Тёмный

MURO: BOSS KAMALIZA SAJILI ZOTE 12 ZA SIMBA MSIMU 2024/25 | SIMBA MPYAA BALAA KWA WAPINZANI... 

Data Sports Tv
Подписаться 107 тыс.
Просмотров 50 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 3 месяца назад
Jobe na Michael Kublan wanaweza kufanya maajabu msimu ujao.
@suitbertmaro5792
@suitbertmaro5792 3 месяца назад
Sina shaka na MICHAEL
@WizkidMwkalundwa
@WizkidMwkalundwa 3 месяца назад
Simba were the best all time
@vitalisantony239
@vitalisantony239 3 месяца назад
Waliokwishaondoka ni Mickson, Saido, Chama na Inonga
@isacksamuel5503
@isacksamuel5503 2 месяца назад
Aziz ki in, babacar sarr out
@EzekiaMyila
@EzekiaMyila 2 месяца назад
Kanut anastaili kubaki putin kama putin abaki
@babaabro8847
@babaabro8847 3 месяца назад
Kuna Augustine kutoka River United katangazwa mchana huu Muna lala sana
@Zuberiluambano
@Zuberiluambano 2 месяца назад
Jobe apewe abubakar apewe
@HassanMdimu-d3f
@HassanMdimu-d3f 3 месяца назад
Pacome hajawa mvp
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford 3 месяца назад
Kama Kuna mashine Kali zimekuja wapewe thank you
@CikeTanzania
@CikeTanzania 3 месяца назад
Jobe,babakar sar
@SaidMana-dp4et
@SaidMana-dp4et 3 месяца назад
Ahmed ali tutajie majina ya wachezaji wa simba tuliowaacha mpaka sasa umetuacha njiapanda hatuelewi kitu hatujui nani kaachwa na nani kaingia tafadhari sana tupe majina kaka
@onesphorymgedzi995
@onesphorymgedzi995 3 месяца назад
Acheni viongozi wafanye kazi unakazana sijui nani aondoke, viongozi wanajua wanacho fanya
@ProsperSantos
@ProsperSantos 3 месяца назад
Jobe. Babacar sar. fredy tumfikilie kwanz 🤣
@LabaniNdama
@LabaniNdama 3 месяца назад
Hatutakimatangazoyenu kwenyemabandoyetu
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford 3 месяца назад
Aondoke jobe na babakasar. Kanuti Onana,Fred wabaki
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 месяца назад
Wote hao waondoke
@LufunzamachibyaNhumbi
@LufunzamachibyaNhumbi 3 месяца назад
kramo abaki
@BilalIdi-v7g
@BilalIdi-v7g 3 месяца назад
Jobe xx
@erasmusleonidas6729
@erasmusleonidas6729 3 месяца назад
Babacar, Jobe, Onana hawa waondoke chap
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 3 месяца назад
@@erasmusleonidas6729 onana ana kitu,, hawezi kukuangusha ndani ya mechi 3 bila goli
@kokolosaid7265
@kokolosaid7265 3 месяца назад
Pa omari Jobe,Kramo,Babakari ,fredy Maiko na Onana ni lazima watoke na lasivyo Simba SC haitafanya lolote mssimu huu unaoanza hivi karibuni
@EmmaPallanjo
@EmmaPallanjo 3 месяца назад
Upo sawa ila Kwa Kramo abaki ana kitu apewe muda
@ludobudege1662
@ludobudege1662 3 месяца назад
Natamani jobe aondoke
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 3 месяца назад
Mungu wa ajab unaweza kukuta jobe akaja kukiwasha msim ujao
@mwanangusana
@mwanangusana 3 месяца назад
Bora abakiii
@CikeTanzania
@CikeTanzania 3 месяца назад
Ashasepa mda mbina
@kubuleabdul6032
@kubuleabdul6032 3 месяца назад
Aondoke Jobe kanoute babaccar Sarr
@flova7022
@flova7022 3 месяца назад
Keep kanoute hajapata watu Sahihi tu
@mwanangusana
@mwanangusana 3 месяца назад
​@@flova7022😂😂😂😂 sajilini vzr ndo la muhimu
@flova7022
@flova7022 3 месяца назад
@@mwanangusana Simba hujawahi sajili vibaya..sema tunashindwa kulinda wachezaji. Jifunze Kwa kramo .
@mwanangusana
@mwanangusana 3 месяца назад
@@flova7022 Ina maana sawadogo, Jefferson, outarra Dejan, okwa na akina jobe ni wazuriii ila hawakulindwa ?? Then ayoub Lakred, Chama , tshabalala, Inonga na che Malone ni wazuri pia ila wao wamepewa ulinzi ?? Basi ongezen kampuni za ulinzi kk security na suma jkt kwaajili ya kuongeza ulinzii 🤣🤣🤣
@mwanangusana
@mwanangusana 3 месяца назад
@@flova7022 kramo kafanyaje ?? Ina maaana Doumbia , konkoni kule yanga walikosa ulinzi??
Далее
НЮША УСПОКОИЛА КОТЯТ#cat
00:43
Просмотров 671 тыс.