Тёмный

MWANAHARAKATI AFUNGUKA MAZITO "WANASEMA TULINDE AMANI WAKATI KILA SIKU WATU WANATEKWA NA KUUAWA" 

JAMBO TV
Подписаться 922 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 112   
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 3 дня назад
Uko sahihi kabisa chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@BornFredy
@BornFredy 2 дня назад
Akika Kaka sijui tunachukuliwa je na viogozi wetu awa, pia sielewi ata watu wanao pogeza utawala huu, mbaya kuliko, ccm mungu Alie hai anawaona ukweli tumechoka sana sana.
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 3 дня назад
Damu isio hatia ikimwagika inaleta ghadhabu ya mungu hiyo amani haiwezi kupatikana kama nchi ikinyamazia kuuwawa wasio hatia mungu ataleta ghadhabu kwa nchi nzima Nzima kama hatutapiga kelele kupinga udhalimu huu mkuu
@joannoel-g3r
@joannoel-g3r 3 дня назад
Ubaya viongozi wetu wanahubiri amani wakati wameficha panga nyuma na mm nimesema hivi mniue tu hamna jingine
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 2 дня назад
Amani kwao Inamaanisha usidai haki iliyoharibiwa na watawala ukawaaibisha.
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 3 дня назад
Uchambuzi mzuri sana.Hali kweli ni Ngumu sana
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 дня назад
Mungu ibariki nchi yetu tanzania
@violetcarroll4930
@violetcarroll4930 9 часов назад
Asante kaka kwa kuonyesha hali halisi ya nchi yetu, Inasikitisha kuona vijana wetu wanavyohangaika kupata ajira
@pakyanyamkinga8390
@pakyanyamkinga8390 2 дня назад
Hongera ! Darasa lako naomba lisambae ktk mitandao mingi hususa maria space. Mungu akubariki.
@generosennko8343
@generosennko8343 День назад
Kweli elimu hii imetufikia hata sisi tuliopo kwenye visiwa vya bahari ya pasifiki iliyo kusini kwenye hivi vijisiwa vidogo vidogo. Hakika tuna huzuni nyingi kwa taifa letu. Kumbe amani hakuna. Watu ni kama mateka ktk nchi yao. Looh! Tutasali sala basi ili ukombozi uje
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 3 дня назад
SAHIHI KABISA MUSHI.
@reginas1832
@reginas1832 3 дня назад
Ewe Mtanganyika amka maandamano ni lazima
@godfreymkulu4966
@godfreymkulu4966 День назад
Mungu akupe umri mrefu
@rweyemamurweyongeza4879
@rweyemamurweyongeza4879 3 дня назад
Watanzania hatuna amani ila tumetulizwa
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 2 дня назад
VIVA KIJANA KWA MANENO YAKO YA KIZALENDO, HEKIMA NA BUSARA.....LAZIMA KUWE NA 'HAKI' ILI TUWE NA 'AMANI'
@SharifuBakari-tr7hd
@SharifuBakari-tr7hd 2 дня назад
Yaani ccm hadi leo hawajapata ki2 kipya Cha kutuliwazanacho zaidi ya amani,na kuna wapuuz wanainguzwa kwenye mfumo wao shenzi kabisa ngoja auwawe mamaako ndipo utagundua km aman haipo hapa tz
@BarakaOchuu
@BarakaOchuu День назад
Hongera kaka.hamna aman tanzania ,ila Kuna utulivu Fulani ili mafisadi wazidi kutuibia na kutuua
@omannal1281
@omannal1281 3 дня назад
Nakuami sana mwanaharakati wape vidonge vyao wanaona watanzania wapumbavu.
@jonathanmkwizu5692
@jonathanmkwizu5692 3 дня назад
Dah.. Aloo hata sijui hizi dakika karibia 42 zimepitaje, haukinahi kusikilizwa... Kumbe walau kuna watu bado wenye uwezo.. hongera sana, hadi umegusia allegory of the cave ya Plato 👏🏼👏🏼👏🏼
@gabrielkyando2632
@gabrielkyando2632 2 дня назад
Akili kubwa 💥💥💥
@Mosmwampa
@Mosmwampa 2 дня назад
Kimsingi aman hatuna ila wachache wamewakalia wengi chini ya mateso afu waliojuu ndo wanatangaza aman huku wameshika slaha za kuwatuliza waliokaliwa wasipige kelele
@adammjomba5814
@adammjomba5814 2 дня назад
Mushi kua makini umewagusa pabaya hao wapumbavu watakuteka mda wowote , uwemakini usitembee peke yako 😂
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 дня назад
WOGA SIO AMANI TUNAAMINISHWA KUWA WAOGA NDO AMANI
@albertkamala6843
@albertkamala6843 2 дня назад
UFAFANUZI MZURI SANA UNAOELEZEA DHANA NZIMA YA UWEPO WA AMANI KINYUME NA UKWELI!
@user-le7ek2zs4t
@user-le7ek2zs4t 2 дня назад
Mungu akubariki
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 21 час назад
Ahsante sana, ukisikia bando linaenda kwa faida ndiyo kama hivi
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 2 дня назад
Kaka nimekupa maua Yako hongora🎉 broooo
@YonahMwamwaja
@YonahMwamwaja 2 дня назад
Ukovizuri mtumishi wa MUNGU sisi wa TANZANIA tunaishi kwa uvumilivu amani hatuna hata uhuruhatuna.
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 2 дня назад
Kwakweli inasikitisha sana, hakuna haki wala amani Tanzania
@ebitariho9720
@ebitariho9720 3 дня назад
Ni hivi ukisikia ccm na washirika wao wakisema amani , wanakuwa wanawambia wananchi wasiwabuguze katika kula nchi. Wanakuwa wanazuwia wanchi kudayi mabadiliko yatokayo waharibia uraji. Amani kwa watawala ni kula nchi bila kusumbuliwa. Amani ya watawala ni kuendelea kuwa madarakani bila kupigiwa kura kuchaguliwa.
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 3 дня назад
Kweli Tanzania ipo amani maana polisi wanafanya wavotaka na wananchi hawachukui hatua yeyote wamekaa kimya na hawana uhuru hata wakujamba
@niceiz
@niceiz 2 дня назад
Ccm wameona kama hii nchi ni yao wanazani tumezaliwa hapa watunyonye tuu waache ujinga 23 sep tutawaonesha
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 3 дня назад
Nimeona mwenyewe nimmeambiwa nikanunue drip na hizo dawa za kununua mbovu na drip pia mbovu, is too much
@wisdomfolks
@wisdomfolks 2 дня назад
Naamini wapo watanzania wengi wanaojielewa na waliochoshwa na huu uzalimu wa serekali na ccm tukutane 23 kusimamia haki
@selemanimsangi3083
@selemanimsangi3083 2 дня назад
Ukosahihi mwanaharakati
@allyshaban406
@allyshaban406 2 дня назад
Na hivyo vitanda vyenyewe havina magodoro na kama yapo hamna mashuka.
@wiza2309
@wiza2309 2 дня назад
Amen
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 2 дня назад
WAKATI WA MKOLONI TULITIBIWA BUREE MAMA ALINIAMBIA UKIWA MJA MZITO UKUFIKIA KUJIFUNGUA UNAENDA SEHEMU MAALUM YA KUPIGA SIMU HOSPITAL YA OCEAN ROAD. AMBULANCE INAKUJA NA MADAKTARI NA VIFAA VYOTE VYA HUDUMA. FREE OF CHARGE 👌👌👌👌MKOLONI
@InnocentJohn-l5y
@InnocentJohn-l5y 10 часов назад
Nchi inalaana kubwa mamtu yanateseka sana ma hospital lakini hayana akili yakufikilia kodi zao zinagawanwa tu magali yakifahali ila akili zakufikili hata kodi zao zinatumikaje kwenye mikutano ya ccm yamejazana tena yanashangilia kwafulaha kubwa yaani sio bule laana nikubwa nchi hii
@ChristinaKilianNyoni-xb7lk
@ChristinaKilianNyoni-xb7lk 2 дня назад
👏👏👏👏👏👏👏
@reginas1832
@reginas1832 3 дня назад
Kaka pokea🎉
@abdallahlupatu1093
@abdallahlupatu1093 17 часов назад
Hali ni mbaya sana
@AlphaBarageti-ru5xj
@AlphaBarageti-ru5xj 2 дня назад
Nchi yetu haijawahi kukoseshwa amani na raia, ila wale wasio raia.
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 2 дня назад
Ukweli mchungu
@jalaryababilasi1562
@jalaryababilasi1562 12 часов назад
Viongozi ndo wanaatalisha iyo amani inabidi tupambane nao sisi ni wengi kuliko wao
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 3 дня назад
Sasa dhahabu, almasi, mafuta gasi, umeme na maadini mengine kweli kunashindwa kijengwa nyumba zinafaida kwa wananchi
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 дня назад
hizi wizara ziwe na midahalo ktk kila wilaya na mikoa kusikiliza sauti za w/nchi kisha kufanyia kazi vitu vote vilivyosemwa.
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 10 часов назад
🎉🎉🎉🎉
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 23 часа назад
Mpaka afe wa CCM ndio watu wengine sio watu
@MayalakusekwaNkwabi
@MayalakusekwaNkwabi 2 дня назад
Hakuna AMANI bila HAKI Serikali ya CCM ni ya kibabe wanatisha watu, wanateka Watu,wapoteza watu na kuua Watu ovyo tunaongozwa na Miungu watu
@jizzomonster
@jizzomonster 3 дня назад
Kweli kabisaa kiongoz Tanzania ni uhuni mtupu Hawa watawala
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi День назад
MUNGU MWENYEWE HUWACHUKIA WAOGA,UOGA WA SISI WATANZANIA NDIO CHANZO YA YOTE HAYA.
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 3 дня назад
Amani haipo na tumewachoka ccm na samia wenu tukutane tr 23 barabaran
@adammjomba5814
@adammjomba5814 2 дня назад
Unajua bwana Mushi mwanaharakati , Kiukweli wa TZ wamefungwa kitambaa cheusi machoni hawana ujanja hataukiwahubiri vipi ni bure tu mangekimambi ameongea mwisho amejiachia hata wewe hutaweza Sisi wa TZ tuna subiria Na bii Musa ( Moses atuvushe ktk bahari ya Sham. Yani ni MUNGU tu atusaidie wenzetu walio serekalini wana nenepa tu kazi yao ni kuhubiri Amani na UTULIVU. Ambavyo havipo, ( wa TZ tusipo kua kama wale wakoma waliosema Twende tukaandamane maana tusipo andamana tutakufa na tukikaa apa tutakufa 😂😂😂😂😂😂
@djumakonki1964
@djumakonki1964 3 дня назад
Dr Slaa alisema kwamba viongozi wa upinzani ndiyo wanaongoza shughuli ya utekaji !! Video yake ipo kwenye RU-vid na amekwenda mbali zaidi kaandika kitabu kuelezaea njinsi upinzani unavyotekana. kwa hiyo serikali wanapo pa kuanzia uchunguzi juu shughuli nzima ya utekaji. wajukuu wa waliopigania uhuru wa tanganyika bado wapo na wapo tayari kuilinda tanzania kwa gharama yeyote. mungu ibariki tanzania na watu wake.
@lwakainaza
@lwakainaza 3 дня назад
Unatetea nini wewe chawa.
@leokamil6284
@leokamil6284 2 дня назад
Use your brain please
@albethoildefonce9117
@albethoildefonce9117 2 дня назад
Jamaa uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana huyo Slaa yupo upande upi kama sio yupo serikalini na yupo chini ya hao Ccm unadhani ataongea nini kibaya kuhusu serikali yake kama sio kuitetea tu,hayo aliyoyazungumza Huyo Slaa ni Propaganda tu ili kuwapunguza nguvu hao wapinzani,ila nakushauri Ccm haitokusaidia chochote bro
@rickyaruzi1983
@rickyaruzi1983 2 дня назад
akili kisoda
@Mosmwampa
@Mosmwampa 2 дня назад
Ila wewe ndio boga kabisa, kwahiyo wapinzani wameizid serikali? Kwann serikali isingechukua hatua dhidi Yao. Kwahiyo unazidi kutuambia serikali dhaifu inashindwa kukabiliana na uhalifu ndan ya nchi
@salama1113
@salama1113 2 дня назад
Chajabu hadi masheikhe wanajitokeza wakati walikaa kimya watu kupotea
@NdeshaPaul-uz9bw
@NdeshaPaul-uz9bw 2 дня назад
Pengine amani ya hao ni kwamba wao wanaamini matokeo hayo mabaya ndio amani yao
@NatashaJonhson-es8si
@NatashaJonhson-es8si 2 дня назад
tatixo.ccm.watanzani.tumeikataa.ccm.inabakimadalakani.kwasababyapolisi.ndomahana.sisilaiya.tulishaikataa. kilivhobaki.nisisi.kuandamana.
@Anicet-z3c
@Anicet-z3c 3 дня назад
Ninashauri, ili kila mtanzania apate huduma ya Afya, wananchi ndiyo walipa Kodi. Tukitengeneza utaratibu wa kulipa angalau shs 50/ Kwa kila Lita ya mafuta hatuwezi kuimaliza changamoto ya matibabu Kwa watanzania. Tafakari na ufanye hesabu .
@leokamil6284
@leokamil6284 2 дня назад
Ukipunguza kumnufaisha Japan au kuimarisha uchumi wake kwa Viongozi wetu kununua magari ya kifahari kila mwaka au kila baada ya miaka kadhaa,.Tukipunguza sherehe zisizokuwa na tija kwa wananchi, Viongozi wakipunguza matumizi makubwa ,kuacha kujengeana majumba ya kifahari, kulipana wake wa wastaafu ambapo sio sahihi. Baada ya yote hayo tunaweza kutumia fedha kwa matibabu elimu na kilimo .Kuna fedha nyingi zinatumika tu kwa manufaa ya Viongozi na wapambe fulani.
@elinamilyamuya3277
@elinamilyamuya3277 3 дня назад
Umeongea ukweli mkuu
@reginas1832
@reginas1832 3 дня назад
Walimu wanatuangusha sana. Maana wanatumika sana kama polisi wakati wa kura
@leokamil6284
@leokamil6284 2 дня назад
Tatizo ni upeo mtu anathamini fedha ya kula siku kadhaa akisahau atataabika kwa miaka kumi, shida ni kuwaza kwa kufikiria tumbo .
@maggamagga3157
@maggamagga3157 2 дня назад
Lazma tukiwashe mama lazma aende
@user-qm2ve7tx3s
@user-qm2ve7tx3s 3 дня назад
Unacho ongea ni ukweli mtupu tasisi zote za selekali ya Tanzania huduma ovyo kinacho tangazwa ni tafauti na kilichopo nakushukulu kwakuwa umeyaona nakuyasema kuliko kusifia vya uongo
@knight6757
@knight6757 2 дня назад
🇹🇿😪
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 дня назад
Sasa jamani iwapo hakuna Amani kwani mnalazimishwa kuishi humu nchini c muende kwenye Amani
@estambuya3901
@estambuya3901 2 дня назад
Una ugonjwa wa akili.
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 2 дня назад
@@estambuya3901 Kama wewe ulivyo huna Afya ya akili
@estambuya3901
@estambuya3901 2 дня назад
@@adamlubawa1281 acha uchawa uende mbinguni.
@allyshaban406
@allyshaban406 2 дня назад
Elimu haipo ni uzwazwa tuu,
@ebitariho9720
@ebitariho9720 3 дня назад
Tukutane tarehe 23/9/24
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 дня назад
We lifisiemu ndio mpuuzi hakuna amani bila haki
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 2 дня назад
Na haki Iko wapi Sasa
@Sulesh7
@Sulesh7 День назад
Mtu na nusu huyu
@SharifuBakari-tr7hd
@SharifuBakari-tr7hd 2 дня назад
Nimeangalia hii video hadi mwisho kiukweli imekua fupi sana ndugu nilitamani iwe masaa km manne na nusu hivi
@leokamil6284
@leokamil6284 2 дня назад
Shule zenyewe sio bure michango ni sawasawa na ada tu .Watoto wanaambiwa wapeleke fedha za chakula Shilingi laki moja na alfu 30.Shule ya msingi wapeleke debe moja mahindi moja maharage. Mara michango ya Computer ya Mwalimu alafu ati Elimu bure
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 дня назад
MBONA MAPAROKO WALIVOUWA MAALBINO HATUKUSIKIA WACHUNGAJI WAKIBWEKA 😢😢😢😢😢
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l 3 дня назад
Shida nyiee shule hakuna kichwani munawaza udini kila wakati kwenye mambo critical kama haya munahisi kuonewa kila wakati pigeni shule eee
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 3 дня назад
Shule hamna , wamejaa Udini tu.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 дня назад
@@AnthonyChaula-d8l MAPALOKO TUNATAKA WAGALATIA MUANDAMANE ALBINO WANAMALIZWA 🤧🤧🤧🤧🥳🥳
@leokamil6284
@leokamil6284 2 дня назад
​@@AnthonyChaula-d8lAlafu wakiumwa kazi nikuomba humu mitandaoni wachangiwe na watanzania.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 дня назад
Tatizo nyie manyumbu wa mhammad hamna elimu kazi yenu ni kwenda Saud arabia kuabudu sanamu ya jiwe na kuchangia matilioni ya pesa za kigeni ili warabu watajilike nyie mnabaki maskini 😂😂wajinga ndio waliwao
@tanzanite9944
@tanzanite9944 3 дня назад
Huyu jama Katoka Pangono bike kama amefufuka? Huku aliko hathubutu kuiambia Serkali ya Nje aliko
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 2 дня назад
Soma comment kwanza uangalie wengiwao wanamutazamo Gani ndiyo ulinganishe na bokxi lako
@AkidaDaudi
@AkidaDaudi 3 дня назад
Mpuzi wewe pelekeni maandamano uchagani sio muyapeleke dar wapuuzi nyinyi ,kwaiyo we hutaki amani peleka uko uchaga wako.
@thanksrjhood9508
@thanksrjhood9508 2 дня назад
Dar ya Babu yako ama? Nchi cyo Dar
@leokamil6284
@leokamil6284 2 дня назад
​@@thanksrjhood9508Huyu Mbondei anajielewa wapi ?
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 2 дня назад
Tunakutaka wew kuma tukujulishe kua tumechoka ujambazi wenu
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 2 дня назад
Upuzi nini upuzi nikujifanya uwoni maovu yanayo fanyika kwasababu ya uchawa
@matiredms917
@matiredms917 2 дня назад
Akida wewe unastahili kuombewa kwa kuwa umepofuka kiasi cha kutoweza kuona hali mbaya ya maisha ya wananchi wakati Samia na chawa wake wanaliibia Taifa kwa matrilioni.
@FransiscoKaiza
@FransiscoKaiza 2 дня назад
Tumelishwa matango 🥒🥒Poli.
@travellahmsafirihiphop5325
@travellahmsafirihiphop5325 День назад
💯
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 3 дня назад
Nimeona mwenyewe nimmeambiwa nikanunue drip na hizo dawa za kununua mbovu na drip pia mbovu, is too much
@leokamil6284
@leokamil6284 2 дня назад
Alafu kuna watu wajinga humu kazi yao kusifia upuuzi, wakiumwa kazi yao kulia huku mitandaoni wachangiwe lakini utawakuta kusifia udanganyifu wa Viongozi wetu
Далее