Тёмный

MWANAFUNZI WA SHEIKH NASORO BACHU ATOA USHAURI MZITO KWA MTOTO WA BACHU 

Sheikh Yusuf Diwan
Подписаться 40 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 331   
@zamdaswaleh5410
@zamdaswaleh5410 11 месяцев назад
Mohd N bachu unabahatii sana umeyakoroga kabla baba zako wa wadgo KI'ILMU HAWATANGULIA,Leo umepata NUSRA hao wanauchungu nawe wa DHATI hawako tayari kukuona UNAANGAMIA KIELIMU,LA !!! INSHAALLAH ZINGATIA
@hasnaaliy5872
@hasnaaliy5872 11 месяцев назад
Allah akujaalie kher inshaallah mashekh wengi wamekuja kwakejeli sana lkn shekh ww umekuja kwa hekma kabisa hongera allah atafanya wepes inshaallah
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 11 месяцев назад
Na hao wanaomshabikia kipuuzi Muhammad waache mara moja kumpotoa kijana wetu. Allah amuongoze awe sheikh wa kuwapokea waja wema.
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 11 месяцев назад
Mashaalha Nasor sikiliza maneno ya mzee yana busara Na sisi tunamuomba Allha uwe mwenye kusikiliza ushauri inshaalha.
@abdillahimakame2733
@abdillahimakame2733 11 месяцев назад
Amiiin thumma Amiiin
@abdillahimakame2733
@abdillahimakame2733 11 месяцев назад
Allah akulipe kher kwa maneno yake na amjaalie Muhammed bachu aongoke kupitia nasaha za mzee wetu huyu.amiiin thumma Amiiin 🤲🤲🤲
@ShamsiMikdad-bj7me
@ShamsiMikdad-bj7me 6 месяцев назад
Masha allah kwanasaha alla akupe mwisho mwema
@fababindawood8363
@fababindawood8363 11 месяцев назад
Masha Allah Masha Allah mtumzima dawa hekma imetawala Masha Allah bachoo usiachekuzingatia maneno haya ya mzee wetu
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 месяцев назад
Maa shaa ALLAH 💚. ALLAH akuzidishiye hekima na busara Mzee wangu amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲🤲
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 11 месяцев назад
Bismillah mwenyezimungu hawapendi wanafiQ ushauri ni mziri nawala sio wakupuuzia ila baadhi ya ma Sheikh wana chukki wana hasad wana ubishi nakadhalika mwenyezimungu atujaalie mwisho mwema 🤲
@user-sh9jl2hx4u
@user-sh9jl2hx4u 11 месяцев назад
Ewe babu yanggu! Hakika niliitamani sana itokee siku hii umfahamishe huyo kijana, bado yupo chini bado hajafikia upeo wakufanya mijadala ya ushindani wakati akiwa ni dhalili katika ELIMU, ya RABBI msamehe kwa mapungufu yake shekhe Muhammad Bachu.
@fahadbabuy
@fahadbabuy 11 месяцев назад
Maneno ya Barzanjy ni kweli ama uwongo? Unayakubali wewe?
@rajabodhuman1300
@rajabodhuman1300 11 месяцев назад
Wee mzee utakuwa tiyari ushaapewa siniya la wali mweupe sii bure maana hizo nasaa zinalenga kumrudisha kijana nyuma kwahiyo mzee acha kutengeneza kiki ktk chanel yako hata unacho ongeya huelewi.
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 11 месяцев назад
Wewe unayaamini maneno ya Barzanji ni ya kweli? Je wanyama waliongea ni kweli?
@hamadsalimhamad2399
@hamadsalimhamad2399 11 месяцев назад
Shekh kurwa muache kijana hatafuti ushindi bali anafundisha hao watu wa maulidi ,dini yao ni hayo maulidi ,lazima wakatazwe hizo bidaa Muhammad hajashindwa .mjadala use haukuwa na mshindi wale walikwepa mjadala kwa hila tuu si kwa hoja
@athmanbabusa8020
@athmanbabusa8020 11 месяцев назад
​@@user-rb8ir9co9kHizo zote ni riwayat za hadithi na maulamaa wengi wamequote katika vitabu. Ulamaa wengi wamequote hadithi dhaifu katika vitabu vyao. Mbona hawakuitwa waongo? Mawahabi someni dini haitaki ubishi.
@user-od1et5ii1k
@user-od1et5ii1k 11 месяцев назад
Asante sana shehe wangu umesema ukweli leo bachu bado sanaaa ni sawa na mandonga tu
@maulidharuna183
@maulidharuna183 10 месяцев назад
Sheikh kurwa kwakweri kitambo sana tangu 2005 allah ampe maisha marefu maana wazee hawa ni azina sana kwetu
@abuuadil4070
@abuuadil4070 11 месяцев назад
Sheikh mbona sikuwelewi nasaha zako kwasababu bachu hajatukana uslamu bali hanalataza bidaa za kitabu ya barzanji ya maulidin HINA URONGO mwingi KWA hivyo masheikh wanamaziye sisi watu wa mombasa tumepata faida kubwa MUNGU hazidi kumpa bachu nguvu AMIN sheikh kesho utaulizwa humefanyiya dini kweli au unahangaliya maslai yako ya duniya ogopa mungu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 11 месяцев назад
Umejifundisha nini kwa Bachu labda ujifundishe kutukana wanazuoni kama yeye. Kama kweli bachu amekufunza asingekimbia mjadala bachu anajifanya ajua kila ndio alipoulizwa hakuweza kusema sijui. Alijuwa tu akisema hivo huko mbele atakamwa ndio akaukatiza mjadala na kuondoka. Kwa hivo mzee amempa nasaha mzuri
@sabraham5308
@sabraham5308 11 месяцев назад
Ewe mzee hebu jiheshimu ,uheshimiwe, usitafute kkuvunjiaana kwa kutumilliwa bila,kkufahamu unayoyasema.
@abdimwanaima6720
@abdimwanaima6720 11 месяцев назад
Maa shaa Allah. Umemueleza kweli tupu. Arudi akasome. Vishindo vingi apunguze
@fahadbabuy
@fahadbabuy 11 месяцев назад
Unayakubali maneno ya barzanjy wewe?
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 11 месяцев назад
Unakubali kuwa wanyama waliongea ww?
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 11 месяцев назад
Twakubali maneno ya Barzanji kwa kuwa Quran hata Tungu alizungumza lmpaka Nabii Suleiman akasikiya na kucheka.
@user-st4sj4yh4e
@user-st4sj4yh4e 11 месяцев назад
ushauri mzuri naamini utatusaidia sote si kwa shekhe bachu tu, mm naamini mzee katumia hekima na busara tu nahisi anaamini huenda akawa zaidi ya Mzee Bachu Allah amrehemu.
@hassaneddy5869
@hassaneddy5869 11 месяцев назад
Maa shaa Allah, ushauri nzuri mno , hufu yangu ni Mohammad Bachu kupotezea na kudharau asisikilize mpaka mwisho
@abdallahkiwaka5948
@abdallahkiwaka5948 11 месяцев назад
Bismi llahi arahmani rahiym mzee fuata njia ya wanaoelekea kwa Mwenyeezi Mungu wala usiwafuate wanaomzushia uwongo Mtume Muhammad (s a w) wala wanaotafuta maslahi ya hii dunia.
@abdallahomar79
@abdallahomar79 11 месяцев назад
Bachu Hana elimu kakaa mwambie akasome asishindane na maulamai babake alkuwa akisoma maulid na round hii mpka saudi ndani ya makka Kwa pigwa maulid
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 11 месяцев назад
Hakuna kufata njia ya ushirikina ya kuabudu miungu mitatu ya rububia na uluhia mambo ambayo mtume haku yafundisha wa maswahaba wala allah.mzee wetu sheikh wetu hapo kwa huo msimamo wako tuko na wewe pamoja ahlul sunnah waljamaatul twarica.kijana alitandikwa hadi akaona ngombe iko na vichwa vitano nikimaanisha huyu bacho anae pewa wasia na sheikh akapige magoti mambrua ama aende kwa sheikh msabaha la hatakwenda basi yajayo yanafurahisha.. 6:26
@mahmuduae2344
@mahmuduae2344 11 месяцев назад
Mashaalh usia mzito huo
@user-bo1ew3xq6w
@user-bo1ew3xq6w 11 месяцев назад
@@gj3741 ndio kuwa yeye bado hajaiva kwa mijadala akapige goti aombe kufundishwa jamaa ni debe tupu ni mishindo tuu ndio babu yetu sheikh anamtaka akaanze aalif kwa kijiti awache ku google nafikiri ishanielewa.
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 11 месяцев назад
WEWE MZEE UNANIKUMBUSHA MISINGI YA UZAZI NAKUENDESHA WASIA ZA MTUME ,KWELI UNAMPENDA MTOTO WA BACHU ,TUMESOMA SAUDIA UKWELI WALITUWEKA MUMKENGE NANDIOMANA UKIA KWAO WASAUDIA MALIZA KWAO IKIWA HUKUFWATA MISINGIYAO UTAISOMA NAMBA,UKIKUBALI KUWAFWATA UTAKULA KUKU SAFI MWISHOOOOOO NDOUTAWAJUA .NAKUPENDASANAMZEEE
@hukmubinissa7249
@hukmubinissa7249 11 месяцев назад
Mashaaallah Allah akuhifadhi hapa duniani na kesho khera
@fatumamisinga6211
@fatumamisinga6211 11 месяцев назад
Shekh bachu yuko sahihi na anafaa
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 11 месяцев назад
Hajuwi kitu anasoma kwaajili ya midahalo,hasomi Kwa ajili ya Allah
@saidadammussa7514
@saidadammussa7514 11 месяцев назад
Sheikh tumesikia kauli yako, Sasa tunachoomba tupeni ufafanuzi wa hayo maswali ambayo kayauliza ili tupate kufaidika Tunaomba tufafanulieni hayo maswali aliyoulio yauliza
@HemedSerious
@HemedSerious 11 месяцев назад
Yeye pia kashindwa atupatie majibu alafu ndipo aulize
@husseinmukwambo9001
@husseinmukwambo9001 11 месяцев назад
Sasa taomba maswali ya sheikh Mohammed Bachu aliuliza mbona hamjibu maswali yake lakini
@makenaOG
@makenaOG 11 месяцев назад
​@@husseinmukwambo9001mwambie arudi kwa mashekhe adarsishwe majibu atayapata huko
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 11 месяцев назад
@@makenaOG je Wanyama waliongea? Haya maneno ni kweli?
@makenaOG
@makenaOG 11 месяцев назад
@@user-rb8ir9co9k mwalimu wenu kwa kibri na kujiona anajuwa sana aliwafanya mkakosa elimu
@khalfanmuhamad56
@khalfanmuhamad56 11 месяцев назад
Allah akulipe kila la kheir kwa nasaha zako za nzur na zenye hekima
@aliamour2401
@aliamour2401 11 месяцев назад
Mzee wew ni sufi tumekushtukia maana umeegemea sana upande wao
@kassimugonie9223
@kassimugonie9223 11 месяцев назад
Asalm alaikum,wazee wahekma bado wapo allah azidi kuwabakisha
@khasimjeilani5647
@khasimjeilani5647 11 месяцев назад
MashaAllah good advice
@mohamedumri4176
@mohamedumri4176 11 месяцев назад
OLD IS GOLD. MAASHA ALLAH.
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 11 месяцев назад
Allah akujaze kila la kheir, MAWAHABI wengi wao Ujanja janja tu na maneno meengi.
@bashirsuliman305
@bashirsuliman305 11 месяцев назад
Mashallahhh mashallahhh mze nimshawara mzuri sana allah akubariki
@user-qu7lz9mu5e
@user-qu7lz9mu5e 11 месяцев назад
Alhamdulillah nafurahi kumuona na Kumjua Sheikh Kurwa katika uhai wake na kupata Nasaha zake..Watu wa peponi Hawa..
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 11 месяцев назад
Babu umeelisha alokuelewa amekuelewa asokuelewa ndo walewale mungu akuhifadhi babu
@azizayassin3623
@azizayassin3623 11 месяцев назад
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@usseneandurabe9733
@usseneandurabe9733 11 месяцев назад
Nyinyi masufi kujifanya muajwa sana kuliko mtume wa Allahu
@firqatulabraar7451
@firqatulabraar7451 11 месяцев назад
Wajua maana ya usufiy.?
@allymahaba3425
@allymahaba3425 11 месяцев назад
Huyu jamaa hata maana ya Sufi hajui. Wamezoea kufindishwa lugha za matusi tu. Ukimwambia aelezee Sufi ni nini atakwambia MASUFI ni watu wa Maulidi. Basi anajua hivyo tu. Mawahhabi kweli hamna kitu kichwani.
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 11 месяцев назад
Waallaah ww kumbe ni mjinga pia ulisikia wapi hao wanaosoma maulidi wajifananisha na mtu jaamani kasomeni yani wee nahisi ni mhabi unange ujiga kasomeni kazi ubishi tuu
@usseneandurabe9733
@usseneandurabe9733 11 месяцев назад
@@allymahaba3425 maana masufi ni wacheza dansi na kuabudu makaburi na kuiba Michele ya mayatima na kusoma maulidi na kufuga majini na uduyuuthi.....
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 11 месяцев назад
​@@usseneandurabe9733😂😂😂😂wape hao masufi
@user-ip4hn8un7m
@user-ip4hn8un7m 11 месяцев назад
Asante mzeee uyoo khasikiii mzee umetumiya muda yakoo burii mzeee khasikiii
@user-vj4bp2hs3q
@user-vj4bp2hs3q 11 месяцев назад
Na Wala Musitegemee Asikilize Mtu,Kwa Sababu Hili Jambo Lau BachuH AlhamdulillAH "Analifanyia KAZI KiLillaH Basi Hilo Sio jukumu Kwenu au Kwao,Sababu Anaemuadudu Amemruhusu,We Tusomeni Qur'an KIjana Mwamtusi Bure Na Tutapata Laana Juu Ya Kusuppot Ujinga,Kama Kwenye Dini Mtu Hana Hoja Ni Sawa Kwake Kunyamaza Ki Haq,Anatakiwa Asiinue Kinywa Chake, Hawezi Sikiliza Mtu Bach,Hafanyi Kwa Ajili Ya Huyo Kurya,Na Kurya Hana Mamlaka Kwa Bachu Zaidi Ya Nassor Bachu Ambae Ni Babake,Aboud Rogo Wote Hawa Wametangulia Mbele Za Haki Na KIjana Ameamua Kulitafiti,Kurya Ulishindwa Juu Ya Khowf,Kwaivyo Wacha Kututisha,We Ni Mtu Mzima,Kwanza Jitahidi Kutubia,Wacha Kuchimbua Mimeng'enyeko mingine Itakuangukia Kisha Itakuwa Madhara Yapo Kwako,
@user-vj4bp2hs3q
@user-vj4bp2hs3q 11 месяцев назад
Ninachoshauri Hapa Ni Kitu Kimoja Ya Kuwa AllaH Afatwe Na Si Watu Watetee Haki Za Watu Waache Haki Za AllaH ,Hizo Ndo Zinatufanya Tunaruzukiwa,Sasa Hizo Haq Ndo Uislam Na Lazima Tumelazimika Kukisoma Qur'an, "Soma Kwa Jina Lako Mola Wako Mlezi Ambae Ameumba". Sasa Barazanji Ni Mola Wetu!.
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 11 месяцев назад
Muhammad alisha mtukana sheikh Msabah kupitia utube. Wakati Msabah alimsomesha Sheikh Nassor Bachu ambae ni baba yake huyo Muhammad. Baadhi ya masomo. Na Muhammad hakufanya heshima akamtukana mwalim wa Baba yake. Wallahy wangemjua tabia za Muhammad za jeuri hadi kwa familia yake na hamsikilizi hata Mama yake mzazi. Muhammad ni mkaidi tabia yake. Allah amhidi amuongoze ili awe Maalim mzuri.
@RayRey-ji1em
@RayRey-ji1em 11 месяцев назад
KUMBE BACHO HAJUI KUSOMA AMETOLEWA AKOSA KATIA KUANDIKA PIA KATOLEWA MAKOSA WALLAHI BACHO UMETUUMIZA SANA MZEE NASAHA YAKO MZURI SANA NATARAJI AKISOMA VIZURI TUTASHINDA BACHO SOMA PLEASE TAFADHALI HUWENDA MARA YAPILI AKAKUJUWA WEWE NI SIMBA
@user-fy4op1sw2f
@user-fy4op1sw2f 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂 nabado ati simba bachu ni paka 😂😂😂😂ata azirika sana 😂😂😂😂 nilisema tatizo la bachu ni little knowledge 😂😂😂
@allymahaba3425
@allymahaba3425 11 месяцев назад
Alhamdu lillaah Rabbil-'alamiyn. Tunakushukuru sana sheikh. Huyo mtoto wa Bachu kama anataka mafanikio lazima afuate maneno ya hekma unayompa. Akijidai mjuaji shauri yake.
@bashirsuliman305
@bashirsuliman305 11 месяцев назад
Mashallahhh mashallahhh nikweli ndugu
@user-ff5yi3cu1z
@user-ff5yi3cu1z 11 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 tuta msomesha sisi babu😊😅❤
@user-ff5yi3cu1z
@user-ff5yi3cu1z 11 месяцев назад
Babu wanidae soda😊😊😊😅
@user-bx4uq2di9g
@user-bx4uq2di9g 7 месяцев назад
Mzee unaweza kutusibitishia kua kweli wanyama waliongea isibitishe mzee wetu
@KhamisKhatib-re7bv
@KhamisKhatib-re7bv 11 месяцев назад
mzee huna maneno ya kusema
@mahmuduae2344
@mahmuduae2344 11 месяцев назад
wew ukasomee. Maneno yako yanaoneshaaa hamn kitu kichwani
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 11 месяцев назад
Mzee Keshasema Mkasomeshwe. Muache Kujinunua Mavituzi Nakujisomea. Wenyew Mchawi Si Elimu
@salummzee9739
@salummzee9739 11 месяцев назад
Mtumzima dawa Allah mzee wetu amezungumza maneno yenye hekima na busara na adabu ya kiislamu na maneno wa watu wazimu ukiona wanakuhusia jambo uje wameshaona Madhara yk Allah ana hukumu na hukumu ya Allah nzito hai dawa mola akuongoe Inshallah
@carolinewanjiri714
@carolinewanjiri714 11 месяцев назад
Mashaallah kwa masheikh wote, wa Kenya kwa kumuhimiza sheikh bachu aje mwambrui ili apate masomo zaidi
@usseneandurabe9733
@usseneandurabe9733 11 месяцев назад
Mutawafundisha mataira wenzenu ao kucheza dansi
@carolinewanjiri714
@carolinewanjiri714 11 месяцев назад
@@usseneandurabe9733 sina muda na kubishana na mpuuzi, kama huna kazi ya kufanya bac njoo nikupe kazi ya kufanya ,ndio nyinyi hamtaki kuambiwa ukweli, subhanallah
@carolinewanjiri714
@carolinewanjiri714 11 месяцев назад
@@usseneandurabe9733 ukweli wauma cku zote, kama mtu hajaitimu kimasomo arudi akasome jamani,sema nyingine nikujibu
@carolinewanjiri714
@carolinewanjiri714 11 месяцев назад
@@usseneandurabe9733 usitukane watu tahira hapa tuna elimiahana wala hatufundishani kusema matuc upo nyonyo
@carolinewanjiri714
@carolinewanjiri714 11 месяцев назад
@@usseneandurabe9733 kama huwezi kuchangia mjadala bac pita na hukooooooooo
@user-hf8dd4ve7d
@user-hf8dd4ve7d 11 месяцев назад
Mzee ww kaa kimya mwache kijana atufahamishe dini ya allah ww mnafiki allah hajaficha kitu katka kuruani .ww mzee mchawi ww
@salwamahfudh8129
@salwamahfudh8129 11 месяцев назад
Maneno ya busara MashaaAllah
@user-vj4bp2hs3q
@user-vj4bp2hs3q 11 месяцев назад
Bachu Aendelee Kufanya Kazi Yake,We Mzee Umetumwa Ama Umepiswa.
@RamadhanMgeni-gt1tu
@RamadhanMgeni-gt1tu 9 месяцев назад
Umejaaliwa hekma sana
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 11 месяцев назад
Hizo adithi zako hazijengi et na yawazekana umetumwa na watu wa bidaa hakuna atakayetoka katika sunna ya Mtume Muhammad S.W.S kuja kweny upuuz wenu bakin na maulidi zenu na wew nakushaur uende ukasome upate elimu sahihi usiangalie uzee wako
@user-ck6lf9gg6v
@user-ck6lf9gg6v 11 месяцев назад
Comment nyingine sio sahihi mnashabikia tu mnatuchelewesha na ndipo tulipofikia hapa hacheni kutukana, mnaleta ushabiki
@Yousouf-wn1qz
@Yousouf-wn1qz 11 месяцев назад
Mzee wangu anachokifanya Muhammed Bachu anafanya anafahamisha watu vzrtu kwa hakika
@dullahsaleh8507
@dullahsaleh8507 11 месяцев назад
Wewe na huyu mzee nani mwenye akili?
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 11 месяцев назад
Mashallwha sheikh shukran
@hajimuhidini1903
@hajimuhidini1903 11 месяцев назад
اليوم اكملت لكم دينكم siyo aya ya mwisho kasomezaidi واتقوا يوما ترجعون فيه إلى الله،،،،Hii ndiyo Aya ya mwisho kushuka
@fundibombazanzbar5717
@fundibombazanzbar5717 11 месяцев назад
Nikwel kumbe umeona nduguyang
@user-sl8ct9jj3n
@user-sl8ct9jj3n 11 месяцев назад
Swadaqta Nilitanguliya Kumfahamisha Hilo Unajuwa Maghurafi Hawaogopi Kuzuwa Kwa Maneno Anayoongea Hana Ukweli Hata Mmoja Anawezaje Kuwa Ghurafi Na Shkh Bachu Sio Ghurafi
@user-od8wl4su8s
@user-od8wl4su8s 11 месяцев назад
Inshalaa mungu aendelee kukupa hekma
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 11 месяцев назад
Shekh..BACHU ATOE USHAHIDI WAPI MTUME KALA UROJO
@user-jg5uq3js8s
@user-jg5uq3js8s 11 месяцев назад
mzee usijione uposahii mm Nisha kujuwa we ninani
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 11 месяцев назад
We yussuf diwani ulipozungumza ww ulizima comments mpumbavu we ungeona😊 kivumbi chetu
@MohamedHassan-kk5te
@MohamedHassan-kk5te 11 месяцев назад
Mashaallah Mashaallah mzee nasheikh kurwa bacho zingatia huu wasia
@LabiloWabikongo
@LabiloWabikongo 11 месяцев назад
naaam sheikhe kweli bachu ana maarifa anakurupuka na mitandao na kelele za vjana ambao awajitambui nashukur sheikhe kurwa kwa ushaur natumai sheikhe bachu mtoto amekuelewa tumuombe allah sw atuswamehe asalam aww
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 11 месяцев назад
Mzee wangu timiza wajib wako tu. Lakini kwa Muhammad Bachu na washabiki wake watakutukana na kukudharau. Ndio hao unao waona wanakusemea ovyo.
@mrbasit4718
@mrbasit4718 11 месяцев назад
She kweli hamujafikia huko ktk kumsifu mtume. Muhimu hiyo ibada munayoifanya mumeitoa wapi? Kuweni na hekma ya kuifuata dini sahihi. Alaykumu bisunnaty wasunaty khulafai raashiduun. Wacheni kupotosha watu na kuleta uzushi kwenye dini
@abrahmansleiman9743
@abrahmansleiman9743 11 месяцев назад
Maneno yako mazuri shehe wetu lakini muhamed bachu yupo on point ulitakiwa shehe useme nimaarifa gani ambayo bachu alikosea lakini kila tukifatilia mjadala yake bachu huwa anaonyesha point katika vitabu lakini wanao shindana nae hawatuonyeshi point
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 11 месяцев назад
Bachu kaza buti husiwalegezee kamba wapuu wenye kuzusha mambo na tuwahakikishie watu wa maulid hakuna mtu wa sunna ataye kuja kweny upuuz wenu
@user-nr3uw7bq1r
@user-nr3uw7bq1r 11 месяцев назад
Yaani aka some kwa ghurafi😢😢😢😢
@hashimiddy4142
@hashimiddy4142 11 месяцев назад
Muhammadi bachu anafamisha watu haki sema we mzee umetumwa
@Abu_Twalha
@Abu_Twalha 11 месяцев назад
Kukosa Heshima ndio huku Akhui,fikiria unachokiandika kabla hujakosea watu heshima😊
@user-dk2uz3by5q
@user-dk2uz3by5q 11 месяцев назад
Sawasawa shehee
@user-od8wl4su8s
@user-od8wl4su8s 11 месяцев назад
Shekhe unahekma Allah akulinde ukwel wako utawasaidia vijana wengi
@sulaimanalriyami471
@sulaimanalriyami471 11 месяцев назад
الله يحفظك يا رب
@aliamour2401
@aliamour2401 11 месяцев назад
Mzee unatafuta kiki kwa masufi wenzako tayar umeipata ila muogope Allah
@bashirabdullah3764
@bashirabdullah3764 11 месяцев назад
ماشاءالله تبارك الله
@Rastamuslim
@Rastamuslim 11 месяцев назад
Sasa bachu akasome nini na maswali yake kidogo tuu watu washindwa kujibu dini itakua mi uongo nini apo wasema musa kaulizwa na mtu swali lakin kajibiwa na mungu 🤣🤣🤣🤣🤣
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 11 месяцев назад
Kwan makosa ya Muhammad bachu ni nn au ndio watu hatuitaki haki
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 11 месяцев назад
Ndugu zangu katika imani. Muhammad bado hajakua na elimu ya kutosha. Na hao anaowasomesha ndio wanaomtia kwenye ushabiki wa kumpigia makofi ya kumpongeza.
@user-mr1sl6dd7g
@user-mr1sl6dd7g 11 месяцев назад
Allahu akulipe inshaa allahu.
@nassibnassib5691
@nassibnassib5691 11 месяцев назад
Shekh kweli umetoa ushauli, ila badoo, ungetaka kumshauri basi ungeomba namba yake ya sim na umwongeleshe kwa faragha. Sio kutangaza ktk midia kama hivi.
@user-ki4sg8yz9j
@user-ki4sg8yz9j 11 месяцев назад
Nadhani umeona au umemsikia huyu mzee kuwa hajui atampataje Bachu, ndio kaamua kusrma nae kupitia channel yake.
@mohamedjakaya5355
@mohamedjakaya5355 11 месяцев назад
Shekh umezungumza nasaha nzuri kwa kijana wetu Shekh M. Bachu maana hata ukitaka kuwakosowa wakubwa lazima utangulize hekima na busara kubwa sasa yeye amekosa hivyo.
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 11 месяцев назад
Shehe wangu muhabi haelwi hata umsomeshe vp hawaelewi nahisi wanamaslahi binafsi
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 11 месяцев назад
We mzee ee izo nasaha zakko kawape masufi wanao abidu maiti
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 11 месяцев назад
Nawe Pia Ukasome.
@SalumKhalfan-np5vb
@SalumKhalfan-np5vb 11 месяцев назад
ALLAH AKUWEKE SHEKH KURWA KARIBU MUEMBE NJUGU
@user-mq5rc5sr1l
@user-mq5rc5sr1l 11 месяцев назад
Asnte sheikh kutwa mfahamishe kijana uyo❤❤
@user-jg5uq3js8s
@user-jg5uq3js8s 11 месяцев назад
mzee maulid yamekuja baada yakarne Saba baada yakufa mtume ilituwamini kamakweli bachu hanaelimu twambieni maulid mumeyatowa wapi
@user-ff5yi3cu1z
@user-ff5yi3cu1z 11 месяцев назад
Masha Allah swadakta ❤😊🫡🫡🫡
@user-ff5yi3cu1z
@user-ff5yi3cu1z 11 месяцев назад
💯 😊😊😊❤
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 11 месяцев назад
Mashaallah mashaallah maneno mazuri
@SalumKhalfan-np5vb
@SalumKhalfan-np5vb 11 месяцев назад
WAKO WENGI WA KUMSOMESHA ILA AACHE KIBRI ALISEMA ZANZIBAR HAKUNA WA KUMSOMESHA ALITAMKA HILO
@AmiriKassim-l5d
@AmiriKassim-l5d 11 месяцев назад
Dharau tu .basi aende mambului akachote ilim tena bureee
@maase2023
@maase2023 11 месяцев назад
Mmmmhhh huyu babu si ndie anayetetea urusi ovyooooooooo
@Allybinamour
@Allybinamour 11 месяцев назад
Mimi naona nyinyi mashekh nyote mnakosea sana, huyu muhammad bachu kakosea utaratibu na kila mwenye akili timamu anajua muhammad bachu alivofanya sio sahihi,lakini na wewe shekh pia umekosea,wewe kama una lengo lakumtafuta bachu ungekuja unguja usingemkosa.kueni makini msichambane mitandaoni mnajishusha hadhi jamaniiii
@nkyamunissi8093
@nkyamunissi8093 11 месяцев назад
Rafiki wa baba yako ni baba yako Mohamed ukikomaza shingo soon utayaona ya dunia hii Ushabiki ktk dini haukuwahi kufanikiwa
@AhmadaTahir-cu8se
@AhmadaTahir-cu8se 11 месяцев назад
Yaaani Elimu ya Dini khaswaa bado hajasoma huyu kijana anajipaisha tuu au labda tuseme akili zake wakati mwengine zinampelekesha
@user-jg5uq3js8s
@user-jg5uq3js8s 11 месяцев назад
mzee unaona Bora maulid kuliko mtume wasema bachu Hana elmu kumbuka maulid yamekuja baada yakarne Saba baada yakufa mtume je nyinyiwatu wamaulidi Mambo haya mumeyatowa wapi tufundishen basii
@faisalyunus4283
@faisalyunus4283 11 месяцев назад
MashaAllha maneno ya busses
@faisalyunus4283
@faisalyunus4283 11 месяцев назад
Maneno ya busara
@allynally4015
@allynally4015 11 месяцев назад
Ni kweli lkn hata hawa wote waliokomenti ni masufi tuu ila bachu katoa alichokipata na kwa muungu ndio kinachotakiwa siku zte ukisema ukweli hupendwi huo si wasia wa dini bali hakufanya baya na akifa atakufa kwa njia ya haki hao wte aliokutana nao hawana ilimu ya bachu
@user-jg5uq3js8s
@user-jg5uq3js8s 11 месяцев назад
mzee maulid yamekuja baada ya Karne Saba baada yakufa mtume tafakari mzee
@UmmulaymanKhamis
@UmmulaymanKhamis 11 месяцев назад
Mashallah Babu yetu❤
@muftiahmadimahmudulemba1918
@muftiahmadimahmudulemba1918 11 месяцев назад
Shekh wangu umeona naumesema ukweli kabisaaaaa elimu nindogo saaaana kwake kabisaaa swali alilo ulizwa Kigoma madrasatil ghazali darasa la4 ibtidaaiyya (shule yamsingi la4) wangejibu tuache elimu zakujionyesha na mbwe mbwe ubishi kujisifu kujionyesha tuenaelimu za kichamungu
@user-fj5or1sr9l
@user-fj5or1sr9l 11 месяцев назад
Mashaallah sheikh wangu
@AhmadaTahir-cu8se
@AhmadaTahir-cu8se 11 месяцев назад
Walikuwepo Mabwana hapa Zanzibar kina Sheikh Hassan Bin Ameir,Ameir Tajo mkubwa na wengineo lakini hawakufanya ujinga kama anaoufanya yeye.
@user-rb8ir9co9k
@user-rb8ir9co9k 11 месяцев назад
Kwhyo ww unaamini kuwa Wanyama waliongea ni kweli maneno hayo ya BARZANJI?
@AbdallaYussuf-bf1gq
@AbdallaYussuf-bf1gq 11 месяцев назад
Uyu mzee alievaa ngozi ya kondoo anaetaka kumrudisha mtu wa sunna kurudi kwenye bida'ah hawezi mtu wa upotevu kamwe hawezi kumuongoza mtu wa hakki
@user-qh4cn3uq9f
@user-qh4cn3uq9f 11 месяцев назад
Shukran sheik uliye babangu kwa kumpa nasaha huyu kakayetu asipo sikia atafuzwa na ulimwengu
@Yousouf-wn1qz
@Yousouf-wn1qz 11 месяцев назад
Mimi ili kuwasjuwi km maulidi bidaaa naawo masufi wadeni km maulidi bidaaa asaasme nani ninaona hajafanya makosa
@saydouside9468
@saydouside9468 11 месяцев назад
mmmmmh assallam allaykum..sasa hii mi barzanj.maulid.hapajaeleweka..hitma matanga..kusomewa yasini maiti kaburini.hakika..msikiti pembe ya makaburi..Alfa.mwandamo wa mwezi..suruali mchinjo..mpaka tutarudi Kwake..ndio tutajuwa ukweli wake..Allah atuhifadhi
@user-tl8cj8gw6p
@user-tl8cj8gw6p 11 месяцев назад
Swali nijee huyu mzee niwa maulidi au siye kwa maana shekh Nassor hakuwa wa maulidi .. nasaha nayo ninzuri
@KhamisHaji-pw4jo
@KhamisHaji-pw4jo 11 месяцев назад
No one perfect
@user-jg5uq3js8s
@user-jg5uq3js8s 11 месяцев назад
mzee maulidi yamekuja baada yakarne Saba baada yakufa mtume je watuwamaulidi hayambo wameyatowa wapi
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn 11 месяцев назад
Baaraka llahu fiiqu
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u 11 месяцев назад
HAJADHALILISHWAAAA!!!! MAWAHABI WANAONA KAMA BACHOU KADHALILISHWA ILA HUU USIA MZURI AUFANYIEKAZIIII HUYU MZEE NI MWANAFUNZI WA BABAYAKE WALA SIO SUFI ILA SIFIKIRII KAMA ATAMSIKILIZA HATA MM NAMSIHI ASIVAE KOTI LA USHEKHE AKASOMEEEEEE.
@suleimansiwa5744
@suleimansiwa5744 11 месяцев назад
Aje Kenya Mombasa atasomeshwa bure
@alijabu6226
@alijabu6226 11 месяцев назад
Subutu bachu anovojionaa fundi yule haend kusoma popot
Далее
MUHADHARA. SHEKH MUHAMMAD BACHU .  MALINDI 12/8/2023
1:51:24
BACHU APEWA SOMO LA MAULID NA SHEIKH SHAHARAN
13:33
Просмотров 20 тыс.
SHEIKH MUHAMMAD IS'HAKA AWARIPUA WATU WA TWARIQA
1:24:46