Тёмный
No video :(

TOM BOY 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 561 тыс.
50% 1

Ujuaji mwingi wa nishai wamtokea puani, Kama umeyashindwa ya sadeki utayaweza ya TOM BOY.

Опубликовано:

 

29 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 320   
@linuslinua8504
@linuslinua8504 5 лет назад
Wangapi mmeelewa maanaa ya SADC na mlikua hamjui gonga like jman
@msheshijuma706
@msheshijuma706 5 лет назад
*kumbuka* tom boy ni mwanamke anayevaa kiume na muonekano wa kiume but sio anajinsia tofauti kam wengi wetu tunavyofikir
@greymystery2446
@greymystery2446 5 лет назад
Msheshi Juma waambie wanzani kila tomboy ansaga
@msheshijuma706
@msheshijuma706 5 лет назад
@@greymystery2446 kwel yaan
@Tunchi255
@Tunchi255 5 лет назад
best comedian alive😂😂
@christophersoty101
@christophersoty101 5 лет назад
😂😂😂😂😂 JOTI ni the Best nimekuwa wa 27 mnipe jamani Hata like 20 tu
@baruanikhalfani8696
@baruanikhalfani8696 3 года назад
Nice
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 5 лет назад
Duh watu mko faster Sana. Dk kumi tuuuuuuu mshajaaa. Kwl joti anapendwa
@jumaamanandi4329
@jumaamanandi4329 5 лет назад
Izi Pamba Mwanangu Unazipataga Chimbo gani daaah
@amosikubyo7889
@amosikubyo7889 5 лет назад
Nakubali jot
@emmanuelsilungu446
@emmanuelsilungu446 5 лет назад
Nadhani mngekuwa waungwana kabla ya kuomba hizo likes n Bora mka like kwanza kwa video ya jamaa arafu Ndiyo muendelee na maombi yenu
@hamadharerimana8187
@hamadharerimana8187 5 лет назад
na kwanini watu huomba likes... what for??
@emmanuelsilungu446
@emmanuelsilungu446 5 лет назад
@@hamadharerimana8187 Sijui hata zinawasaidia Nini kwenye maisha yao
@eneolatukio8493
@eneolatukio8493 5 лет назад
Ni ubinafsi tu umewajaa, na hizo likes sijui huwa wanalia ugali mie hata sielewi jmn
@emmanuelsilungu446
@emmanuelsilungu446 5 лет назад
@@eneolatukio8493 wanakwaza kishenzi yan
@augustinomwamasinga2200
@augustinomwamasinga2200 5 лет назад
Wanapenda zile congratulations!!
@celinamgundoi5601
@celinamgundoi5601 5 лет назад
Joti umepatkana leo Hahaha hatr sana
@yusuphbwango1254
@yusuphbwango1254 5 лет назад
"Aaaaaah... Nimesanuka au sio?" Hahahahhahaahahaha
@jamesmaneno2281
@jamesmaneno2281 2 года назад
Joti sijui suali anapataga wap uyu jmaaaaaa
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 5 лет назад
Bado sijamuona anaeweza kusimama na joti ktk comedy mpka leo hiii mh labda wapo lakin mi sijamuona
@saidiissa1008
@saidiissa1008 5 лет назад
Leo nimecheka aki.. et baba sadc na mama sadc
@darealog2437
@darealog2437 5 лет назад
Mzee baba nishai nipe ubuyu duka gani lauzwa izo pamba😂😂😂 ...wapi like za joti
@anthonyakaro5206
@anthonyakaro5206 5 лет назад
Tony boy noma.....
@anithapaulo1649
@anithapaulo1649 5 лет назад
Yaani Joti alivyo mfupi hakui yaani ananichekesha na hizo pigo zake 🙌🙌
@ramafrica9016
@ramafrica9016 5 лет назад
Nishai anaogopa kusimamiwa😂😂😂😂😂😂Tom boy
@tobbyfleva4135
@tobbyfleva4135 5 лет назад
BONYEZA PICHA YANGU UONE CHA CHA KIFO CHA MSANII WA THE MAFIK, RIP MBALAMWEZI
@abdulmogammed3306
@abdulmogammed3306 5 лет назад
umekosa at a m1
@ummiramadhan5144
@ummiramadhan5144 Год назад
Nampenda sopa yuwacheka vizuri😘
@mokiridaniel6795
@mokiridaniel6795 5 лет назад
Wa kwanzaaaaas😁😁😁
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 лет назад
Wa kumi😂😂
@xxxxtinny1761
@xxxxtinny1761 3 года назад
Hv n kwel Tom boy wanakusimamia
@pantaleoshirima4579
@pantaleoshirima4579 5 лет назад
Mwanaume akiamua kutulia na mwanamke mmoja watakao teseka ni wanawake
@husnatvtanzania6248
@husnatvtanzania6248 2 года назад
Joti nmekukubali unafurahisha sn
@KatuniDigital
@KatuniDigital 5 лет назад
Kazi safiiiiii
@catenzeki678
@catenzeki678 5 лет назад
Naanzaga kucheka bila ata kutazama.Joti ur my best comedian
@joowzeytz2851
@joowzeytz2851 5 лет назад
Wa 18 Leo twend sawa
@victorjames3730
@victorjames3730 2 года назад
SAA DEC,,,,, nimecheka
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 5 лет назад
_Baba la Kisadec na Mama la Kisadec_
@amosndosha4222
@amosndosha4222 5 лет назад
Mko fasta wadau wadau
@neserianithomas4361
@neserianithomas4361 5 лет назад
😁😁😁😁saa na deki
@anzurunielisha8821
@anzurunielisha8821 5 лет назад
Hii kali kweli 😂😂😂😂😂
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 4 года назад
Joti taahira kweli sasa amependeza nini hapo mpaka aonewe wivu
@erickkihuru4529
@erickkihuru4529 5 лет назад
Saa na deki
@edibilydaimon186
@edibilydaimon186 5 лет назад
Me huwaga nashindwa kuelewa kila mtu anaomba like, hebu nipen habar kama hizo pike kuna marupurupu ya faida
@zaitunijuma7831
@zaitunijuma7831 3 года назад
itakuw
@firiridatv2750
@firiridatv2750 4 года назад
Sikuchelewa sana
@elienezarumisha9996
@elienezarumisha9996 5 лет назад
Mnazingua, mmeniwahije sasa🤣
@hazjay4671
@hazjay4671 3 года назад
Jicho La Kizandiki...!!
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 лет назад
Leo nawaapia mungu mtalike comment yangu sababu ni ya kwanza..
@abdulikadirnarrel2751
@abdulikadirnarrel2751 5 лет назад
Uhakik yan
@khadijaomar3299
@khadijaomar3299 5 лет назад
😂😂😂😂😂
@abdulikadirnarrel2751
@abdulikadirnarrel2751 5 лет назад
@@khadijaomar3299 mbn unachek ten
@khadijaomar3299
@khadijaomar3299 5 лет назад
@@abdulikadirnarrel2751 anaetaka like
@abdulikadirnarrel2751
@abdulikadirnarrel2751 5 лет назад
@@khadijaomar3299 pw
@ngumaonline5550
@ngumaonline5550 5 лет назад
uyu jama chiz kwel
@mikapmwalimu4555
@mikapmwalimu4555 5 лет назад
Hahahahaha daah huyu jamaa noma sana ETI MTOTO UNAJICHO LA KI SADC
@josephrichard3496
@josephrichard3496 5 лет назад
Nakubali
@monicayohana6672
@monicayohana6672 5 лет назад
kazi nzuri nakukubari sana joti
@Nmpalile
@Nmpalile 5 лет назад
Combination yenu nzur sana wote watatu
@rutashubanyuma4546
@rutashubanyuma4546 5 лет назад
Ht ujifanye Tom boy ila period itakukumbusha where you belong!!
@flavianwilliams2888
@flavianwilliams2888 5 лет назад
OG Joh Hahahaha
@maezadam5492
@maezadam5492 5 лет назад
😁😁😁👏👏 umeuaaaaa
@youngjrtz3618
@youngjrtz3618 5 лет назад
Good
@abdulazizi6606
@abdulazizi6606 5 лет назад
kweli
@JBB875
@JBB875 5 лет назад
Hahahahaahah 😂😂😂😂
@aronpaul2331
@aronpaul2331 3 года назад
Nomaaa saaaan busuuu oyeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😍😍
@silyvestermpemba2153
@silyvestermpemba2153 4 года назад
Huyu msenge huwa namwelewa
@harunathomas516
@harunathomas516 2 года назад
Best jot
@vrsrecordstudios..4741
@vrsrecordstudios..4741 5 лет назад
Kali sana pitia cover zangu pia
@wisperfect8413
@wisperfect8413 5 лет назад
Nipe no nikupe kz
@emanueliisaya1401
@emanueliisaya1401 5 лет назад
Baba wa SADC na Mama wa SADC hahahahahaha
@mikapmwalimu4555
@mikapmwalimu4555 5 лет назад
Emanueli Isaya hahaha na mtoto unajicho la ki sadc
@emanueliisaya1401
@emanueliisaya1401 5 лет назад
@@mikapmwalimu4555 hahahahaha
@husseinhajjihussein6898
@husseinhajjihussein6898 4 года назад
Aliye Muona Huyo Tom boy Mwisho Wa Seen Anacheka Twende sawaa
@aminakazogolo9914
@aminakazogolo9914 5 лет назад
Hongera sanaa Samia✊ Joti ur the best always🔥
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 Год назад
🤣🤣nishaiii
@youngfuture4084
@youngfuture4084 5 лет назад
hatar Sana joti
@barakachaula7050
@barakachaula7050 5 лет назад
Watu hamlali🤣🤣😂😂
@sebastianielisha5416
@sebastianielisha5416 5 лет назад
Wa kwanza dar
@bartholomeweshiwani246
@bartholomeweshiwani246 Год назад
Samia ametimia !!
@neemamkumbi4800
@neemamkumbi4800 5 лет назад
😂😂😂😂😂daah nmecheka jamani joti mungu akupe maisha malefu kaka
@legnaldngeze5484
@legnaldngeze5484 5 лет назад
B
@AncyMerci-un2nu
@AncyMerci-un2nu 11 месяцев назад
Kkkkkk joti ww namindula Yako wanawake wanakupendaga namakoti makubwa makubwa hivio kkkkkk
@nasrihamza5766
@nasrihamza5766 5 лет назад
Jana nakupigisha salam unajifanya biz na mama mihogo
@barakamathayo3430
@barakamathayo3430 5 лет назад
😂😂😂😂😂daaaah Joti ameshindikana kbsa
@tz7976
@tz7976 4 года назад
Mi baharia ujue 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daa! Joti bhana pumbavu kbs anachekesha balaaaaaaa
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 3 года назад
Kwahiyo joti anaringishia wenzake kuwa amependeza na hiyo minguo😀😀😀😀
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 5 лет назад
Umekula bonga la shuuum hpa Kenya una mashabiki.
@venslausblaise7397
@venslausblaise7397 5 лет назад
Labda mm ila jamaa haxhekeshii kabisaaa
@cultureboy4975
@cultureboy4975 5 лет назад
Grand father the work king comedian ahahahaha good work ....by culture boy
@filvobrowbrown6238
@filvobrowbrown6238 4 года назад
Big drip
@RashidTamimu
@RashidTamimu 5 лет назад
1st to view leo😃
@pilikhamis2924
@pilikhamis2924 3 года назад
Hahaha nimecheka hatr mie
@younghenry6656
@younghenry6656 5 лет назад
Your the best big brother
@magrethhuseni8662
@magrethhuseni8662 3 года назад
Pendaaaaaa
@mickzeone8914
@mickzeone8914 5 лет назад
😂😂😂😂😂Nishai katika wiki yake
@kingsoboropayani5127
@kingsoboropayani5127 5 лет назад
Kipande nakuelewa sana mzee baba
@chibudeisalloniper736
@chibudeisalloniper736 5 лет назад
Nawakubali joti tv mnatisha
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 года назад
Safi sana Joti
@khadeejaabdullah7083
@khadeejaabdullah7083 5 лет назад
Jamn Eee joti
@jeremiamachinda7473
@jeremiamachinda7473 5 лет назад
Joti proud of Tanzania
@maimunashomary2860
@maimunashomary2860 5 лет назад
Baraka Robert u
@jeremiamachinda7473
@jeremiamachinda7473 5 лет назад
@@maimunashomary2860 me
@akibarahamadi5058
@akibarahamadi5058 5 лет назад
joti wey ni king wa comedie
@maimunashomary2860
@maimunashomary2860 5 лет назад
akibar ahamadi
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 5 лет назад
noma sana
@benjaminfataki6898
@benjaminfataki6898 5 лет назад
mnazikwa na mauwa sama
@abdulmalisha3881
@abdulmalisha3881 5 лет назад
Jotiiiii shubaaamit m.....hapo mwishoni
@kaniyahiouise1474
@kaniyahiouise1474 5 лет назад
*Joti kasanuka😂😂😂😂*
@tawoostanzania9602
@tawoostanzania9602 5 лет назад
🤣 🤣 Nyoko sanaa sadc.... Saa na deki umetishaaaaa sanaaa yaan nmecheka kwa power
@Mina-20200
@Mina-20200 5 лет назад
Hamna tom boy mweny manyonyo wala matako makubwa
@denismrutu9655
@denismrutu9655 5 лет назад
SADC
@brigitamash2007
@brigitamash2007 5 лет назад
sopa na kipande ns joti napenda mkicheza nyinyi nime wazoea machoni naona mna cheza vzr.... lakini mkieka jamaa mwengine ndani haipendezi hata
@sixbertkigomakwetu7742
@sixbertkigomakwetu7742 5 лет назад
Duuu joti kauwa
@sadickkabata406
@sadickkabata406 Год назад
Mbn hakuna vitu vipya kwa mzee
@sulleysabri9126
@sulleysabri9126 5 лет назад
joti nakufananisha na madenge vituko vyako..ma fans wa joti like kama kawaa
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 5 лет назад
Saa na deli. Sadek
@vibermusic7171
@vibermusic7171 5 лет назад
joti juuu
@mathayomarwa9077
@mathayomarwa9077 5 лет назад
Tsha og
@neemamushi4424
@neemamushi4424 5 лет назад
😁😂😁😂😁😂😁😂😁😂😁 nimecheka mpaka bas Jot umeniweza
@binjmwinyirain1133
@binjmwinyirain1133 5 лет назад
Yaani mko gud aisee duh
@salmayusuf2376
@salmayusuf2376 5 лет назад
Joti iyo miatu😂
@alexjeremia7686
@alexjeremia7686 5 лет назад
Ni msalah 😊😊😊
@omariamiri5556
@omariamiri5556 5 лет назад
Yaan mm napend joti anavyovaa tu nacheka mwenyew....... Jaman wekeni comments kuhus video alie post c kukimbilia wa kwanz wa mwish
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 лет назад
Umeonaee
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 лет назад
Sanaaaa omar
@kaonekacavin3067
@kaonekacavin3067 5 лет назад
so poa mazeee,,,joti bichwa lake bhana,,,,,boya saana😂😂😂😂
@chezlonchezo3743
@chezlonchezo3743 5 лет назад
Kaz nzuri joti
@alikibausa4984
@alikibausa4984 5 лет назад
Nishai wewe😂😂😂😂😂
@jumapoyongo
@jumapoyongo 5 лет назад
😆 ety #Sa+Dek= SADC 😂😂🙌
Далее
NYUMBA YANGU
8:08
Просмотров 20 тыс.
NATAKA KUJIWEKA
7:56
Просмотров 918 тыс.
Useful gadget for styling hair 💖🤩
00:20
Просмотров 2,1 млн
KIRIKUUUU
7:11
Просмотров 1,2 млн
MKE WA BODA BODA
8:28
Просмотров 839 тыс.
SIO BABA YANGU.
19:08
Просмотров 860
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 2
31:03
Просмотров 304 тыс.
Bwakila - Futari imeliwa na Malaika
26:30
Просмотров 1,2 млн
I AM TRAPPED
8:01
Просмотров 770 тыс.