Kila Nabii anakuwa na kalenda yake inayotawala.Toka Yesu aondoke haijatawala kalenda ya Nabii yeyote Hadi Leo,zipo za wao be na sio inayotawala. Yesu ni Alfa na Omega
Nani alimfundisha hali yeye ni mtoto lugha ya kiyarabu ni ngumu sana ameijuje hao maneno tunaiskia kwa mashekhe wa kubwa duniani yeye amefahamu vipi NA yeye ni mwafrika hio ni alama ya kiyama mungu ambariki NA waaslaam wote huko afrika ndugu yenu kutoka yaman
watuwaupande wapili wenye manabii fekiduu kwakweli wamelishwa mkatee washairi na divai hawaelewi chochotemana wanaleta hojazisizona mashiko waokwaokilakitu ndio ndio t mtt wakislam ndohuyo ukokwenu hamnamtt wanamnahiyo hataawe mtt wa mchungaji au papa
Ndugu Kila Binaadamu atakufa hii ni mpangilio wake Mwenyeezi Mungu. Mtume Mohamad alifariki lakini ametuachia Kuruani ambayo ipo Hai mpaka mwisho wa Dunia. Ni Mtume wa maisho lamini Kuruani ipo na sisi. Maneno ya kuruani ni ya Mwenyeezi Mungu. Maneno haya yamekusanya Elimju ya Ulimwengu Wote. Usikasirike ninajitahidi kukufahamisha.
Mawaidha yamewafikiaaa.......🤫🤫🤫 MTUME MUHAMMAD (S.A.W) NDIYE MWISHO WA MITUMEE......HAKUNA MTUME ATAKAYETOKEZA BAADA YAKE...............LAHAULA WALA QUWATA ILA BILLAH.......ZAMA ZA KIJAHILIA TU SUBHANALLAH ALLAH ATUONGOZE
Dogo umedanganywa Muhammad yupo kaburini anakuwaje wa mwisho wata watu tupo duniani nenda Kwa mwaposa utamkuta mtume Sasa waislamu munakosea kuwadanganya watoto wenu kama hako kanajua Nini ?
@@ustadhshafiionlinetv mwaposa utume kaupata Kwa Yesu Mungu mkuu Muhammad atumukubari kwasababu hakutumwa na Yesu kristo mwokozi wetu Muhammad ndomaana ni mtume na nabii wa uongo Kwa mujibi wa biblia mathayo 7;15 na 24;11 Muhammad hapo anapatikana
@@ahmedmassoud8758 katika vitabu vya Mungu Quruan sio ni Cha majini heti Mtume Muhammad ajui kusoma heti anakitabu kinaitwa Quruan wakati akijui kukisoma ndomaana tunakiita Cha majini mashetani mwaposa ni mtume wa Yesu anamtumikia