Тёмный

MWANDISHI WA AYO TV KUTISHIWA NA KUPOKONYWA VIFAA VYAKE,M/KITI WA WAANDISHI ARUSHA ATOA TAMKO 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 4,4 тыс.
50% 1

MWANDISHI WA AYO TV KUTAKA KUKAMATWA NA KUPOKONYWA VIFAA VYAKE ,M/KITI WA WAANDISHI ARUSHA ATOA TAMKO
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@LakinaneMuna
@LakinaneMuna 3 часа назад
Duuuuh Mungu atusaidie nchi yetu inaelekea pabaya mno Mama anaendelea na majukumu yake ya kurudi madarakani, mama Usitumie mabavu kuna maisha baada ya uongozi😢😢😢
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 4 часа назад
Hii ishakua noma sasa
@irenemkimwanga1437
@irenemkimwanga1437 4 часа назад
Da pole Sana kaka kwa misuko suko mungu awe faraja yako nyie ni moja ya watoa habari ya kweli Sana tanzania
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 4 часа назад
Uhuru wa nyombo vya habar nao wanaanza kuuzima 😢
@MohadiTv
@MohadiTv 4 часа назад
Washahamia kwa wa ndishi habari tena 😂
@jonasdaniel1025
@jonasdaniel1025 4 часа назад
Mbona mnakua waogaa! Semeni niakina nani wamefanya tukio Hilo? Yani Kwa uwoga huo huo ndo mwaendelea kuwapa kichwa waharifu katika hii nchi
@mohammededy7086
@mohammededy7086 4 часа назад
Mmmmh binandam kw kujifanya wanaweza na kila mtu kuvutia kwake
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 4 часа назад
Ukiona ivyo uyu mama awamtaki ao watakuwa mapolisi
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 4 часа назад
Taarifa nying tunapata kupitia vyombo vya habar alaf watu wachache tyu wanatka kuharibu kwa sabbu zao binafsi,plz ashughulikiwe huyo mtu
@danielmwanguku2898
@danielmwanguku2898 4 часа назад
N kwel kbsa hawez tulia tayar ameathirika kisaikolojia
@estherkibajiro3480
@estherkibajiro3480 2 часа назад
Mbona kama kiongozi nae anaogopa??😅😅huu ni umeingiliiii
@LeonidasStephano
@LeonidasStephano 2 часа назад
Anaogopa kwasababu ni usiku leo ukienda kugonga mulangoni kwake kituo cha kwanza uvunguni
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 2 часа назад
Yale yaleeee yamesharudi
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 3 часа назад
MUNGU Wangu boss wake hata. Mwambie nini 😢😢camera tena wame vunja au
@pidibegashe768
@pidibegashe768 2 часа назад
Tumeisha juwa kuwa ni awakutaka tarifa zitoke
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m Час назад
Huyu mwenyekiti mtoeni hafai anakigugumizo hkutoa taarifa na muoga too much stupid
Далее