Kama kuna waigizaji duniani nasema duniani wananikosha moyo ni hawa mabingwa jameni hongereni sana tangia asubuhi nilikua sijacheka ila nimecheka hadi mbavu zikakauka
Ni kweli kabisa bado Afrika kuna ujinga wa kutupwa kama huo, watu hawana uchungu na pesa eti wanaliwa pesa katika kucheza michezo ya kijinga sana kama hiyo. Lakini watu waliopo kwenye nchi zilizoendelea na ambapo pesa inamacho na nidhamu kwa kuwa inapatikana kwa mujibu wa biblia inayosema kwamba Mtakula kwa jasho wameshapita kwenye upumbavu kama huo!
Hili janga la Dunia nzima. Hata hizo nchu zilizoendelea hii michezo imeshamili ila kwa maeneo maalum. mfano LAS VEGAS ndo jiji linalo ongoza kwa hiii michezo.