Тёмный

MUUZA SHANGA 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 846 тыс.
50% 1

Jamani kila kazi ina ugumu wake, ila ugumu mwingine mnautaka wenyewe, Nishai kapata ugumu...

Приколы

Опубликовано:

 

23 мар 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 954   
@margaritaraymond4070
@margaritaraymond4070 2 года назад
The best comedian in Tanzania ,we are proud to have such a talented man ,🔥🔥🔥🔥
@ahmedlee3022
@ahmedlee3022 2 года назад
😂😂😂
@fredfrancis104
@fredfrancis104 2 года назад
kaondoka majuto ametuachia huyu na msanja mkandamizaji
@joejux1380
@joejux1380 2 года назад
Joti una sifa zote za kuwa best comedian Kwa hapa kwetu TANZANIA kwani una uwezo wa kuvaa uhusika wa aina tofauti na ukawa kwenye ubora wako Ukiwa mtoto(ANDUNJE) Ukiwa msela(NISHAI) Ukiwa demu(KIBOGA) Ukiwa mpemba(AMIIII JEI) Ukiwa mzee(BABU) na kila uhusika wako unajua ujiweke vipi hilo ndio kubwa linalo kufanya uwe bora na Mashati yako ya ILALA BOMA😁😁 viatu vya KARUME😁😁😁😁 Una kila sababu za kumaliza bando langu
@wardamarungu2478
@wardamarungu2478 2 года назад
Proud of him wallah
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 года назад
Yaaaani uyu mtu anatisha sanaaa
@mahmoudmwamba8014
@mahmoudmwamba8014 2 года назад
Hahahaha eti mashati ya ilala boma
@reginasawe3356
@reginasawe3356 2 года назад
😂😂😂😂 woyoooo
@benjaminmike9778
@benjaminmike9778 2 года назад
Akiwa nishai aise n shida🤣🤣🤣
@jiduah1602
@jiduah1602 2 года назад
You've the best acting art in this industry, just keep up the good work Ndugu Andunje😜😜😜
@abdirizackkala4593
@abdirizackkala4593 2 года назад
Nishai, much more love from Kenya 🇰🇪
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Oya Mwamba nakubali💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾....Wakijaaa waduanzi kama hao hiyo ndio dawa yao.
@princeismailsnr291
@princeismailsnr291 2 года назад
Wazungu ni wetu wametuletea shanga za kuvaa shingoni,za kuvaa kiunoni! Iyoooo fagilia wahhhhh!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏❤️💕
@eggysulle7988
@eggysulle7988 4 месяца назад
😂😂😂😂
@emanueldanstan8904
@emanueldanstan8904 2 месяца назад
😂😂ila mguu wako kama muwa😅
@fahmisaliim1914
@fahmisaliim1914 2 года назад
Joti umenishinda tabiaaa wallah we ni mshenzi,,first comedian wallah nakupa zangu 100000000000000000
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 Год назад
hahaaahaaahaaaaa joti fala nyieee
@nickchengula9983
@nickchengula9983 2 года назад
Jot ni mtu na nusu wazungu ni wetu wamekuletea shanga nimecheka sana kwa saut🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😹
@markbahati6516
@markbahati6516 2 года назад
Ndio mana uwaganakuita king of COMEDY
@liciouscharles3370
@liciouscharles3370 2 года назад
So hakuna anaongelea kuhusu uigizaji Mzuri wa huyo dada apo....anajua sana kuigiza
@sadockmhinza699
@sadockmhinza699 2 года назад
Fact ✊🏼✊🏼
@teenbamazaga9973
@teenbamazaga9973 2 года назад
Yeah she’s very talented
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 года назад
She's an actor... Tafuta series inaitwa maneno ya kuambiwa.
@damarisonsabwa1293
@damarisonsabwa1293 2 года назад
Always on point Joti 😂😂😂😂🔥❤️
@eddahfrancis8478
@eddahfrancis8478 2 года назад
🤣🤣 huyu joti jmn uwii nampenda bure kwakweli,maana anatuongezea siku za kuishi
@alexkamugisha3526
@alexkamugisha3526 2 года назад
🤣
@anidebezibeautyandlifestyle
@anidebezibeautyandlifestyle 2 года назад
🤣🤣😅 wazungu ni wetu! Kataa!! Katika!!🤣🤣😅 to be sincere Joti makes my day every time!!
@kwalilian3276
@kwalilian3276 2 года назад
Joti ,ur the top comedian in Tanzania ,,,tunakupenda wewe tu kwakweli endelea kitupa comedy nzur
@mchemargaret3500
@mchemargaret3500 2 года назад
Wazungu ni wetu hahaaaa
@lyrics_forum
@lyrics_forum 2 года назад
Kiukweli kabisa hata Mimi Siku nikimkuta Msugua Kucha anamshika Mke wangu ntaua maana kila siku nakuta Mke wangu amependeza tu Kucha ila Boya anayemsafisha simuoni. Sasa Ama zangu ama zake.
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 2 года назад
Inaweza ikawa ni mwanamke
@bettymash6181
@bettymash6181 2 года назад
Mwamba you have a presence as an actor mbali na comedian, ningependa kukuona kwa movie ivi.
@raisimseveni1955
@raisimseveni1955 2 года назад
🤣🤣🤣🤣This guy mara is very amazing and talented #joti 🙏🙏away from 🇿🇦
@jacklineaidano2808
@jacklineaidano2808 2 года назад
😁😁😁joti Kama joti king of comedy
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 года назад
Yaaaani mguu wake kama muwa ili avae azungushe mara sita mmmmmh 😂😂😂😂😂😂😂 we mtu balaaaa joti 🔥🔥🔥
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 2 года назад
😂😂🤣🤣 JOTI ME SIACHI KUKUFUATILIA SABABU UNAJUWA KUNICHEKESHA ADI NIMEJAMBA MBWIIIIIII 😎😎😂😂🤣🤣
@shekiffu
@shekiffu 2 года назад
Utakua na mattzo ya linda
@kavisheonline2418
@kavisheonline2418 2 года назад
Itabidi tuiagize tume ya uchunguzi
@nadyailyasaa8813
@nadyailyasaa8813 2 года назад
@@kavisheonline2418 😅😅😅😅😅😅😅😅🙌
@zakayolazaro6701
@zakayolazaro6701 2 года назад
,🤣🤣🤣
@wisperfect5320
@wisperfect5320 2 года назад
Huna linda
@nitunda
@nitunda 2 года назад
Wazungu ni wetu wametuletea shanga za kuvaa shingoni,za kuvaa kiunoni! Iyoooo fagilia wahhhhh!😂😂
@Showdeemo36
@Showdeemo36 2 года назад
One of the best 😅😅😅😅
@simonandrew1489
@simonandrew1489 2 года назад
Dah!!! Joti fundi hatari kwenye comedy nakibali sana
@wemasumari3272
@wemasumari3272 2 года назад
Nina msiba ila daaah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nacheka tu hata sijui kwanini nimekuangalia siku kama ya leo ningeacha hata siku ipite tu
@amosimalila7751
@amosimalila7751 3 месяца назад
Pole namsimbaaa
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 2 года назад
Wazungu ni wetu wazungu ni wetu wametuletea shanga😂😂😂😂
@elizamukiti9855
@elizamukiti9855 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 2 года назад
Duuh nilichelewa kuitazama hii ila jot wewe daah hivi unawatoto kweli yaani unachekesha mpaka vichaa duuh my brother you are the best
@artemisneoy9596
@artemisneoy9596 2 года назад
😂😂😂😂 Hawa mabouncer wanazingua kinyama ila wapaka rangi, wauza shanga,njegere na kibua mnavunja ndoa kama bodaboda
@KesheMedia
@KesheMedia 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-lP8QOGCTzxo.html
@khadijaamur6032
@khadijaamur6032 2 года назад
Kuna na wauza boflo
@magrethlehao5927
@magrethlehao5927 2 года назад
Kuna wasajili laini wa mitaani nao
@rusakanyohenry6932
@rusakanyohenry6932 2 года назад
Wewe ndio umetoa ushuhuda@@magrethlehao5927
@kitomondo
@kitomondo 2 года назад
Msisahau waganga wa kienyeji
@iamdjgunz1414
@iamdjgunz1414 2 года назад
joti msenge sana🙌🏼😂😂😂😂😂😂
@guccij6236
@guccij6236 2 года назад
Ukikutwa na mke wa mtu utachagua upigwe kavu au na vilainishi
@ayshamadege7981
@ayshamadege7981 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌😍kitombangile kitwanga wa mikazo leo umejaa🤣🤣🤣🤣🤣👏
@MohammedMaulidHaji
@MohammedMaulidHaji 7 месяцев назад
Mm naitwa NISHAI MTOMBANGWILE KITAMBO Mikazo/Miguno a.k.a Nishai Mishangaa🤣🤣🤣🤣 nimeipnd intro 🤣🤣🤣
@nuhungitao5822
@nuhungitao5822 2 года назад
Umeua sana leo home boy🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kabambabigiraneza372
@kabambabigiraneza372 2 года назад
King of comedy big up joti
@blackpanther4825
@blackpanther4825 2 года назад
Jamaa baunsa anapatia sana namkubali sana 😂😂😂
@adellaidewilliam659
@adellaidewilliam659 2 года назад
Wazungu ni wetu wazungu ni wetu wametuletea shanga za kuvaa kiunoni😂😂😂😂🥱🥱😂😂
@mansourally91
@mansourally91 2 года назад
KING OF COMEDY 😂😂😂
@kombakomba7922
@kombakomba7922 2 года назад
Joti i love you!!!!! 😍😍😂😂😂
@twistreseach3133
@twistreseach3133 2 года назад
Joti Fundi mwenyew like yangu unayoo mzee wa kazi
@justinejackson1731
@justinejackson1731 2 года назад
Only one KING!!! JOTI a.k.a nishai
@hamisikijombo6044
@hamisikijombo6044 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamaa anajua had anakera yan😂😂😂Top comedian
@clevermngao7565
@clevermngao7565 2 года назад
Mbavu zanguuuu 😄😁😆🤣😂🤣 joti ni hatari na nusuuu!
@salimuahmadi1261
@salimuahmadi1261 Год назад
ay bhn jot ila uuponzi kweli??????
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 2 года назад
ukiona ivv kuna muza shanga ime mkutaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maryhosea3845
@maryhosea3845 2 года назад
Joti anamuogo😂😂👋jmniii khaaaa🙌
@sicac33
@sicac33 2 года назад
Joti daily anapatikanaga na majanga.🤣🤣🤣🤣
@dingoomagawa6950
@dingoomagawa6950 2 года назад
best comedian in tz🇹🇿🇹🇿... shout out to u Joti
@dennisevarist
@dennisevarist 2 года назад
Mke wangu huko uliko siku nakuchukua yaani najimilikisha ndio itakuwa mwisho wa kupakwa rangi na masela hata kama wanajitafutia riziki ila sintoweza kuvumilia hilo. Na biashara ya shanga sitaki kuisikia na hao wengine waliotajwa humo. 😃
@gracekavaya1057
@gracekavaya1057 2 года назад
Hahahaaahhah
@DealDeskPro
@DealDeskPro 2 года назад
Joti, tuache blaza, kutuchekesha namna hii watu wazima si sawa kabisa utatuua baba...Nishai Mishangaaa 😀😀😀😀😀😀
@fatumaramadhani8221
@fatumaramadhani8221 2 года назад
Nimechekaa adi nimeliaaa joti🤣🤣🤣
@praxedadominic6670
@praxedadominic6670 2 года назад
🤣🤣🤣🤣nampenda joti nampenda tenaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️❤️🇹🇿🇹🇿
@dicksonlaurean1614
@dicksonlaurean1614 2 года назад
Kweli,bhana,ilo somo tosha,namimi nawachukia sana wasugua,kuchaa
@abdullahtiphsaidy6605
@abdullahtiphsaidy6605 2 года назад
Kuna Joti mmoja tu..... nimecheka sana
@rajabuhamisi3340
@rajabuhamisi3340 2 года назад
Best comedian of all time
@malakimoses6115
@malakimoses6115 2 года назад
Joti ww hatari nimecheka mpaka mbavu zinauma aise 😂😂😂😂😂 kazi nzuri
@thelastking5180
@thelastking5180 2 года назад
Etiiiii muoshwa huoshwaaa😹
@camiloaidani2467
@camiloaidani2467 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 king of komedy
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 2 года назад
😂😂🤣 Nishai hata apigwe vip kofia haitoki kichwani big up bro 🙌
@marrymarco4455
@marrymarco4455 2 года назад
Hahahah 😂😂
@iddysalim6331
@iddysalim6331 2 года назад
Hiyo miuno ya joti sasa kama mwali aliyetoka unyagoni 🤣🤣🤣 na nyimbo yake ....wazunguuu ni wetuuu, wazunguuu ni wetuuu wametuletea shanga hadi za shingoni daaah we mwamba ni funga kazi, saluuut broooo ur no 1comedian in Tz 🔥🔥🔥
@KesheMedia
@KesheMedia 2 года назад
😂😂📍
@suudihrajabuh2947
@suudihrajabuh2947 2 года назад
Star of comedy joti big up
@ayoubkhan4304
@ayoubkhan4304 2 года назад
Mtombangile kitwango bwana miguno 😂
@leonardemmanuel9249
@leonardemmanuel9249 2 года назад
Namfurahia joti akiigiza kama Nishai ni nomaaaa,🤣🤣🤣🤣🤣
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 года назад
Best character yake 😀😁
@eduardomoussa4508
@eduardomoussa4508 2 года назад
Joti wewe 🥰
@lewisdomician1634
@lewisdomician1634 2 года назад
Ety! Wapiii Nashoooo.. 🤣😂😀😄🤣😀😂
@davidnchoji
@davidnchoji 2 года назад
Daah asee Joti hapana...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@singinggirl6554
@singinggirl6554 2 года назад
Wallah nimecheka wazungu ni wetu 🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@babudeemapete6680
@babudeemapete6680 2 года назад
Kali sana alafu wazo limenda shule big up joti
@sirajihamza2123
@sirajihamza2123 2 года назад
😂😂😂nishai kitombangile kitwangoooo good sana kakaa
@suleimanngare6707
@suleimanngare6707 2 года назад
Noma sana 🤣🤣🤣imeweza kinoma🇰🇪👊
@bennyngoye8707
@bennyngoye8707 2 года назад
Joti unazingua sana.
@humalysaidy1214
@humalysaidy1214 2 года назад
Hahaha 😂😂😂 Ni Raha San
@abuuashyam8417
@abuuashyam8417 2 года назад
Ha Hahahaha Mi nampenda uyu bonsa mpole mambo yake
@mcdanta6919
@mcdanta6919 2 года назад
Joti akili zako Zina kutosha mwe nyewe 😁😁
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 года назад
🤣🤣🤣
@muddyjumaa604
@muddyjumaa604 2 года назад
Legend 🤣🤣🤣💥
@user-xp6gc7ul5d
@user-xp6gc7ul5d Год назад
Huyu jamaa anajuwa Sana anasitahili tunzo bora
@youjadcellyoujadcell7032
@youjadcellyoujadcell7032 Год назад
Hii nayo nimecheka yangu yote🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
@mohamedmusa2279
@mohamedmusa2279 2 года назад
Joti never disapoite...this is more than spice
@charlesrichard7270
@charlesrichard7270 2 года назад
Afu uyu mbavu nae anaupiga mwingi 😂
@evarnebarnabas2870
@evarnebarnabas2870 2 года назад
Joti umeyataka mwenyew sa ndani vip tn saut ya huyu kaka kama bordgad 😄😄😄😄😄😄😄💃💗
@mluziwajini4734
@mluziwajini4734 2 года назад
nakukubali sana Joti....Just Replay
@foibeshemayabibuka9769
@foibeshemayabibuka9769 2 года назад
🤣🤣🤣 Never dissapoint
@HusseinRj
@HusseinRj 2 года назад
Nyumba aliyoingia tofauti na alipofumaniwa😂
@rahelkiula1988
@rahelkiula1988 2 года назад
Kumbe umeona na wewe. Ila nimehisi jamaa kaingilia mlango wa nyuma labda. Confused
@gloriousgal2001
@gloriousgal2001 2 года назад
🤣🤣🤣
@muhsiniyahaya2219
@muhsiniyahaya2219 2 года назад
ndo yenyewe sema mwanzo walikaa mbele na muuza shanga kakutwa kwa uwani
@mozzaliuleiza9288
@mozzaliuleiza9288 2 года назад
Habiba yuko wapi jaman nampenda yule dada nimemmic kweli
@kingzito31
@kingzito31 2 года назад
Hakika Mungu amekubariki sana braza kila sehemu unafit
@wairimumosha9655
@wairimumosha9655 2 года назад
😂😂😂nishai achana na biashara ya uchuuzi,utafia ndani kwa watu🤣🤣
@lugendosindi4729
@lugendosindi4729 2 года назад
Watching from Ukraine here 🔥🔥🔥
@sirkingsky108
@sirkingsky108 2 года назад
Ukraine ipi au ya buza
@lugendosindi4729
@lugendosindi4729 2 года назад
@@sirkingsky108 🤣🤣🤣
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 2 года назад
Wabongo mtaniuaaa🤣🤣🤣🤣khaa....Ucraine
@lugendosindi4729
@lugendosindi4729 2 года назад
@@mumyhendry2919 🤣🤣🤣
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 2 года назад
@@lugendosindi4729 I salute honey😅
@stephensangu4197
@stephensangu4197 2 года назад
mbio zingenisaidia,,wallahi! Umejaa kwenye 18 za mwamba
@michaelnjunwa9270
@michaelnjunwa9270 2 года назад
"Nishai mishangaaa"🤣🤣🤣!!! Hapo lazima uchezeee mzee
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 2 года назад
Jamani Joti shanga mpaka ndani pia nikiwa United Kingdom 😂😂😂😜
@amadorychijungu6731
@amadorychijungu6731 2 года назад
Mambo
@noordndmn2443
@noordndmn2443 2 года назад
😂😂😂es increíble ..este hombre es un cómico y creador de alegrías 😂😂😂
@bigiemnyamaa1185
@bigiemnyamaa1185 2 года назад
Sure
@jenipheraron3566
@jenipheraron3566 2 года назад
Wazungu ni wetuu wanetuletea shangaaa za kuvaa shingoni, za kuvaa kiunoni aleleeleee fagilia uwaaaaaah😅jot bana ww
@therealcharlottee
@therealcharlottee 2 года назад
First one jmn
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 2 года назад
Joti is so talented
@azizsaleh9402
@azizsaleh9402 2 года назад
Everyone say amen to nishai 🤣
@zuhurasalumu6668
@zuhurasalumu6668 2 года назад
💪 Hujawahi tuangusha joti your the best
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 года назад
Ni baba na mke katulia nyumbani ahsante 🤣🤣🤣🔥
@queenandchill91
@queenandchill91 2 года назад
From 7:23 - to the end nimekufaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mdeeboy846
@mdeeboy846 2 года назад
Baunsa leo umevaa official umependeza
@Chady_Kizzo_Boy
@Chady_Kizzo_Boy 2 года назад
Good pacha wangu
@emilykadogo8931
@emilykadogo8931 2 года назад
Jot bro umenifuraisha wakata kiuno
@piscusikilembo1630
@piscusikilembo1630 2 года назад
Habari za asubuhi naomba kujuwa maduka yenu yako maeneo gani hapa Dar na mnauza shanga za namnagani
Далее
KAFIA KWA MUUZA SUPU
8:35
Просмотров 394 тыс.
Недооцененный котел в Симс 4
00:37
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 4,4 млн
В GEOMETRY DASH СДЕЛАЛИ GTA
00:27
Просмотров 380 тыс.
CHEKESHA : MTANGA YAMEMKUTA NA WATOTO WA MJINI
14:17
Просмотров 10 тыс.
DALALI
7:25
Просмотров 464 тыс.
KAYATAKA
7:24
Просмотров 670 тыс.
MTANGA NA BAMBO ,MDOLI WA DUKANI UTACHEKA UFE.
11:24
WAMEYATIMBA
7:45
Просмотров 359 тыс.
PANYA LODI
9:57
Просмотров 423 тыс.
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
MKE  WA BODA
11:49
Просмотров 135 тыс.
Ты же девочка 2 👧🏻🤣😋 #comedy
0:26
Мама звонит, когда я гуляю
0:40
Мама звонит, когда я гуляю
0:40
тгк: ПРОСТО МОСТАК
0:11
Просмотров 835 тыс.