Тёмный
No video :(

MUHARRAM 1446H | 2024M | MASEER | Part 2 

Sayyid Aidarus Shariff Alwy - Mzee Mwenye
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 4,6 тыс.
50% 1

MASEER 1446H | 2024M
LAMU, KENYA.

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@user-me3dy9zk7e
@user-me3dy9zk7e Месяц назад
LABBAYKA YAA HUSSAIN..
@Abun70242
@Abun70242 Месяц назад
Lamu si Lamu tena ni Amu,keshanajisiwa na Urawaafidhwa.Msiba kwa Waislamu wote kwa jumla.
@ahmadabdulkadir544
@ahmadabdulkadir544 Месяц назад
Kaitie twahara upate thawabu zako
@razackndeze-pv5bm
@razackndeze-pv5bm Месяц назад
Masha Allah, mmependeza sana , JazzakumLLAH khair
@nakamuramatano5779
@nakamuramatano5779 Месяц назад
Mashallah Shia community
@Muislamu
@Muislamu Месяц назад
Shida ya watu walamu njaa ndio yawasumbua
@tigerroar3545
@tigerroar3545 Месяц назад
Mashia golo wapo wengi .Allah awaongoze
@ahmadabdulkadir544
@ahmadabdulkadir544 Месяц назад
Na wapotofu tiger pia Mngu awaongoze
@mohammadswaleh6900
@mohammadswaleh6900 Месяц назад
Donda sugu hili Limetawala Ushia umepenya kwa mikono ya Masufi.Punguzeni njaa
@kamrudinelias3922
@kamrudinelias3922 Месяц назад
Pesa za Khomeini zina fanya kazi....
@ahmadabdulkadir544
@ahmadabdulkadir544 Месяц назад
Twaona ndaa zako pia zafanya kazi
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 Месяц назад
Mashia
@ahmadabdulkadir544
@ahmadabdulkadir544 Месяц назад
Ndio page yao. Uliitafuta?
@eternallyhappy4667
@eternallyhappy4667 Месяц назад
labbayka ya husseyn labbayka ya Aba Abdillah 😢 leytany kuntu maakum faafuza fawzan adhwima
@muadhibrahim6914
@muadhibrahim6914 Месяц назад
Aliye kufunza hayo maneno alikua ni wa kilemba cheusi ama cheupe?
@Assalafiyyah637
@Assalafiyyah637 Месяц назад
Hii ndio ushirikina kwa uhakika wake hebu yatizame maneno haya mwili unsisimka wallahi
@ahmadabdulkadir544
@ahmadabdulkadir544 Месяц назад
​@@muadhibrahim6914chekundu cha youtube kama cha mufti comment
@ahmadabdulkadir544
@ahmadabdulkadir544 Месяц назад
​@@Assalafiyyah637usipoteze bundles bure.
@mundhirdubai5582
@mundhirdubai5582 Месяц назад
mashalla lakimi mbona magolo tu wale asili wako wapi au wao masjid yao mbali
@muadhibrahim6914
@muadhibrahim6914 Месяц назад
Kama mombasa msikiti wa bilal ndiyo wa magolo na ule mwingine wa majefry wenyewe
@husseinshatry938
@husseinshatry938 Месяц назад
Hii lakini ndio lamu ilotowa ma ulamaa ni jambo la kusikitisha sana mambo gani haya
@zully756
@zully756 Месяц назад
Waacheni wana haki sawa
@eliasissa826
@eliasissa826 Месяц назад
Goloo wote wenyewe hawapo
@111dudi
@111dudi Месяц назад
Hakuna hata siku moja mtume s.a.w.alipita njiani akiimba, wala hakuacha tabaka baina ya waislam,kama kuna wengune watakuwa masharifu wanaojipa daraja kuliko waislam wengine.
@ahmadabdulkadir544
@ahmadabdulkadir544 Месяц назад
@@111dudi lakini alikiandika comments za kejeli youtube, sio?
@twalibsaid2614
@twalibsaid2614 Месяц назад
Wale wakiwatukana waislamu ni makafiri kwa ajili ya madhebu ni watumwa wa mayahudi ndio maana hata nchi zao ni marufuku kusaidia kadhia ya kukombolewa masjidaqsa na palestine kwa jumla mwisho hata maandamano hakuna ruhusa kufanya . Bali twaona nchi na makundi ya mashia ndio wanao pambana na mayahudi
@twalibsaid2614
@twalibsaid2614 Месяц назад
Matusi ndio urithi mzuri walio achiwa wale wanafiq wanao mpenda Muawiya na Uazid laana iwashukie killa anaechukia kizazi cha mtume hua anarithi matusi hukosa he kima angalia comment zao ndio hali yao . Kuna shida gani mtu kusikitika na mauaji yakinyama aliofanyiwa wajukuu wa mtume ?
@twalibsaid2614
@twalibsaid2614 Месяц назад
Umadhehebu na chuki dhidi ya mashia umekufa watu wajielewa sasa waislam wengi hawataki tena propaganda za kiyahudi Imam Hussein ni wakilla muislam
@AbuabdillahUthmaan
@AbuabdillahUthmaan Месяц назад
Wa allah hawa ni. Wajinga wasio jielewa wamevunda akili kwa. Uvundo humein
Далее
MUHARRAM 1446H | 2024M | MASEER | Part 4
26:28
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 15 млн
Avaz Oxun - 10 yillik yubiley konsert dasturi 2023
2:52:33
MAZISHI YA BI KIDECHA
17:43
Просмотров 112 тыс.