Тёмный

MAGOMENI 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 1,4 млн
50% 1

Unaona ni bora kuthamini mademu kuliko washikaji kisa chombo, kweli? Wewe unakwenda Magomeni na washikaji wanakwenda lakini unawapeleka mademu Magomeni. Acha hizo!

Приколы

Опубликовано:

 

1 апр 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 496   
@sajodtravis
@sajodtravis 4 года назад
Jisukume mwenyewe,🚶🚶🚶Anhaa ee,,,freshi,,aaaah eeee. Nimedharau wana😂😂😂
@kevinkimani6409
@kevinkimani6409 4 года назад
Eti gari so kama makalio sio kila mtu anaweza kua nalo :D Mombasa love
@sulleysabri9126
@sulleysabri9126 4 года назад
Khaaaa nimekua wa sita😭😭😭😭nipeni like zng team popo kabla cjawafuata huko mlipo,🤣😂😂😂
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 года назад
sulley sabri hahahahaah
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 года назад
sulley sabri Mapishi ya biriani ya samaki ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eCCUYuWdY2M.html naomba subscribe tafadhali
@sulleysabri9126
@sulleysabri9126 4 года назад
@@IlhaamMarshed nimesha subscribe mamii tuko pamoja
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 4 года назад
Walau Leo nimewah wah😂😂😂😂😂😂
@harrymakongwa1147
@harrymakongwa1147 4 года назад
Somo ..usijemdharau mwanaume mwenzio kisa wanawake,hawana msaada zaidi ya kukurudisha nyuma ,wanaume ndio watafanyika msaada katika maisha yako.
@missdija4959
@missdija4959 4 года назад
Sio wanawake wote mbona mnaishi kwa kukariri vijana😂 mwingine anaweza kukuinua ulipo kaka
@ayshasalim6118
@ayshasalim6118 4 года назад
@@missdija4959mwambie uyo
@harrymakongwa1147
@harrymakongwa1147 4 года назад
@@missdija4959Ukweli ndio huo dada,unaweza saidia mwanaume na mwanamke lakini mwanaume hawezi kusahai wala kukudharau ila sio wanawake ..kwanza mwanamke akikusaidia mtaa mzima lazima wajue
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 4 года назад
Laana ya Masela, laana ya Wana🤣🤣
@isackmarijani3557
@isackmarijani3557 4 года назад
joti we n mchekeshaj wang no1 aiseeh nakukubali munoooo;!!!!
@mdeeboy846
@mdeeboy846 4 года назад
Ntakuvuta na tambi lako😂😂😂👍
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 года назад
MDEE BOY Mapishi ya biriani ya samaki ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eCCUYuWdY2M.html naomba subscribe tafadhali
@omariamiri5556
@omariamiri5556 4 года назад
Oyyyyyy ijumaa a hyo tupunguze stress na hii korona na tukumbuke kumuomba mungu atuondoshee hili janga la korona na pia tuchukue tahadhari
@elizabethobege1789
@elizabethobege1789 3 года назад
Mashaa-Alaah Kihoga hunifurahisha kwa vituko vyake, mimi ni Shabik wako
@usainoselu6711
@usainoselu6711 4 года назад
Love it from Kenya
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 года назад
cakesoap oselu Mapishi ya biriani ya samaki ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eCCUYuWdY2M.html naomba subscribe tafadhali
@salumally3128
@salumally3128 4 года назад
Komedi ya leo nimeikubali zaidi, inafundisha....
@gidionmanwingi520
@gidionmanwingi520 3 года назад
Nooomaaa
@migeyochieftz7871
@migeyochieftz7871 4 года назад
😁😁😁.. TOTOZ ZIMEKUPONZA MZEE BABA... UMEWADHARAU WANAAAA....
@vumidebora9747
@vumidebora9747 4 года назад
Alway proud of you guys 💕💕 eti mtu mweye pesa zake mjini lol😭😭😭😭😫😂😂😂
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 года назад
Princess Nicole Mapishi ya biriani ya samaki ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eCCUYuWdY2M.html naomba subscribe tafadhali
@mbcgrams5415
@mbcgrams5415 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-vi-rokF1EGk.html 👆👆MAKABILA HAYA WASICHANA WAKE WAREMBO SANA😍
@danielmarthias2340
@danielmarthias2340 4 года назад
Miliki chombo umiliki watoto🤣🤣
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 года назад
Daniel Marthias Mapishi ya biriani ya samaki ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eCCUYuWdY2M.html naomba subscribe tafadhali
@martinlubunga
@martinlubunga 4 года назад
Magomeni ime mpoza 😂😂😂😂
@thobiasgervasius4931
@thobiasgervasius4931 4 года назад
Namkubali sana huyu mpiga picha ...jamaa anajua.....keep it up men
@godfreybenedicto3577
@godfreybenedicto3577 4 года назад
"Dah kuna watu mnalala kwa mitandaoooo😂😁😀😁
@lovenessrubbenrubben9572
@lovenessrubbenrubben9572 4 года назад
😂😂😂😂ila joti daaah... Wanakuona kama mwokoz mjomba nishai 😊😊
@abdallahndombwindo8424
@abdallahndombwindo8424 4 года назад
Nakubali kaka joti namuona dada yangu samia kutoka muleba kagera hongereni sana
@mikapmwalimu4555
@mikapmwalimu4555 4 года назад
Hahahaha nishai Kaona mademu Eti mmenijuaje hahaha
@joshuakitosi6516
@joshuakitosi6516 4 года назад
Tulio angalia leo gonga like hapa twende sawa
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 года назад
Alafu nyie munaotaka like kwenye video za watu tafteni kazi mufanye munaboa,like kw joti tu!
@cleverluwole6692
@cleverluwole6692 4 года назад
Wanakera
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 года назад
Kijana Hodari Mapishi ya biriani ya samaki ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eCCUYuWdY2M.html naomba subscribe tafadhali
@hidayambwana5260
@hidayambwana5260 4 года назад
hv hiz like wanazoomba zina faida gani
@qurannamawaidha9500
@qurannamawaidha9500 4 года назад
@@cleverluwole6692 .
@johnsaid9143
@johnsaid9143 4 года назад
Wanaboa sana bhana si wapambane na hali zao kila Mtu anataka like na Wenye channel yake Sasa wabadirike bhana.
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 4 года назад
Duuh nimeu measure muhogo wa Kipande dadeki unaonekana uko vzur mnene hatareeee😋🙈🙈
@gowithmesafaris
@gowithmesafaris 4 года назад
😂😂😂magomeni ya mbezi kimara
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 года назад
Milikii chombo umelkii mademu 😆😆😆😆😆
@Jordan-pm2uj
@Jordan-pm2uj 4 года назад
Kweli usidharau wana 🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
@elimarmemberofjesus4254
@elimarmemberofjesus4254 4 года назад
Nikajua ntakuwa nimewai et but nishai analalaga na bundi sio kwa nuski hizo hahaha hahahaha hah😂😂😂😂😂😂😂😂😂mademu noma
@NjalaleModesta
@NjalaleModesta 4 года назад
Love it from india tujuane
@lazarojr8923
@lazarojr8923 4 года назад
Watu wa dizaini hii wapo wengi sana ,wanakaza kweli ila kwa mademu wanalegeza kweli
@RayonSportsEcho
@RayonSportsEcho 4 года назад
Verse verse kwa Mademu pia
@aromakaphmocha6071
@aromakaphmocha6071 4 года назад
Sawa kaka unatufunza vingi asante
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 4 года назад
Huyu mjomba mshezi kweli😅😅😅
@nurustephan7873
@nurustephan7873 4 года назад
Hahaha ety eeeh nimedhalau wana...love u joty
@feyzalyusuph14
@feyzalyusuph14 4 года назад
Leo we mshenzi umenichekesha😁😁😁
@rleo8487
@rleo8487 4 года назад
Joti is like Lee Soo Geun (S.Korean comedian)😂😂😂
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 3 года назад
Mnatisha joti na wanao wakina kipande hapo saluti zote mnajua team joti
@kitabukitabu3083
@kitabukitabu3083 4 года назад
jot mshenz mmesikia msi miliki makalio kila mtu anayo ( kama kuna mtu kasikia gonga like
@milliardere9177
@milliardere9177 3 года назад
Siku skiya
@tausihasheem5051
@tausihasheem5051 4 года назад
Cjui wanakimav gar imezima mara 3😂😂😂🙌🙌🙌
@jameskyando178
@jameskyando178 4 года назад
Joti bnaaaa daaah unajua sana mze adi unakelaaa
@iddyabbas867
@iddyabbas867 4 года назад
Wale wana wako wap gonga like kwa Nishai 😂😂😂😂
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 года назад
Yaani kuna watu data zao mda wote ziko on duuh utajiona umewahi kumbe kitamboooo watu washapalamia hewani
@jenifersamwel8990
@jenifersamwel8990 4 года назад
😂😂😂😂
@frankmichael5525
@frankmichael5525 4 года назад
Hahaaa
@mbcgrams5415
@mbcgrams5415 4 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-vi-rokF1EGk.html 👆👆MAKABILA HAYA WASICHANA WAKE WAREMBO SANA😍
@abuubakarameir9952
@abuubakarameir9952 4 года назад
Poleni sana wafiwa wote wa rais wet ambae hakujali kit wa ukabila wwt
@stevewanga957
@stevewanga957 4 года назад
Kua na chombo umiliki watoto
@canonngirwa
@canonngirwa 4 года назад
jisukume mwenyewe braza.....lol
@emanuelnyaki
@emanuelnyaki Год назад
Awesome broh
@rizikichitanda925
@rizikichitanda925 4 года назад
safi sana mzee wa magomeni
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 года назад
Riziki Chitanda Mapishi ya biriani ya samaki ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eCCUYuWdY2M.html naomba subscribe tafadhali
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 4 года назад
Duh watu mkiona notificationis tayri. Naombeni like zenu hata kumi
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 года назад
kibasa mohamedi Mapishi ya biriani ya samaki ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eCCUYuWdY2M.html naomba subscribe tafadhali
@Quilant749
@Quilant749 4 года назад
Jamani sopa mpenzi nakupenda 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️utanitongoza lini jamani
@alirahma8967
@alirahma8967 4 года назад
🤣🤣🤣wana hawaendi magomeni hiyo hahaha
@cladiusdaniel1922
@cladiusdaniel1922 4 года назад
Nomaaaah xanah mkuuuh
@hassaniddi1933
@hassaniddi1933 3 года назад
Tuko pamoja we si fundi😁😂😂😂😂😂
@mmariherieli2917
@mmariherieli2917 4 года назад
Hahahahaa! Nakukubali saana mwana
@infinitemixentertainment53
@infinitemixentertainment53 2 года назад
2:15 hahaha haha waenda wapi mjomba unahangaika kweli kweli 😂😂😂😂😂😂
@ismailmajala2802
@ismailmajala2802 4 года назад
Milikini Makalio yenu 😆😆😆💪🏽
@julietbeka7331
@julietbeka7331 4 года назад
Mla huliwa hahahaha
@jaliaseif653
@jaliaseif653 4 года назад
Ntakuvutaa na tambi lakoo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@dicksonchota3813
@dicksonchota3813 4 года назад
Wa kwanza leo
@arabianbutter4007
@arabianbutter4007 4 года назад
Hiyo misingi😂😂😂😂
@seciliarenatus3596
@seciliarenatus3596 4 года назад
😂😁😀😀😀jisukume mwenyew
@saasitacomedian1144
@saasitacomedian1144 4 года назад
No one from Kenya wapi likes sa kipande
@danlinetz2959
@danlinetz2959 4 года назад
Nawakubar team nzima ya joti
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 4 года назад
Dedication kwa ma snitch wote wanao wapa kipaombele mademu kuliko wana
@karlymathew5500
@karlymathew5500 2 года назад
U made my day dear😂😂
@devybernardlaizer7713
@devybernardlaizer7713 4 года назад
Hahahaaa watu wamiliki makalio daah mmmh ,haya liambie kalio lisukume gariii
@bartholomeweshiwani246
@bartholomeweshiwani246 Год назад
Shabiki sugu wa Samia!!! anafahamu kujigeuza kulingana na nafasi amepewa kuigiza!!
@goodwingeorge4430
@goodwingeorge4430 2 года назад
Nawakubalii sanaaa wanangu
@johd5397
@johd5397 4 года назад
Jifunze kuwa na chombo, umeliki watoto.. sio unamiliki makalio kila mtu anayo yake! 😂
@japhetgaleke2467
@japhetgaleke2467 4 года назад
Hahahah noma kweli
@davido-scooper9471
@davido-scooper9471 3 года назад
Kama unakubali kua #joti,_namba1 comedy TZ gonga like yako
@lucasmaro4172
@lucasmaro4172 Год назад
Joti mkali wao😂😂😅🔥🔥
@apronambra
@apronambra 4 года назад
Tupo kwaam sana tujuane basi kama kawaida yetu like kama zote
@issankoweboy803
@issankoweboy803 4 года назад
Kama unamkubali joti gonga like hapa
@mwanahamisseif5506
@mwanahamisseif5506 4 года назад
Eti tuko pamojaaa uwiiii jotiiii🤣🤣🤣🤣
@josephmasika2870
@josephmasika2870 4 года назад
Kumbe kimeooo!!!!!🙄🙄😜😜
@Fgldesigns
@Fgldesigns 4 года назад
Hawachelewi kupondea japo walivyopewa lifti walichekelea
@stevenfrancis8244
@stevenfrancis8244 4 года назад
Leo nmekua wa 10 nampenda xna jot
@bleztv7011
@bleztv7011 4 года назад
Nimedharau wanaaaa😂😂😂😂
@wa-mbeyaTv4725
@wa-mbeyaTv4725 4 года назад
Aaaah fresh 😀😀😀
@angelrichard8211
@angelrichard8211 4 года назад
Kaz nzur had raha igiza kama hiz ndugu utaongeza watazamaji
@zahiribrahim8319
@zahiribrahim8319 Год назад
Nampenda Joti anajitahidi sio mbaya ila kwa mimi tangu mdogo nampenda Rip Charlie Chaplin wa 🇬🇧
@flaviusemillian4331
@flaviusemillian4331 4 года назад
Kama unaangalia uku ukisoma comment gonga like apa😁
@saraSara-hi8mo
@saraSara-hi8mo 4 года назад
Da nawakubali sana
@vumidebora9747
@vumidebora9747 4 года назад
😂😂😂😂 fav one Joti
@asimgkcc2189
@asimgkcc2189 4 года назад
Watu amlali mh atali
@laylagrayson403
@laylagrayson403 4 года назад
Lll
@saudahamad7481
@saudahamad7481 3 года назад
@@@@@@@...... 😂😂😂😂........ Nmezarau wana 😂😂😂😂😂😂😂
@muddyaforeal1145
@muddyaforeal1145 4 года назад
Gari yenyewe na A lakini mbwembwe kibaao daaa🤣🤣🤣
@fanuelyshemshuza1985
@fanuelyshemshuza1985 4 года назад
Gar sio namba wewe
@estaryusuph2068
@estaryusuph2068 3 года назад
Kumbe gari yenyewe kimeo
@muddyaforeal1145
@muddyaforeal1145 3 года назад
@@estaryusuph2068 acha kabisa
@muddyaforeal1145
@muddyaforeal1145 3 года назад
@@fanuelyshemshuza1985 kaumbuka nishai sasa
@adilkher8871
@adilkher8871 3 года назад
Brother ww noma
@mustafabakari9465
@mustafabakari9465 4 года назад
Hahahaha nimedharau wana!
@timoyhymushi8116
@timoyhymushi8116 4 года назад
Komedi ya kwanza naiona kutoka kwako yenye mafunzo ktk jamii
@sudimuhunzi7530
@sudimuhunzi7530 2 года назад
Nishai ..... Nomaaa
@williamkinyami6025
@williamkinyami6025 4 года назад
GOOD JOB
@hamisiulaya4681
@hamisiulaya4681 4 года назад
😁😁😁😁.....MLa_huliwa..
@lindahjoseph8360
@lindahjoseph8360 4 года назад
Hamisi Ulaya 🤣🤣🤣🤣🤣
@ephraimisaya5027
@ephraimisaya5027 4 года назад
Manz mweusi mzur sana
@susanahyera7110
@susanahyera7110 4 года назад
Mla huliwa haaaahaaa
@FrosTrizY
@FrosTrizY Месяц назад
we miss kipande and sopa bring they back please.
@SergeVannydj
@SergeVannydj 4 года назад
Kwaiyo mnanikataa 😂😂
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 года назад
Serge Vanny dj Mapishi ya biriani ya samaki ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eCCUYuWdY2M.html naomba subscribe tafadhali
@dicksonmadembwemadembwe6753
@dicksonmadembwemadembwe6753 4 года назад
Kuzalau wana ni kama umekana Jinsia yako 🤛🤛
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Месяц назад
😂😂😂 Kweli usizarau wana
@bhaiathumani7017
@bhaiathumani7017 4 года назад
Hahahahaaa umezalau wana😊
@ozilde9396
@ozilde9396 4 года назад
Sema ime sound good
@IlhaamMarshed
@IlhaamMarshed 4 года назад
Ozil De Mapishi ya biriani ya samaki ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-eCCUYuWdY2M.html naomba subscribe tafadhali
@qudratv9169
@qudratv9169 4 года назад
Milikini makalio yenu😄😅😅
@mssajaphari9934
@mssajaphari9934 3 года назад
Play
@zuriatybakaryzuriatybakary9806
@zuriatybakaryzuriatybakary9806 4 года назад
Sopa handsome jamani 🥰🥰🥰
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 года назад
Hat kipande
@1xbet_globally
@1xbet_globally 4 года назад
😂😂😂 kule ulitukubali
Далее
KIRIKUUUU
7:11
Просмотров 1,2 млн
MUUZA SHANGA
8:49
Просмотров 846 тыс.
ПОЮ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
3:19:41
Просмотров 1,8 млн
WAKE ZAKE
6:17
Просмотров 618 тыс.
PESA YA BARUA
14:31
Просмотров 6 тыс.
KWENU WAPI
7:17
Просмотров 950 тыс.
Masaibu ya kinyash part 7
58:56
Просмотров 124 тыс.
vituko.*full
2:55
Просмотров 61
LUGALO
9:57
Просмотров 544 тыс.
MBUNGE ANATAKA TENA
8:32
Просмотров 557 тыс.
Baba Mwenye Nyumba
19:06
Просмотров 93 тыс.
ONGEA NA BODA BODA DAH (Ndaro & Yombo)
9:39
Просмотров 309 тыс.
KALAMBA CHUCHU
11:32
Просмотров 429 тыс.
історія сабралась памерать
1:01