Kweli hicho kipengele mr big,wafanyi kazi wa ndani ndio kiboko ya ndoa za walemavu wale wavivu kwenye ndoa zao.kila kitu rahma, rahma hayo ndio madhara.
Sio kwa kuzuga huku big🤣🤣🤣 Nakumbuka wakati tunakua babangu alikuwa na mchepuko pale kijijini. Basi baba akawa anasrma hampendi yule mama anamuita maziwa makubwa. Kumbe anashindaga kwake😂😂😂😂
Hii story kama hii ilitokea saudia mume mkali kumbe anakula mfanyi kaz paka akamtiya mimba na alivyo juwa akaleta noma et hamtak mfanyi kaz akamregesha kenya na anamuudumia kama mke wake saa hii na mtoto wake waume bwana wana akili
Na hata Tanga yuko maid alikuwa Oman naye akapata mimba ya boss bwana mkali hakuna km yeye akamrejesha ikisha mwaka ulofata akaja kumuoa . Boss ni Mzanzibar .