Тёмный

Mwalimu Nyerere: Kuwa CCM Sio Kwenda Ikulu 

Подписаться
Просмотров 279 тыс.
% 1 078

#HabariZaTanzania #HabariTanzania
Tazma hotuba ya Mwalimu Nyerere akizungumzia kuhusu siasa
.Kwa Matangazo Wasiliana nasi 0713338861

Опубликовано:

 

23 ноя 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 129   
@ibrahimtesha2733
@ibrahimtesha2733 5 лет назад
Hon, Father of Tanzania, we respect you and take your wisdom! Only that we aren't sure if the freedom you assured us is guaranteed when our CAG is suppressed!
@christianmichael2523
@christianmichael2523 5 лет назад
Binafsi nakukubali Sanaaaa babu umenifanya niisikie historia yavita huko nchi nyingine mungu akurehemu babu we love uuuuu
@bernadmligo9475
@bernadmligo9475 5 лет назад
Kweli ungekuwepo wangejiona kama uongozi hawafi kuongoza watu.
@hosearwechungura5391
@hosearwechungura5391 5 лет назад
Mungu wetu akurehemu Mwl Kambarage, hakuna ajaye, aliepo na atakayezaliwa kulitumikia Taifa km ww
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 5 лет назад
❤️ Nyerere continues to LIVE ❤️ Magufulification Yes Forever and Ever ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂 Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Daima Milele na Milele Mbele kwa Mbele ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂 CCM Juu Daima Oyeee ❤️🌻🇹🇿👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽👏🏽👏🏽 Tunakushukuru, Tunakuhitaji, Tunakipenda, Tunakuthamini na Tukonyuma yako Kipenzi Chetu Rais wetu Mwema Mkweli Jasiri Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi AkuTangulie AkuLinde na AkupeAfya njema na AkuZidishie Ujasiri. Aamiyn Ya Rabbil Aalamiyn CCM Juu Daima Mbele kwa Mbele ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂
@edkure
@edkure 5 лет назад
Akonamatata! How I wished I understand Swahili beyond that! Anyway, I can feel the vigor in the great leader; it reverberates like Reggae music.
@boniphacelusato
@boniphacelusato Год назад
If you try learning it, You will one day speak it
@elisanteshibanda7920
@elisanteshibanda7920 5 лет назад
Nilichokipenda kuhusu Mwalimu ni yeye alivyo huru kujibu chochote na kuonyesha msimamo wake bila wasi wasi na kuruhusu wengine kumhoji bila shida yeyote
@marysteward6203
@marysteward6203 5 лет назад
Mimi nang'atuka, lakini naendelea kuamini kwamba bila CCM Madhubuti nchi yetu Itayumba.
@williamkirway4620
@williamkirway4620 3 года назад
Baba wa Taifa la Tanzania,mwl umetupa wosia muhimu sana mungu atusaidie tutii wosia huu.12/1/2021
@patrickKitambo
@patrickKitambo 5 лет назад
the man who outsmarted all Tanzanians
@jegedem8780
@jegedem8780 5 лет назад
When a great leader speaks. It is good to translate it for all Africans to understand
@godreymwanje985
@godreymwanje985 5 лет назад
U're right. But also it's better to get the original version first cos translaters may change the meaning which is not good as these originals are rare to find, then translation can follow.
@boniphacelusato
@boniphacelusato Год назад
"Being nominated by CCM , the rulling political Party in Tanzania to run for presidential election does not mean that a nominee will be a president. He should have the good qualities which can persuade people to vote for him." This is what he said. Am sorry if my English is poor, as you real know English is the second language here in Tanzania.
@bwetungegodfrey4131
@bwetungegodfrey4131 9 месяцев назад
​he insisted that peoples' suggestions about nominees shouldn't be ignored .
@bwetungegodfrey4131
@bwetungegodfrey4131 9 месяцев назад
He wanted to mean that peoples' visions / citizens are the one to decide who is to become the president
@samwellwiza5339
@samwellwiza5339 5 лет назад
Nilikuwa nasema huko na sasa nasema tena..WASIKILIZENI WANANCHI..DUH..kumbe mybpresdent anafanyia kazi wito wa Marehemu Mzee wetu Julius Kambalage Nyerere
@barakatisalum8296
@barakatisalum8296 5 лет назад
daa uyu mzee sijui kama alikua na asira kwakweli ulukua na hekima sana na usamini mawazo ya kila mtu ila baba sikuizi ukitoa maono na mawazo yako unaitwa mchochezi
@charlesshitobelo6870
@charlesshitobelo6870 6 месяцев назад
Ni kweli, Watawala wa siku hizi hawana uvumilivu kama unaoonyeshwa na Mwl Nyerere. Angekuwa Magufuli, baada ya interview hiyo nusu ya hao waandishi wa habari wangepotezwa. Na kwa utawala wa Sasa wa Rais Samia, Polisi machawa wa Samia wangepata mradi wa kuwabambika kesi za uchochezi wengi wa waandishi hao. Hata kama si kwa ajili ya haya maswali ya ana kwa ana bado wangetafuta namna Ili wawanase mtegoni.
@paullutonja5904
@paullutonja5904 5 лет назад
Yaani mzee baba alikuwa na uhakika hizo ni porojo so hakuwa na haja ya kuzijibu wala kuteseka. Aliwaacha watu waendelee kuporojize.. Mytake: Kama unauhakika ni porojo usihangaike nazo
@salehal-oufy5380
@salehal-oufy5380 2 года назад
Alikuwa mzuri wa kutetea hoja zake na aliondoa ukabila hapo sifa yake apewe japokuwa katika sehemu nyengine hakuwa hodari amezidiwa lakn Nyerere ni Zaidi ya MAGUFULI
@gracegrace3087
@gracegrace3087 5 лет назад
Rais Magufuli ana sifa zote anazozisema Rais Nyerere
@thomasnyambibo7062
@thomasnyambibo7062 5 лет назад
grace grace
@emmanuelalphaxard9276
@emmanuelalphaxard9276 5 лет назад
Huyu mzee namwelewa sana , hana uchama wala dini hajawahi vaa jez ya ccm hana unafki, but Leo viongoz wetu kabla hawajaanza utasikia chadema oyee, au ccm oyeeee
@mariamlay9562
@mariamlay9562 5 лет назад
Thank you
@sirfabiano767
@sirfabiano767 5 лет назад
Kama na wewe umeona kama mimi kuwa hii imeeditiwa gonga like
@abdallahjuma7516
@abdallahjuma7516 5 лет назад
Huyu ni zaidi ya mwalimu
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 5 лет назад
Tutakukumbuka daima babu yetu
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 Год назад
Mugabe aliwaponda Wazungu kwa kumtukuza zaidi Mandela kuliko Mwalimu Nyerere.Mwalimu Nyerere ndiye mkombozi wa kweli barani Afrika na siyo yule aliyewasaliti waafrika kule Afrika Kusini kwa kuwaachia wazungu uchumi wote nchini humo.
@patrickKitambo
@patrickKitambo 5 лет назад
kama umemuona jamaa wa je tutafika..gonga like hapa
@ewaldmrema909
@ewaldmrema909 5 лет назад
Baba rudiiiiiiiiiiiiiii kuna faru ana vamia kizembe
@Prothelogic
@Prothelogic 5 лет назад
Mungu akitaka kulikomboa Taifa huwa nanamtuma mtummoja kukomboa wengine
@leoneaglet8890
@leoneaglet8890 5 лет назад
Mbona
@selesaid4367
@selesaid4367 5 лет назад
love ccm
@dannychoyodannychoyo3474
@dannychoyodannychoyo3474 5 лет назад
I love ccm
@Ba63828
@Ba63828 5 лет назад
BILA SHAKA CCM WAMEKUSIKIA KUNA KIJANA WAKO JPM UNGEKUA HAI UNGEMPA TUZO YA DHAHABU.
@charlesshitobelo6870
@charlesshitobelo6870 6 месяцев назад
Pamoja na mazuri mengi ya Magufuli na hasa katika utendaji, lakini alikosa sifa moja muhimu ya kupendwa na Nyerere, nayo ni ile ya kutumia viongozi wahuni kuendesha nchi na ambao hawajali haki za msingi za watu wengine, hususani uhai wa watu. Kwa sababu hii ninao uhakika kwa asilimia 100 kuwa wangetofautiana kwa kiasi kikubwa kabisa na Mwalim Wakati wa Serikali ya Magufuli vitendo vya mauaji ya raia na watu kutekwa na kupotezwa vilishamiri lakini Magufuli hakukemea vitendo hivyo, ndiyo maana inasemekana kuwa vitendo hivyo vichafu vilikuwa na baraka yake
@maumivusanga582
@maumivusanga582 5 лет назад
Tutakukumbuka daima mirere..
@hazibonplatformafrica9617
@hazibonplatformafrica9617 5 лет назад
😂Nimesikiaa!!!....porojo.... Umefika wakati tuache porojo!!
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 лет назад
Mtu mfupi!
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 лет назад
Mkubwa na wanawe.. Yaani Ninammisi Mwalimu sana sana.. !
@husseinbuzuka4349
@husseinbuzuka4349 5 лет назад
profesa mazinge
@samwelmasuka4087
@samwelmasuka4087 5 лет назад
Lisu
@emmanuelsikazwe3246
@emmanuelsikazwe3246 5 лет назад
Bado tunahitaji nguzo hii kwa urithi wa kizazi hiki na kijacho
@abubakarisaidi7882
@abubakarisaidi7882 5 лет назад
Akuna mtu kama uyo mwalimu nyerere ndani ya ccm yaleo.
@paullutonja5904
@paullutonja5904 5 лет назад
Ila mwalimu Nyerere angeishi ishi kidogo tungekuwa kama Singapore leo. Sio yeye kuwa raisi ila kuwa hai TU ingetosha sana.
@gracegrace3087
@gracegrace3087 5 лет назад
Tukimuongezea President Magufuli.mda na mabadiliko kwenye elimu yetu na bila kubuguziwa na hawa wapinzani wanaopinga kila kitu kizuri cha maana Tanzania ingeipita Singapore
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 5 лет назад
Tukisia maneno yako tunakunywa maji tunalala sio wana ccm wa sasa ata ukila pilau unasikia njaa
@salvatory2987
@salvatory2987 5 лет назад
😂 😂 😂 😂 😂
@eliamugini8494
@eliamugini8494 5 лет назад
Hiiii itakuwa imeeditiwa
@salvatory2987
@salvatory2987 5 лет назад
Huyu mzee hachoshi kusikiliza hotuba zake, lazima ufrahi2
@mkombozikiratv.9733
@mkombozikiratv.9733 5 лет назад
Mzee wetu ulale mahali pema peponi. Umekufa kimwili lakini unaishi kwenye mioyo ya watanzania jana,leo na kesho.
@SIMBAofSIMBA
@SIMBAofSIMBA 5 лет назад
fatilia history mabaya aliyoyafanya ndio utajua anakaangika motoni
@ibrahimumahinyila9953
@ibrahimumahinyila9953 5 лет назад
tang boy c
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 5 лет назад
Unamsikia Mzee wa busara? Hadi raha, tunatakiwa tutoe maoni kwa kuzingatia ushauri mzuri wa Baba wa taifa, MATUSI njanga kubwa sana, uzalendo ni kitu muhimu sana. Rushwa inatembea mno, halafu masikini jeuri hawapo. Maoni ya watu ni kitu cha msingi sana.
@envibrightcompany6358
@envibrightcompany6358 5 лет назад
Waandishi walikuwa huru Sana kukuhoji
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 лет назад
Tena walikua wanakata
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 5 лет назад
❤️ Nyerere continues to LIVE ❤️ Magufulification Yes Forever and Ever ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂 Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Daima Milele na Milele Mbele kwa Mbele ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂 CCM Juu Daima Oyeee ❤️🌻🇹🇿👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽👏🏽👏🏽 Tunakushukuru, Tunakuhitaji, Tunakipenda, Tunakuthamini na Tukonyuma yako Kipenzi Chetu Rais wetu Mwema Mkweli Jasiri Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi AkuTangulie AkuLinde na AkupeAfya njema na AkuZidishie Ujasiri. Aamiyn Ya Rabbil Aalamiyn CCM Juu Daima Mbele kwa Mbele ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂
@maumivusanga582
@maumivusanga582 5 лет назад
Hakika ulikua tunu ya Tanzania ..utakumbukwa daima
@remawerashiid4333
@remawerashiid4333 5 лет назад
Kwenye kuongea uko poa lakini utakumbukwa sana.
@emanuelylufunda5229
@emanuelylufunda5229 5 лет назад
safi
@mashakamchele5151
@mashakamchele5151 5 лет назад
Asante
@aaronpaul2687
@aaronpaul2687 5 лет назад
Mungu awe Nawe daima
@braysonmapunda6332
@braysonmapunda6332 5 лет назад
benitho udamsu
@braysonmapunda6332
@braysonmapunda6332 5 лет назад
ubarikiwe mwarimu
@jamesassanga9220
@jamesassanga9220 5 лет назад
Video + sauti niza kutengeneza( editing)
@papaaclements6439
@papaaclements6439 5 лет назад
james assanga huna utaalamu wowote umekariri kikao hiki na waandishi wa habari kilifanyika 1995
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 5 лет назад
Mzee wanakusikia masisimu wagombea wamepita bila kura ya maoni
@nyiganarenterenge921
@nyiganarenterenge921 5 лет назад
Good
@envibrightcompany6358
@envibrightcompany6358 5 лет назад
Dah mwalimu alikua Hana bodigadi hapo
@josephmichaeljr.833
@josephmichaeljr.833 5 лет назад
Bodyguard wake ni huyo baba aliyeketi nyuma ya Mwalimu. Anaitwa Ndg. Mohammed Mpangile
@abdalomari5912
@abdalomari5912 5 лет назад
uyu mwalimu nimtu wakipekee kutokea nchini Tanzania ivii watoto wa mwalim wako wapi au nao wameungana na jiwe kwamaslai yao wanashindwa kumuwenzi baba yao wai wanahofiya kufaa daaa hatali san
@wakanda5659
@wakanda5659 3 года назад
Kifo chako mwalimu ni kama mfano wa maktaba ya vitabu ilioteketea moto.
@taborastreettv4841
@taborastreettv4841 5 лет назад
Huyu ndie kiongozi jamani yaani hadi rahaaa ila sasa sisemi
@lucykipesha8940
@lucykipesha8940 5 лет назад
Kweli akuna km Mwl mungu amketishe mkono wake wa kuume
@damasmaleo4845
@damasmaleo4845 5 лет назад
Skuizi kuna oda mwalimu wanasema mpinzani akishnda asitangazwe fufuka ujue uone teacher
@jumaabdala7530
@jumaabdala7530 3 года назад
Huyu mzee hanazambi namuombea Alipo hakuwa na khasila kabiiisaaa uliza utakalo utafulahi siishi kutochoka kumtizama
@SIMBAofSIMBA
@SIMBAofSIMBA 5 лет назад
this guy was good politician but not a good leader. he failed in every corner, nationalization didn't work,uhujumu crackdown didn't bring any fruits,education was too poor,his fucked up policy of ujamaa failed,his hatred toward entrepreneurs didn't do any favour to the nation.smart thing he did was jumping off titanic(tanzania)when it was sinking.may God roast his soul in hell.
@majaliwaganai796
@majaliwaganai796 3 года назад
Simba day
@kessybaltazal3905
@kessybaltazal3905 2 года назад
Rest in peace
@captenndunga9385
@captenndunga9385 5 лет назад
Kumbe porojo zilikuwepo toka kitambo... magufuli piga kazi baba la baba.
@onesmokongo9632
@onesmokongo9632 5 лет назад
Light in tz
@sangomamourice3251
@sangomamourice3251 5 лет назад
huyu ndio kiongozi mzalendo mpiganaji
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 3 года назад
.
@yakwetutv8525
@yakwetutv8525 5 лет назад
Mbona tofauti ya video na waongeaj
@AloisNashali
@AloisNashali 5 лет назад
saidi Mkombo kwa Sababu ya mfumo walioutumia ni wa zamani sana mzee
@issaibony6386
@issaibony6386 5 лет назад
Ivi kunakiongoz wassa atakubali kuhojio n wananchi hadharan?
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 5 лет назад
Kumbe toka kitambo lowasa oyeee
@daudpius3075
@daudpius3075 5 лет назад
Hakika ulikua kiongoz bora na hakuna tena mwingine
@kbdk3065
@kbdk3065 5 лет назад
Watu wazamani walikuwa na akili sana
@hanctemu4129
@hanctemu4129 5 лет назад
Homme Digne yakutosha
@idrisahamza1023
@idrisahamza1023 5 лет назад
Mungu Azidi kumchoma huko aliko
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 5 лет назад
Umemanisha nini? Kabla hajachomwa, utachomwa mwenyewe
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 5 лет назад
Haha hapa babu alibanwa hahaaa, katimua mbio
@linahlameck7950
@linahlameck7950 5 лет назад
Iwixh ungekuwepo babu
@shyshayagen2733
@shyshayagen2733 5 лет назад
Lossa ameanza zaman
@lucasmsemwa2494
@lucasmsemwa2494 5 лет назад
kumbe ndo maana lowassa anatangatanga ivo
@linahlameck7950
@linahlameck7950 5 лет назад
😁😁😂unaposa
@mzuvendi
@mzuvendi 5 лет назад
Swali la porojo limemtoa jasho akaona bora akimbie! Kumbe alikuwa ama woga pia...
@bulayaipimilo1565
@bulayaipimilo1565 3 года назад
Mbn hy historian haiendan na watu wavyoongea
@omaryiddy6602
@omaryiddy6602 5 лет назад
ukwer wako utabaki palepale baba wataifa🙅🙅🙅🙅🙅
@mohammedyathumany9112
@mohammedyathumany9112 5 лет назад
Kumbe ROWASA alikua anapemdwa kitambotu
@allymamlo252
@allymamlo252 5 лет назад
Tofauti yapicha Na sauti sio ya ukweli
@TheChapakazi
@TheChapakazi 5 лет назад
Kuna delay usijali picha inachelewa ,sauti inatangulia, usijali picha ni ya kweli
@charznyamaresa5571
@charznyamaresa5571 5 лет назад
mmemwelewa wakati wamabavu ukokaribukuisha
@kwizeradonatien7306
@kwizeradonatien7306 5 лет назад
Kauli nzuri naza uhakika
@simoniedward3935
@simoniedward3935 5 лет назад
Rip father
@asallymbwego5906
@asallymbwego5906 5 лет назад
Rest in peace our dady
@msafirimoses1719
@msafirimoses1719 5 лет назад
Safi sana mwalimu tutakukumbuka daima
@gerardbonaphace9669
@gerardbonaphace9669 5 лет назад
asally Mbwego oger
@kadogoojahaneskaziipo288
@kadogoojahaneskaziipo288 5 лет назад
Mambwe badokibao
@janesway3680
@janesway3680 5 лет назад
pumzika kwa amani baba,ukija huku ni vioja kuna mpakà wasiojulikana
@emmanuelalphaxard9276
@emmanuelalphaxard9276 5 лет назад
Mmeona mwalim alitaka maoni ya wananch kwa ss ni maoni ya viongoz ,haa haa, toa maoni ujikute sero
@johnkatindasa1750
@johnkatindasa1750 5 лет назад
Magufuli amestahili sifa hiyo.
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 лет назад
Wapinzani hawatimizi sifa za kua tais tanzsnia
@alphoncealinani4713
@alphoncealinani4713 5 лет назад
Agnes Erasto wew tu ndo upo inferior
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 лет назад
Membe anahota ndoto za chana
@sikuchachekazikubwa5603
@sikuchachekazikubwa5603 5 лет назад
Mbona mlikuwa hamuweki hii clip ya mzee siku zote?
@josephgomalo41
@josephgomalo41 5 лет назад
Chema chajiuza, ........ Chajitembeza (Membe)! Lmao..! Ukiona mtu anakimbilia Ikulu huyo ni wa kuogopa kama ukoma..!
@abdimc5363
@abdimc5363 5 лет назад
Wewe ulikuwa unaiota ndoto anaiota Membe? wewe ni mtu wa ajabu sana.
@agneserasto9806
@agneserasto9806 5 лет назад
Wapinzani msahau kua rais
@sakweragilbert3473
@sakweragilbert3473 5 лет назад
Mumeo agombee ww uwe makam au first lady u sound like fool
@abuubakarsadic6240
@abuubakarsadic6240 5 лет назад
Safisan
@charlesmurimi592
@charlesmurimi592 5 лет назад
hivi magufuli unasikia haya au ukandamizaji tu.
@tonykisogole6710
@tonykisogole6710 5 лет назад
Utakandamizwa sana maana hujitambui
@oleiei434
@oleiei434 5 лет назад
Watanzania wamekubali kugandamizwa. Hata waheshimiwa mawaziri na wabunge wanatukanwa na wanaitwa wapumbavu nao wananyamaza kimya. What a shame.