Тёмный

"TUKO TAYARI KUSILIMU" || ALIYERITADI ZAIDI YA MIAKA 20 ASILIMU TENA 

Straight Path Dawah
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@AliIbrahim-lv5cq
@AliIbrahim-lv5cq 2 года назад
Shekh Ramadhan pamoja na imam Allah azidi kuwaongoza tunakuahidi bado tuko pamoja na nyinyi, mkono kwa mkono Hadi PEPONI,Allah azidi kuwapa nguvu nyinyi pamoja na familia zenu mlizoziacha majumbani mwenu, ‏آمين
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 года назад
Shekh Ramadhan huu mtaa pia lazima kupatikane msikiti japo mdogo tutachanga hivyo ivyo ili kulifanikisha hilo na Allah atatujaalia, inaonekana watu wa eneo hilo sio watu wakumezeshwa sumu ,na hawana kiburi
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 года назад
Ndugu zangu waislamu ili zima nilakwetu sote mnaona mji mzima hauna hata muislam mmoja . Hawa Mashekhe wetu wanafikisha dawa sisi kazi yetu nikuwasapoti kwa pesa ili wafanikishe hii kazi. Shime ndugu zangu tutoeni ktk Dini .
@alfanm.8221
@alfanm.8221 2 года назад
Kweli bro
@maherzain615
@maherzain615 2 года назад
Tuko duniani kulingania dini,ya uisilamu kwa walo duniani, tuwafunze mema yalio kitabuni, kwenye Qur'an na sunnah za amini.
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 2 года назад
Masha Allah Ustaz.good job.watching from Boston USA
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 2 года назад
Masha Allah sheikh Ramadan kazi nzuri ya kulingania dini ya haki Allah awape shifaa na uvumilivu
@andallaathman3856
@andallaathman3856 2 года назад
Mashaa llah huyo mama kauliza swali la sadaqa hio nimuhimu sana
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 года назад
Huyu mzee aliesilimu anaitqjika kupata elmu, inaonekana hata elmu ya uislam hana kabisa, alipenda dini lakini alikosa mtu wa kumfundisha
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 2 года назад
Munafanya kazi nzuri Allah atawalipa kila la kheri inshaallah
@blazeking2331
@blazeking2331 2 года назад
MashaAllah Allah awabarikie na awalipe kheri duniani na Akhira
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 года назад
Asalam Ayelkum Shekhe Ramadhani iyo idea ya kupanga chumba hapo ili watu wasome Dini ni idea nzuri sana. Kwamawazo yangu chumba kitakuwa hakitoshi bora tupange nyumba nzima au vyumba viwili kuwe na sehemu ya wanawake na wanaume kuswali na madrasa. Then tutafute kiwanja tujenge msikiti na madrasa in shaa Allah.
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 2 года назад
*Wakristo Wasabatu* wanatangaza kwenye mijadala yao yakuwa hii Quruani imeteremshwa na Shetani, nataka niwaulize:Shetani gani huyo, anae amrisha kufanya mambo haya: 1- Kumuabudu Mwenyezi Mungu Mmoja alie umba mbingu, ardhi, binaadamu na viumbe vyote 2- kuwatendea mema wazazi wako 3- kusaidia maskini, yatima, wajane na mtu yeyote mwenye shida 4- kutenda mema juu ya ndugu zako, majirani na uongee mema na watu 5- kukataza kuuwa mtu yeyote kwa kinyume cha sheria 6- Mwanamke ajistiri kimavazi asitoe mwili wake njee ila kwa mumewe 7- akataza kufanya zina na ushoga 8-akataza kula mali za watu dhulma, kuharimisha ulevi na kula nyama ya nguruwe 9- kuteremsha storia za Manabii kama hadithi ya Nabii Musa alipo ona moto akausogelea halafu Mungu akamuita akaongea nae direct, halafa akampa muujiza wa fimbo unao geuka nyoka akamuamrisha ende kwa Farao amkanye asiijifanye Mungu 10- storia ya Nabii Ibrahim alivyo tupwa kwenye moto halafu mungu akauamrisha moto usimuunguze 11- storia ya nabii Nuhu na mafuriko ya maji yalio angamiza watu wake na yeye akanusurika ndani ya safina 12 - Hadithi ya Mariamu alipo pewa habari njema na Malaika ya kuwa atazaa Yesu bila kukaribiwa na mwanamme yoyote na mtoto wake atakuwa Nabii mtukufu na atateremshiwa Injiil, then hadithi ya Yesu vipi alivyo kuwa anafufuwa watu kwa idhini ya Mungu sio kwa uwezo wake, anaunda ndege kwa udongo halafu anampulizia anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi mungu sio kwa uwezo wake, na hali kadhalika alikuwa anaponyesha watu, vipofu na wakoma kwa idhini ya Mungu... na hadithi za manabii wengine 13- Majukumu ya Malaika 14 - uumbaji wa binaadamu na majini 15- matukio ya siku ya mwisho 16 -adhabu wanayo pata makafiri ndani ya Jahannam na starehe wanayo ipata Waislamu wacha mungu Peponi. Haya yote niliotaja ni maamrisho ya shetani?!! Si kweli kabisa, shetani haamrishi mema always ana amrisha maovu, haya ni maamrisho ya Mwenyezi Mungu aliomteremshia Nabii Muhammad ( Piece Upon him ) kwa njia ya Wahyi (Mwenyezi Mungu anakataa yakuwa hii Quruani imeteremshwa na Mashetani, surat 26:210,211 ( Wala Mashet'ani hawakuteremka nayo. Wala haitakiwi kwao, na wala hawawezi ) halafu Mwenyezi Mungu anasema kama hii Quruani kutoka kwake, surat 26:192-196 ( Na bila ya Shaka hii ni uteremsho wa Mola Mlezi wa walimwengu wote. Ameuteremsha Roho muaminifu, Juu ya moyo wako ili uwe katika Waonyaji, Kwa ulimi wa Kiarabu ulio wazi. Na hakika bila ya shaka haya yamo katika Vitabu vya kale )
@maherzain615
@maherzain615 2 года назад
Mti wenye matunda lazma upigwe mawe
@hassangalgallo8496
@hassangalgallo8496 2 года назад
2cor 11:14 ....Sio ajabu Shetani mwenyewe ajigeuze kuwa Malaika wa Nuru.....
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 2 года назад
@@hassangalgallo8496 Kwa nini sio shetani aliejigeuza Paulo halafu akawatungia imani yenu inayo pingana na imani ya Manabii wote aliyo watuma Mwenyezi Mungu, hakuna nabii aliye sema kama Mungu ana mwana ila nyinyi wakristo, vizuri nikupe ushahidi njee ya waislamu kama sisi tunaabudu Mwenyezi Mungu Mmoja wa haki, sikiliza huyu Rabii ambaye kitabu chake tukufu ni Agano la kale mnalolihisabu yakuwa ni sehemu ya kwanza ya kitabu chenu bibilie ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-N68WI8ENTtA.html
@hassangalgallo8496
@hassangalgallo8496 2 года назад
@@alyaqdhan5206 kumbuka nabii Mohamed aliposema akimwambia bibi yake Khadija alipotoka pamgo la Hira "nahofia maisha yangu kuchezewa na mashetani"….lakini bi Khadija alimdakia na kumwambia sio shetani ila ni Malaika Jibreel amekutokea Cha kushangaza ni kwamba Bi Khadija hakuwa kwenye pamgo ila Mohamed alikuwa. Mohamed alikuwa na Shetani tangu kuzaliwa na alitolewa shetani mara nne.
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Год назад
MashaAllah Allah akupe umri mrefu kaka Ramadhani na afya njema uzidi kufunza uislamu kwa wasio ujua uislamu
@linetkikin4023
@linetkikin4023 2 года назад
Mashaallah tabarakah Allah awalipe kheri
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 года назад
Allah awalipe kila la kheri
@mariamkhaikachitechi6552
@mariamkhaikachitechi6552 2 года назад
Maashallah mubarikiwe
@salimomary1922
@salimomary1922 2 года назад
Masha Allah natamani sikumoja nijekua kama shekhe ramadhani kulia
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 2 года назад
Masha Allah masheikh wetu ..kaz kubwa mwaifanya Allah awatie nguvu Inshaallah
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 года назад
Masha ALLAH..ALLAH AKBAR..
@nooroman2535
@nooroman2535 2 года назад
MashaAllah shelkh Ramadhani pomoja na mashelhk yote Mungu hawape afya njema na subira kwakumtangaza Allah
@aishaibrahim1613
@aishaibrahim1613 2 года назад
MashaALLAH tabarak
@mukandamaakbar599
@mukandamaakbar599 2 года назад
Masha'Allah Allah awabariki
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 года назад
Allahuma ameen
@abdur-rahmanmuhammad6900
@abdur-rahmanmuhammad6900 2 года назад
I wish muge fundisha na Kikuyu kwa sababu kiswahili kwao ni ngumu kuogea (kujieleza vinzuri)
@saeedisa9798
@saeedisa9798 2 года назад
MashaAllah. Asanteni sana. Please wear gloves 🧤🧤 during construction 🚧, so you don't get injured in the hands. Thanks.
@sayeedwangara8954
@sayeedwangara8954 2 года назад
Kazi ya daawah ni ngumu ,Allah bless you
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 2 года назад
Shukurani sheikh wetu nyote,
@ummua5006
@ummua5006 2 года назад
Jazakumu Llaahu khairan. Huko kunahitaji msikiti na madrasa. Mukianza waislam watajitokeza tu.
@batulialmass8914
@batulialmass8914 5 месяцев назад
Masha Allah tabarakallah,shekhe ramadhan kulia Allah akupe afya ili uzidi kuendeleza uwislamu
@salmasalim6055
@salmasalim6055 2 года назад
Mashallah mashallah
@NIKE-xy6et
@NIKE-xy6et 2 года назад
Dah! Mtihani kweli. Mtu akikosa msikiti anaritadi !!! Mtu anakuwa muisilamu kwa sababu ya mume / mke !!!
@bentali5773
@bentali5773 2 года назад
Mashaallah
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 2 года назад
Masha Allah
@mishijuma5558
@mishijuma5558 2 года назад
Maasha allah
@maymgaya4192
@maymgaya4192 2 года назад
Mashallah
@Idysalim
@Idysalim 2 года назад
Ma-Sha-Allah Sheikh Ramadhan, good job you doing may Allah reward you, Am idi born muslim n practice islam but i want and am very interested in learning Arabic so that can be able to read and understand Qur-an deeply. Am in mombasa mtwapa if you offer such classes here kindly direct me where In-Sha-Allah
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 года назад
thank you for watching, kindly call or whatsapp me we discuss the matter inshallah. 0777600777
@abdallahnassor7891
@abdallahnassor7891 2 года назад
Nataka fatwa ya mtu aliyeritadi miaka 20 nyuma je Ni sahihi kumsilimisha upya Tena mbona tunasikia hukumu ya mtu aliyeritadi Ni kukatwa kichwa
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 2 года назад
Ai, Sadaka ime katazwa SANA na Yesu, anasema, "injeeli mulipewa bureee, na pesa musi pokey kabisaaa", Mathew 10:8-9! Yesu alisema yakwamba, haki za Sadaka, niza Masikini, Luke 18:18-23. Ni HARAMU Pastor ku itisha Sadaka. Malachi 3:10 ina ongelea habari za ZAKA, ambao ni NGANO, inao tolewa na ma Farmers ONCE a year, kupelekwa GANARINI , ili maskini aweze ku teka anytime! Halafu angalia BARAKA za kutoa Sadaka, kama ni Sadaka ya Chakula, auza ya Pesa, baraka nihizi, Luka 14:13-14. Sadaka hupewa mwenzako ambaye haji wezi, SIO upeyane Pastor aka lewe au alipiye Lodgi wakati wame 'kesha' na Mabibi za wengine! Kichwa zenu ni sawa kweli, muna enda ku peyana ma Pastor wakati Yesu ame wa kataza? Ukipatia 'fungo lako' la kumi kwa mwenzako ambaye hajiwezi, MUNGU ataku bariki sana, tena sana! Jaribu uone!!
@bakari52
@bakari52 Год назад
Umewlezea vizuri kaka
@saumkisira9328
@saumkisira9328 2 года назад
Mashallah Allah awape umri mrefu mashekh wetu ♥️
@SalunumaulidmsumiMsumi-cc2im
Mashaa llah Allah atukutanishe peponi
@NIKE-xy6et
@NIKE-xy6et 2 года назад
Kazi mzuri ndugu zangu lakini imam naona kama macho yamezeeka.
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 2 года назад
Assalam alleykum. Sasa Bin Kaguo nipe Pass ya juu nitulize na kifua Kisha nifunge bao...... Nyawera size yangu niongeze Thulatha
@faceface739
@faceface739 2 года назад
Assalam aleykoum shekh Ramadan napenda sana harakati zako vipi tayari sagana na kipingoti wameshajenga msiki
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 2 года назад
Huyo shoshi, ako furahisha
@rajabmahmoud7660
@rajabmahmoud7660 Год назад
Changamoto ni elimu tu ya uislam
@MohamedAbdirahmanAhmed-s6u
@MohamedAbdirahmanAhmed-s6u 6 месяцев назад
Allahu akbar
@maherzain615
@maherzain615 2 года назад
Nlikuwa muislamu vile nlipokosa mskiti nkatoka kwa uislamu nkarudi kwa ukristo kidogo. Dah uislamu si mskiti ardhi yte ni mskiti
@mariamkhaikachitechi6552
@mariamkhaikachitechi6552 2 года назад
Sema kujipodoa
@NIKE-xy6et
@NIKE-xy6et 2 года назад
Tatizo vijana waislam ambao hawajasoma dini wanakuwa matatizo katika dini.
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 2 года назад
Kwan kujenga hapo msikiti mdogo sh ngp Na yy alorud kuwa muislam apewe hkubwa fulan
@sirpleasureb
@sirpleasureb 2 года назад
WEWE UMEPOTEA MUNGU WA WAISLAMU SIO MUNGU WETU SISI WAKRISTO.MUNGU WA WAISLAMU HANA MWANA.WETU SISI WAKRISTO ANAE MWANA YESU KRISTO.JOHANA 3:16.MTU ATAKWAMBIAJE ETI YESU SI MWANA WA MUNGU ALAFU UMWAMINI?WEWE UKO KATIKA MFUMO WA KUPOTEA.SOMA 2 WATHESSOLONIKE 4:10-12.
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 года назад
Ndugu fikiria vizuri , Mungu alivyo umba na kuchengeneza binadamu , ni sawa sawa kama wewe vile mfano una umba na kuchengeneza baisekeli , kisha unasema na kuamini kuwa baisekeli ni mtoto wa binadamu. Hapo sasa akili imekwenda wapi ? Ujue hiyo ni kazi ya shetani .
@sirpleasureb
@sirpleasureb 2 года назад
@@abdulhakimhasan7673 quran 72.1 ndini ya majini haiwezi kuwa ya kweli
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 года назад
@@sirpleasurebWewe ni pastor muongo na mpotofu. Holy Koran 72:1 , ina eleza"sema ( Muhammad ) nimepewa " wahyi " ( Mungu kumtuma gabriel na kumwambia ) kuwa kundi la majinni wali isikia ( koran ) , wakasema , " tumesikia koran ya ajabu " . Hakika , vitabu vya Mungu vyote , injili, taurati na zaburi , vinaeleza kuna majinni waumini na majinni iblisi mashetani
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 года назад
@@sirpleasurebWewe Pastor mkristo , ukipata masomo na maelezo kamili ya koran tukufu , ili kutafuta ukweli , hapana shaka 100% utaacha kusema uongo kwa wakristo
@sirpleasureb
@sirpleasureb 2 года назад
@@abdulhakimhasan7673 quran 2:97 quran iliteremshwa na nani?jibu liko quran 2:36.amini yesu ni mwana wa Mungu upate kuokolewa.
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 года назад
Mashallah mashallah
@زينبأمينة-ظ7ق
@زينبأمينة-ظ7ق 2 года назад
Masha Allah
Далее
WAKRISTO WALEVI WATAMANI KUSILIMU ILI WANUSURIKE
52:21
MASWALI NYETI YALIYOWATATIZA WACHUNGAJI
35:55
Просмотров 12 тыс.
SWALA LA UTATU LAZUA UTATA CHUONI
44:19
Просмотров 13 тыс.
YESU KRISTO NI MUISLAMU
57:14
Просмотров 11 тыс.
Ramadhan Kuria bin Kaguo, akiwa Eastleigh.   18 May 2024
44:42