Ndugu yangu mm nkiwa na hasira af nikakuchek kwenye Kaz yako duh moyo Wang nauskia mwemwere mungu akupe akili nyingi hekima namaarifa zaid ili upate mafanikio mema kupitia Kaz yako haijalish watu watasema vp kujitoa ufaham lazma ili mahela ya patkane
Hahaha hapa kufeli Mtihani nilazima, mtu unaendaje kunya wakati muda umebaki mchache.. Sasa nitafanyaje 😅😂😂 Karibuni Sana ZANZIBAR Muje mufanye utalii wa ndani 🫶🌊⛵🌊
Steve naona kama ni ukweli kichwa ni jepesi kwa masomo hauwezi kimasomo ata usipo soma nyota yako ni ile ile tuh ok am watching from Kenya my name is Bruce