Namaliza bando kwajili yenu nacheka atr mbon ela zangu zitaishia kwenye bando Nitoe la moyoni nampenda Sana aziza bc tu alivyo anatuvitu kama mtoto vile kama apo alipokuwa anaongea na mama mwenye nyumb kama katoto ,malingo fln Mara ashike nywele Mara afikiche vidole bc napeeenda aziza weweee