Тёмный

MWANAWE NASSOR BACHU ~ "HAKUNA MUISLAM ANAEKAA MOTONI MILELE" 

Ibrahim Zancom
Подписаться 339 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Muhadhir wa kimataifa mtoto wa marehem Sheikh Nassor Bachu anaejuilikana kwa jina la Muhammad Nassor Bachu.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia...
Whatsapp. +255772285543
Call. +255772285543
Usisahau ku SUBSCRIBE | LIKE | KU COMMENTS , ili upate taarifa zote zinazohusiana na Tasnia ya QASDA | MAWAIDHA | NASHEED | TENZI | MATUKIO MBALI MBALI YA KIJAMII , kupitia hapa channel yako pendwa ya IBRAHIM ZANCOM.

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 166   
@samirhassanlau5000
@samirhassanlau5000 3 года назад
Assalam alaykum ndugu zangu, nafarijika sana kua muumini wa dini ya kiislamu Hakika hii ni swadaqa tul jaaria alioiacha sheikh nasor bhachu, Tujitahidi nasi kuwalea watoto wetu ktk njia iliyonyooka
@iddyally7228
@iddyally7228 3 года назад
Allah akujalie shekh wetu zanzibar sshv ww ndio upo juu umerih kwa marehemu Lakin ww upo moto sana Allah akulinde na madui wa uislam
@maseledotto8490
@maseledotto8490 3 года назад
Amiin yarabbl alaamin
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 месяцев назад
😂😂😂😂kawaida watu wajingaa pindi wanapokutana hupongezanaa
@omarsaid6784
@omarsaid6784 3 года назад
allah awaongoe mashekh wetu nasisi pia
@saidkhamis8895
@saidkhamis8895 3 года назад
Allah atufishe tukiwa waislam aameen
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Ameen...
@HassanJaphari-rx7jy
@HassanJaphari-rx7jy 5 месяцев назад
Ameen
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 года назад
Magu kala hasara wallah allah atupe mwisho wa kheri inshallah
@حبماهرالمعيقلي
@حبماهرالمعيقلي 3 года назад
vip aisha
@mohammedally2289
@mohammedally2289 3 года назад
Yaani wewe asha makafiri wote hujawaona umemuona magu tu mxxxxxxuuuuu
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 года назад
@@mohammedally2289 wewe ulitaka nimuiteje magu nijibu sasa hivi habthi
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 года назад
Aisha I Love u
@hamisimfaumenamwewe193
@hamisimfaumenamwewe193 3 года назад
Njo nikuoe
@mabrouksaleh2472
@mabrouksaleh2472 3 года назад
Mtoto wa Nassor Bachoo Masha Allah kama baba yake
@bellbell9294
@bellbell9294 3 года назад
Najivunia kwa kuzaliwa muisilam namuomba Allah anifishe Haliyakuwa muisilam Aamiin
@kibwanabadi601
@kibwanabadi601 Год назад
Mashallah,kidume,cha,nassoro,bachu, Allah,amrahamu,kwakweli,aliacha,sadaq,tu,jaria,
@swahilijom8168
@swahilijom8168 3 года назад
MA SHAA ALLAH KUMBE TANZANIYABADO TUNA MA CHEKHE WENYEUHAKIKA WAWUKWELI ALHAMDULILLAH ALLAH AKUTHIBITICHE UMENIFURAYISHA SAAN KUWONESHA SAMANI YASHAHADA
@omarabdallah7577
@omarabdallah7577 3 года назад
Alhambulilah, kazi safi kakaangu
@asdasd9253
@asdasd9253 3 года назад
Mashallah alla atusameh madhambi yetu
@MohdMohd-rd6jt
@MohdMohd-rd6jt 3 года назад
Ameen
@adilihassan8455
@adilihassan8455 3 года назад
Wallahi,sheikh na babayako hakuna tofauti kabisa,Mungu zidisha uongofu Kwa familia ya bachu,nyote muingie firdaus, Yaarab waongoze waislamu wote na utulinde na Hawa makafiri na fitina zao,upe nguvu uislamu ,yarabi cku ya kiama tukutanishe na mtume wetu kwenye lile birika la maji tamu la haudhi sharifa,siku io kutakua na kiu kikali isipokua walofuzu ndo watakunywa Ayo maji,amiin
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 3 года назад
Amyyn yaaraby
@wimanamwajabu
@wimanamwajabu 2 года назад
Ameen insha-allah
@omyjaku8818
@omyjaku8818 3 года назад
Maashaaallaah sheeeeekh mungu akulinde inshaaallah
@MctMct-tt4rq
@MctMct-tt4rq 3 года назад
ALLA AKUBARIK SHEHE KUELEZEA UKWEI BILA KIJALI MASLAH YA DUNIA KUELEZEA UISLAMU NA KAFIRI ANAPOKUFA HANA ALOPATA ILAWENGINE WAPINDIDHA MANENO KUJAL KULA NAMSHKURU MUNGU KUNIJALIA KUWA MUISLAM
@hakikwadalili
@hakikwadalili 3 года назад
Itikadi ya kuadhibiwa kwa muda ni maradhi yaloyowapata Ahalu Al Kitabu (Ni Virus) na usuli wake ni uzushi katika Dini. Allah amtukufu amewafedhehi pale aliposema: ﴿ذلِكَ بِأَنَّهُم قالوا لَن تَمَسَّنَا النّارُ إِلّا أَيّامًا مَعدوداتٍ وَغَرَّهُم في دينِهِم ما كانوا يَفتَرونَ﴾ (Hayo ni kwa sababu wao wamesema “hautatugusa moto isopokua siku chache”. Na yakawaghururi katika dini yao yaliyokua wakiyazua) [Aala-Imraana 24]
@adamkamaze9888
@adamkamaze9888 Год назад
Sasa hao ahlul kitaabi si makafiri? Sasa Muislamu akae motoni milele sawa na kafiri?????????
@kulthumcadir5425
@kulthumcadir5425 3 года назад
Allah mkubwa jina la babaako alifutiki tena . Allah akubarik
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 года назад
🙏 Allah karim allah karim mungu atuepushie na moto inshallah
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Ameen..
@MohdMohd-rd6jt
@MohdMohd-rd6jt 3 года назад
Ameen
@hamzaomary1346
@hamzaomary1346 3 года назад
Najivunia kuwa muisilam 👇👇👇
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Masha'Allah...
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 года назад
Na mimi pia
@ramadhanismail7147
@ramadhanismail7147 3 года назад
Nami pia
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 года назад
Alhamdulillah natumuombe Allah atuepushe na ushirikina. Mana kuzaliwa muisilam halafu ukafa hali yakua mshirikina nisawa na zero. Na kwa sasa watu wengi sana wamezama kwenye shirki. Allah atuepushe na shari za ushirikina na washirikina, Amiin.
@MunahyaMubaraka
@MunahyaMubaraka 2 месяца назад
​@@alhamdulillah5796alwahumm amn
@abdallahseph5169
@abdallahseph5169 3 года назад
Mashaallah Allah atusamehee zambi zetu
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Ameen
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc Год назад
Muhammad bachu kama unayoyasema ni kweli basi tusiswali Wala tusifunge Wala tusijitahidi kufanya matendo mema tubaki tu na Imani kuwa tumemuamini Allah pepo tutaipataa ! Achaa kupotosha umma weww kijana wallah me nakuhurumia sana wallah mdomo wako huooo utakupeleka pamajaa ndugu yangu
@z.nalnabhani7194
@z.nalnabhani7194 3 года назад
Jazakallahu khaira
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 года назад
Shukran saana
@pesspesa6202
@pesspesa6202 3 года назад
Tumuombe mungu atupe mwisho mwema aamin
@thawadudiabdala6802
@thawadudiabdala6802 3 года назад
Yaarab tupe mwisho mwema inshaAllah.
@MohdMohd-rd6jt
@MohdMohd-rd6jt 3 года назад
Ameen
@maseledotto8490
@maseledotto8490 3 года назад
Najivunia kuwa muislam alhamudilillah
@hamadramadhan9575
@hamadramadhan9575 2 года назад
alla tujalie mwisho mwema waja wako kwa hakika cc hatuwezi kuvumilia adhabu zako kali
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 3 года назад
Masha Allah sheikh wetu
@z.nalnabhani7194
@z.nalnabhani7194 3 года назад
Sauti kama baba,Allah amrehem
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Ameen...
@maseledotto8490
@maseledotto8490 3 года назад
Amiin
@smsalama6540
@smsalama6540 3 года назад
Mh kwa sauti bado haijafanana shekhe nassoro mashaallha sauti yake mungu kamjalia
@G_M22
@G_M22 3 года назад
Masha-Allah maalim
@halimajuma6119
@halimajuma6119 3 года назад
"Weeeweeeeee!!! Sheikh nimeipenda hio
@pilotkhelfin4711
@pilotkhelfin4711 3 года назад
Siku moja ya dunian ni sawa na miaka ming ya moton na moto ni mkal mno tusijiachie halima
@halimajuma6119
@halimajuma6119 3 года назад
@@pilotkhelfin4711 shuqraan. Nimeipenda kw kutukumbusha Neema ya Kuwa Muislaam. Haya mengine kila m1 atafanya jitihada zake mwenyewe. Na kw barka za mwez huu, in xha allah m/mungu atujaalie tuwe n wenye kufikia lengo la swaum
@pilotkhelfin4711
@pilotkhelfin4711 3 года назад
@@halimajuma6119 amiin halima
@abdullahalbalushi3856
@abdullahalbalushi3856 3 года назад
@@pilotkhelfin4711 kula bata tu sheikh keshatoa green light ni temporary tu usijali mambo mazuri.
@kulthumcadir5425
@kulthumcadir5425 3 года назад
Sauti iyoiyo mashallhu
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 3 года назад
tuna vijana wazuri wakisuni tuwatumie vizur
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 года назад
Naam huo ndio ukweli
@suleimansmj9482
@suleimansmj9482 3 года назад
Astaghafiru Allah 😭😭😭 waislamu tujitahid kuchunga ndimi zetu hakika zitatupeleka motoni
@MANKHAN22
@MANKHAN22 3 года назад
Allahuakbar
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 года назад
Allah Akbar
@mabrouksaleh2472
@mabrouksaleh2472 3 года назад
Inategemea na madhambi na thawabu wapo watakao kaa kwa mda na wapo watakao kaa milele ila iyo hutba hakujaifaham anazungumzia kwa kikundi ambacho ktk safu ya watu wa motoni ila ni waislamu watasumbuliwa ya watu na watu wa motoni ambao hawakuwa waislamu hapo ndio Allah atawatoa wale waislamu waliomo ndani ya moto watatolewa waislamu wote waingie peponi(Ktk hicho kikundi cha majibizano)
@islamummah6987
@islamummah6987 3 года назад
Sikiliza vzr uwelew
@mabrouksaleh2472
@mabrouksaleh2472 3 года назад
Sio uelewe ndio ilivyo kuna waislamu watakao kaa kwa mda motoni kisha watatolewa kuingizwa peponi na kuna waislamu waliokufuru watakaa milele Allah atunusuru atujaalie ktk waja wake wema
@allymtungunyu9335
@allymtungunyu9335 3 года назад
@@islamummah6987 ni hivyo wapo waislam watakao kaa milele motoni, soma surat bayyinah.allah asema walmushrikina fiinalijahannam
@chidimussa2233
@chidimussa2233 3 года назад
Najivunia kuwa muislam
@abdullahalbalushi3856
@abdullahalbalushi3856 3 года назад
Sheikh nimefurahi sana mie sku zote nliku nna khofu kwamba ukingia motoni hutoki tena nimepata faraja.kumbe mambo mazuri tule bata tu
@yusuphkhan8963
@yusuphkhan8963 2 года назад
We acha mzaha malim mana moto wa Allah so kama wahuku
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 2 года назад
Innalillah wainnaillah rajiun Allah akutongoze na Atuongoze sote
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 Год назад
Endelea kula bata baba ww na bachu wako akisha ukiwa hukutoka wee mtafute bachu tu atakutoa
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 3 года назад
🙏🙏🙏
@dulaali2538
@dulaali2538 2 года назад
Asalam Alykum naomba namba za shekh
@salimmohamed5559
@salimmohamed5559 3 года назад
SIO KILA MUISLAMU ATAINGIA PEPONI NA HALI YA KUA AMEZINI AMELEWA na hakufunga Ramadhani
@abdullahalbalushi3856
@abdullahalbalushi3856 3 года назад
Kula bata tu mambo mazuri sheikh atachkua responsibilty keshatoa green light.
@OmarOmar-xy6fy
@OmarOmar-xy6fy 2 года назад
Walmushrikiina fii naari jahannam khaalidina fiihaa abadaa.( Nawashirikina watakaa motoni MILELE) mtu muislam ila nimshirikina Atari sana Allah atuhifadhi).
@حبماهرالمعيقلي
@حبماهرالمعيقلي 3 года назад
shekhe mama yake mtume hakufikiwa na daghwa yeye ni wapeponi
@salimmohamed5559
@salimmohamed5559 3 года назад
JAMAA TURUDI KWENYE QURAN ATAKAE INGIA MOTONI MOTONI MILELE
@abuually-ol2xc
@abuually-ol2xc Год назад
Kwenye qur Ani hukuti ayaa inayozungiza Imani pekee pila ya matendo memaa sheikh wangu unajidanganya nafsi yakoo acha kuongea ujingaa
@suleimansmj9482
@suleimansmj9482 3 года назад
Allah atusalim salama atuongoze kwny njia ilinyooka
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 Год назад
Hv Allah aliposema kuhusu mtu anaekula riba ktk suratul baqarah mwishowe alisemaje ? Je hakusema kuwa atadumu motoni milele . Je huyu mla riba hakuwa muislamu ? Je Allah atakhaalif ahadi yake ?? . Je ktk sisi waislamu hakuna muislamu anamuuwa muislamu mwenzake kwa makusudi? Je Allah anatuambia nini kuhusu mtu huyu ? Je hakusekuma kuwa atadumu motoni mielele??? Na kama atatoka je Allah anakhaalif ahadi yake ?.. acheni kuwapa watu moyo wa kumuasi Allah.
@TeamKRX
@TeamKRX 3 года назад
Heee huyu ni masser bachu kama yupo mashalah
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 месяцев назад
😂😂😂 sawa mungu mtu tumekuelewaaa
@saidkhamis8895
@saidkhamis8895 3 года назад
Allah atupe khatma njema inshaallah
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Ameen...
@MohdMohd-rd6jt
@MohdMohd-rd6jt 3 года назад
Ameen
@omanimujsa9756
@omanimujsa9756 3 года назад
😭😭😭😭😭
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 года назад
😧😭 yarrab tusameh makosayetu
@MohdMohd-rd6jt
@MohdMohd-rd6jt 3 года назад
Ameen
@nassorbinfundi1196
@nassorbinfundi1196 3 года назад
Uko vizur lkn inaonekana mara nyingi unaraad mashekh wakubwa walokuzid umur na hata ekma na elmi kwanini,? Acha izo tabia zakutubomoa
@thulythatmustf3535
@thulythatmustf3535 3 года назад
Duhhh. Apo sijafahamu shekhe kwani mama yake Mtume rehma na Amani ziwe juu yake alikuwa ktk dini Gani?
@mabrouksaleh2472
@mabrouksaleh2472 3 года назад
uislamu ulikuja baada ya Mtume kupewa Wahy makka soo kipindi cha mama yake watu walikuwa ni washirikina Nilimuomba Mola wangu Mlezi Aniruhusu kumuombea msamaha mama yangu, lakini Alikataa kunipatia idhini kwa hilo.
@mabrouksaleh2472
@mabrouksaleh2472 3 года назад
Sio Sheikh ni Mtume mwenyewe katamka maneno hayo ila aliruhusiwa akalidhuru kaburi la mama yake
@mohamedmubarak8296
@mohamedmubarak8296 3 года назад
Mama yake mtume hakuwa muislamu
@thulythatmustf3535
@thulythatmustf3535 3 года назад
Sawa. Asante nimefahamu
@janathadamu3327
@janathadamu3327 3 года назад
Allhamdulliah kuniumba nikiwa muislam!
@OmarShela-p2z
@OmarShela-p2z 10 месяцев назад
Kwani waislam wanaenda motoni? Sasa ikiwa waoslam wanaenda motoni je makafiri wataenda wapi?
@saidlucas1216
@saidlucas1216 3 года назад
🙏🙏🙏💗💗💗💗💗💯
@RashidSalim-n3f
@RashidSalim-n3f Год назад
Swadakta sahihi Qalam lkn huna hekima sheikh una jazba itakuwa ni vyema ujifunze hekima
@yussufilyassa3011
@yussufilyassa3011 3 года назад
We sh naona kama muongo wee!! Kama unayoyasema ni kweli usengefunga coment ktk baadh ya vidio zako
@0656840872
@0656840872 3 года назад
Uongo wake upo wapi?
@omaromy6583
@omaromy6583 3 года назад
Sasa je yupo asiefanya kosa lolote kati ya hayo uloyataja? Mana mtume anasema...KILA MWANADAM NI MKOSEAJI....sasa km niivo ni yupi ataenda peponi?....nauliza tu nipate jawabu
@salamabakari625
@salamabakari625 3 года назад
Ndio maana baada ya kukosa mja atakiwa atubie kabla ya kifo!
@omaromy6583
@omaromy6583 3 года назад
@@salamabakari625 ...toweni mawaidha kielim na sio makelele tu
@mazruybaruti7158
@mazruybaruti7158 3 года назад
Hiyo ya kuadhibiwa Kwa muda ni itiqadi waliyokuwa nayo mayahudi na wala sio itiqadi ya qur aan na Sunna sahihi
@edsboresha2571
@edsboresha2571 3 года назад
Hadith ni sahihi
@abdullahalbalushi3856
@abdullahalbalushi3856 3 года назад
@@edsboresha2571 je quraani sio sahihi. aya tele zinajipiti milele.khalidina fiha.
@seifomar1148
@seifomar1148 Год назад
Kafir nd matoni milele soma dini yako ww hiyo quran haitafsiri neno kwa neno
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 месяцев назад
😂😂😂 porojoo jingi hata dalili ya wazi inayosema mazali ni muislamu hautokaa motoni milele ? Lete dalili acha porojoo zako izoo
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 7 месяцев назад
Astaghfirullah kwahiyoo wewe unafadhilisha madhambi ambayoo wanayoyafanya waislamu 😂😂😂 ama kweli wewe ni mpumbavuu
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 3 года назад
Huyu jmaa utasem msomi mbn ukiwakosoa mashekh hufungui comment Wa mbabu vp unatft Kiki tu
@shebyboy2809
@shebyboy2809 3 года назад
Mbona una towa mawaidha kwa jazba badae unanyoosha vidole wezako
@abuuazizi9277
@abuuazizi9277 3 года назад
Ulikua unaitaji acheke cheke.mwache ajimwae
@fatmaabdulmalik8066
@fatmaabdulmalik8066 3 года назад
Lazima aongee kwa jazba sbb maneno yaliyosemwa makubwa mno alipaswa alie asaa shekhe na sisi pia tuseme mzee wako atusiwe bila ya kosa mbele yako ungekuaje
@thulythatmustf3535
@thulythatmustf3535 3 года назад
Sasa atowe kwa kukubembeleza kwani Moto unafurahisha?? Hapo ni pakudondosha chozi hasaa ili waislamu wazidi kuwaidhika
@thulythatmustf3535
@thulythatmustf3535 3 года назад
Yaa Rabbi bihusni lhaatimah🤲
@deathrow8004
@deathrow8004 3 года назад
Hujitambui Allah akuongoze
@thawadudiabdala6802
@thawadudiabdala6802 3 года назад
Yaarab tupe mwisho mwema inshaAllah.
@ibrahimzancom
@ibrahimzancom 3 года назад
Ameen
Далее
MTOTO WA NASSOR BACHU | NINI DHULMA KATIKA UISLAMU??
9:24
ДУБАЙСКАЯ ШОКОЛАДКА 🍫
00:55
Просмотров 3,2 млн
Brawl Stars expliquez ça
00:11
Просмотров 7 млн
This is how Halo felt as a kid 🤣 (phelan.davies)
00:14
skibidi toilet 77 (part 4)
05:20
Просмотров 15 млн
Why scholars are against Music - Shaykh Hamza Yusuf
24:02
ДУБАЙСКАЯ ШОКОЛАДКА 🍫
00:55
Просмотров 3,2 млн