Тёмный

NINA HAJA NAWE - SALOME DM | Kwaya ya Mt Cecilia | Bomang'ombe - Hai Mjini FT Lawrence Kameja. 

St. Cecilia Choir Hai Mjini
Подписаться 2,7 тыс.
Просмотров 241 тыс.
50% 1

"Nishike Mkono Unitangulie Uniongoze Maana pasipo wewe Sitaweza Unitie nguvu nijaribiwapo nisilegee Maana Pasipo wewe Nitashindwa... NINA HAJA NAWE MFALME MILELE"
Wimbo: Nina Haja Nawe
Mtunzi: Miss Salome Mahembega
Waimbaji: Kwaya ya Mt Cecilia Hai Mjini
Audio: Rajo Production
Video: The iRis Empire
Kinanda: Tumaini Swai
Soloist: Lawrence Kameja
Tafadhali SUBSCRIBE Like And Share. Barikiwa Sana🙏🏼

Видеоклипы

Опубликовано:

 

24 июн 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 460   
@zenobiagenuine537
@zenobiagenuine537 Год назад
Hakika ukisikiliza unahisi utukufu wa Mungu unashuka,barikiwa Dada Salome,barikiweni Sana waimbaji wote , Mwenyezi Mungu aendeleee kukuza kipaji chenu,mumuimbie Katika Roho na kweli mpaka Mbinguni mkaimbe😍😘🙏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina. Asante sana Usisahau kusubscribe
@jamesmboyi30
@jamesmboyi30 11 месяцев назад
Mungu ambariki sana mtunzi kwa kutoa tafakari nzuri mno,Pia niwapongeze wanakwaya kwa kuutendea haki wimbo huu umekuwa faraja sana kwangu.Bro Kameja Mungu akubariki mno
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Asante sana barikiwa zaidi
@otienoapolo
@otienoapolo 2 месяца назад
Asante kwa wimbo mzuri. Hakika tuna haja naye Mungu
@DoricaEmanuel-ns7ut
@DoricaEmanuel-ns7ut 8 дней назад
Amina sana waimbaji mbalikiwe mno🎉
@reginatemba9752
@reginatemba9752 Год назад
Mungu awabariki kwa wimbo unaogusa mioyo yetu❤❤❤❤❤
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana endelea kubarikiwa 🙏🏼
@Kingdon-q
@Kingdon-q 9 месяцев назад
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi mliotuletea yenye kujenga katika maisha yetu, Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za Roho Mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Amina🙏🏼
@gracetemba1997
@gracetemba1997 Год назад
Wimbo unaupako for real.Hauchoshi,hongera salome na kundi lako.Thadei,Bundala naona vema.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa 🙏🏼 Usisahau kusubscribe
@christinamahembega4115
@christinamahembega4115 Год назад
Hongera sana Salome na kwaya nzima ya Mt. CECILIA; MWENYEZI MUNGU AZIDI KUWAINUA
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina barikiwa zaidi
@josephineogaro9749
@josephineogaro9749 7 месяцев назад
I really love this song especially in the morning before starting my day .
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Oh thank you be blessed more 🙏🏼
@saxs1342
@saxs1342 11 месяцев назад
U made me cry😭😭😭😌 for God's worship for real....sichoki kuusikiliza kbx ,Mungu awabariki sana kwa kazi njema🙏🙏🙏
@kimanisimon400
@kimanisimon400 Год назад
For the nine months in the Claretian community,i enjoyed this choir...Wishing u well
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thanks so much be blessed Baki hapahapa Subscribe 😁
@GloryNkya-yq8cr
@GloryNkya-yq8cr 18 дней назад
Nimebarikiwa na huu wimbo nina haja nawe Mungu awaongoze katika kazi njema utukufu kwa Mungu kuwatumia kama vyombo
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 10 дней назад
Atukuzwe Mungu 🙏🏼 Usiache kusambaza ujumbe huu mzuri kwa wengine
@dianakitika
@dianakitika Год назад
Home Parish😍Hongereni kwa Utume kwa njia ya Uimbaji uliotukuka..Wabarikiwe wote waliofanikisha hii🙏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana barikiwa mno🙏🏼
@josephambrose2215
@josephambrose2215 10 месяцев назад
Hakika mtunzi Roho Mt. amekuongoza kutungu wimbo wenye ujumbe mzito sana. Kila neno ktk wimbo huu ni sala na fundisho tosha la Kiroho. Kweli kabisa Ninahaja na YESU hasa wakati ambao ulimwengu wetu umekuwa na matukio ya kutisha Kila kukicha. Wakati ambao tumelegea ktk Imani yetu, majivuno mengi, ubinafsi umetawala, uonevu, upendo umetoweka n.k. Kwa utulivu ukiusikiliza wimbo huu wenye uvuvio wa Roho Mtakatifu fukuto la mabadiliko ndani mwako linatokea unakuwa mtu mpya. Hongereni kwaya, mtunzi , organist na waandaaji wa Sauti na Video hii maana ni kazi Bora sana. MUNGU aendelee kuwabariki ili muendelee kutuinjilisha🙏🙏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Amina barikiwa zaidi... Kwa sala zenu na maombi yenu twaamini twaweza fanya makubwa zaidi🙏🏼
@marymimina
@marymimina Год назад
Kila neno katika wimbo huu ni sala pekee. Asante sana waimbaji kwa Sala hii. Mbarikiwe sana. Connection muhimu bure hii Sala ingenipita tu hivi😂 asante sana mwalimu Lawrence Kameja kwa kunikumbuka 🙏🏻🥰😍💕
@st.ceciliachoirhaimjini5607
😅😅Endelea kubarikiwa Atukuzwe Mungu
@anselmhamaro9756
@anselmhamaro9756 Год назад
AsanteSana nawe barikiwa
@DoricaEmanuel-ns7ut
@DoricaEmanuel-ns7ut 2 месяца назад
Penda sana wimbo pamoja waimbaji bwana aendelee kuwajaza nguvuya kumuimbia bwana❤🎉
@user-vu7jn3gs6v
@user-vu7jn3gs6v 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤l😊😊😊😊😊😊​@@st.ceciliachoirhaimjini5607
@rosemarybukajumbe5857
@rosemarybukajumbe5857 Месяц назад
Sichoki kumsikiliza mwimba mashahiri ya Wimbo huu❤
@elielepetit8107
@elielepetit8107 Год назад
Lawrence Kameja, can't thank you enough, just i say you're blessed enough.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thanks so much
@vickynash372
@vickynash372 Год назад
Lovely piece, VOICES blending soooo well. Keeping us at per. Lawrence is such a blessing to many. He is gifted and does justice to his voice. Great!💞💞💃💃
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thank you so much Stay close don't forget to subscribe
@mwlnoelbm24
@mwlnoelbm24 Год назад
Wimbo una Ujumbe Mzuri sana, Nimebarikiwa sana na huu wimbo. Hongera kwa Mtunzi, Waimbaji na Waandaaji, mmeutendea haki huu wimbo. Mungu Azidi Kuwainua.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina Asante sana. Usisahau Kusubscribe
@patriciasyombua295
@patriciasyombua295 Год назад
Lovely song ,blended voices just wow I love it
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Thanks so much be blessed
@marymkamwa3779
@marymkamwa3779 9 месяцев назад
Real Gifted voices ❤ leo nasikiliza wimbo huu tangu asubuhi sichoki😂
@franciswathika1202
@franciswathika1202 9 месяцев назад
Same date, same here. Blessings
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Mbarikiwe zaidi na zaidi🙏🏼
@victorchimbimbi6651
@victorchimbimbi6651 Год назад
A very nice song. may the almighty GOD bless you
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thank you very much.
@oswaldmgaya8935
@oswaldmgaya8935 10 месяцев назад
ASANTENI SANA wapendwa Kwa wimbo huu mzuri na wenye tafakari kubwa. Hongera Kwa mtunzi na waimbaji.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Asante sana endelea kubarikiwa 🙏🏼
@user-wl5qb4jd7f
@user-wl5qb4jd7f 9 месяцев назад
I'm Malawian, I feel blessed to be Catholic and you are just making the journey worthwhile...Beautiful❤
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Thank you🙏🏼
@nathannbanda3345
@nathannbanda3345 6 месяцев назад
Tililimodzi pano 😂
@user-yw2pn2br4t
@user-yw2pn2br4t Месяц назад
KAZI nzuri nimependa saana Mungu awazidishie🙏🙏🙏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 10 дней назад
Atukuzwe Mungu 🙏🏼 Usiache kusambaza ujumbe huu mzuri kwa wengine
@antoniabukuku5060
@antoniabukuku5060 Месяц назад
Nimebarkiwa saaaaassna na wimbo huu Mungu awabiki sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 10 дней назад
Amina sana🙏🏼 Usiache kusambaza ujumbe huu mzuri kwa wengine
@livingstonemasikonte916
@livingstonemasikonte916 Год назад
Sauti zenyewe kapangwa na kupangika. Wimbo mtamu sana.......mauthui/ujumbe ni wa kuelimisha na kufariji nyoyo zilizopondeka...mwalimu kameja na Rajo production, hongereni sana........tuzidi kumwimbia Rabana hadi nyakati za mwisho🙏🙏🙏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana endelea kubarikiwa 🙏🏼 Usisahau kusubscribe
@ladislausoisso7976
@ladislausoisso7976 Год назад
Splendid gospel song.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thanks so much. Blessed be God
@ReginaHeriel-sd3yg
@ReginaHeriel-sd3yg Год назад
Hongereni wapendwa wimbo mzuri Sana na mmeutendea haki,nimebarikiwa mno,Mungu azidi kuwainua!❤️
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana Usisahau kusubscribe
@GastonCanuty-tx6pp
@GastonCanuty-tx6pp 11 дней назад
Congratulation laurence kameja
@GastonCanuty-tx6pp
@GastonCanuty-tx6pp 10 дней назад
Kongowe kwa wimbo mzur sana mungu awa bark
@eliudkamwaro2062
@eliudkamwaro2062 Год назад
A powerful piece! Tuna haja NAWE ...nina haaaaaajaaa NAWE Mfalme milele
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Ameen🤲
@carolinejebichii1470
@carolinejebichii1470 Год назад
Am really blessed by this song 💕 keep up the good work 👏 guys
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thanks so much 🙏🏼
@vickyvictor406
@vickyvictor406 10 месяцев назад
This is beautiful much love from Kenya. Ni UPENDO Tu ♥️♥️♥️🙏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Much love from here🙏🏼
@zenobiakapere1379
@zenobiakapere1379 5 месяцев назад
Sifa na utukufu tumrudishie aliye juu.
@marierobert42
@marierobert42 Год назад
Jamn tumain swai Huwa ananikisha kwakwel kwenye kusolo❤❤❤
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Huyo ni Lawrence Kameja 😁 Asante sana kwa pongezi. Endelea kubarikiwa 🙏🏼
@filipinadaud885
@filipinadaud885 Год назад
Hongereni Sana ,wimbo mzuri mno,una upako wa Hali ya juu.Roho Mtk awafundishe zao. Salome hongera sanaaa umeosha mwanangu
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa zaidi
@mariammatinde8085
@mariammatinde8085 Год назад
Nimebarikiwa sana kwa wimbo mzuri sana, Bwana azd kuwainua ktk viwango vya juu...Kaka wa sauti ya 3 unakosha sio siri🙌
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa 🙏🏼
@ClotlidaFmayanja
@ClotlidaFmayanja 9 месяцев назад
Mbarikiwe sana Mungu awainue wimbo mzuri sana
@joycengolly547
@joycengolly547 Год назад
Hongereni sana wanakwaya wa mt sesilia bomang'ombe, Kwa kazi nxuri ya kumtukuza mbele ya mwl mahiri Salome. Mbarikiwe sana❤️❤️❤️
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa zaidi
@estherwanjiru6001
@estherwanjiru6001 Год назад
Wow great song.Lawrence never disappoints ❤❤
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thanks so much Don't forget to subscribe
@nathannbanda3345
@nathannbanda3345 11 месяцев назад
Beautiful, thanks for the captions. Continue good work
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Glad you like them!
@sr.paschalinasukum2076
@sr.paschalinasukum2076 Месяц назад
Asanteni sana ndugu Kwa kuinjilisha Kwa njia ya kuimba , nimeguswa sana na maneno ya wimbo huu.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 10 дней назад
Atukuzwe Mungu 🙏🏼 Usiache kusambaza ujumbe huu mzuri kwa wengine
@GastonCanuty-tx6pp
@GastonCanuty-tx6pp 11 дней назад
Nina hajanawe bwana
@BikiramariaMshindaji
@BikiramariaMshindaji 8 месяцев назад
Wimbo mzuri sana, mbalikiwe❤
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Amina barikiwa zaidi
@mercymutisomusic
@mercymutisomusic Год назад
I feel blessed by this song🙏❤️hongereni sana👏🏻
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa na bwana🙏🏼
@Kingdon-q
@Kingdon-q 9 месяцев назад
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu Kristu.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Amina🙏🏼
@johnmelias7757
@johnmelias7757 Год назад
Hongeren sana nmebarikiwa sana na huu wimbo Mungu awabariki!!!!! Big up.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Asante sana barikiwa pia
@irenenjuguna2870
@irenenjuguna2870 Год назад
Waoh lovely beautiful voices. Lawrence never disappoints God bless you all.... wonderful
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thanks so much Don't forget to subscribe
@emmymongina5420
@emmymongina5420 9 месяцев назад
❤❤❤❤❤wooow Angel's beautiful voices ❤❤❤❤
@aquillinahmusyoki7238
@aquillinahmusyoki7238 11 месяцев назад
Song is mersmerisingly deeply soul uplifting. Like pulling me out of a low .God 🙏 is alive. MORE GRACE
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Thanks so much be blessed
@GastonCanuty-tx6pp
@GastonCanuty-tx6pp 11 дней назад
Good work
@Cresensia-cq8qv
@Cresensia-cq8qv Год назад
Wimbo mzuri mnoo mungu awabrki Sala tosha hii🙏🙏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana barikiwa 🙏🏼
@themanwithnoname5824
@themanwithnoname5824 Год назад
Hai mjini bomang'ombe nyumbani kama nyumbani mmhbalikiwe mno
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa pia 🙏🏼 Usisahau kusubscribe
@alfredtarimo
@alfredtarimo Год назад
Nimebarikiwa sana kupitia kwaya hii. Namuona mwanafunzi wangu hapo Dominica Hamaro. Mungu aendelee kuwabariki muweze kutuinjilisha kupitia kwaya yenu
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina endelea kubarikiwa mwalim
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana mwalim
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 5 месяцев назад
Naomba jamani niwaombe Mungu awabariki wote kwa uimbaji wenu
@GastonCanuty-tx6pp
@GastonCanuty-tx6pp 11 дней назад
Keep it up laurence kameja
@eliudkamwaro2062
@eliudkamwaro2062 Год назад
NINA HAJA NAWE.... TUNA HAJA NAWE... Wimbo mtamu sana huu
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana endelea kubarikiwa
@user-xn1um3xv1i
@user-xn1um3xv1i Год назад
Mbarikiwe sn sauti zimepangika sauti ya kinanda imeenda sawia honger nying kwa mpigaj pia roho wa vipaji akikuze kipaji kwa viwango vya juu
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina Asante sana endelea kubarikiwa 🙏🏼
@anthonykimweri1386
@anthonykimweri1386 10 месяцев назад
Kazi nzuri sana, tumebarikiwa wengi katika wimbo huu, keep it up waimbaji 🎉🎉🎉🎉
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Asante sana barikiwa 🙏🏼
@MamertiPeter-uo7ul
@MamertiPeter-uo7ul Год назад
Nawashukuru sana waandaaji WA huu wímbo.maana mwanzo mwisho ni sala.naúrudiarudia Kila saa nafsi inanituma Bado enndelea.mmbarikiwe sanaaa.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Asante sana barikiwa zaidi
@beatrisikimario8233
@beatrisikimario8233 Год назад
Hongereni Sana wapendwa kwa wimbo mzuri, Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu🙏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana barikiwa 🙏🏼 Usisahau kusubscribe
@jontap.i.6980
@jontap.i.6980 Год назад
Kazi nzuri hongereni sana🙏🙏🙏🙏 salome unitafute
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana Zimefika😅 Baki hapa hapa Usisahau Kusubscribe
@matildambuya6844
@matildambuya6844 Год назад
Aki mmeimba vizuri nimefarijika nawapenda mno Wana Cecilia naona nyumbani kunazidi kunoga
@edsonsambala4545
@edsonsambala4545 Год назад
Ninahaja nawe mwokozi wangu. Wimbo mzuri, utulivu mzuri na ujumbe mkuu. Hongereni sana kwa kazi njema ya uinjilishaji kwa njia ya uimbaji.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana Barikiwa Usisahau kusubscribe
@GraceMbiki-zj4jt
@GraceMbiki-zj4jt Год назад
Asante sana mpendwa, tuendelee kusabusrabu na kushea Kwa ndugu jamaa na marafiki ili uinjilishaji usonge mbele.
@user-zw7ru2ow8p
@user-zw7ru2ow8p 3 месяца назад
Hongera mmefanya kitu kizur🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@lenahabraham6624
@lenahabraham6624 Год назад
This song's prayer is all I needed ❤🙏🙏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
🙏🏼🙏🏼🤲barikiwa
@adolphemulengezi956
@adolphemulengezi956 Год назад
Congrats to you All... keep it up Lawrence Kameja 👌👍
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thanks so much Usisahau Kusubscribe
@GraceMbiki-zj4jt
@GraceMbiki-zj4jt Год назад
Thanks my dear, we're all grateful to God for giving him a good heart to share his wonderful voice to preach the word of God in different places, it doesn't matter how far. If you need him he will be there. God bless him.
@mgendimussa6824
@mgendimussa6824 Год назад
Hongera sana Salome kwa utunzi mzuri Mungu akubariki
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina Asante sana sifa kwa bwana Usisahau kusubscribe 🙏🏼
@rosekagabo5120
@rosekagabo5120 11 месяцев назад
Nasikia kuzimia kwa upako mkuu uliomo ndani ya wimbo huu mbarikiwe kazi nzuri
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Asante sana Barikiwa zaidi 🙏🏼
@danielkimaro8635
@danielkimaro8635 Год назад
hongereni sana majirani kazi nzuri keep it up
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thanks so much Yote kwa sifa na utukufu wa Mungu
@papaamzalendo2460
@papaamzalendo2460 10 месяцев назад
Wimbo mtamu sana, ujumbe asilimia 💯
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@franwanjiru
@franwanjiru Год назад
Beutiful and lovely piece.I'm sure it will bless to many of us.🤲🏾
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thank you so much Don't forget to subscribe like and share
@gabrielkweka8612
@gabrielkweka8612 Год назад
Hongeren sana kwa kazi nzuri... Mungu azidi kuwanyanyua viwango zaidi ya viwango.. Salome mahembega wewe ni 🔥🔥🔥
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana barikiwa
@mariethlysumaye9656
@mariethlysumaye9656 Год назад
Nice song chukueni Maua yenu🎉🎉🎉🎉
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa 🙏🏼 Usisahau kusubscribe
@Raymon.2005
@Raymon.2005 11 месяцев назад
Hongereni saaana wapendwa wimbo huu uwaunanifariji saaana tu
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Asante sana🙏🏼
@Luciakilyu
@Luciakilyu 7 месяцев назад
Lawrence kameja,this is a Godly golden,keep it up bro,this song has made me to extend my prayers ❤❤❤❤
@ernesthaule5641
@ernesthaule5641 Год назад
Hongera sana Salome, Mungu akupe afya njema, wimbo mzuri sana.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana zimefika🙏🏼🙏🏼😅 Usisahau kusubscribe
@suzanamahali219
@suzanamahali219 Год назад
Mungu awabariki jamani ukisikia kundi la walio injilika simama pale kwa huu wimbo nimebarikiwa Nitasimama
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana Usisahau kusubscribe
@samwelmkea2010
@samwelmkea2010 Год назад
Utunzi maridadi na uimbaji mzuri sana hongereni sana Wana Cesilia
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana Usisahau kusubscribe
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 7 месяцев назад
Mko vizuri wana wa Mungu! Mbarikiwe sana. ❤❤❤ Nitaongeza neno langu baadaye. Mnastahili kufika mbali.
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Asante Sana mkuu kwa kutupa moyo
@timotheathomas6946
@timotheathomas6946 Год назад
Mungu awabariki sana na kwa kujitoa kwenu nasi tunafarijika mungu azidi kuwaongoza
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Amina. Asante sana🙏🏼
@salomemattanga7633
@salomemattanga7633 Год назад
Kazi nzuri sana kweli Mungu wetu pekee akaibatika kazi ya mikono yenu Roho mtakatifu Al awatunze. Tuwaone ktk wimbo mwingine wa alietunga wimbo huu, Mungu azidi kumtumia Kama chombo cha amani na kumtukuza Kristo
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Baki hapa hapa mazuri yanakuja Barikiwa sana🙏🏼
@kadodamilinga
@kadodamilinga Год назад
Wow jamani wimbo mzuri sana ❤👌🙏🏿
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa🙏🏼
@HeriusMatiku-kp9iy
@HeriusMatiku-kp9iy 3 месяца назад
God is Good 🙏 TUNA HAJA NA MFALME MILELE *congratulations Kwa utume*
@josphinewanjohi9638
@josphinewanjohi9638 11 месяцев назад
You're all blessed beautiful voices and very inspirational
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Thanks for listening🙏🏼 be blessed more
@deejayoliver2294
@deejayoliver2294 6 месяцев назад
nilikuwa naota nikiuliwa suddenly this song come oveer my dream nikagutuka haraka nikafunga nikasikia na nikakemea iyo ndoto......this is my best song forever since
@praygodshuma605
@praygodshuma605 9 месяцев назад
Hongereni sana, Mungu awabariki, barikiwaaaa sana na ujumbe huuu
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Amina sana barikiwa zaidi 🙏🏼
@wilfredpaul2937
@wilfredpaul2937 Год назад
Hongereni tuendelee kutumikia na kuajibika mana aimbaye kwa akili husali mara mbili...
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana🙏🏼
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Год назад
Nijalie nguvu niwapende adui zangu,asanteni saan waimbaji
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante pia🙏🏼
@user-ng5ze8mr7k
@user-ng5ze8mr7k Год назад
Hongereni xana,wimbo umenibariki xana na kunifariji xana
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa 🙏🏼 Usisahau kusubscribe
@eliudkamwaro2062
@eliudkamwaro2062 Год назад
Nimekubali kabisaaa... NINA HAJA NAWE
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana barikiwa 🙏🏼
@appsplay4324
@appsplay4324 Год назад
Nice song be blessed ❤❤❤❤
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thanks so much Don't forget to subscribe
@paulinamweshy4065
@paulinamweshy4065 Год назад
Nice , song 🎵 indeed 👌❤, congratulations my people 👏
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Thanks so much Don't to subscribe
@rosemalaba5205
@rosemalaba5205 Год назад
Hongereni.Asanteni na Mungu awabariki. KEEP IT UP LAWRENCE KAMENYA!
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa zaidi Usisahau kusubscribe
@elizabethmangera-hy4we
@elizabethmangera-hy4we 11 месяцев назад
Wow yaani ninaja nawe mazuri mpalikiwe sana hongera
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 11 месяцев назад
Asante sana barikiwa zaidi 🙏🏼
@bahatidominic8923
@bahatidominic8923 Год назад
Wanaimba vizuri sana. Mungu aendelee kuwabariki waimbe vyema
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana yote kwa sifa na utukufu wake
@mt.cesiliampanda7062
@mt.cesiliampanda7062 7 месяцев назад
❤❤❤❤❤ wimbo mzuri hongereni ndugu zetu
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Asanteni sana ndugu zetu🥰
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Год назад
Nafarijika saaan nikisikiliza wimbo huu
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Endelea kubarikiwa 🙏🏼
@josephmathendu3830
@josephmathendu3830 Год назад
Kwa kweli Nina haja nawe.....hongereni
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa 🙏🏼 Usisahau kusubscribe
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Год назад
Wimbo umetulia saaan kwa kwel
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Asante sana barikiwa 🙏🏼
@user-oj1ec2ld2t
@user-oj1ec2ld2t 10 месяцев назад
Barikiwa Kwa wimbo mzuri sana .
@st.ceciliachoirhaimjini5607
@st.ceciliachoirhaimjini5607 7 месяцев назад
Amina sana
@catherinejullu6615
@catherinejullu6615 Год назад
Hongereni mt cecilia Hai mjini oeeeh❤❤
@st.ceciliachoirhaimjini5607
Amina sana Mungu atukuzwe Usisahau kusubscribe kulike na kusambaza ujumbe huu wa upendo
Далее
MKAZAE MATUNDA MEMA | Ray Ufunguo | (Official Video)
9:11
Kihingurwo Kia Nyumba ya Njeri na Wanjau her brother.
54:05
UKIWA NA SIFA HIZI UNAMUOA MIRIAM CHIRWA
5:40
Просмотров 204 тыс.
SITABAKI KAMA NILIVYO (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
7:25
Просмотров 641 тыс.
Nina haja Nawe - Music in My Soul Family
4:31
Просмотров 389 тыс.
MSAADA U KATIKA BWANA | D. Nkoko | (official video)
7:18
Doston Ergashev - Kambag'alga (Official Music Video)
5:32
YULDUZ USMONOVA -AYAMAY(PREMYERA)#2024
3:17
Просмотров 598 тыс.