Тёмный

Mume wa Diva Amtolea Avivu Diva/Nimefata Mali/Amwanga Siri Zake 

Dizzim Online
Подписаться 769 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Mume wa diva amtolea uvivu diva/nimefata Mali/amwanga Siri zake

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Год назад
Diva huna mume hapa,fanya tu kuongeza maombi Mungu akutafutie mwingne😂😂😂😂😂janaume ongo mbk shetan anamuogopa😂😂😂😂😂😅😅😅
@omanoman2044
@omanoman2044 Год назад
Kweli kabsa had shetan anasem mengine gata sijafany huy kazid
@Aminafamau_
@Aminafamau_ Год назад
Huyu kaka ni tapeli mbunifu ...
@GodfreyGodfreySaje
@GodfreyGodfreySaje Год назад
Mwenykit wa matapeli
@hanifa9153
@hanifa9153 Год назад
Hyu dada mtangazaji anackia kcheka 2 masikin uongo wa hyu bwanaa
@kazkaz1943
@kazkaz1943 Год назад
Kwel kwenye maisha usijali hata watu wasipokuelewa 😂ukweli mimi huyu kaka simuelewiiiii😢😢
@zenajustus5731
@zenajustus5731 Год назад
😂😂😂😂utamuelewa huko mbeleni.
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@jairatu688
@jairatu688 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 aki nimecheka kifala kweli
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Год назад
Mm bdokabisaa simpati asaa😂😂😂😂😂😂naona balaa tuu
@zenajustus5731
@zenajustus5731 Год назад
@@nahlahassan-fd6le Balaa kubwa sana Diva kajitaftia,hii ni ukichagua sana nazi unapata mbata😂😂😂.
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 Год назад
Hivi nashangaa sana huyo Diva mwenyewe karidhika akijua amepata mume wa kufa na kufaaana hapa! pole diva bado una mwendo hujafika bado
@christermlwilo9299
@christermlwilo9299 Год назад
Anamrogaaa anamsomea mavitabu huyo balaaa
@abdultandala6576
@abdultandala6576 Год назад
Jamaa yuko sawa tu kama demu mwenyewe kamwelewa mwamba wivu wa nini?🤣🤣🤣🤣🤣
@israelnibigira4990
@israelnibigira4990 Год назад
MTU muongo Huwa anaonekana akiwa anaongea so huyu jama ni muongo
@nururaymond5
@nururaymond5 Год назад
Kweli mapenzi upofu...mbona jamaa anaonekana Kbsa muongoooo Diva haoni jamani...anatumika Diva
@NatacollectionMushi-ux2xm
@NatacollectionMushi-ux2xm Год назад
Huyu kaka nilikuwa namuheshimu sana ila saivi namuona kitu chaajabu sanaa
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 Год назад
😂😂😂
@sovajulius3870
@sovajulius3870 6 месяцев назад
Ukiona mwanaume anaoa oa Sana ujue ipo shida.Jirekebishe
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Год назад
Mie namuelewa sana pia namkubali shemela wangu 🎉🎉🎉
@fatimahaji8560
@fatimahaji8560 Год назад
Kwenye dini ya kislam hakuna 50 50 mwanamme kaamrishwa ndio provider kwenye ndowa sasa yy kasoma dini ipi hataki kukubali kama kafata kitu kwa mkewe ila ukweli upo wazi
@scollantandu2350
@scollantandu2350 Год назад
Mh jamani dah pole sana, mana uongo mwingiiiii 😢
@LindaMbilinyi-p8s
@LindaMbilinyi-p8s Год назад
Kaongo haka kakaka jmn,,,halafu sijui kanajikutan Nan??🙄😏😏
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 Год назад
Wasanii au watu wa mitandaoni mkitaka kuowa su kuolewa tafuteni watu walokuwa sahihi msitafute matapeli huyu jamaa anaonesha ni tapeli na ni mzuri kwa mazingumzo kuweni makini na ndoa au mahusiyano au mapenzi ya kweli halafu ni uchafu tu huyu katembea na huyu ambapo huyu mtu wake huyu naona mapenzi ya dhati hamna jirekebisheni
@lucasernest6012
@lucasernest6012 Год назад
mbona alikua anajiombeleza msaada hii juzi,acha fix kiongozi
@btylove1870
@btylove1870 Год назад
Huyu kaka ni narcissist na narcissist ni evil.
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Год назад
Shehe wa wapi,huyo ni mganga wa kienyeji msanii wa mjini wanaitwa Diable
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 Месяц назад
Mungu anaona mengii alafu alijuwa akajifica
@omanoman2044
@omanoman2044 Год назад
Dasa sijakuon mda nakupenda san am uliolew am sasa huyu kaka yuko saw kweli am hajitambui
@winnieamanya665
@winnieamanya665 Год назад
I like how this man reasons
@Chaotic-c2p
@Chaotic-c2p 3 месяца назад
Wee mtangazani mbona unamsogelea bwana wa Diva .?
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 Год назад
Mm ni mkristo lkn Unawadhalilisha waislam wenzako .... khaaaa Mungu anakuona
@sovajulius3870
@sovajulius3870 6 месяцев назад
Jamani Huyu jamaa ni Boss wa Matapeli ona anavyoongea .Sasa angekuwa na pesa ni wewe ulisema Analipa nyumba ya milioni 5 tana kwa kuungaunga Sana which hukupenda Yaani hapa anasema hivyo ili mahakamani Diva akose ushahidi ukweli kaoa Binti na hapo anamchezea AKILI Dada wa watu ili azidi kuwehuka
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Год назад
Leo Abdul umeongea point sana
@PhinaGeorge-o5m
@PhinaGeorge-o5m 6 месяцев назад
Kwenda huko king'ast sugu wew iliandikwa mwanamke utazaa kwa uchungu mwanaume utazaa kwa jasho.
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Год назад
Hakuna cha hamsini kwa hamsini ni watu wa dunia wamebadilisha kupingana na Mungu kama ni hamsini kwa hamsini na wanaume waende leba sasa na pia wanawake watungishe mimba wanaume
@habari254
@habari254 Год назад
KUTOKA 254 Kenya tunawaelewa sana
@I_lift_you_higher
@I_lift_you_higher Год назад
Diva ulimuokota wp uyu mwamba loh 😢😢😢😢 mbna kituko jmn
@debbiethomas9825
@debbiethomas9825 Год назад
NASKIAGA KICHEFCHEF KUMSIKILIZA….....
@diwanidugumbi3404
@diwanidugumbi3404 Год назад
Huyu muhuni anajificha kwenye kimvuli cha dini
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Год назад
😂😂 HUYU MWAMBA YUPO SAWA😂😂.
@christermlwilo9299
@christermlwilo9299 Год назад
Sana aisee tapeli balaa
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Год назад
Mm nakuelew
@IsabellaSamba-jm1px
@IsabellaSamba-jm1px 2 месяца назад
Jamni
@HusseinGabu-wr3xh
@HusseinGabu-wr3xh Год назад
Huyu tapeli hana lolote kafiri mkubwa huyu
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Год назад
Hivi mnatoaga wapi nguvu za kuahukumu wenzenu? Hivi wew umemwingilia Mungu kazi yake? Ewe mwenyezi waangalie Hawa watu waliogeuka miungu mtu kuwanyoshea mkono wenzao huku macho Yao yakiwa na borit hawaoni mapungufu Yao lakini Cha ajabu wanaona ya wanzao..
@AtkaAhmad
@AtkaAhmad Год назад
Subhanallah we kaka weee yawezekana kua hujui hii ila nikuambie tu mwanamke anaolewa kwa mambo haya Mali yake, nasaba yake, uzuri wake na dini yake sasa huo ukafiri kautoa wapi? Muwe mnasoma dini
@HusseinGabu-wr3xh
@HusseinGabu-wr3xh Год назад
Dini gani we tapeli mkubwa kafie mbele shenzi wewe
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Год назад
Shehe muislamu mwenzio lakini huyu 😀😀😀😀😀
@stephenbaraka3112
@stephenbaraka3112 Год назад
Mwambieni azae uyo diva asikae kama ambae ni kuku wa nyama tu miaka mitatu hajazaa anasubiri nn
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Год назад
Subhana Allah kwani yy ni mungu.kuolewa ni sheria kuzaa majaliwa
@jacqueli18
@jacqueli18 Год назад
Unaropoka na haujali kichwa Cha kuku
@nasrahussein1653
@nasrahussein1653 Год назад
Mwamba huyooo
@wardaridhwankassim4774
@wardaridhwankassim4774 Год назад
Yaaaan dini kamscaanb huyo kakaa mpk namuonea hurum mm huk😂😂
@SavanahGemimah
@SavanahGemimah Год назад
Mganga sheikh WA mchongo
@sanaf8367
@sanaf8367 Год назад
Mjinga tu huyu unalipa mshara wa 10 mil kwa mwezi iwe ngumu kiasi gani kumkidhia haja mke ndani.
@tonygee5680
@tonygee5680 Год назад
Hapo sasa😂
@PhinaGeorge-o5m
@PhinaGeorge-o5m 6 месяцев назад
Cha uongo umeoa unasahau kuacha pesa ya kula nyoooo king'ast sugu wewe
@fatmaamin3848
@fatmaamin3848 Год назад
Hiyo dini ikasema kwa mwenye dini sio mali
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Na mali pia na uzuri na dini
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 Год назад
Wa tz mnapenda kutukana watu kwa nn
@user-12345love
@user-12345love 11 месяцев назад
Reporter bleached
@julianusjameskimodoi4186
@julianusjameskimodoi4186 Год назад
Tapeli
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Год назад
Mh ndomana umejaliwa meno mbaya yamdomo
@SalimAhmed-ox5ms
@SalimAhmed-ox5ms Год назад
Acha ujinga ww nani kasema tutafute uzuri na mali znake
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Ndiyo uzuri, Mali na dini
Далее
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 4
36:03
Просмотров 31 тыс.
Faiza Ally: Mimba Ya Mwanaume Mwengine Yamkosesha Ndoa
35:17
NDOA YA DIVA YAFIKA TAMATI/ALINIPE VITU VYANGU
19:13
Просмотров 24 тыс.