Тёмный

MWANZO-MWISHO: Mbunge Mnyika alivyotolewa Bungeni na Askari 

Подписаться
Просмотров 356 тыс.
% 1 174

Moja ya stori kubwa kutokea Bungeni Dodoma leo June 2, 2017 ambayo ina-make headline ni Wabunge wa Upinzani kususia Vikao vya Bunge hatua iliyokuja baada ya agizo la Spika Job Ndugai kumsimamisha Mbunge wa Kibamba John Mnyika kutoshiriki Vikao vya Bunge kwa muda wa wiki moja kutokana na utovu wa nidhamu aliouonesha mbele ya Bunge na kuwaagiza Polisi kumtoa nje.

Развлечения

Опубликовано:

 

2 июн 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 457   
@richardrogers8776
@richardrogers8776 7 лет назад
Dah!!! pole sana Mnyika...wenye kuona na kusikia, tumeona na tumesikia...
@rahmasellemani4563
@rahmasellemani4563 7 лет назад
Asante millard ayo kwa kwa kutufikishia habar kama hizi kwass ambao hatupo Tanzanian tu nafurahi kujua kinacho endelea kwenye ichi yetu
@mohammedally8569
@mohammedally8569 7 лет назад
namuomba m/mungu ayaone haya na atusaidie atuletee imani na upendo , busara na pia huruma.
@mussajeremia5339
@mussajeremia5339 7 лет назад
Wakiambiwa ukweli CCM wanachukia kwanini Wanafanya bunge kuwa la Chama badala ya nchi mungu tizama wa Tanzania wenzangu waliko bungeni pale ambapo inafika kusema kweli na kweli kuvurugwa mungu nakusihi ukasimame mwenyewe Amina
@sangararawarioba3016
@sangararawarioba3016 7 лет назад
Nazani kama kiongozi,hutakiwi kufanya maamuzi kwa jaziba!Binafsi sioni kama kuna haki hapo!Na sizani kama Mheshimiwa Mbunge ni busara kuondolewa kwa kurupukushani kiasi hicho ,yy ni mtu mzima angetoka tu! Nashauri viongozi wetu kutumia busara zaidi ktk maamuzi badala ya jaziba!
@saidndimbwa4976
@saidndimbwa4976 7 лет назад
Naichukia sana serikali ya chama cha mapinduzi...na wabunge wake wote isipokua mh bashe na mh nape...serikali ambayo inatufanya wananchi tusijivunie kuwa watanzania...serikali ambayo inaunyamazisha upinzani kwa hila ya wingi wa wabunge ndani ya bunge...naichukia ccm na wabunge wake na rais wake na serikali yake na kila kitu ndani ya ccm....ipo siku Tanzania tutakua huru tena....
@kinglance9816
@kinglance9816 7 лет назад
Said ndimbwA hunishindi mimi mimi mara miA saba yani ungeuona moyo wangu
@ramadhanmbaraka7268
@ramadhanmbaraka7268 7 лет назад
Said Ndimbwa mtasubili sana aisee labda miaka mia mbili
@Lahyzeecrucial
@Lahyzeecrucial 7 лет назад
Tanzania tutabaki nyuma sana bila ya kunyooshwa hao. Wanaturudisha nyuma sana watanzania. wao wakishakuchkua maposho yao na mishahara yao habari hawana tunabaki sisi majimoni mwetu hewa. Big up Speaker Ndugai kua mkali sasa.
@petermashingia7128
@petermashingia7128 7 лет назад
nadhani spika amefanya maamuzi ya mihemko... Hii ni mbaya sana.... hadi kukehedi maaskari... hi ni mbaya sna kwa kiti
@sakinaabdul4627
@sakinaabdul4627 7 лет назад
Peter Mashingia ni hatari sana spika kuwa na jazba kiasi hicho
@amanmalik6917
@amanmalik6917 7 лет назад
nikisikiaga Kwenye wimbo wa Roma Akisema "SPIKA ANALINDA WATU WA CHAMA CHAKE" sijui ndo Kama Hivi?????
@thadeipeter2592
@thadeipeter2592 7 лет назад
Sio haki kabisa kilichofanyika dhidi ya Mnyika ni uonevu na udhalilishaji.ifike mahali tz tufanye kitu kuonyesha kwamba atukubaliani na vitendo hivi.
@erickmgina1136
@erickmgina1136 7 лет назад
spika some time huonyeshi msimamo mbona Lusinde katukana na mwingine kasema mnyika mwizi na umewaacha inatakiwa wote watolewe Inje
@shijalugiko4053
@shijalugiko4053 7 лет назад
haiwezekani mnyika atukanwe then akae kimya. ni kitu chakushangaza sana. na speaker huwa anapendelea upande mmoja tu sijui kwann angekuwa ni mpinza kamtukana wa ccm angetolewa na adhabu kubwa.mungu atusaidie
@geja125
@geja125 7 лет назад
Kama watu wote wataweka mihemko ya kiitikadi pembeni,,,ni dhahiri kwamba Speaker wa bunge hatoshei kwenye kiti chake kwa namna anavyotoa maamuzi kwenye baadhi ya matukio. Ktk hili la mnyika ametumia jazba badala ya kusikiliza pointi ya msingi ya mnyika ni nini na tayari kahukumu kwamba asimwone kwa kipindi fulani. 2. Na yeye katoa lugha ya kuudhi kwa askari wa bunge kwa kuwauliza wao ni askari wa aina gani. 3. Katoa maelekezo ya hukumu kwa Bulaya badala ya kuiacha kamati ya maadili kufuata taratibu za kikanuni. 4.Ametoa matamshi yanayosifia maneno ya Lusinde ambayo hayana ushahidi bungeni kama kanuni zinavyotaka..lkn amekataa kumsikiliza mnyika aliyekuwa anaelekea kuhitaji ushahidi wa kuitwa mwizi nk. Kiti cha spika kinatakiwa kuwa neutral bila kuonyesha ishara za kuubeba upande/kundi/mtu fulani!
@mwanahella9650
@mwanahella9650 7 лет назад
Mungu bariki Tanzania Mungu bariki Africa 😳😳
@hedayaals250
@hedayaals250 7 лет назад
tusubirie tu 2020 nahisi hayatajirudia tena haya
@sharifusalema3448
@sharifusalema3448 4 года назад
Safiiiii sanaaa spikaa hujakoseaaa, huo ni utovu wa nidhamu alio uonyesha mnyika
@harounali9057
@harounali9057 7 лет назад
kama kweli watanzania wana fatilia bunge kwa makini mtagunduwa kuwa, wapinzani wanvyo chukuliwa bungeni ni kama si wabunge bali ni CCM pekee ndio wabunge. Mpinzani akisimama mbunge wa CCM anaweza kusema chochote na isiwe kitu, lakini hilohilo likitokea kwa mbunge wa upinzani kulifanya atachukuliwa hatuwa, na CCTV zitawekwa na voice recorder zita chukuliwa na zulma zaidi wana fanyiwa wapinzani na naibu spika. Kwa nilivyo muona ndungai leo inaonekana kasha nyooshewa kidole na wenzake.
@gibsonyshady6624
@gibsonyshady6624 7 лет назад
hii,movie kama matangazo yako hivi sijui mwanzo wake Na mwisho wake,,bora umeme ukatwe tuu iwe gizaa@@@@Mungu tusamehe,/wasamehe
@mosesmaembe1528
@mosesmaembe1528 7 лет назад
Exactly what is going on within parliament is not what we are expecting. Being a leader does not means using power. Please not every things needs you to treat harshly some things needs you to use wisdom given by God and this proves that leaders are born and not created
@Felix72282
@Felix72282 7 лет назад
Upinzania wanapenda waseme wao tu, wakijibiwa wananuna. Pole yao
@tamimusalum5957
@tamimusalum5957 7 лет назад
mungu anawaona ndugai huna maskio yakuckia wanao zalilisha nakuwaita wenzao huna ila yakuckia mbunge alokushauri mnyika atolewe nje ulimckia nakulifanyia kazi kiukweli cc kama wananchi mnatuumiza kwani haki yabungu na uwepo wa usawa wa vyama vingi hatuuon
@davidmushi6770
@davidmushi6770 7 лет назад
tatizo la wabunge wetu ni kukosa busara na heshima, lusinde aliposikia tu taarifa alisita kuongea ili kumpa nafasi anaeendesha bunge kuamua aruhusu au akatae lakini mnyika alipopewa nafasi hata spika alipotaka kuongea hakunyamaza, ni dharau, hii ikamfanya spika kujihami mapema , sidhani kama kwa mbunge kama zito angefanya hayo..mnyika alitakiwa kuomba ushahid wa anayosema lusinde na kama haupo amtake kufuta kauli wala yasingetokea yaliyotokea
@montichitinti8814
@montichitinti8814 7 лет назад
david mushi:: Unazungumza pointi alafu unaikanyaga mwenyewe point yako. Sasa angeomba vipi ushahidi wakati yule fala anayesikiliza anapolengwa yeye, alisha anza kumzuia, Nisinge muita fala kama ange msikiliza mnyika kwanza alafu ndo aamue kumtoa nje au laa, Kumbuka ile hoja ikisha pita imepita, sasa akisema asubiri ili amjibu lusinde siku nyingine yule fala atamsimamisha na atamwambia asitoke nje ya hoja ya wakati huo, kama huja nielewa, namaanisha alikuwa sahihi kutorususu ipite hivi hivi bila kujibu hata kama alizuiwa
@davidmushi6770
@davidmushi6770 7 лет назад
Nimekupata mkuu lakini ukisikiliza kwa makini utagundua lusinde aliyosema si sawa wala sijaunga mkono lakin kwa mbunge makini kama mnyika alipopewa nafasi hakutakiwa kufanya tena kama aliyoyafanya lusinde maana alikwishaanza kutuhumu serikali badala ya kupinga alichosema lusinde..hapo ndipo aliponiangusha ..mjinga anapokutukana na wewe ukarudisha tusi wote mnakua wajinga kaka..haina maana kua yaliyofanyika ni sawa lakini kulikuwa na uwezekano wa kuyaepuka sasa wiki nzima hatokuwepo ni mangapi yatapita bila ya mchango wa mnyika..
@tumainianthony7455
@tumainianthony7455 7 лет назад
CCM wanajaribu kubadili ukweli...Hii mikataba Mlisaini wenyewe afu mnabadili ukweli kuwa wapinzani wanasupport wezi. Wapinzani wamewataahadharisha kuhusu njia za mnazotumia na wakawapa na njia mbadala kama wanasheria....Wanacnhi tunajua CCM mlisain. Jitahidin mtafute soln. Lakini pia nakubaliana na Mbunge Kessy waliosain hii mikataba wafilisiwe na wafungwe jela hata ikiwezekana maisha,maana hata wao wamesababisha vifo vingi kwetu kwa kukosa huduma muhimu huku maliasiri zetu zikitoweka....
@shukurupetro3862
@shukurupetro3862 4 года назад
futenivyama vyotevya upinzanimbaki pekenumnatuchosha ndomaana mlizuia bungelisionyeshwe live Ilimuwapeleke mnavyota
@boazjohn2017
@boazjohn2017 7 лет назад
yan upinzan bongo hii sasa mtu anasupport tuendellee kuibiwa afu mambo ya kuwekana sawa wanatoka nje sasa wanatuwakilisha vip wananchi huu ni upunguan
@stellahsekei1673
@stellahsekei1673 5 лет назад
Ww spika hiyo si Sheria acha hizo penye ukweli paskilizwe
@obadiahkisonga9193
@obadiahkisonga9193 7 лет назад
ukiwa shabiki wa upande Fulani unaweza usijue udhaifu uko wapi maana Mara nyingi ushabiki huegemea hata kwenye ubovu. spika alikuwa na njia ya kutuliza temper ya mnyika kwamba aliyetukana hajulikani kuliko kusema we lusinde endelea tu. hawa cdm hawawezi kuendelea kuwa wachache bungeni hivi hata baada ya miaka 20 ijayo, kumbukeni walianza 2 Leo hii ni wangapi?
@tipecoonlinetv1752
@tipecoonlinetv1752 7 лет назад
Sijawahi ona taifa ambalo big role ya mwenyekiti ni kutovumilia ideas of others. Wakati wa masomo yangu ya Shahada ya kwanza nilichimbua kitu kiitwacho (THE BIG ROLE OF AN INTELLECTUAL IS TO TOLERATE IDEAS OF OTHERS) vilevile mwenyekiti wa bunge angepaswa kuvumilia mawazo ya watu wengine. Ila kimsingi anaonekana kuwa kwenye upande mmoja. Mzungumzaji wa kwanza Mh. Rusinde hoja yake haikuwa imara maana watuwezi kuwa na bungu ambalo linaifia tuu kwa kila kitu. Ndugu yangu Rusinde anachotakiwa kukifahamu ni kwamba kama hakuna differences no need of multiparty systerm. Hivi nyie wabunge wamjui kuwa kuna maisha baada ya ubunge? Kwanini hamlioni hilo? Ebu kiti kijaribu kupitia vikao ambavyo alivisimamia mama yetu ANA MAKINDA ii tujifunze kulingana na vikao vilivyopita. Unapoweka point ya kuchekesha halafu ukachukua maamuzi ya kumtoa nje mbunge mwenzako sio haki na mtambue kuwa mfalme ambae hatendihaki watu wake hawana furaha.. Ni dhahili kuwa kusema " mh. Mnyika unamchokoza Rusinde" is totally an utterance of inseriousness. Ninaamini pia kuwa hata mwenye serikali hii aliwahi sema kuwa ametukanywa sana na ameandikwa sana ata kwenye mitandao ya kijamii kwanini yeye alijikita katika kuimalisha neno analoliamini kuwa sahihi katika kuliletea taifa maslahi sahihi? Nini kinafanyika kwa mtu huyu ambae hajifunzi hata kutoka kwa mkuu wa nchi hii? Ebu tukumbuke kuwa duniani apa tupo tu sio kwa makosa ila nikwa makusudi kabisa na kakusudi hayo siyo kutumia mabavu ila kutumia kila mbinu kuimalisha utulivu katika jamii. Ebu tujifunzeni namna ya kusimamia watu jamani. Kuna mahala ambapo uvumilivu ni wa lazima Ila kama tunahitaji kujenga historia ya . kutoana haina maana sana. MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WABUNGE WAKE WOTE WATAMBUE KUWA KUNA MAISHA BAADA YA BUNGE
@hosearwechungura7164
@hosearwechungura7164 7 лет назад
ukuja humo kutumia ubabe, zngatia sheria cc nje tumeckia hilo neno we iweje usisikie?
@papafikiri
@papafikiri 7 лет назад
speaker lile la ufala ulilisikia ila hili la Mnyika kuitwa Mwizi hujasikia......R.I.P Samwel Sitta utakumbukwa daima na watanzania.
@suleimanalkindy6920
@suleimanalkindy6920 7 лет назад
What goes around comes around. 2020 CCM nao watafanyiwa hivi hivi.
@papaamashana3962
@papaamashana3962 2 года назад
Wabungenimbumbumbu pamojanasioika waovyo anatetea ugolo munyikandoalikuasawa
@msemalufunga3876
@msemalufunga3876 7 лет назад
safi sana muheshimiwa lusinde kulaleki zaooooo watakoma na nawasikitikia sana jinsi ambavyo wamepoteza dira kweli JPM, NDUGAI, DKT.TULIA NA MH. LUSINDE Mnauangamiza upinzani kwa kuwatumikia wananchi katika misingi ya uwazi na ukweli safi sanaaaaaaaaaaaaaa
@kelvnassey3236
@kelvnassey3236 5 лет назад
daaa spika wabunge ona analinda watu wa cham chake na bunge nilawatu wote
@anadoricekomba3064
@anadoricekomba3064 7 лет назад
Wabunge wa ccm ni vigeu geu sijawahi ona, hiyo mikataba sio wao ndio walipitisha halafu leo hii wanalalamika nn khaaa! Nakerekwa
@tumydavid8848
@tumydavid8848 7 лет назад
sijapenda kabisaaa. anatumia vibaya madaraka. haikuwa sababu yoyote ya kumtoa nje.
@julianamasunga3458
@julianamasunga3458 7 лет назад
safi ndugai kazi kazi!!!!
@sharonsumbya6715
@sharonsumbya6715 7 лет назад
Aisee Mungu anawaona. yaani imeniuma utadhani Mnyika baba yangu. Mungu wetu anajua kwanini haya yote yanatokea. sina siasa lakini kiroho na kibinadamu imeniuma
@msemalufunga3876
@msemalufunga3876 7 лет назад
hima hima TANZANIA loves you more my country
@emanuelmfanga4062
@emanuelmfanga4062 7 лет назад
baba uko vizuri ayotv nakukubali sana
@adamdudu4953
@adamdudu4953 7 лет назад
wabunge wa fisiem duu!! anasema kutachimbika halaf anaunga mkono hojaaa
@georgerichard6706
@georgerichard6706 7 лет назад
kistaarabu spika angempoint out alie sema upuuzi huo ustaarabu hana ndugai
@frankmwita6840
@frankmwita6840 7 лет назад
Safi sana mh dugai watoke hawatusaidii chochote
@johnmkatalo8581
@johnmkatalo8581 4 года назад
Miaka iende msepe mnatupigia ,,, unafiki%1000
@likaldokalenga7443
@likaldokalenga7443 7 лет назад
MUNGU WAANGALIE HAWA WANAOLIPWA HELA YA BIBI YANGU KWA KWA POSHO NA MISHAHARA..... HALAFU WANAKUJA KUTUTUKANA KWA KUFANYA HAYA..... !!!!! #MunguAnawaona.
@nellyeusto5193
@nellyeusto5193 4 года назад
Kweli Ester ni Kamanda, makamanda cku zote hawawez kuendelea kusikiliza ushuz wakat mwenzao katolewa nje bila hatia
@manyweletheboss6053
@manyweletheboss6053 7 лет назад
ccm hadi kichefuchefu Leo ndio mnajua tunaibiwa
@kelvinalex5644
@kelvinalex5644 7 лет назад
Nani kaweka hao wezi pumbavu zenu
@frankmwaluko7160
@frankmwaluko7160 5 лет назад
ndugai huna akili upimwe mkojo huenda wewe huna marinda kwanza kumaa wee
@vicentgibore8679
@vicentgibore8679 4 года назад
Japo sisi raia utuujui udhaifu. Lakini nimeanza kuujua udhaifu kupitia hili
@josephmwalah4880
@josephmwalah4880 7 лет назад
ivi ninyi wabunge Wa ccm miaka yote mulikuwa wapi kuibua hoja hizo,na huku ndo mlipitisha sheria,mciwe wanafiki
@latifaayoub5750
@latifaayoub5750 7 лет назад
Ndugai nyoko kabisa
@emmanuelshayo8007
@emmanuelshayo8007 7 лет назад
Hehehe........ Aaaaa kwahiyo alichokuwa ana kifanya Ester kakiona na kakichukulia hatua ila John alivyoitwa mwizi alikuwa busy kumsikiliza John na Lusinde.... Huh!!
@producernicholaus5747
@producernicholaus5747 7 лет назад
kiongozi mzur haitakiwi apendelee nyie subirini tu usitengemee hatasiku moja umepanda limao alafu ukadhani utavuna mahidi kamwe haiwezekani ukipand limao alafu utegemee kuvuna mahindi ukipanda mahidi utavuna mahindi na ukpanda limao utavuna limao
@hamisimhenwa7082
@hamisimhenwa7082 4 года назад
Tusiwe malofa kushindwa kufikiri, umeagizwa na umeaminika kuwakilisha wananchi, unavurugika kweli ubongo uko sawa. Tutafakari unapopewa nafasi itumie kwa tafakari yenye maarifa, ujuzi na mtazamo chanya. Simama kwa hoja sio una bisha kipumbavu tu. Fikiria watu wote hawafikiri sawa kama unavyofikiria..... Kama hufuati mkumbo hapa kuna nini, aliyetolewa mmoja rundo la kufuatana nje ni nini bila kukaa uje utoe hoja ya kutetea. Na hoja ikija ataijibu au ataikanusha nani kama wote ni wendawazimu. Wewe panya anaharibu ndani halafu unatoka kwa kiburi kabisa eti umekasirishwa, rudi ndani umuue sio kumuachia chumba, tena uwe na rungu la kueleweka. Acheni kuyumba kaa kwenye kiti ukiteteee.
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 7 лет назад
Mzee Sitta alikuwa ccm but hakuwahi kufanya udhuluma inayofanywa leo ktk bunge... mmefungia bunge live ili tusione uonevu mnaoufanya..
@piusemma1
@piusemma1 7 лет назад
Kazi kweli kweli...
@abelmachunda9494
@abelmachunda9494 7 лет назад
habari ya Mimi kuwa na masikio mia ya kusikia kila kona sina... kwa sababu mbunge wa chama fulan kasema... daaah poleni sana upinzani ipo siku kelele zenu watanzania watasikia... maana watu hawatazami gharama tutakazoingia kwa sababu ya mgogoro huu unaendelea wa mchanga
@masseanadir2904
@masseanadir2904 7 лет назад
kwani hiyo bogus treaties amesaini nani km sio ccm yenu acheni ukasuku
@nessa4899
@nessa4899 7 лет назад
Sasa spika hapo ni uonevu wa hali ya juu,nikweli mnyika ameambiwa mwizi, sisi tumesikia kwenye video Ila wewe spika hujasikia.
@user-vv5xd3ye4i
@user-vv5xd3ye4i 7 лет назад
NIKADHANI WACHEZA KOMEDI NI WAKINA MAJUTO NA JOTI KUMBE HATA WABUNGE...!! DU..acha nifurah mieee...yangu kuona tuu
@pauljeremiah5050
@pauljeremiah5050 4 года назад
Jamani hata spiker haogopi mungu amakweli maombi jamani
@barakabakari7942
@barakabakari7942 7 лет назад
huyo kiongoz bungeni mshamba na woote wanao Muunga mkono
@olaislukumay571
@olaislukumay571 7 лет назад
Ili bunge bwana kwa kweli linahitaji maombi
@mackpinno10
@mackpinno10 4 года назад
Aliyesema Mnyika mwizi ndo aliyechochea ugomvi huu!,pia hakuna busara hata kdgo kama vile watakuwa viongozi milele cyo poa kama unahic haki haikutendeka Tonga like twende sawa
@runman6832
@runman6832 7 лет назад
nime notes kitu walivyotoka wabunge mtoa mada alibadilisha mazungumzo
@DIMOXCHITAH
@DIMOXCHITAH 3 года назад
Thanks
@4realonlinetv169
@4realonlinetv169 7 лет назад
Kosa Lake lipi mbona mnadanganya watz
@robertjunior9916
@robertjunior9916 7 лет назад
Lusinde VP ukibainika unatumia bangi ?
@saidsalmin1248
@saidsalmin1248 7 лет назад
Mnyika bwana kweli umechemsha na wewe bulaya huoni hata aibu kabisa unahamasisha wabunge watoke nje duuuuh
@amirmotors9735
@amirmotors9735 7 лет назад
spika nimenukuu yupo kichama zaid na anawalinda wabunge wake
@kuharibuwilbroard4316
@kuharibuwilbroard4316 7 лет назад
Wanazingua hao mbona mnyika hakutaka makuu ila spika kakosa busara tu na kumwona Lusinde ndio MTU eti Lusinde kiboko yao sasa kumbe wanafanya hivyo ili wapime iman zawatu not Fair
@josephstephen2047
@josephstephen2047 7 лет назад
Spika lazima amlinde lusinde saababu wote ni chama kimoja
@jahmjah9306
@jahmjah9306 7 лет назад
nacheka sana na awo wabunge flani naona wanaleta mchezo wa kuigiza bungeni aya waniambie iyo ni part ya ngapi lakini kilicho fanyika sio feya ebu acheni ujanja ujanja mnalipeleka wapi ili taifa na nyinyi mumechaguliwa kuwatetea raia ila munaangaria matumbo yenu binafsi aya twendeni tutafika mwisho wa uwonevu
@tumpealinanuswe7460
@tumpealinanuswe7460 7 лет назад
yaan hapo cjaona kosa la Mnyika sema Spika hajacmamia haki anaangalia uchama na hilo limama lililomuita mnyika mwizi, kwa hiyo upinzani ndo Wa kuchukuliwa hatua coz sauti zao ndo zinackika
@ndolezipetro1
@ndolezipetro1 7 лет назад
zitto kabwe will remain da best in Tanzania politics
@masseanadir2904
@masseanadir2904 7 лет назад
bunge limekuwa la ndugai khaaa
@obbymyovela6254
@obbymyovela6254 7 лет назад
bunge la Tanzania hakika hamna wanacho Fanya
@getrudemax9770
@getrudemax9770 7 лет назад
wabunge wa CCM wanakera sana
@abdululed961
@abdululed961 7 лет назад
ilitakiwa awaweke sawa hasa yule alie ita mwiz na huyu Joh kuliko kuangalia upande mmoja na kushabkia mtu mwingne et kboko yao daaah.kiongoz hasira ndo imemfanya atoa maamuz
@mhuliguardian5934
@mhuliguardian5934 7 лет назад
Getrude Max This is not a political. it's just a nonsense
@leothobias8116
@leothobias8116 7 лет назад
sijui kama tutafika tunako taka..... hivi hawa viongozi wapo kwa ajili ya kuwatumikia watanzania na nchi kiujumla? daaah! baba Mungu naomba utuonyeshe viongozi wenye nia ya dhati kwa wananchi
@mcjabbyevents4938
@mcjabbyevents4938 7 лет назад
msiishiane kupigana ongeleeni mambo ya msingi kwa mustakabali wa taifa
@pendomwenda6190
@pendomwenda6190 4 года назад
Mbona kweli kaitwa mwizi, duh bunge Ili hatari
@zulfakassim3624
@zulfakassim3624 6 лет назад
alietunga hizo sheria nani kama si nyinyi ccm
@mammyyassie7322
@mammyyassie7322 7 лет назад
asante sana Mhs Spika. huyu dada aadabishwe kabisa.
@shabanimtua8486
@shabanimtua8486 7 лет назад
kiwango cha elimu ya kibajaji ni ipi?
@deccoballack9833
@deccoballack9833 7 лет назад
huu mchezo hauhtaji hasira n bora mnyika angekaa kimya palee kazingua
@salumuhamissi3492
@salumuhamissi3492 4 года назад
Spika fanya haki
@shedeck8974
@shedeck8974 3 года назад
Ayo maneno ya "myika mwinzi" angeambiwa mbunge wa CCM angetetewa, ila kisa aliyekashifiwa ni mpinzani, spika wala hajali.
@emanuelmfanga4062
@emanuelmfanga4062 7 лет назад
Nimependa sana 💞mubasharaaaaaa
@rosemsangi9477
@rosemsangi9477 3 года назад
Poa
@mmetansanya3764
@mmetansanya3764 4 года назад
Tunapo enda tutafika ty mungu akipenda
@lawikipkoechbitok3871
@lawikipkoechbitok3871 7 лет назад
Bunge la wana Tanzania ni shida tu,uongozi mbaya unao ongoswa na spika mwenyewe............enzi za kikoloni ziliisha miaka amsini ilioisha
@allyomari3089
@allyomari3089 7 лет назад
kama kunamtubado anashabikia ccm kweli mpeni pole ndugai hunalolote kwanza hatakwenyekampeni ushawahi kumpiga mwenzako wa ccm as mm kama mm ckushangai kwamanone yakifedhuri mpaka askali unawadharau kwani askali wenyewe walikua wanakushangaa ww unatakiwa upumzike ilikunusuru afya yako
@eng.makolal1367
@eng.makolal1367 7 лет назад
Ipo siku CCM n vibaraka wao wataanguka!
@mcjabbyevents4938
@mcjabbyevents4938 7 лет назад
tusimame pamoja na kumuunga mkono mheshimiwa Raisi na sio kumbezaaaa jamani umoja wetu uko wapiii
@danielnyaonge9538
@danielnyaonge9538 7 лет назад
Jackson Bitamale kama yeye nimzalendo kwa nn anaendelea kusain mikataba gizan ccm wameuza madini yetu sasa yamekwisha wanakuja na hoja kuwa tunaibiwa wakt wezi niwao wenyewe ndugu labd nimejisahau kuna chsma zaid ya ccm kilicho wah kuongoza ntanzania hii acha utoto jipime
@suzyjames4968
@suzyjames4968 7 лет назад
duh bora uti sheria sasa huthalilishwa hko kutamsaidia nn mmmh
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 7 лет назад
wapinzani jaman.....
@aswibuchacha3498
@aswibuchacha3498 4 месяца назад
Ndugai nalo ka jinga dudadek zako
@husseinmachozi1437
@husseinmachozi1437 4 года назад
Nchi gani hii bora kiama kije tuu tukapate haki kwa mungu
@paschaldaud8164
@paschaldaud8164 7 лет назад
achen kukasirika cmrisain nyinyi huo wiz ,mbona mnawakasirikia wabunge waupizan.
@mathiasmalimi4555
@mathiasmalimi4555 7 лет назад
Mnyika usijali hata yesu aliteswa lakini ushindi alipata wa milele kwanza washindwe kwa jina La YESU
@sangwanimkandawire7725
@sangwanimkandawire7725 7 лет назад
Spiker yuko upande wa Serikali, shouldn`t he be in defence for both sides?
@costantinerichard2095
@costantinerichard2095 7 лет назад
kwanini mbungea anavungiwa heshima kama hvyo
@emanuelingomuo1237
@emanuelingomuo1237 7 лет назад
Kwa hili spika kaonyesha udhaifu mkubwa sana ukifanya maamuz ukiwa na hasira huwezi kufanya maamuz sahihi nilizani na najua spika wetu anatumiaga busara ila Kwa hili spika umekosea sana mbona
@eliudmtailuka381
@eliudmtailuka381 7 лет назад
speaker hataki busara za police.....
@nuriatkassim3311
@nuriatkassim3311 4 года назад
Anawakomandi mapaka polisi,anajiona kafika
@michanomichano4931
@michanomichano4931 7 лет назад
hii nchi ni ccm wameiharibu kwa miaka yote