Тёмный

Mwanaume Mwenye Hizi Sifa Tano Anapendwa Na Kila Mwanamke | Sheikh Yusuf Abdi 

Taa ya Elimu
Подписаться 4,4 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 8 дней назад
Allah akuhifaadh sheikh yusuph Abdi nakupenda saana kwaajili ya Allah❤❤❤❤
@zulfamuhibu283
@zulfamuhibu283 4 дня назад
ALLAAH atujalie tupate wenza wenye hizi sifa
@nassirameir5662
@nassirameir5662 10 дней назад
Ukitaka kupendwa na Allah unapaswa kuacha yote aliyokataza Allah na kufuata aliyoamrisha ,kufanya hivyo ni ucha Mungu, na Mungu anampenda mwenye mwenye kumcha.
@HamadiJecha
@HamadiJecha 12 дней назад
Mashallah
@CikeTanzania
@CikeTanzania 17 дней назад
MashaaAllah hakika sheikh Jazzakallahu khayra.
@hamisijuma3334
@hamisijuma3334 8 дней назад
Hzi sizikubali
@TaayaElimu
@TaayaElimu День назад
Kwann
@Mtanzania-j5t
@Mtanzania-j5t 15 дней назад
Mashaallah uko sahihi shekhe ❤
@bibisuleman5158
@bibisuleman5158 19 дней назад
MASHAALLAH SHEIKH nmependa ayo mawaidha ❤❤❤
@TaayaElimu
@TaayaElimu 17 дней назад
Usisahua ku subscribe kwa mazuri zaid
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 17 дней назад
True shekhe
@abdulazizjeizan-vx1mc
@abdulazizjeizan-vx1mc 14 дней назад
Sheikh Yusuf abdi si hawa wanawake wa zama hizi kuhusu sifa ya pili na sifa ya tatu sio wanawake wetu hawa hao walikuwa wanawake wa zama za mitume na maswahaba
@habibumnibo4000
@habibumnibo4000 17 дней назад
Mashallah nikweli kabisa
@deally8580
@deally8580 20 дней назад
Naaam shekh
@MpumaLanga-vc4zh
@MpumaLanga-vc4zh 19 дней назад
Ndio tuchukue hayo tuyaweke kwenye vitendo in shaa allah
@man4nikaah
@man4nikaah 13 дней назад
Aiye
@IkhrocabdiIkhrocabdi
@IkhrocabdiIkhrocabdi 9 дней назад
Shekh yusuf natamani nipate mume mwenye sifa hozo laki mimi mume wangu ni mwalim lakini ndoa yangu nimateso tu
@TaayaElimu
@TaayaElimu 8 дней назад
Subhaanallah. Allah akufantie sahli katika ndoa yako
@FaisalFaaruuqu
@FaisalFaaruuqu 15 дней назад
Sidhani hapo kwenye matumizi yupo sawa maana kipato ni tofauti...
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 13 дней назад
Umenena!!!
@Umsuleym4378
@Umsuleym4378 6 дней назад
Unamkutamwanamume mwezi mzima hajatoa matumizi ni mume au Alafuwataka atwiiwe
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky 15 дней назад
Mnavunja ndoa za watu badala yakuzijenga😊
@azizkassim6896
@azizkassim6896 13 дней назад
Shekh alikuwa anajaribu kueleza sifa ambazo mwanaume anafaa kukua nayo katika ndoa. Lakini wanawake hawazipendi,ila wakishaa buruzika wamefikisha miaka 35 sasa wanakubali ati mda umepita. Wanawake wanapenda wanaume ma bwege.
@maase2023
@maase2023 15 дней назад
Maustaaz wetu kwa chini tu wee acha ! Hawajambo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 15 дней назад
😂😂😂😂😂😂
@shanizuberi7984
@shanizuberi7984 13 дней назад
😂😂😂😂big true
@maase2023
@maase2023 15 дней назад
Basi kuhubiri uasherati tuuu na mambo ya mapenzi tu ya wanawake hayo ndio majaliwa yetu waislam! Alhamdulilah tujipe pole sana maana hatutafika mbali kwa fatwa hizi
@tysonkiungo3793
@tysonkiungo3793 13 дней назад
Polee sana
@mibnabubakr
@mibnabubakr 14 дней назад
Uzushi wa Mawlidi: Sh Muhammad Sharif ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-gsJ3Wc-K_q0.html
@UwesuJumanne
@UwesuJumanne 17 дней назад
kwenye suala la matumizi itategemea kipato cha mwanaume kwani ukisema hivyo utamaanisha mwanaume mwenye hana pesa hapendwi kwa kuwa ana budget sana...au vip mnieleweshe....na kwanini zisitajwe sababu zinazosheheni kwa wote yaani wenye uwezo na wasio na uwezo
@TaayaElimu
@TaayaElimu 16 дней назад
Yani inategemea na kipato
@abdab8466
@abdab8466 16 дней назад
Ustadh ameleza vizuri ,kila kitu ni mapenzi na silazima uwe tajiri,Yale Yale matumizi ya kimaskini ni kulewana na kuyatoa kifuraha,manake kuna maskini wengine pia hutuna wake
@AffectionateLacrosse-ik1jn
@AffectionateLacrosse-ik1jn 17 дней назад
Kupendwa na wanawake sio jambo muhimu kivilile hebu masheikh tupeni mambo ukiyafanya utapendwa na Allah
@salehekimboko4113
@salehekimboko4113 17 дней назад
Ni muhimu mwanaume kupendwa na mkewe.kwani we hujui mbora kati ya wanaume ni yule bola kwa mkewe au wake zake ?,na mtume ni bora kwa wanaume wote.Usisahau mwenyezi mungu anapenda waliokuwa bora.
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 17 дней назад
Naamu hajui Bora ulivyomwambia
@abdab8466
@abdab8466 16 дней назад
Sasa Allah atakupenda vipi ikiwa nyumbani hakuna Amani,hio kuwa na upendo Ndio Allah hitia baraka,we wataka Allah akupende na kumpenda mkeo hutaki,mbona we taka Allah akupende
@YusufMusa-y4l
@YusufMusa-y4l 14 дней назад
Swadakta🤙💯🔥💯💯💯💯
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 17 дней назад
Hawa Masheikh ndio wanaleta fitna ktk ndoa, alitakiwa aeleze NI wanawake wapi wenye hizi sifa za kupendwa, Siku hizi hata wakikatazwa usifanye au usiende mahali wanaenda, viburi, jeuri, tiktok muda wote na wanaiga yote ya tiktok, mashindano na majibizano na waume zao, hasa Wanawake wafanyakazi, wasomi au wafanyabiashara na wakafanikiwa ktk mambo yao ndio kabisaaa kila siku wanataka kujiachisha tu
@TaayaElimu
@TaayaElimu 17 дней назад
Sheikh wangu angalia hii hizi video uelewe vizuri gusa hizo link. 1. #Shortvideo mwanamke mwenye sifa tano hizi Anapendwa Na Kila mwanaume ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-MglWC_xs1bk.htmlsi=EXS2Lrg0GvgZ5kB5 2.Angalia hii video ambayo ndio video nzima ukiangalia hii utafaidika sana kwan Sheikh hajaleta fitna yoyote ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-GrdptwuFi3c.htmlsi=q94TzcwSTxK0GZgY
@eidduke7911
@eidduke7911 16 дней назад
We fanya adabu yako tafuta video zengine uangalie uwache kumchukia shekh yusuf.
@NadiaRamadhan-q1m
@NadiaRamadhan-q1m 14 дней назад
Nyinyi musipende kukashif watu yeye anaalimisha jamii kuelimika sio ivyo napia kuusu wanawake ni nyinyi kuwafanya wanawake wabadilike au wewe ndyo uliemusababisha mukeo sio wanawake wote tengua Kaili yako
@AminaKassim-ni9wd
@AminaKassim-ni9wd 12 дней назад
Sasa kwani mtu anachanganya kuzungumzia kila jinsia kuna muda nyie wanaume mnakuaga kunavitu mnafanya avitulizishi kwaiyo ukiwa na mtu anakiburi anakulufishia kwenye cm meseji za ajabu akiongea uyu nataniana nae sasa wanaume ili ni tatizo pia kwenu na japo kua ukweli wapo wanawake wenye awajui thamani ya mume sibishi
@Umsuleym4378
@Umsuleym4378 6 дней назад
Sasa kama mwanamume hajasimamia nyumba yake hawatimizi mahitaji asitoke ndani kisa nini kua naadabu wewe ndio wenye kuwanyanyasa wana wake
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 16 дней назад
Yote umesema na Inshaallah mme wangu anazo
@TaayaElimu
@TaayaElimu 15 дней назад
Mashaallah
@AshaHassan-fl8tw
@AshaHassan-fl8tw 14 дней назад
Maashallaah,,
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il 17 дней назад
Je mwanamke mwenye kupendwa na wanaume wote ni yupi? ukiongelea upande mmoja tu itakuwa ni fitna maana kinachohitajika ni wote wapendane.
@TaayaElimu
@TaayaElimu 16 дней назад
Angalia hii video kumjua Mwanamke huyo gusa hii link ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-MglWC_xs1bk.html
@eidduke7911
@eidduke7911 16 дней назад
Ziko tafuta
@AliAlijum-nq1iw
@AliAlijum-nq1iw 14 дней назад
Awe na matako tu😅
Далее
🎙А НЕ СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?🕺🏼
3:06:10
MWANAMKE NA MTANDAO  l  SHEIKH YUSUF ABDI
1:04:06
Просмотров 9 тыс.
Sheikh Yusuf Abdi -  Utamu Wa Ndoa (Huu Ndio Uislamu)
15:47
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37