Тёмный

MWALIMU ASIEONA MTWARA! Anafundisha kama kawaida 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 39 тыс.
50% 1

AyoTV imempata Mwalimu Justin Milanzi wa Shule ya Msingi Sabasaba iliyoko Masasi, Mtwara ambae ni mlemavu wa macho lakini hodari sana katika kufundisha.
Anawezaje kuwafundisha Wanafunzi tena wakafanya vizuri masomo yake kuliko masomo mengine? amejieleza kwa upana sana kwenye hii video.

Опубликовано:

 

11 авг 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 120   
@abdulabdillah8821
@abdulabdillah8821 6 лет назад
Mwalimu wangu kipenzi Ambae alikuwa mtetezi wangu nakupenda mwalimu milanz
@geofreykupenda2147
@geofreykupenda2147 6 лет назад
mwalimu milanzi yuko peace sana nakaane nyumba moja anapendwa sana na wanafunzi wake na anafanya kazi zake zote kam watu wengine asaivi anakaa masasi kisiwani kwa kiomboi god bles u my brother
@amisimwetombwemwenetombwe6167
@amisimwetombwemwenetombwe6167 7 лет назад
Mungu akupe nguvu! hongera sana, na unaonekana ww ni Mwalim mzuri. Mungu anisaidie siku moja nije nikusalimie .
@abdultweve3357
@abdultweve3357 7 лет назад
kanifundisha Darasa la 6 na 7. kanisadia sana kwenye kiswahili na kiingereza.
@Zawadi-1
@Zawadi-1 7 лет назад
Waw
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Abdul Tweve mashallah
@khatibhaji4139
@khatibhaji4139 5 лет назад
Duuuiih Mwenyezi Mungu ni Mkubwa
@philimonimbota4230
@philimonimbota4230 5 лет назад
Abdul Tweve WAP?
@mariamali1887
@mariamali1887 5 лет назад
Licha ya ulemavu. Hawa wanafunzi wa shule hii wanaonekana ni wenye nidhamu sana na ushirikiano na ndio maana ameweza kufanya Kazi mzuri. Pongezi pia kwa wanafunzi na walimu 👌👌👌
@robertmtaba9247
@robertmtaba9247 6 лет назад
Jamaa ni msanii mzuri sana,niliwahi kumtumia kama Mc kwenye ubatizo wa mwanangu 6yrs back, aisee ni boonge LA mshereheshaji Mungu amzidishie.
@daynessissaya6884
@daynessissaya6884 6 лет назад
nataman kama angeona hizi msg zakumtia moyo.. Mungu ampe kila hitaji LA moyo wake
@yoramtango5379
@yoramtango5379 6 лет назад
mungu akubariki mwalimu
@saidhassan3967
@saidhassan3967 7 лет назад
huy jamaa kanifundishe kwa kweli yu vizuri mungu amfanyie wepeci kwny kz yake
@stewartnduluma5506
@stewartnduluma5506 6 лет назад
Said Hassan mm nimesoma nae chuo sema. nilimuaccha. 2006 tunamaliz. y anaanza yuko vizur na msafi balaa na yuko vzr kwenye mashair
@ramadhanisalumu4984
@ramadhanisalumu4984 6 лет назад
Yupo vizuri hiyo jamaa,,ana kipaji cha hatari,Mungu akunyimi vyote asee.
@tumpalembindi1109
@tumpalembindi1109 6 лет назад
Mungu akutie nguvu ktk kazi yako, na hongera kwa kujituma.
@oscarmkumbo7451
@oscarmkumbo7451 7 лет назад
Mungu ni Mungu tu.
@hidayashaban4998
@hidayashaban4998 7 лет назад
Mungu akuongoze kwakila jambo teacher..
@seifmsati7999
@seifmsati7999 5 лет назад
Justin Millanzi huyu jamaa yupo vizuri sana kwasasa nipo nae chuo cha ADEM campus ya Bagamoyo kwa uwezo na kipaji chake sasa ni waziri wa Habari ktk chuo cha ADEM
@miriamsamson9538
@miriamsamson9538 5 лет назад
My fellow collagee at Adem Bagamoyo we love u Justine Milanzi
@othmanmataka3522
@othmanmataka3522 4 года назад
Sure tunamkubuka
@emanuelmichael7679
@emanuelmichael7679 4 года назад
Respect kwakwe Mungu hakunyimi vyotee Kazi njema Mkubwa Mungu akusimamie ,,, Wangekua wengine wangeenda kuomba omba barabaran
@elizabethyamy2705
@elizabethyamy2705 6 лет назад
mungu akutie nguvu na azidi kukupa moyo zaidi ya uliyo nayo umenibarikiri sana unania sana moyo wakuitaudimia taifa lako birikiwe sana
@fatmabakura2105
@fatmabakura2105 6 лет назад
Mungu anaweza jmni
@zenamahamudu8002
@zenamahamudu8002 2 года назад
Shukrani sana ticha kwa kazi mzuri mungu akusimamie kazi zako
@hassanmohdallyally9552
@hassanmohdallyally9552 7 лет назад
Mungu akufanyie wepesi inshallah
@isaackbm1935
@isaackbm1935 7 лет назад
Niko field shule hii jamaa yuko vzr sana kiasi ambacho anategemewa mnoo
@pendoernest9444
@pendoernest9444 5 лет назад
Jamani ata Mimi nilifundishwa na mwalimu asie ona standard5-6 😘😘😘
@ndarogamba191
@ndarogamba191 5 лет назад
Hongera sana na Mungu wa mbinguni hatakuacha haijalishi unapitia kwenye magumu kiasi gani?!👏
@aliskadzo3162
@aliskadzo3162 7 лет назад
Mungu azidi kukubariki
@anetikapami4228
@anetikapami4228 6 лет назад
Mungu akutie nguvu mwalimu
@thebenzclassic1905
@thebenzclassic1905 6 лет назад
Mungu akulinde Mwalimu 🙏🏾
@herrypalanjo6793
@herrypalanjo6793 7 лет назад
nashangaa mtu. anaye dislike..Mungu ni mwema.
@kimolokisese1290
@kimolokisese1290 6 лет назад
herry palanjo
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 лет назад
Wanashangaza kweli
@joycemageta4876
@joycemageta4876 5 лет назад
Hawana akili
@twahiraliy3382
@twahiraliy3382 5 лет назад
Richard kweka sio mwalimu kipofu sema mwalimu mwenye mahitaji maalum au asieona njoo masasi shule ya msingi upate elimu zaidi
@neyshazamaloyce3078
@neyshazamaloyce3078 5 лет назад
Mungu hakunyimi vyote
@kyaro5945
@kyaro5945 6 лет назад
Lecturer wangu alikuwa kipofu. na somo lake la history nliipiga A
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 7 лет назад
Allah akuzidishiye fahamu,kweli Allah ni mwema
@daimavlog
@daimavlog 7 лет назад
Mungu akusimamie Mwalimu, Handsome mwenyewe
@beatusmichaelpolesananapee3147
mungu ambalikii kaka e2uyuu
@levinakanuti1755
@levinakanuti1755 7 лет назад
hakika mungu nimwema
@fideamgonja379
@fideamgonja379 5 лет назад
Mungu akupiganie yuko vizuri sana sna ticha
@nankyjrobby9688
@nankyjrobby9688 6 лет назад
ktk pita yangu masasi alinikuta hotelini yeye aliletwa na mwanafunzi wake mwanafunzi akaagiza chai na vitumbua vi3 yy akaagiza chai na mandazi 2 akamuuliza mwanafunzi wake utamaliza vyote hivyo akamwita mhudumu mfungie vitumbua 2 hicho kimoja anywee hiyo chai nikagundua huyu mtu hapendi kupoteza muda kwake kazi tu
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 6 лет назад
nanky jrobby 😂😂😂😂😂
@annkabbz8544
@annkabbz8544 6 лет назад
Amazing..,Wonderful Disability is not inability...
@martinchatila320
@martinchatila320 4 года назад
Nimefundishwa na mwl.wa aina hii chuoni. Wana uwezo mkubwa sana kiakili hata kufaulu somo lake uwe kichwa vingnevyo utachemka
@lilianmasoud7423
@lilianmasoud7423 6 лет назад
Namjua uyu duh sawa teacher wetu
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Inasikitisha sana, Mashallah Subhannallaah.
@daudm1558
@daudm1558 7 лет назад
Mungu mkubwa....
@tanzaliyaoman471
@tanzaliyaoman471 5 лет назад
Mashaalah hongera sana
@felisterlaizer4602
@felisterlaizer4602 6 лет назад
hongera mwalimu mungu akutie nguvu
@mountcholo7039
@mountcholo7039 6 лет назад
Mungu akubariki teacher
@shaharymajid1226
@shaharymajid1226 5 лет назад
Sub'haanallah, wa el hamdulillah, walaa ilaaha illallah
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 6 лет назад
Natumuache Mungu aitwe Mungu....
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 года назад
mungu aendelee kuku pigania kaka
@halimahamis5866
@halimahamis5866 6 лет назад
kweli ww nimung waviumbe vyote.barikiwa sana kaka
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 лет назад
Sbuhana llah mungu ni mwema Allah akuwekee ulinzi wake
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 7 лет назад
Nimesoma nae huyu jamaa nikiwa A-Level yeye akiwa O-Level. Anapenda sana kusoma huyu jamaa
@mwazansaid1491
@mwazansaid1491 5 лет назад
Maashallah
@habibomary7444
@habibomary7444 5 лет назад
ama hakika mungu ni fundi sanaaa!na uwezo wa mungu unaonekana hapo.
@papushkamedia3277
@papushkamedia3277 5 лет назад
Blessed u tich
@jafariabdalah9694
@jafariabdalah9694 5 лет назад
mungu akuongeze nguvu ba akulinde milele
@mohamedikibasa418
@mohamedikibasa418 6 лет назад
Duu Mungu mkubwa. Hongera mwl
@twahirmikidad6739
@twahirmikidad6739 6 лет назад
Hakika Allah awe pamoja nawe Amen
@kayembesaidi9949
@kayembesaidi9949 4 года назад
Mungu ni mwema
@kihanda2554
@kihanda2554 7 лет назад
Hakika Mungu siyo Magu Daaaah Ahimidiwe Daima.....
@neemalkiswaga6126
@neemalkiswaga6126 5 лет назад
Mungu ni mwema azidi kumbariki
@raphaelmagandura2278
@raphaelmagandura2278 7 лет назад
mungu akunyimi vyote
@irenemwambungu107
@irenemwambungu107 7 лет назад
uyu jamaa jembe
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 6 лет назад
Mungu mkubwa mashaallah
@gabrielemanuel9946
@gabrielemanuel9946 7 лет назад
mwenyez mungu akusaidie na usikate tamaa
@firdausabdullah6315
@firdausabdullah6315 5 лет назад
Allah akujalia haja ya moyo wako
@adamzakaria2463
@adamzakaria2463 6 лет назад
Duuu mungu anaweza
@barakanyambele5351
@barakanyambele5351 6 лет назад
Huyu mwl. Nimesoma nae chuoni nachingwea ttc 2006 ni mkali sana masomo ya lugha
@centmichael4814
@centmichael4814 7 лет назад
Mungu ......ndio Mungu
@mohamedimwimba3675
@mohamedimwimba3675 6 лет назад
Ata sie tunae mwalimu Bahati chikojo apa nkowe shule ya msingi nkowe wilayani Ruangwa
@malkiavasht7024
@malkiavasht7024 6 лет назад
Mungu mwema akutunzee
@talantap4966
@talantap4966 7 лет назад
ubArikiwe Mola akujaalie
@dannymagwi5741
@dannymagwi5741 6 лет назад
Safi mwl
@aminayasni9031
@aminayasni9031 7 лет назад
Mi cjaelewa ni Mwl wa jinsia gn msaada jmn sauti na sura vinanichanganya
@saidhassan3967
@saidhassan3967 7 лет назад
Amina Yasni ni wa kiume jmn
@ahmadmohamedi4086
@ahmadmohamedi4086 6 лет назад
Amina Yasni ni mwanaume huyo anaitwa Justine. Amemaliza ndanda secondary mwaka 2002
@stewartnduluma5506
@stewartnduluma5506 6 лет назад
Amina Yasni wa kiume anaitwa justine milanzi nimesoma nae chuo cha ualimu
@neziali6992
@neziali6992 6 лет назад
Kweli naona yko byeeee👌👍
@adamzakaria2463
@adamzakaria2463 6 лет назад
Amina Yasni jinsia zote
@daudikhamis1595
@daudikhamis1595 6 лет назад
Allah is the great
@yudamwinami6011
@yudamwinami6011 6 лет назад
Namfahamu anafundisha mwanangu
@wachugypsumtz2061
@wachugypsumtz2061 5 лет назад
Mungu mkubwa sana sana.🙏🙏🙏
@husseinhassan7246
@husseinhassan7246 6 лет назад
Mungu nimjuz
@ernestersanga3687
@ernestersanga3687 7 лет назад
mungu wa ajabu
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 лет назад
Inasikitisha
@robinrizone9129
@robinrizone9129 7 лет назад
MUNGU MKUBWA
@loveclinicaristotle5803
@loveclinicaristotle5803 7 лет назад
Emungu MPE nguvu
@kenediprosper1318
@kenediprosper1318 6 лет назад
ishudu
@c.hoodlugano8395
@c.hoodlugano8395 7 лет назад
Angekua mwanamke huyu duu tungekoma maana sio kwamapozy haya😁😂😀😃😊
@laurentngowi3052
@laurentngowi3052 7 лет назад
😂😂😂😂
@lauriansimon6805
@lauriansimon6805 6 лет назад
Mungu anakuona
@liberatusjoseph2323
@liberatusjoseph2323 5 лет назад
Ndugu usimdhihaki Mungu,Mungu ni mwema sana anafanya jambo lake na siku zote Mungu atabaki kua Mungu,jiulize wewe na uzima wako umemzidi nini huyu.Mungu azidi kubariki Mwalimu usikate tamaa kusaidia wanafunzi na wadogo zetu
@tatiside2637
@tatiside2637 3 года назад
Tulikuja uku kumuakiki tujuane abar zake zipo ista
@maxudkindole9294
@maxudkindole9294 7 лет назад
Namjua vzr san
@y6y6hg77
@y6y6hg77 7 лет назад
Maxud Kindole ameoa?
@y6y6hg77
@y6y6hg77 7 лет назад
Maxud Kindole kama anamke mm nipo tayari anioe niulizea kaka
@daimavlog
@daimavlog 7 лет назад
Y6 Y6hg mwenyewe nimemmezea mate sema nimeolewa lol! Ukimpata pls nialike kwenye harusi yenu plssss
@y6y6hg77
@y6y6hg77 7 лет назад
Cymah Wandelt Usijali mamy nisaindie maombi ili nimpate
@daimavlog
@daimavlog 7 лет назад
Y6 Y6hg nakuombea love
@aishaelias6826
@aishaelias6826 6 лет назад
Hiyo sauti jamonii
@mohamedikibasa418
@mohamedikibasa418 6 лет назад
Aisha Elias inefanyaje ?
@allymalau4269
@allymalau4269 5 лет назад
Aisha usimkatishe tamaa ogopa mashine sio sauti
@hejopansimon5217
@hejopansimon5217 7 лет назад
Utajuaj kama umelipwa pesa zko zote
@shakiramahamba6305
@shakiramahamba6305 6 лет назад
mungu hakunyimi vyote ashukuliwe mora
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 6 лет назад
Hejopan Simon hapo ndo nawaza
@asmabintikiwashatz9321
@asmabintikiwashatz9321 6 лет назад
mungu mkubwa
@herikaniugu
@herikaniugu 7 лет назад
Creepy
@madinajamal6601
@madinajamal6601 6 лет назад
inshallah allah amfanyie wepesi wa kazi na kila kitu
Далее
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58
Watu sita wapigwa radi Mtwara
1:55
Просмотров 1 тыс.
WAZEE WA MAKOTI WATIMUA VUMBI MKURANGA
2:20
Просмотров 220 тыс.
Mbunifu wa trekta inayotumia injini ya pikipiki
4:00
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40