Тёмный

MUNGU YU KARIBU NASI - Kwaya ya Mt. Cecilia - Hai Mjini-Moshi (Official Video) - AFLOB STUDIO 

ALEX LOBULU - AFLOB STUDIO
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 724 тыс.
50% 1

Hii kwaya ya Mt. Cecilia, Parokia ya Familia Takatifu Hai Mjini, Jimbo Katoliki Moshi.
Recorded at AFLOB STUDIO
Audio Producer & Video Director ALEX LOBULU
Contact: +255 753 453 940
#AlexLobulu #AflobStudio #TumainiLetu #BwanaAmefufuka

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 161   
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 года назад
wanaoangalia kwaya comment na uzur wa jengo.la kanisa kama mm tujuane jmn 👏hakika romani kathorik tumebalikiwa najivunia kuwa mkatoliki
@rosemikambi4672
@rosemikambi4672 2 месяца назад
Hongera kwa kazi nzuri yenye kubariki na kuinua utukufu wa MUNGU WETU
@josephambrose2215
@josephambrose2215 2 года назад
Kazi nzuri sana, hongereni sana wote mliyo shiriki ktk kutuletea ujumbe huo🙏🙏🤔
@mariasimon9421
@mariasimon9421 3 года назад
Safi Sana huu wimbo naupunda saaan
@mahmah7250
@mahmah7250 Год назад
Mungu mwenyeesi azidi kuwapaliki kwa nyimbo zuri
@adelthamiyonga2435
@adelthamiyonga2435 3 года назад
Mungu Mwenyezi azidi kuwabariki na kuwainua katika uinjilishaji Mzuri mnaofanya.Hakika wimbo huu ni ushuhuda tosha katika maisha yangu .kila nikiusikiliza napata amani katika moyo wangu.Asanteni sana
@cayusoginga
@cayusoginga 4 месяца назад
Cayus oginga Watching from manga girls high school kenya 🎉❤
@maycoandrea240
@maycoandrea240 4 года назад
Asanten jaman nikisikilinza hizi nyimbo najihisi Kama vile Niko mbinguni nimeketi na malaika
@emmanuelmutinda9621
@emmanuelmutinda9621 Год назад
❤❤❤❤❤❤the song is so touching to my soul,,,and again nice synchronisation
@cayusoginga
@cayusoginga 4 месяца назад
Congratulations for a job well done ✅👍
@cayusoginga
@cayusoginga 4 месяца назад
Watching from manga girls high school kenya 🎉
@jamesfesto1178
@jamesfesto1178 3 года назад
Mnanibarikisana wanakwaya wangu
@cayusoginga
@cayusoginga 3 месяца назад
Watching from manga girls high school 🎉
@wamupepe5301
@wamupepe5301 Год назад
Baraka ya mungu, nahasa heshma kwake . Vitendo nzuri tu bila ubaguzi niyo siri.Apana????
@philippemukotshi6179
@philippemukotshi6179 4 года назад
Tu kwe na Jésus pa modia tuta shukurwa emen. Philippe Mukotshi M
@user-uv4fd5rz8q
@user-uv4fd5rz8q 6 месяцев назад
Naipenda iyo wanakwaya hongereni sana kwetu hai iyo iko hai kwelii
@aminaibrahim8466
@aminaibrahim8466 2 года назад
Hongereni sana wimbo huu nimeupenda sana mbarikiwe sana utume mwema
@georgengugi4668
@georgengugi4668 4 года назад
Wimbo mitatu na wa mafunzo kweli. Heko kwenu Bw. Tumaini Swai na waimbaji wrngineo
@deokessy6288
@deokessy6288 4 года назад
Organist Swai nakupata vizuri,,, Great
@nathannbanda3345
@nathannbanda3345 Год назад
Beautiful ever, I love the message and everything in it. Thanks for putting English subtitles ❤😊
@dismaskimario2116
@dismaskimario2116 4 года назад
Mungu Mwenyezi yupo nasi popote tulipo. Sababu kuu ni kwamba ana siri na uumbaji wake, kwa mfano mazingira aliyoumba utajuaje kama pia yanampelekea taarifa zetu na sura zetu. Mungu yu karibu nasi, tupendane na tupende viumbe vyote na mazingira yote.
@benmarkmbonabucha5289
@benmarkmbonabucha5289 2 года назад
Asanten Sana wanakwaya mungu awabariki siku zote.
@dahsiejules7128
@dahsiejules7128 4 года назад
26 Pia, kumbuka kuwa yeye ni mtu yule yule na kumbukumbu moja. Anakumbuka kuwa alikuwa na wandugu na dada wengi hivi kwamba alifanya vile na kitendo kama hicho duniani wakati wa maisha yake. Na ni ama malaika wa Mungu ambao wanakupeleka, au malaika wa Shetani ambao wanakupeleka. Yote inaambatana na njia aliyokuwa ameifuata duniani! Mnaona? Sio kitu cha siri, utaonekana huko katika mwili usioonekana kwa wanadamu na watu ambao hauwajui watakupeleka mahali pako pa mbinguni! Na mara tu huko, utagundua wale ambao wapo! Ni wale wa kanisa lako duniani! Unaweza kuona ndugu kama hawa na ambao walikuwa wamekufa! Na kama wewe "ulikuwa mwanasiasa utajikuta katika kikundi cha wanasiasa wengine! Ikiwa ulikuwa mcheza mpira au ikiwa ulichukua hatua kama hiyo na vile, utapata sehemu yenu Mbinguni!
@ambrosethomas5922
@ambrosethomas5922 4 года назад
Naupenda huu wimbo, Swai na nakuona kazi nzuri
@felistamwita1546
@felistamwita1546 3 года назад
Namuona mwalimu wangu Amaro jamaniiiii,,,, hongereni sana kwaya nzuri
@buraibrahim7079
@buraibrahim7079 3 года назад
Mungu akaibariki kazi ya miko yete pamoja na vipaji vyao kwa catholic i love u my songs
@jusperkhamala9371
@jusperkhamala9371 Год назад
Hongera wapendwa,sauti za ninga .
@cayusoginga
@cayusoginga 4 месяца назад
Asante Mungu
@wamupepe5301
@wamupepe5301 11 месяцев назад
Munapendaka ma uniformes,kabisa RDC -CHINE 😂 bravo 👍
@irenekoikai349
@irenekoikai349 3 месяца назад
Amen, mbarikiwe sana
@wamupepe5301
@wamupepe5301 11 месяцев назад
Athénée royale iko wapiiii 😂, ?? 👌
@hekimakuciga7512
@hekimakuciga7512 3 года назад
Nzuri sanaaa.
@SuperKellyalex
@SuperKellyalex 2 года назад
Asante sana
@jmskiwi
@jmskiwi 3 года назад
Amen.Amen.Amen
@hamisimarko239
@hamisimarko239 4 года назад
Nzuri
@alexkiwale5883
@alexkiwale5883 4 года назад
Kwaya nzuri sana
@nestorystephen8559
@nestorystephen8559 3 года назад
Nabarikiwa sana na huu wimbo mungu awe nanyi
@edwardkioko4455
@edwardkioko4455 4 года назад
Wonderful sana waimbaji. Kazi nzuri sana hii mlioifanya. Pongezi za dhati tena kwako Mheshimiwa Tumaini kwa kazi yeko nzuri. Ctawai kukusaha kwa kazi nzuuuri uliotufanyia Arusha kwaya yetu kutoka Kenya Mombasa. Tunakupenda sana Tumaini.
@emmanueljuma651
@emmanueljuma651 3 года назад
nyimbo nzuri mungu awabariki
@bennokiyanga509
@bennokiyanga509 6 лет назад
BONGE LA SONG,,,,kiukweli niupenda bureeeee,,,mlijipanga kufanya vzr,,na ninyi mpo bwana,,,sharapuuuu kwenuuuu,,,mbarikiweeee
@patrickmukambilwa584
@patrickmukambilwa584 5 лет назад
Ingawa atumuone mungu kwa macho ya ubinadamu asante sana kwamaneno ayo mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu ya utume ili mpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
@florakawau5615
@florakawau5615 5 лет назад
Amina
@dismaskimario2116
@dismaskimario2116 4 года назад
Mungu Wetu yupo pamoja nasi daima, yani milele na milele. Soma zaburi ya 82:6; imetufanya sisi binadamu miungu wake hapa duniani/ulimwenguni. Ebu fikiri hata katika ubatizo wetu tumefanywa wana wa Mungu. Kweli Mungu yu pamoja nasi daima.
@cayusoginga
@cayusoginga 4 месяца назад
Asante sana Mungu
@davidamundala9720
@davidamundala9720 6 лет назад
Mzuri sana, Baba apewa Sifa yake kweli pia awajaze na baraka na furaha yake. Asante sana. P. Alphonse Marie.
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 4 года назад
Eee nyi wakirsto waki Afrika. .yesu Hakua mkristo wala hakuingia kanisani. .kwann ninyi munaenda Katika nyumba wanaokaa masheta n lusifaa yuko kanisan. Mungu hakubali dini yyte ila uislam tu. Nidini Alio watuma manabii wote
@prosistakimario6589
@prosistakimario6589 4 года назад
Namuona Salome na Tumaini. Hongereni
@smnakachindu2952
@smnakachindu2952 4 года назад
Wewe ni mpumbafu sana ni nani kakulazimisha kuangalia wimbo huu? Wewe ni shetani kama ilivyo dini yako
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 4 года назад
@@smnakachindu2952.Eee we kafiri muovu ulie mfuata shetan Alielaaniwa .unamfuata Paulo Kafri Alie watumamuende kanisani kwenye kiti chashtan.paulo smbae hakumuona nabii yesu..ukamuacha nabii yesu Alikua Akienda katika misikiti kumuabudu mungu mmoja..Baci ole wao watakao kufa katika Dini isio kua yakiislam mahali yao siku itakua nijahannam...bblia insema kanisani kuna kiti cah enzi zashetan.kisha ikasema walio lala katika ukirsto wamepotea toa andiko katika bblia au quraan yakua walio lala ktka uislam wamepotea. .Au andiko miskitini kuna kit chashtan??Eeewe kafri unae mfuata shetan kumbuka kifo kitakuja ciku hio hakuna mtetzi ila niwale walio muabudu mungu wakiswali kwakusujudu hio ndio itamsaidia mtu ..hakuna mtu atakae msaidia mtu mwengine ciku hio ila nimatendo mazuri yakumuabudu mungu....achen ushabki nakupozezwa namakuhani wen namabishop ciku hio watawaruka hao munao wafuata wanawpoteza tauften dini yahaki nao niuislam..siais waislam tunamuabudu mungu mmoja tu .hatumuabudu mtu.lkn ninyi makkafri munamuadu yesu mtu ...hammmjui mungu wakweli lakini mukisoma vzr bblia ndio mutamjua mungu wakweli...Ewe kafri angalia ulimwengu watu wanavo slim Hamizingatii hilo. Achen dini zawatungu itafuten dini ya mungu ya kweli. .jahannam iko kweli mutajuta ciku hio makafiri. .bc kimbilien kwa mungu waulimwengu nae Hakuzaa wala hakuzaliwa wala hafanani nakiumbe yoyote..Ewee kafri Tafuta haki ujue ..uache ushindani naubishi. Kuna watu wengi katika mapasta wamslim wanapo ja ukweli wameacha Mali kanisni lkn wakaona ukweli uislam..
@mossesmsuya7401
@mossesmsuya7401 4 года назад
Hongereni kwa ujumbe mzuri... Hakika mungu yuko karibu nasi ktk kila hatua
@hildashayo7192
@hildashayo7192 2 года назад
Asante Mungu wetu
@getrudetembop3924
@getrudetembop3924 3 года назад
thanks so much my big family
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 6 лет назад
Hongereni ni mara ya kwanza kusikia kwaya ya kikatoliki kutoka HAI , nilidhani hai ni walutheri na waislam tuu
@SuperKellyalex
@SuperKellyalex 6 лет назад
Bernard John Tunashukuru sana, Hai makanisa ya Katoliki yapo mengi ni wakati umefika sasa kutambulika zaidi
@frenkshaban8080
@frenkshaban8080 5 лет назад
Bernard
@williumnguyamu2827
@williumnguyamu2827 5 лет назад
@Faustine Wiboga upo maenro gani
@anoldanold3028
@anoldanold3028 6 лет назад
wimbo mzur sana nawezaje kupata album
@SuperKellyalex
@SuperKellyalex 6 лет назад
anold anold Asante sana, album inapatikana, piga namba hii utaipata ‭+255 754 054 051‬
@everfunda1758
@everfunda1758 5 лет назад
Baba swai maisha marefu kwako
@emanuelcharles9080
@emanuelcharles9080 5 лет назад
Hogeleni Sana wanna wamugu kwawimbo mzuli nahitaji alubamu yake
@edwardmahundi5433
@edwardmahundi5433 4 года назад
Kweli kazi nzuri lazima niseme
@godlistenmushi1085
@godlistenmushi1085 4 года назад
Kwaya ya hai mjini jimbo la Moshi. I love you Catholic church nakuona mwalimu wa shule ya msingi na wakwaya pia
@jovitaarufredi9287
@jovitaarufredi9287 4 года назад
Kwaya
@stellakahambu4134
@stellakahambu4134 4 года назад
Asanteni kwa nyimbo nzuri. Mungu awazidishie mema
@shaibuemmanuel5564
@shaibuemmanuel5564 5 лет назад
Hakika mbarikiwe na bwana...Wimbo una ujumbe mzurii..Ameena sana
@samsawidi5648
@samsawidi5648 6 лет назад
Daaaaaaaaaaaaah kilichonizingua muundo wa jengo daaaaa afuuu sauti zenu zilizonyokaaaa daaaaah,,, natamani ningewepoooo live kuwa on a,,, be blessed awesome work well done
@reyjosee9390
@reyjosee9390 6 лет назад
Sam Sawidi mm hadi sielewi lipo wapi
@samsawidi5648
@samsawidi5648 6 лет назад
Rey Josee,,, bro nitumie video wasapu npo kenya 254798694894
@reyjosee9390
@reyjosee9390 6 лет назад
Sam Sawidi poaaa
@samsawidi5648
@samsawidi5648 6 лет назад
Rey Josee,,,, upoo na video unitumie
@SuperKellyalex
@SuperKellyalex 6 лет назад
Sam Sawidi Amina, tunashukuru sanaa
@MussaLepani-fk9yj
@MussaLepani-fk9yj 6 месяцев назад
Amen ❤❤❤❤
@jumamarwa9985
@jumamarwa9985 4 года назад
Wimbo mzuri sana, sauti nzuri, staili za kistaarabu za kumtukuza Mungu pamoja na mpangilio mzuri wa vyombo. Hongereni sana.
@frowinimwinuka9736
@frowinimwinuka9736 4 года назад
Mbarikiwe sana Mimi Flowin Mwinuka ikonda makete
@zainabumwambughi219
@zainabumwambughi219 4 года назад
Mungu awasaidie
@tasiananicholaus9423
@tasiananicholaus9423 6 лет назад
hongereni sana mko vizuri.
@victorsilayo2736
@victorsilayo2736 5 лет назад
haloo,, huu wimbo nauskilizaga kila siku kabla ya kulala ila leo ndo najikuta online nawatch video nashangaa "Hai mjini" nimebarikiwa sana,,, ila huyo zeruzeru j2 ilopita nlisali boma sikumwona Choir master mzur sana......@ mwarabu mdogo matelephone boma
@perpetuamayay6986
@perpetuamayay6986 5 лет назад
Victor Silayo huyo kwaya master ni wifi yangu mwite Dada Salome.
@victorsilayo2736
@victorsilayo2736 5 лет назад
@@perpetuamayay6986 ohhh saf sana
@victorsilayo2736
@victorsilayo2736 5 лет назад
@@perpetuamayay6986 ohhh saf sana
@benardmunyao5487
@benardmunyao5487 4 года назад
huu wimbo uucheza karibu kila siku
@erastuslutsachishisanya3791
@erastuslutsachishisanya3791 4 года назад
Wah watu waokoke wahachane na yatunia.asanteni sana Mungu yuko karibu nasi
@deoscorusshayo1909
@deoscorusshayo1909 5 лет назад
Mheshimiwa tumaini hongera kwa kucharaza vyema hyo Yamaha
@johnmwanga9706
@johnmwanga9706 5 лет назад
Nzur sna
@benleyan
@benleyan 6 лет назад
Hongereni sana wanakwaua. Mwimbo mzuri kweli, nimeupenda. Msele nakuona. Uimbaji ni wito kweli.Superb!
@magretijohnhongereni3294
@magretijohnhongereni3294 5 лет назад
Mbarikiwe Sana mungu aware nguvu ya kuitangaza injiri kupitia kwaya Ni meguswa Sana Na maneno mnayoimba
@williumnguyamu2827
@williumnguyamu2827 5 лет назад
Amina ubarikiwr
@janethkimario6064
@janethkimario6064 5 лет назад
Sauti ya nne wapi Tido na saimoni nimemic Sana wanakwaya wezangu nawapenda Sana na Mungu awabariki
@dahsiejules7128
@dahsiejules7128 4 года назад
28 Ufunuo wa mihuri ni siri. Narudia: Mbegu ya nyoka ni siri! Ufunuo wa lugha isiyojulikana ni siri lakini kupita kutoka kwa ulimwengu huu hadi ulimwengu mwingine sio siri! Utakuwa mtu yule yule lakini bila mwili! Utakumbuka kila kitu kama ulivyokuwa katika mwili wako!
@shukurumshihili2386
@shukurumshihili2386 5 лет назад
Hongera baada ya ksusikia hapa LUHANGA umekuja kivingine Swai upo juu.
@raphaelngulizi1440
@raphaelngulizi1440 5 лет назад
Amina mbarikiwe
@daudimhoha5050
@daudimhoha5050 4 года назад
Munguawabarikisana.kwakippawa.chauimbaji.
@albertkarakha4364
@albertkarakha4364 5 лет назад
Hayo Marinda yenu yako chonjo mnapendeza Saana.
@merdaniely4775
@merdaniely4775 5 лет назад
Organist Kaka Tumaini Swai na Dada yangu Salome nawaona hakika kazi nzuri sanaaaaa.....Mungu awabariki jamani. Mlitusaidia kwenye kazi ya TANGAZENI UKUU WAKE Chuo Kikuu SMMUCO.
@athanasjames4179
@athanasjames4179 5 лет назад
Mmenibariki sana amina
@fredrickayunga9564
@fredrickayunga9564 4 года назад
Bwana Ibariki TZ
@cecilianzilani5773
@cecilianzilani5773 4 года назад
Wimbo mzuri sana...Hongera👏
@emmanuelkonki59
@emmanuelkonki59 5 лет назад
Conductor upo juu mdada hongera sana
@glorychuwa608
@glorychuwa608 4 года назад
It is so good choir
@theresiamasawe8544
@theresiamasawe8544 4 года назад
Gooooooooood!!!! 👏👏👏👏
@bisekojmafwele2777
@bisekojmafwele2777 6 лет назад
Hongereni sana kwa kazi nzuri iliyo tukuka
@SuperKellyalex
@SuperKellyalex 6 лет назад
BISEKO J MAFWELE Amina
@reyjosee9390
@reyjosee9390 6 лет назад
Tumaini nakuona tuu unatiririka,,,Thanks organist wa nguvu,!!!
@catherinetallo4981
@catherinetallo4981 5 лет назад
Daaa kumbe Organist ni Tumaini..... nilikuwa sijamuona vizur, Mwl wangu wa nguvu
@bennynjiku9689
@bennynjiku9689 4 года назад
safi sana
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 3 года назад
OGod strengthen all catholic believes.
@s.simponda138
@s.simponda138 6 лет назад
HAI Kweli mpo hai Bonge moja la song mungu awabariki
@samwelilyakurwa612
@samwelilyakurwa612 6 лет назад
hongereni sana
@SuperKellyalex
@SuperKellyalex 6 лет назад
spriano simponda Amina
@SuperKellyalex
@SuperKellyalex 6 лет назад
Samweli Lyakurwa Asante sana
@jacintakiio695
@jacintakiio695 4 года назад
Wow
@konstanziamashayo4061
@konstanziamashayo4061 4 года назад
Hongereni sana waimbaji nimebarikiwa sana
@frenkshaban8080
@frenkshaban8080 5 лет назад
Bahati bukuku
@petermwololo675
@petermwololo675 4 года назад
Wimbo mzuri sana barikiweni kabisa
@emmanuelkonki59
@emmanuelkonki59 5 лет назад
Wimbo mzuri waimbaji vizuri organist mzuri very excellent instrumentation catholic we need to here what organ sounds like
@adeekporko8776
@adeekporko8776 4 года назад
Listening to inspired melody made my day brighter and fulfill congratulations ma Swahili choir
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 4 года назад
Nc song
@mbatatakiazi1678
@mbatatakiazi1678 5 лет назад
Hongereni sana. nawiwa kuitazama pasi na kuchoka. mbarikiwe sana
@SuperKellyalex
@SuperKellyalex 5 лет назад
mbatata Kiazi ameen
@gloriakomba9380
@gloriakomba9380 5 лет назад
Mbarikiwe sana
@charlesmutua9460
@charlesmutua9460 3 года назад
wonderful nice song,,,
@luisandohonchama2347
@luisandohonchama2347 4 года назад
Very nice song God bless you people. It is always good to whoship our Lord
@janethkimario6064
@janethkimario6064 6 лет назад
kwaya yang jamani natamani nirudi hvyo npo mbali hongereni na Mungu awabariki sana
@josephmkola8187
@josephmkola8187 6 лет назад
nice sana kwa kaz nzuri ya F.Shimanyi mtunzi na uimbaji mzuriiii
@saimonnisilu4115
@saimonnisilu4115 6 лет назад
Janeth Kimario wimbo Wasabatovideo
@saimonnisilu4115
@saimonnisilu4115 6 лет назад
joseph mkola video
@SuperKellyalex
@SuperKellyalex 6 лет назад
Janeth Kimario asante sana
@judithwangwe2372
@judithwangwe2372 3 года назад
Great.God bless
@nicholasmakau8850
@nicholasmakau8850 4 года назад
Mungu akubariki kwa kutuinjilisha
@mgaobenson7680
@mgaobenson7680 6 лет назад
hongereni sana kwa wimbo mzuri nimeupenda kuliko kawaida
@SuperKellyalex
@SuperKellyalex 6 лет назад
Mgao Benson shukrani sana, karibu sana
@williumnguyamu2827
@williumnguyamu2827 5 лет назад
Asante sana
@mcfrancoevents8058
@mcfrancoevents8058 4 года назад
Blessed
@evancemartin713
@evancemartin713 6 лет назад
Faraja sana
@nforngwahwilfred7572
@nforngwahwilfred7572 5 лет назад
More grace to you guys, your voices are so angelistic but most of all your costume are of high decency
@leonidaskwigize9194
@leonidaskwigize9194 5 лет назад
congts may da bless of our lord be with you
@salomepaul3989
@salomepaul3989 4 года назад
Woooooi 😘😘😘😘😘
Далее
KWAYA YA MT. MIKAELI MALAIKA MKUU -Bwana asema
4:59
Просмотров 31 тыс.
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Просмотров 60 млн
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
MUNGU YU PAMOJA NASI | DADY PRODUCTIONS
8:39
Просмотров 61 тыс.