Тёмный

Mwakinyo abadili maamuzi ghafla kwa mfilipino/raia wapigwa butwa/kiingilio bure 

Dar24 Media
Подписаться 725 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#Dar24 #Dar24Media

Опубликовано:

 

23 ноя 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@walivyojuma7095
@walivyojuma7095 4 года назад
Mtangazaji utafika mbaali saana broo nakuona kule kileleni kazi unaijua saana
@mvandamedia4122
@mvandamedia4122 4 года назад
Naona kbs maiki Nyingne zinakuja Baada ya ww kuanza kuhoji bigup Sana unajiamin nakuona Mbali Mkuu
@juniorracker754
@juniorracker754 4 года назад
Kama umesikia mtangazaji alivyosema trh 29 kuna pambano la Pacquiao na mwakinyo gonga like
@bravokingtz9073
@bravokingtz9073 4 года назад
Big up ni knok out lazima akae Tanzania juuu juuu juuuzaidi
@andersonchibule4761
@andersonchibule4761 4 года назад
Nakuombea ushindi mwakinyo from +254....
@abdulrazakgwotta5561
@abdulrazakgwotta5561 4 года назад
Kwa updates mbali mbali za mchezo wa ngumi duniani fanya kunifollow on Instagram @mannygotta.
@kulwamussa2270
@kulwamussa2270 3 года назад
Hongelasana hasani mwakinyo pambana sanajipange kikamilifusana
@emmanuelkapaya6314
@emmanuelkapaya6314 4 года назад
Sema mm huwa namwelewa Sana mwakinyo anavyoongea na huwa sitaman amalize kuongea
@khatibumsekeni2136
@khatibumsekeni2136 4 года назад
Ww kama mimi anajua kujielezea
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 4 года назад
Mtangazaji uko POWs sana
@zedymoris7326
@zedymoris7326 4 года назад
Mwakinyo mi Sina mashaka naww br,Dua zote kwako tar 29 uweze kushinda pambano hilo.
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 года назад
Daah i wish mafanikio na ushindi mkubwa mwakinyo
@a.s.afishfarming6225
@a.s.afishfarming6225 4 года назад
Mtangazaji uko poa sana
@thadeosanga7757
@thadeosanga7757 4 года назад
pow baba kazi kwako tu
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 года назад
Na kuombea Mwakinyo ushinde, lakini mm mchezo huu hapana.mkojo unanitoka
@user-lb9qd4ro6y
@user-lb9qd4ro6y 4 года назад
😂😂😂😂
@amirysaimon9488
@amirysaimon9488 4 года назад
Sherypha Mwenevalley 😂😂😂Sana Dhaaaah ira mama mtoto Cjui uwaga anaangalia mwakinyo anapo kuwa kwenye pambano Daaah maaana Kazi iyo kupigana inauma
@hawaafrica803
@hawaafrica803 4 года назад
Ha ha ha ha acha uoga mtoto wa kiume
@khajidaffah6970
@khajidaffah6970 4 года назад
Kila la kheri kaka Ushindi ni wetu
@mamamapenzi819
@mamamapenzi819 4 года назад
Uko vzr mtangazaji nimekuelewa
@majaliwamsigwa3974
@majaliwamsigwa3974 4 года назад
Mabondia wawe mabalozi wapi,mnawanyonga sana,wengi wao wana hali ngumu sana tofauti na juhudi zao,mapromota acheni uroho wa pesa muwathamini mabondia nao watatiwa moyo,vinginevyo nyie ndio wakatishaji tamaa kwa wanamasumbwi wetu,jifunzenzeni kwa wenzenu wa huko ulaya,
@sebawilsonmbilinyi6181
@sebawilsonmbilinyi6181 4 года назад
Mfilipipo aache usenge ànajifutiaje jasho kwa bingwa wetu
@million.onlinetv659
@million.onlinetv659 4 года назад
Yani comment zote nilikuwa natafuta kama hii ikiwa wote wameonaaaa..mzeee kamzarau sn mwakinyoo
@josboy5384
@josboy5384 4 года назад
Hata mwakinyo alimlamba pua mwenzake kama demu kwahy co kesi ni kawaida kwa mabondia
@rubyshamlaha2181
@rubyshamlaha2181 4 года назад
Hahaha subir afumuliwe nazalau zake pumbavuu
@hansejose6952
@hansejose6952 4 года назад
Naomben mnijuze mda wapambano kwaanaye jua
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 4 года назад
Mwakinyo upo vizuri, ila usimdharahu huyo bondia, yupo vizuri kuliko unavyo dhania ! Maana hata mwonekano wako unaonyesha kumdharau, be careful, that is not like Hargenton !
@normansteven9072
@normansteven9072 4 года назад
TANGA standup all the best mgosi wa kaya mwenzangu
@hansejose6952
@hansejose6952 4 года назад
T A 1 hyo
@aminamaguno4091
@aminamaguno4091 4 года назад
Hatar moto huuuuu
@hamislipangine1985
@hamislipangine1985 4 года назад
Dogo utafika mbali yaaaaani nakuona uko poa Sana.Kaza buti dogo.
@ponaafyaclinic1277
@ponaafyaclinic1277 2 года назад
Hamisi omari mtwangasaya
@Kvoo-bp2ge
@Kvoo-bp2ge 4 года назад
Bwanae mfilipino k2 gan kisa antokea kwa kna paqiaoo bna kwa wakna myweaza katokea wapi c iv iv bongo zalau tyuuuuuuuuuu😏😏
@kingsultan2223
@kingsultan2223 4 года назад
Mbona myangazaji kwenye kuhoji kizungu umeyoyoma ila kiseahili una nguvu na mbwebwe nyengi
@felixchavala693
@felixchavala693 4 года назад
Mwakinyo kaza buti huyojamaa nimzuri sana
@brigitamash2007
@brigitamash2007 4 года назад
jaman mbona m sielewi wanaongea nn iwekeni live jamani
@hansejose6952
@hansejose6952 4 года назад
Huu mchezo unachezwa saangap wadau??
@saidramadhan9303
@saidramadhan9303 4 года назад
Tumelipa kiingilio. Tumelipa elfu mbili mbili getini na askali ndo wameniuzia tiketi mbili
@vannesawidambe2438
@vannesawidambe2438 4 года назад
ngumi mnataka kuupita mziki
@thetycoon8799
@thetycoon8799 4 года назад
Watanzania mfilipino hajui hata kiingereza ana mtu anaetafsiri, mwakinyo akienda huko nae akiongea kiswahili misimseme ovyo , kuongea kiingereza sio ujanja sana ni matter ya lugha tu
@adrianamoce6052
@adrianamoce6052 4 года назад
Huyu mfilipino anaoneka noma aisee. Mwakinyo jipange
@oscartito176
@oscartito176 4 года назад
Kbs Ila mwakinyo kifaa kaka
@michelsaula6683
@michelsaula6683 4 года назад
Piga Hugo mfiripino arudi kwao
@seifhamid8329
@seifhamid8329 4 года назад
subir ukachezee vitasa..
@asayubeejr1199
@asayubeejr1199 4 года назад
Seif Hamid hhhhhhhhhhhhhhh
@asayubeejr1199
@asayubeejr1199 4 года назад
Waaaallah maaan si kwa promo wanayo mpigia maana kam kashinda
@sanjafarmmachinerystractor4205
@sanjafarmmachinerystractor4205 4 года назад
Sawa aa
@eugeniomate9466
@eugeniomate9466 4 года назад
Sengasu from Mozambique koma mwanangu tunashabikiya bro
@saidsoud5967
@saidsoud5967 4 года назад
Hakuna uhalali wala Mungu hapendi binaadamu kuumizana kwasbb ya hela
@wazawaentertainment1847
@wazawaentertainment1847 4 года назад
Mungeweka kiingilio lakin bure inauwa
@twayibmood7319
@twayibmood7319 4 года назад
Mhhh manipackao cio wa sport sport
@maicosalumu1535
@maicosalumu1535 4 года назад
Mwakinyo wanamletea tumgonjwa hutu atakuja aue mtu ebu wamtafutie bondia wa maana wamletee
@mansourjemedari3963
@mansourjemedari3963 4 года назад
Maoni yako finyu kulingana na mawazo yako mtafutie wewe basi
@evelynembilinyi3907
@evelynembilinyi3907 4 года назад
Kingereza cha mtangazaji mm hoi
@fahadfaraj1263
@fahadfaraj1263 4 года назад
Umeona eh sjui kwanini hawaoini ilo ivi unashindwaje japo kumhoji mfilipino Kwa ufasaha yni tz aisee watu hawakoserious Na fani zao
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 4 года назад
Mchezo utapigwana wapi
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 4 года назад
Uwanja wa taifaa
@engineeringgranmelia2362
@engineeringgranmelia2362 4 года назад
Mtangazaji unasema mchezo umehairishwa?ongea vizuri
@hashimumwinyimvua4278
@hashimumwinyimvua4278 4 года назад
mwamba safi mungu akuongeze
@franciscomasungulwa3575
@franciscomasungulwa3575 4 года назад
Tumekupata mzee wa KO
@vanosimwimba8646
@vanosimwimba8646 4 года назад
Piga huyo akamsimlie Ricardo dele sai
@hushbtz3310
@hushbtz3310 4 года назад
Gusa link ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-DvSYv1aEoxQ.html Kuona mashabiki
@aristideskessy540
@aristideskessy540 4 года назад
Mtangazaji umesema man pa????😂
Далее
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29