Dah baba Joan kweli na kubali Sana kazi zako nawa fwata 5/5 kutoka drc Congo 🇨🇩🇨🇩, alafu yule binti mwanafunzi kwakweli ni mrembo Sana angekuwa karibu na mimi ninge mtongoza❤❤ nawa takiya kila la heri kwenu.
Kipenzi ata yeye kakosea maana uwezi angalia season ya kwanza mpak hyo afu full mv si inakuwa ni Ile Ile ko bando linaenda mara 2 ila nimeenda kumtazama mwisho kabisa ila ilipaswa hii story aitoe kwenye season ya 4
Baba joan hakika mimi ni sijawai kukosa tazama kazi yako na kila kazi huwa ni nzuri hivyo basi kwa binafsi mimi naomba utoe mwendelezo wa mali za marehemu kwani nijifunza kitu kwa series hiyo naipenda kweli kutoka MUSOMA -MARA .
Asante sana Comred Emmanuel Nchimbi, umeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hao vijana limbukeni wanaodhani siasa ni tiketi ya kufanya uharifu wachukuliwe hatua. Hayo ni majambazi yamejipenyeza NDANI ya vyama kuficha uhalisia wao. Hata hivyo tabia zao halisi hatimaye tunaziona kupitia matendo na kauli zao.
Cinema hii nimeipenda sana,,, zidi kugrow na kutupa content nzuri zaidi kila siku. I love your great work from here at university of eldoret, Kenya ❤️ Mungu awabariki siku zote
Ushaanz kufelii make unaanzisha ki2 hukimalziii eleweka mm nikajua naftilia mali za urithii tena umetoka umeinhia kwingine angalia mashabiki tunaftiaga sanaa