Dada yetu kaishia Kumtaja Mama😢 Sad moment but ni darasa kwa wengi....Acheni kuomba Like Jifunzeni Na Mtoe Maoni This Group Always Delivers What is Needed🔥🔥🔥🔥
SERIKALI IINGILIE HILI SWALA LA KUCHEZEA HADHI YA ELIMU MARA MWANAFUNZ MALAYA MARA MWALIMU MALAYA HIZI NI AGENDA ZA KUISHUSHA HADHI ELIMU YETU NA SIO MAIGIZO TU
Hilo funzo halijaangaliwa bali kichwa cha habari?? Yanayotokea kwenye jamii ni mabaya zaidi na uchafu kuliko kichwa cha habar kwahiyo mimi sioni kama kuna changamoto sana
This is me, yaani huyo mwanaume alinitenda unyama, m hukumbuka najiuliza hivi alitumia mazingaombwe yapi?????😂😂😂😂 mjinga Mimi.....ila mwanangu ndo chanzo cha furaha yangu.