#mwasiti#comedy#muvie ~-~~-~~~-~~-~ Please watch: "(3) 5 MARKETING HACKS THAT INCREASE YOUR SALES and MAKE YOU MORE MONEY " • 5 MARKETING HACKS THAT... ~-~~-~~~-~~-~
Hawa jma wanajua kiukweli hawachekeshi kma kuchekesha Bali wanalenga kufundisha ndani ya komedi sio kma zamn watu walijua kujua kuchekesha n kuvaa nguo chafu kma vicha kumbe hawajui kinacho chekesha n muonekano n maneno n sio mavazi Big up saana bro zangu tunawafata saaana
😂😂😂hayo mashati yenu mkojani na white sijui huwaga mnayaweka mpaka yanajikunjakunja hivyo nagwa nae huwaga hakubali kubishiwa 😂😂😂nyie watu nawakubali Sana mnanipa raha aise!
Jamani oso tv nime subscribe chanel yenu ili niwe wa kwanza nami kupata........mue hivyo basi (muito obrigado pela diversão que nos dão. From Mozambique)