Hakuna hata siku moja mtume s.a.w.alipita njiani akiimba, wala hakuacha tabaka baina ya waislam,kama kuna wengune watakuwa masharifu wanaojipa daraja kuliko waislam wengine.
Wale wakiwatukana waislamu ni makafiri kwa ajili ya madhebu ni watumwa wa mayahudi ndio maana hata nchi zao ni marufuku kusaidia kadhia ya kukombolewa masjidaqsa na palestine kwa jumla mwisho hata maandamano hakuna ruhusa kufanya . Bali twaona nchi na makundi ya mashia ndio wanao pambana na mayahudi
Matusi ndio urithi mzuri walio achiwa wale wanafiq wanao mpenda Muawiya na Uazid laana iwashukie killa anaechukia kizazi cha mtume hua anarithi matusi hukosa he kima angalia comment zao ndio hali yao . Kuna shida gani mtu kusikitika na mauaji yakinyama aliofanyiwa wajukuu wa mtume ?