6 ndiyo aje afe musalabani aende kuwaandalia Makazi mbinguni;Wakristo hii inaingia akilini?Yesu anamtegemea Mungu hata miujiza aliokuwa anaifanya Israel ni kwa uwezo wa Mungu sio kwa uwezo wake alisema kwenye biblia zenu;Kwanini akili zenu hazifunguki?Unamkuta mtu amesoma ana PHD anasema Yesu ni Mungu huu ni Musiba mkubwa sana!
Далее
SHEIKH WA KIGOMA ABATIZWA ATOA MANENO YA UWONGO
29:00
Просмотров 2,6 тыс.
PERFECT PITCH FILTER.. (CR7 EDITION) 🙈😅
00:21
Просмотров 3,3 млн
V16 из БЕНЗОПИЛ - ПЕРВЫЙ ЗАПУСК
13:57
MCHUNGAJI AACHA KANISA AMSHAMBULIA RAISI
30:23
SHEIKH MBOGO ATOA  SOMO MCHUNGAJI HOI
17:59
Просмотров 1,2 тыс.
UISLAMU WAVAMIWA MUISLAMU ATOA UCHAWI
37:53
WATEKAJI WATU TANZANIA SASA HAWA HAPA
29:46
Просмотров 9 тыс.
PERFECT PITCH FILTER.. (CR7 EDITION) 🙈😅
00:21
Просмотров 3,3 млн