Тёмный

MTOTO ALIYE BAKWA AMLIZA RC MAKONDA "KANIAMBIYA ATANIUA NIKISEMA""AKAMATWE LEO APELEKWE MAHAKAMANI" 

Adil TV
Подписаться 174 тыс.
Просмотров 349 тыс.
50% 1

#AdilTV

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 526   
@JenniferJohnmshi
@JenniferJohnmshi 8 дней назад
Mungu ushushe moto juu ya wanaobaka watot wet
@heriethsixbert475
@heriethsixbert475 11 дней назад
Nmelia😢 hasira ya Mungu ishuke kwa kila anayewatendea watoto mabaya AMEN
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 9 дней назад
Aamin
@innocentinyasi9198
@innocentinyasi9198 8 дней назад
​@@shanimbaruku2071Watu wanarohooo mbayaaa sanaaa daah 😢😢😢
@Walesi-e4v
@Walesi-e4v 8 дней назад
Pole sana mdogo wangu maisha kazidiwa
@Walesi-e4v
@Walesi-e4v 8 дней назад
Yaenda kuungua
@FaudhiaAbrahaman
@FaudhiaAbrahaman 7 дней назад
Tunasafir jahaz moja hata mm Nimelia sana ..na niliyapitia kwa bint yangu japo muhuska hakufanikiwa illa ishahid tuu amehukumiwa miaka 30 jail😢😢😢 nashukuru sikuzungushwa kwa chchte
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 12 дней назад
Kaka makonda Fanya kazi kwamisimamo ya kimungu pia Mungu akulinde kikamilifu akupe afya isiyokua na kikomo ili naviongozi wegine waendele kujifunza kwako amina
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 9 дней назад
Aamin
@mohamedelmi7435
@mohamedelmi7435 13 дней назад
I'm not tanzania but please naombeni number ya huyu mtoto nitamu hudumiya mbaka amalize university I'm in Dar es Salaam. Kama mtu yote anamjuwa huyo bibi pls. Thank you.
@mejamiela7436
@mejamiela7436 13 дней назад
Alhamdullah
@rukiangilla3113
@rukiangilla3113 12 дней назад
Allah akufanyie wepesi naakujalie....Hata me roho imeniuma Sana😢
@wisemaliva5376
@wisemaliva5376 12 дней назад
Ngugu ukifika kwa makonda utampata mungu akujalie
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 12 дней назад
Mungu Akupe maisha marefu kwa rosho nzuri
@vickhongole6611
@vickhongole6611 11 дней назад
Asante
@StelaJohn-nj5yf
@StelaJohn-nj5yf 11 дней назад
Mungu yu upande wako Mh. Makonda.. Asante kwa kumpenda Mungu na ndipo Mungu akakupenda sana wewe. Be blessed hon.
@TwahaMaziku
@TwahaMaziku 12 дней назад
Hii nchi kama hauna pesa hakunaga haki na watu kama makonda hua hawatakiwi maana anapingana na wengi mungu amputee ulinzi utokao kwake naming huyu atuletee viongoz kama makonda
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 8 дней назад
uwo ndyo ukwel mapai wanapenda rushwa Sana haki ni kwa mwenyenz mungu tuu
@relaxstarman981
@relaxstarman981 10 дней назад
KWANINI HUYU JAMAA ASIPEWE URAISI ATUTETEE WANYONGE🎉🎉
@gloriamagoma5583
@gloriamagoma5583 9 дней назад
Wakipewa uraisi wanabadirikaga sana sannnnnnaaa utoamin nakuambia 😂😂😂😂 .....
@melinawilson1383
@melinawilson1383 2 дня назад
Anaeweza kuja kuwa Rais mzuri siku za usoni huko mbeleni
@mwajumasakina9599
@mwajumasakina9599 12 дней назад
Yaani watanzania muna neema kubwa ya viongozi itunzebi tafadhali Congo tunalia hata hatuna mtu wakutusikiza jamani, Mwenyezi Mungu akutunze kiongozi makonda
@allykagawa
@allykagawa 12 дней назад
Poleni sana ndugu zetu
@PrincessNechi
@PrincessNechi 10 дней назад
Mungu atawapa kiongozi sahihi, machozi yenu sio bure Mungu anayaona.
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 9 дней назад
Amen
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 9 дней назад
Aiseee hi dunia yahn wanawake tuko wengi...😢😢single unaenda kubaka bint mdgo hivoo akiijj😢😢😢😢.aiseee nmeumiaa saana
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 9 дней назад
Dah nmeumiaa saana 😢😢😢😢akii
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 12 дней назад
Huyo ndio kiongozi sasa.. Sio lele mama.. Keep it up brother
@esterjoseph6075
@esterjoseph6075 2 дня назад
Umeoneeehh makonda oyeeeeee
@user-xt7ue1jo9x
@user-xt7ue1jo9x 12 дней назад
Nadhani ingekua vyema kuuficha uso wa mtoto Kwa kumfocus Kwa sababu yupo chini ya umri wa 18 tulinde haki za watoto
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 9 дней назад
Ni sahihi huyu camera man hana ethics, lazima ufiche sura ya mhanga hasa mtoto,
@amanihenry7981
@amanihenry7981 9 дней назад
Hawajafanya vizuri kuonyesha sura ya mtoto ndo kumuharibia maisha
@nancyg8664
@nancyg8664 9 дней назад
😢 ata mimi niliwaza hvohvo, mitandao inatunza hii itamla mtoto akikua mkubwa
@esterlucassolah8823
@esterlucassolah8823 8 дней назад
Exactly
@user-ns4oj9cw1j
@user-ns4oj9cw1j 8 дней назад
Anyongwe akikamatwa
@user-vg7gh6df9w
@user-vg7gh6df9w 13 дней назад
Mungu akubariki mheshimiwa na akuongezee miaka mingi uzidi kuifanya kazi ya bwana. Tunahitaji sana mtu wa caliba yako
@muhammadmpahi338
@muhammadmpahi338 11 дней назад
Hawa mahakimu wa hovyo ndio wanaosababisha wananchi wanachukua sheria mkononi
@user-rt8ox1ht1m
@user-rt8ox1ht1m 8 дней назад
Kbsa ukianglia hki yko IPO hrf wanalet ubabaifu mwisho unachukua htua mkonon
@mamymoria4267
@mamymoria4267 6 дней назад
Kabisaa
@atuswegemposi1668
@atuswegemposi1668 10 дней назад
Mungu akubariki Neeema ya Mungu iwe juu Yako
@tresorkinyeshe6965
@tresorkinyeshe6965 9 дней назад
Muheshimiwa MAKONDA kweli mimi ni mkongomani DRC ila nakukubali sana na zidi kukuombeya duwa kwamungu azidi kukuzidishiya myaka nakupenda na nakukubali sana muheshimiwa
@MannesamEmmah
@MannesamEmmah 8 дней назад
Daaah!!!! Mungu amsaidie mtoto huyu aweze kutimiza malengo yake
@hassanalshaqsi6707
@hassanalshaqsi6707 13 дней назад
Your the best example they should all follow your strategy to help the nation Allah will reward you Hon.Makonda
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 11 дней назад
Hongera na kazi Mkuu, nakupongeza sana kwa namna unavyohidumia wananchi wenzetu. Asante sana Mh Makonda.
@neymantz
@neymantz 8 дней назад
Nimeumia kiukwel mungu aendeleee kukuhifadh mtu wa watu makonda🎉🎉🎉🎉 neyman tz🎉🎉🎉🎉🎉
@ramsojimmykelly3379
@ramsojimmykelly3379 8 дней назад
mahakimu wote kukumamee zenuuu....
@Ramakhanmalone-lz3qw
@Ramakhanmalone-lz3qw 6 дней назад
nakupenda sana makonda kwa kuwangalia matatizo ya wananchi,mungu akupe maisha marefu.
@reginamushi
@reginamushi 3 дня назад
Asante Rais Samia Suluhu Hasan kwa kutuchagulia kiongozi makini na mchapa kazi hakika huyu kijana anakuwakilisha vizuri sana! Laiti kwenye safu yako ya viongozi unaowateua ungekuwa nao kama Paul Makonda angalau wa 5 tuu❤
@annamtapila5761
@annamtapila5761 11 дней назад
😢😢😢 Haki ya watu iko wapi. Eee mwenyezi Mungu saidia watu wako wanyonge. Ahsante kiongozi kwa kuweka maisha na haki za watu mbele. Enyi polisi saidieni watu kwa haki huko vituoni. Mahakimu nanyi tendeni haki.
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 12 дней назад
Makonda endelea kua namoyo huo mungu akujalie akukinge nakila baya 🙏🏿🙏🏿
@EdithaNnko-fm6ph
@EdithaNnko-fm6ph 7 дней назад
Wakati Paschal Cassian anaimba Makonda ni kijana Jasiri sikimuelewa ila Sasa hv ndo naelewa. Mungu azidi kukutunza mheshimiwa
@marryjames-wl7be
@marryjames-wl7be 6 дней назад
Makonda yuko sahihi kwa nn mahakama haijafatilia ushahidi wa doctor alipima hadi kusema amebakwa mpaka akaandika dawa kwa nn mahakama imepuuza hivi vipimo na kusema huyu mama akawa anamtaka huyo mbakaji mweeee😢😢
@lilyshayo761
@lilyshayo761 11 дней назад
Jamani kuna maumivu nimelia Kama mzazi kuna maumivu jamani mungu mtunze MAKONDA na Kama
@ShamimHassan-qm1et
@ShamimHassan-qm1et 8 дней назад
Duh ila mttan kila mtu ana lake ni vile tu hawakupat wa kuwasikiliza mungu akubariki kiongoz kwa kuamua kuwasikiliza wananchi😢
@MariamJames-b5x
@MariamJames-b5x 12 дней назад
Mungu akubariki sana Mheshimiwa Makonda namungu akutie nguvu zaidi naulinzi, wasio kuwa napesa wanaonewa sana
@frankokenyamtumewaneema9179
@frankokenyamtumewaneema9179 4 дня назад
Makonda anatosha,anafuata nyayo za aliye kua kipenzi cha Tanzania magufuli🤗
@maniriyoali8675
@maniriyoali8675 13 дней назад
Mungu akubariki Kiongozi Mzuri kbs Mungu akuongoze kuenderea na kuwa Mu kweli Musema ukweli Mupenzi WA Mungu 😢
@henrymatebe
@henrymatebe 12 дней назад
Heee hivi unaelewa mada iliyopo hapo lakini?
@yasirfaisal9723
@yasirfaisal9723 12 дней назад
Kiwongozi gani huyo asiyo yatafakari statements za huyo maama huyo maama anataka kusaidiwa kumuleleya watoto ove which siyovibaya lakina asitake usaidizi Kwa kuwumiza mwengine
@MerlinaKubadesha
@MerlinaKubadesha 7 дней назад
Daaah amakweli maboy ni wanyama sana, mtoto kama huyo kweliii ,😢😢😢,pole sana mungu akuponye. Amen
@SixbertDamo
@SixbertDamo 11 дней назад
Mh makoda mungu akubariki sana mimi nipo mkoa wa mara lkn unafanya kazi ngumu sana wasaidie wanaoteseka nakuombea siku zote kwenye maisha yako,
@KitalambaMwinyimvuwa
@KitalambaMwinyimvuwa 7 дней назад
yaan utadhan mh Makonda Yuko nchi nyengine, hivi viongozi wengine mbona hata hawashughuliki na matatizo ya wananchi yanayowavunja migongo Yao!
@TheSalma1999
@TheSalma1999 7 дней назад
Umeona eh hata hawajali kabisa
@philipinamboya2204
@philipinamboya2204 10 дней назад
Mungu mlinde muheshimiwa makonda
@RuckieDady-gk3ph
@RuckieDady-gk3ph 9 дней назад
Muheshimiwa makonda ni mtu nanusu matunda ya baba ametuachia alama ❤
@MahdouMomba
@MahdouMomba 8 дней назад
Magufuli ametuachia alama sahihi kwa watanzania wote
@judicalosika7642
@judicalosika7642 5 дней назад
Uongozi ni mzigo
@judicalosika7642
@judicalosika7642 5 дней назад
​@@MahdouMombaprofile, profile, profile ✔️
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 11 дней назад
Makonda ni kiongozi sana na huruma tele mimi ninamwomba Mungu akulinde sana na akuepushe na shari yoyote, na iwe hivyo. Amina
@lucynkonya8709
@lucynkonya8709 7 дней назад
Kulaga uhangame Makonda kwa kazi nzuri na utume ulioitiwa na Mungu.
@danieljosephodada3195
@danieljosephodada3195 16 часов назад
Mh Makonda Mungu akupe nafasi ya juu katika nchi hii
@HelmanDaud
@HelmanDaud 12 дней назад
Dah mweshimiwa mungu akulinde
@kyaro5945
@kyaro5945 13 дней назад
I lo❤ve you Makonda
@KatabaroCleophace
@KatabaroCleophace 11 дней назад
Makonda uwe Rais Sijawah kuona kiongozi kama wewe Tofauti na magufuli
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 12 дней назад
MH MAKONDA MUNGU AKUBARIKI. MASIKIO YAKO YAMESIKILIZA UCHUNGU MWINGI.
@JacksonEstomi
@JacksonEstomi 7 дней назад
Makonda chukua nchii ww raisi wa hii nchii unamaamuzi ya kifalme mkuu kuraaa yangu bilaa mjadala
@mpokimwakisimba692
@mpokimwakisimba692 6 дней назад
Nimeanza kumkubali sana Makonda. Mungu ampe ulinzi
@MerryUrio
@MerryUrio 11 дней назад
Mungu akulinde tuu maana wt awapend watu wenye msimamo ya kimungu mungu akulinde
@mpelienock
@mpelienock 3 дня назад
Mungu akusaidie RC ufikie wengi na kutoa suluhisho. Mungu akusaidie isiwe seasonal iwe endelevu na wawepo viongozi wengine wanaofuatilia kwa karibu na kutatua kero za wananchi. Mungu amponye mtoto kisaikolojia na kiafya. It hurts 😢
@user-yc1ef1mp3s
@user-yc1ef1mp3s 11 дней назад
Daah hatari Sana bila kujikaza yanatoka machoz ila yote MUNGU yupo na anayaona..
@AlexJackson-ig2yd
@AlexJackson-ig2yd 4 дня назад
Respect kwa Makonda na tu nakuamini kwa kazi nzuri pia tunakuomba kiongozi uzidi kuangalia kwa jicho la pili huu unyanyasaji wa kijinsia
@goodluckjohnuiso-gt1fg
@goodluckjohnuiso-gt1fg 12 дней назад
Si vizuri kumuanika huyo mtoto hadharani hivyo ni kzidi kumdhalilisha yangetengezwa mazingira rafiki kushughulikia hilo tatizo
@dickymediapro4179
@dickymediapro4179 11 дней назад
Ni kweli ila watu wamechokaa mno mana haki hazitendeki,wanajiamulia angalau wapate haki zao kwa namna yoyote wawezavyo
@SamwellubigisaLubigisa
@SamwellubigisaLubigisa 9 дней назад
Masikini! Mama anaeleza kwa masikitiko makubwa sana. MUNGU amsaidie sana
@teresiatemu4459
@teresiatemu4459 5 дней назад
Mungu akubariki Sana Mheahimiwa Makonda, nakukubali Sana, Tena sana
@GetrudesharifuMsuya
@GetrudesharifuMsuya 6 дней назад
Dunia imeisha jaman tulinde watoto si wakike wala wakiume😢😢😢😢😢
@magrethelias8734
@magrethelias8734 7 дней назад
Daaaaaah huyu mama kaniliza it so Painfully, Mungu saidia haki itendeke
@missarepafra3973
@missarepafra3973 4 дня назад
Yesu ulisema waleteni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie maana yake unawapenda sana. Kwa matendo haya ya ubakaji na ulawiti wa watoto, Mungu stroke, na maradhi yote yawe sehemu na ijara kwao sambamba na watendaji wanaotetea uovu huu. Mungu waweza kuwalinda watu wema na magonjwa na magonjwa mabaya yote yawapate wanaoratibu, wanaotenda na wanatetea uovu huo hapa nchini. Mungu uwe mtetezi wa watoto hawa. Maombi haya uyapokee Mungu, maana yanaumiza sana. Matendo haya ambayo msingi wake ni USHIRIKINA UGANGA NA UCHAWI kwa sehemu kubwa, yakomeshwe.
@user-pe9cl1bc7h
@user-pe9cl1bc7h 8 дней назад
Watu kama hao ni wanyama inafaa wauliwe....msenge kweli unabaka watoto wadogo
@rosemaryogallo4183
@rosemaryogallo4183 5 дней назад
Makonda l love you very much Mungu akubariki
@nurdinahmed9063
@nurdinahmed9063 7 дней назад
Yani wallahi wabillahi Mungu akupe maisha marefu makonda maana una roho ya uncle magufuli hakika wewe ni kiongozi bora
@MalimaDaudMunguibarikiSi-tl3ww
@MalimaDaudMunguibarikiSi-tl3ww 7 дней назад
Mungu akutie nguvu mkuu chapa kazi saidia wanyonge
@Mwaguntobi-ip1yi
@Mwaguntobi-ip1yi 6 дней назад
Pesa adui wa haki, Mungu jibu maombi yangu siku moja makonda awe Rais wa Tanzania
@frankmaeda4284
@frankmaeda4284 3 дня назад
Makonda adhihirisha wazi demokrasia haitendeki ila domokrasia
@paulinahussen9129
@paulinahussen9129 7 дней назад
Mungu baba wa yatima, mume wa wajane simama na watu wako ee Bwana
@user-sj1rf8ij7f
@user-sj1rf8ij7f 8 дней назад
Hii dunia tunapita mliopewa dhamana, Muwe na huruma hata kidogo wa Tanzania wa hari ya chini wanayeseka sana
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 7 дней назад
Kweli kubaka unakula pesa kubaka kweli tena katoto vipi maumivu ya mtoto uyo jamani haki ni muhimu
@mohammedmakarani2802
@mohammedmakarani2802 2 дня назад
Nice one R c makonda mungu atakuongoza
@zulfajuma6894
@zulfajuma6894 8 дней назад
Mungu ampe maisha marefu
@EmmanuelMurula
@EmmanuelMurula 9 дней назад
Mimi huwa naona ipo siku huyu makonda atakuja kuwa Rais wa Tanzania, hifazini hii comment mtaniambia hiyo siku ikifika
@KefaHamisi-k7x
@KefaHamisi-k7x День назад
😢😢 ila jamani kwa watoto mnatafuta nini
@samsonsanga4368
@samsonsanga4368 10 дней назад
Mkuu, Mungu akubariki San,,, ndo maana hata mm hutumia hyo lugha kwamba km kweli Mungu yupo. Umekuwa ukitatua matatizo ya wengi. Ninachoweza kusema nardia Imani yangu nikm yko,,, Yan km kweli Mungu yupo basi akupe maisha marefu San, ten San, maana huishi maisha ya kinafki unauishi ukweli mtupu, hakika una kitu ndani yko.
@marthamwampamba7127
@marthamwampamba7127 2 дня назад
Mungu akulinde
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 13 дней назад
Mungu mwenyezi akubariki mh Makonda hakika Kazi hii unayofanya inataka moyo saana....
@lilianevelyn6977
@lilianevelyn6977 День назад
Mtoto angefunikwa, kuna leo na kesho katika jamii, asije akaishi maisha ya kunyooshewa vidole ikamletea shida kisaikolojia. inasisimua
@judithkahise6451
@judithkahise6451 7 дней назад
Huyu ni Rais mtarajiwa mtetezi wawanyonge🙏
@DattiKassim
@DattiKassim 5 дней назад
Sahau
@z-1il
@z-1il День назад
Ni kweli kabisa mungu yupo na atamsaidia
@YefthaKornelio
@YefthaKornelio 11 дней назад
Hadi nimejikuta nalia mimi mwenyewe kwauchungu
@walterkiage6113
@walterkiage6113 8 дней назад
Ukeli Mungu yupo na wengi twajichongea motoni. Pongezi kwako kumtafutia mtoto haki.
@erickbarthazar9316
@erickbarthazar9316 4 дня назад
Huyu atakuwa Rais wajamuhuri ya Muungano wa Tanzania nimeota ndoto mara 3 Ile Ile Naimani itatimia 🙏
@ScolaMwansasu
@ScolaMwansasu 8 дней назад
Mungu akulinde akutunze najua mama anakuuamini ndio maan uko hapo baba utunzwe nabMungu
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 дня назад
Mishetani ya namna hiyo hata hofu ya Mungu haina. Tunafuga watu wa hovyo sana hata jamii zetu.
@godlovechaula7635
@godlovechaula7635 9 дней назад
Anacho kufanya Makonda kinatakiwa kuigwa naviongozi Kwa kusikiliza kero za watu
@neemanjau8648
@neemanjau8648 10 дней назад
Kwanini mmeonesha sura ya mtoto, hamjui sheria na haki za watoto? Atakua mtu mzima yamkini hatotaka hii historia ijulikana wengine wataifanya kama fimbo
@NewMarathon
@NewMarathon 11 дней назад
Dah yan nimetika machozi najivunia kuw muislam makanda aijajua din yako lakin allah akulinde sana maana ni vita na maadui hongera sana broo
@Umuhili_Ngendo
@Umuhili_Ngendo 11 дней назад
Sasa uislam unefikaje hapa??
@theopistachialo6750
@theopistachialo6750 10 дней назад
​@@Umuhili_NgendoNashangaa
@JULIUSNCHAGWA
@JULIUSNCHAGWA 10 дней назад
Hapa ndo mahali nawadharau Waislamu mnakuaga na mawenge Yan kila kitu mnaweka udini mbelee
@FrankPhilimon-e3n
@FrankPhilimon-e3n 3 дня назад
Mwenyezi Mungu akutie nguvu mh. Makonda
@TynerGodfrey
@TynerGodfrey 9 дней назад
Mungu akulinde makonda
@EduLimika
@EduLimika 7 дней назад
So painful, my God, this is so bad. Tanzanians you can do better. This is unacceptable
@MiliyaMhehe
@MiliyaMhehe 8 дней назад
Ubarikiwe sana
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y 13 дней назад
Mkuu wa kituo Cha polisi Tengeru ndio tatizo kwa sababu hata RB amesema alipewa feki baadae kaenda kapewa original na mahakama pia imemnyima haki huyo mtoto
@anointedhandmaiden5261
@anointedhandmaiden5261 10 дней назад
I hurt deeply for the little one. May justice prevail in Jesus Name
@ezekielmadindula2679
@ezekielmadindula2679 12 дней назад
Hongera mkuu wa mkoa Arusha ❤
@JeannetteUwamwezi
@JeannetteUwamwezi 8 дней назад
Oooohhh nimeumia jamani hivi kweli mahakama kama hiyo imechunguza au wamekura rushwa
@omariselemani6578
@omariselemani6578 13 дней назад
Nihatari sana tanzania Jamani
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 10 дней назад
My leader makonda Mungu akusimamie
@malcomx4067
@malcomx4067 3 дня назад
Hii story inatia huzuni, yaani nimelia kanakeamba huyu mama ni mzazi wangu. Hii nchi inaitaji wakina Makonda 5.
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 7 дней назад
Pole bibi 😭 the world is so cruel wallah
@AlexJackson-ig2yd
@AlexJackson-ig2yd 4 дня назад
Mungu akupe hakili kama za Sulemani chief wetu Makonda because you are leader but not ruler maana na ruler wanajipenda wenyewe kulikokuwapenda wanaowaongoza.
@godymbanyi1878
@godymbanyi1878 10 дней назад
Wanyonge wanaumizwa Sana nchi hii! Hongera RC
@user-ct1lf6ox4t
@user-ct1lf6ox4t 7 дней назад
Hongera muheshimiwa kwa kazi ila mimi ningeomba wahusika waliopotosha haki za mtoto huyo Salma wawe wa kwanza kuwajibishwa iwe funzo kwa watenda kazi wengine wapenda rushwa
@RooneyKonga-qd4oo
@RooneyKonga-qd4oo День назад
Mheshimiwa makonda tunakushukuru sanasana watu wanateseka sana wanyonge hivi watu wanaofanya vitendo hivyo hawamwogopi Mungu kweli akatendewe watoto wake atafurahi kweli
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 11 дней назад
MHESHIMIWA MAKONDA UNABII ULIOPEWA ZAMANI UTARIMIA. MAANA NAONA UTAKUWA KIONGOZI MKUBWA WA TAIFA KAMA ALIVYONENA MTUMISHI. SIJUI KAMA UNAKUMBUKA UNABII HUO. MUNGU AKUTUNZE KWA KUTETEA WANYONGE.
@Asha-yn4bu
@Asha-yn4bu 5 дней назад
Wallahi huyu bibi ameniliza all the way from U.K
@CastoSungununu
@CastoSungununu 9 дней назад
Tuwe na Imani vijana tusiaribu vizazi vipya ni taifa la kesho
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 7 дней назад
Kweli kabisa watoto wa nini jamani majidada mengi sana Yana taka miguu ya bandia hata bure watoto wa nini
@user-wp2dc3dr3w
@user-wp2dc3dr3w 8 дней назад
Watz mko nawa tetezi sio kma kwetu Kenya aki😢😢😢
@paulinekamau9633
@paulinekamau9633 7 дней назад
Wa Tanzania make kama wakenya‼️ chomeni huyo mbakaji ‼️
Далее
ПОЮ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
3:19:41
Просмотров 1,9 млн